MBWADUKE: CAF HAWAOGOPI? DRAW HII KUNA SIKU SIMBA WATAPIGA MTU NYINGI/ OKEJEPHA, MUTALE, MUKWALA...

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 лип 2024
  • Usisahau ku-subscribe, ku-comment na ku-like...
    UFAFANUZI
    Kwa utaratibu wa CAf msimu huu, timu 5 hazitashiriki hatua ya awali ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa ((1st preliminary round) na badala yake zitaanza kushiriki katika hatua ya awali ya pili (raundi ya pili). Pia timu 12 zimepewa unafuu wa kutoshiriki hatua hiyo ya awali ya kwanza katika Kombe la Shirikisho bali zitaanzia hatua ya awali ya pili (2nd preliminary round).

КОМЕНТАРІ • 38