Kwaya ya Mt. Kizito Makuburi Walivyofanya Maajabu Uwanja wa Taifa katika Warsha, Waimba kwa Ufundi

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 вер 2022
  • 𝐖𝐄𝐙𝐄𝐒𝐇𝐀 𝐔𝐓𝐔𝐌𝐄 𝐖𝐀 𝐉𝐔𝐆𝐎 𝐌𝐄𝐃𝐈𝐀 𝐊𝐔𝐏𝐈𝐓𝐈𝐀 𝐌-𝐏𝐄𝐒𝐀 𝐋𝐈𝐏𝐀 𝐍𝐀𝐌𝐁𝐀 𝟓𝟎𝟓𝟒𝟔𝟑𝟓 𝐉𝐈𝐍𝐀 𝐉𝐔𝐆𝐎 𝐌𝐄𝐃𝐈𝐀 𝐍𝐄𝐓𝐖𝐎𝐑𝐊
    Follow this link to join my WhatsApp group: chat.whatsapp.com/GDS87FVmKB5...
    Tumsifu Yesu Kristo, Napenda Kukushukuru kwa Kuwa Mdau Mpendwa wa Jugo Media. Tunapenda kukutaarifu kuwa Tumeandaa Group Maalum kwa Ajili ya Kupokea Taarifa Mbalimbali za Kanisa, Misa Live, Vipindi vya Kanisa nk kutoka Jugo Media. Kama ungependa Kuungana Nasi Tunaomba Ujiunge kwa Hiari Kupitia Link Hiyo Juu. Mungu Akubariki Daima
    KAMA UNGEPENDA KUPATA TAARIFA KUHUSU KANISA KWA NJIA YA WHATSAPP TAFADHARI TUMA UJUMBE KWA WHATSAPP UKISEMA NIUNGE KISHA JINA LAKO KWENDA NAMBA +255757560764 au BONYEZA LINK HII wa.me/+255757560764?text=NIUN...) (SAVE HII NAMBA KWANZA, ANDIKA JUGO MEDIA) UBARIKIWE SAMA
    KAMA UNA HABARI NA UNGEPENDA KUSHIRIKI PAMOJA NASI TAFADHARI WASILISHA KUPITIA WHATSAPP NO +255757560764 AU BONYEZA wa.me/+255757560764?text=Taar...)
    Tafadhali Subscribe, Like, Comment na Share tone hili la upendo kwa ndugu jamaa na marafiki.
    𝐉𝐮𝐦𝐮𝐢𝐤𝐚 𝐧𝐚𝐬𝐢 𝐤𝐚𝐭𝐢𝐤𝐚 𝐦𝐢𝐭𝐚𝐧𝐝𝐚𝐨 𝐦𝐢𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞 𝐲𝐚 𝐊𝐢𝐣𝐚𝐦𝐢𝐢:
    Instagram: / jugo_media
    Facebook: / jugomedia2019
    𝕄𝕒𝕨𝕒𝕤𝕚𝕝𝕚𝕒𝕟𝕠:
    JUGO MEDIA,
    Sokoine Drive, Posta
    P. O. BOX 34014,
    Dar es Salaam.
    For Bookings and other Enquiries
    Phone Number +255757560764/657790405
    #jugomedia #kanisakatoliki #familiatakatifu #wawata #uwaka #viwawa #australia #unitedstates #canada #america

КОМЕНТАРІ • 54

  • @tmasingida2392
    @tmasingida2392 Рік тому +5

    Mama Mwalimu, Baba Mwalimu, Dogo organist. Hongera familia ya Mr. Mukasa.!
    Nawapenda sana KMKM.

