Maagizo mengi ya Trump ni ya chuki na ubaguzi . Yamepingwa mahakama ya juu na yamesimamishwa yasiendelee. Mfano ni msamaha kwa wafungwa wa January 6 imezuiwa na mahakama . Marekani rais hayuko juu ya sheria ,hivyo mengi ya maagizo yake , yatategemea amri za mahakama.
HII NI FUNDISHO KUBWA SANA...HASA KWA WATU KUTOKA ,BARA LA AFRIKA. -KWELI TRUMP...NAMPONGEZA -TUACHE KUTEGEMEA YA WENZETU -TUAMKE SISI WAAFRIKA -HATA SISI WAAFRIKA..TUNA UWEZO -TUAMKE SASA
Trump🎉🎉🎉
Raisi wa dunia
Huyu jamaa bana 😂😂😂 sjui anawazaga nini kichwani Mwake
Hawezi kutoboa japo mawazo yake ni mazuri
Rais anatakiwa awe kiume na sura yake,sio ukaa nama rais wa tanzania akiona hakuelewek nikuua na kuteka watu
Minamkubali trump inatakiwa tupunguze kutegemea wengine
WAZO NI ZURI SANA SANA
Shetani wa dunia hana lolote nyuso mbili trumpet uso wa binaadam ndani ya mwili wa chui
Maagizo mengi ya Trump ni ya chuki na ubaguzi .
Yamepingwa mahakama ya juu na yamesimamishwa yasiendelee.
Mfano ni msamaha kwa wafungwa wa January 6 imezuiwa na mahakama .
Marekani rais hayuko juu ya sheria ,hivyo mengi ya maagizo yake , yatategemea amri za mahakama.
HII NI FUNDISHO KUBWA SANA...HASA KWA WATU KUTOKA ,BARA LA AFRIKA.
-KWELI TRUMP...NAMPONGEZA
-TUACHE KUTEGEMEA YA WENZETU
-TUAMKE SISI WAAFRIKA
-HATA SISI WAAFRIKA..TUNA UWEZO
-TUAMKE SASA