Ahmed Ally afunguka ishu ya Lawi “wamekula mpunga” atangaza balaa la wachezajii wapya

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 лип 2024
  • Kikosi cha Simba kimeondoka jijini Dar es Salaam leo Jumatatu Julai 8, 2024 kwenda Misri kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao 2024/25, huku Meneja wa Habari na Mawasiliano wa timu hiyo, Ahmed Ally amezungumza na wanahabari kuhusu sintofahamu ya usajili wa beki Lameck Lawi.
    Ahmed amesema sakata hilo litamalizwa na mabaraza ya kisheria ya soka lakini wao wanatambua kuwa ni mchezaji wao halali kwani pesa za usajili walitoa kwa mchezaji huyo pamoja na timu yake.
    #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj
  • Спорт

КОМЕНТАРІ • 15