  • @monicahkwamboka3611
    @monicahkwamboka3611 Рік тому +1

    Nice singing makuburi congrats am proud to be a catholic as well as a choir member

  • @LeanardNdikumuremyi-ds3ys
    @LeanardNdikumuremyi-ds3ys 3 місяці тому

    Mungu awabaliki sana Nawa penda

  • @user-lh2nw6vg6z
    @user-lh2nw6vg6z 5 місяців тому

    Very organised,,pongezi Wana Tanzania,,best. Catholic choir,,,, congratulations from Kenya,,love you

  • @patriciakavengi7365
    @patriciakavengi7365 Рік тому +1

    Congrats makuburi,you our pillars of East Africa.lkazi nzuri Benard mukasa

  • @ancillahhulilo8871
    @ancillahhulilo8871 Рік тому

    Tumsifu Yesu Kristu! NATAMANI nami ningekua mmoja wa wanakwaya hawa. Mbona raha. Hongereni sana

  • @julianacellestine801
    @julianacellestine801 Рік тому +2

    Endelea na kuimba hivyo mko vzr. Katu msijeweka mapambio siyo sera ya kanisa katoliki. Wala kanisa haliendi na wakati. Ndilo aliloliacha Bwana wetu Yesu Kristu. Kweli mnatishaaaaa Hongereni sana keep it up

    • @user-ln6eq5rl5x
      @user-ln6eq5rl5x 5 місяців тому

      100% well said ❤❤❤🙌🙌🙌🙌🤜🤛🤜🤛🤜🤛👏👏👏👏👏👍👍👍👍👂👂🙌🙌🙌🙌🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝👏👏👏👏👏❤❤❤❤❤❤❤

  • @eugenekeragori6533
    @eugenekeragori6533 4 місяці тому

    Mwalimu Bernard mungu akupe maisha marefu..unaweza

  • @mwalimueliasngothowangari4417
    @mwalimueliasngothowangari4417 Рік тому +1

    Honestly your performance is just wonderful. heko kwenu

  • @janemwangi6065
    @janemwangi6065 Рік тому +2

    WAAAOOOOO WONDERFUL KEEP ON KEEPING ON AND GOD WILL CONTINUE TO SHOWERS OF BLESSING UPON YOU ALLWAYS. HAKUNA WAKATI NITACHOKA NIKIWASHUKURU, HONGERENI SANA WANAKWAYA WA KMK MAGUBURI. GOD BLESS YOU ALL. FROM QATAR BUT KENYAN 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @furahambughi4977
    @furahambughi4977 Рік тому +1

    Hongereni sana, maana kuimba uwanjani kama hivi sio kazi nyepesi!

  • @AnoManfred-wu7nn
    @AnoManfred-wu7nn Рік тому

    Mmetisha

  • @bettykaduma1260
    @bettykaduma1260 Рік тому

    Asante Wana Makuhuri

  • @AvaKimario-rf6zs
    @AvaKimario-rf6zs Рік тому

    Hongereni wanakwaya nimewapenda

  • @joanwasitayi5242
    @joanwasitayi5242 Рік тому

    Mungu awabariki Sana kwa kazi yenu nzuri

  • @alicewangari2839
    @alicewangari2839 Рік тому

    You are my favourite choir.
    Your compositions are full of real preaching.
    Keep it up

  • @manumbubujiba8610
    @manumbubujiba8610 Рік тому +1

    Nawakubali Sana Kmk

  • @DeograsiaNziku-xx2go
    @DeograsiaNziku-xx2go Рік тому

    Asante kwa utume

  • @calistashio1295
    @calistashio1295 Рік тому

    Naipenda san hi kwaya

  • @annmueni7005
    @annmueni7005 Рік тому

    Mungu awabariki ndungu zetu

  • @innocent3954
    @innocent3954 Рік тому

    Asante sana wimbo muzuri

  • @amanikiteve5195
    @amanikiteve5195 Рік тому

    Lovely choir Mt kizito makuburi DSM

  • @furahaburomo522
    @furahaburomo522 Рік тому

    Hongera mwl Benard, nakuona classmate wangu B'mlo Primary School

  • @jovinusjulius9840
    @jovinusjulius9840 Рік тому

    Nawakubali sana..

  • @tonnymwenga1888
    @tonnymwenga1888 Рік тому

    Prout to be the member of Catholic and choir 😊

  • @peninajuma9735
    @peninajuma9735 Рік тому

    Good work.

  • @yohanambano872
    @yohanambano872 Рік тому

    Hongereni

  • @agatonngailo6632
    @agatonngailo6632 Рік тому

    Hongeren san mt kizito organist mushobozi umeupiga mwing

  • @stanslausbernard5950
    @stanslausbernard5950 Рік тому +1

    Hongereni sana. Hata hivyo, naonai Kama hamkujiandaa vema.

    • @joycegondwe517
      @joycegondwe517 Рік тому

      Hali ya uwanja inazuia sauti kutoka asilia

  • @dennisondari94
    @dennisondari94 Рік тому

    Beautiful

  • @catholicvibemusic3151
    @catholicvibemusic3151 Рік тому +1

    🔥🔥🔥🔥

  • @lazarusmulwa6128
    @lazarusmulwa6128 Рік тому

    mshobozi ❤‍🔥❤‍🔥❤‍🔥

  • @teleziajemus-7687
    @teleziajemus-7687 Рік тому

    Hogereni

  • @thewhisperske883
    @thewhisperske883 Рік тому

    The best

  • @patrickmohamed3639
    @patrickmohamed3639 Рік тому

    Mshoboz unajuaaaaa xaaaaana

  • @daudmatandula3692
    @daudmatandula3692 Рік тому +1

    Hii siku Hawa jamaa walitisha sana

  • @franciskironjo9369
    @franciskironjo9369 Рік тому +1

    Kitu kipya.. twasubiria

  • @denissilayo9768
    @denissilayo9768 Рік тому

    Kanzi musung

  • @ambrosiamlinga8402
    @ambrosiamlinga8402 Рік тому +1

    Mmeimba vizuri hongerani ila kanisa la roma inabidi mmbadilike, mngeimba nyimbo za mapambio ili watu wote wangejumuika. Anzeni kutunga mapambio sass ili sehemu kama hiyo mngeimba na wote wangeimba. Badilikeni mwende na wakati. Hizo nyimbo za zaburi, za komunio sio mahala pake.

    • @jacobpatrick7936
      @jacobpatrick7936 Рік тому +7

      Hapana, kanisa lina utaratibu wake na alama zake,uimbaji ni moja ya alama za kanisa katoliki,ndo maana ukiskia wimbo wa kikatoliki huulizi unajipambanua wazi kuwa ule ni wimbo wa RC

    • @veronicamtitu8512
      @veronicamtitu8512 Рік тому

      Na wasabato utawaambiaje sasa?kanisa lina utaratibu wake

    • @ambrosiamlinga8402
      @ambrosiamlinga8402 Рік тому

      @@veronicamtitu8512 ndio kanisa katoliki libadilike waende na wakati sehemu ya sherehe wao wanaimba nyimbo za msiba au zaburi.

    • @ambrosiamlinga8402
      @ambrosiamlinga8402 Рік тому

      @@sylvestercameo6263
      Hao walio waletea ukatoliki wamebadilika na wanaimba mapambio
      Pia wasio funga ndoa wanapokea komunio lakini tanzania nyie bado mpo backward. Ulaya wamesema waache wapokee kama ni dhambi basi tumuachie mungu atawahukumu sio sisi binadamu. Jambo jingine la kukera mtoto ana dhambi gani ya kukataliwa kubatizwa kisa tuu wazazi wake hawajafunga ndoa au hawapo kwenye jumuiya. Padre unakataaje kumzika mtu kisa tuu hayupo kwenye jumuiya. Mapadre ulaya hawafanyi hivyo. Ndio maana waumini wanakimbia kwenye makanisa mengine ambako wanafeel accepted and appreciated
      Ovehaul changes is needed in tanzania Catholic Churches

    • @ambrosiamlinga8402
      @ambrosiamlinga8402 Рік тому

      @@sylvestercameo6263
      Una kipimo gani cha kusema mimi sio mkatoliki
      Basi mie ni mkatoliki my dad and my mum are both catholic including myself. I was raised and practised all the rituals of catholism
      It is very sad to see how Catholic in Tanzania are treating its believers.
      The churches in Tanzania are going backwards which is very sad while in Europe are going forward to make it easy for people to practise without judging. The implementation of jumuiya is example of control and discrimination of its believers
      How can a priest refuse to bury someone, just because he/ she is not a member of JUMUIYA??
      And how can a priest refuse to baptise a child just because the parents are not married? Why do you punish a child who is innocent?
      I love being a Catholic but, you people needs to request/push for change instead of being ignorant.

  • @monicahkwamboka3611
    @monicahkwamboka3611 Рік тому +1

    Nice singing makuburi congrats am proud to be a catholic as well as a choir member