JINSI YA KUPIKA KEKI ZA BIASHARA KILO 2.5 /HOW TO BAKE 2.5KGS CAKE FOR DECORATION

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 сер 2024
  • Nimeelekeza Na Kufundisha Jinsi Ya Kupika Keki Za Biashara Kwa Ajili Ya Kupamba Na Kuuza Plain.
    Kwa Maumbo Tofauti Tofauti Kulingana Na Mahitaji Yako.
    Ingredients
    Flour 2.5kg
    Sugar 1.5kg
    Margarine 1.5kg
    Eggs 50
    Baking Powder 5Tbsp
    Flavour 20mls
    #jinsiyakupikakekikilombilimziwandabakers #jinsiyakupikakekizaujasiriamalimziwandabakers #mziwandabakers

КОМЕНТАРІ • 265

  • @MA-kh2lr
    @MA-kh2lr 2 роки тому

    mashallah mashallah mashallah.. ajjaaab.

  • @nancyngoiri4367
    @nancyngoiri4367 2 роки тому

    Kazi nzuri...tafadhali nieleze tofauti ya sponge cake na forest cake

  • @salmazuberi-pd2zn
    @salmazuberi-pd2zn Рік тому

    Hongera dada kazi yako nzur je ujaweka maziwa

  • @MaryamAshery-gi7ln
    @MaryamAshery-gi7ln 10 місяців тому

    Masha Allah😍😍

  • @bilhakamarara4435
    @bilhakamarara4435 Рік тому

    Nzuri sana

  • @gastordominic410
    @gastordominic410 2 роки тому

    Hongera Mungu akubariki kwa kipaji

  • @irenemrema74
    @irenemrema74 4 роки тому +2

    Wooh!! Nimekuwa nakufatilia sana recipe zako za keki na nimejaribu kufanya nashukuru Mungu napatia vizuri, asante kwa kutupa ujuzi

  • @siriyangu4724
    @siriyangu4724 4 роки тому +2

    Mashaallah nakupenda tu sna unamoyo wakipekeyo unatia mtu hamu ususani wadda wanayo nilia kazi apa unapata ubunifu unasongesha maisha mungu abariki kazi yko amen

  • @bettymassanja881
    @bettymassanja881 4 роки тому +1

    Nakupenda sanaaa kwa moyo wako mkunjufu na wa upendo sana kwetu.

  • @japhetlawuo2843
    @japhetlawuo2843 3 роки тому

    umebarikiwa my

  • @ZiadaKhamisi
    @ZiadaKhamisi 10 днів тому

    Mimi ni mwafunzi mpya ila nakufatiliaga umenishawishi sana mungu akubariki

  • @emmysdairylife9396
    @emmysdairylife9396 3 роки тому

    Nakupenda sana wew dada unajua kuhamasisha yan mungu akubariki una kipaji cha kufundisha unaeleweka safi sana

  • @nangelamlau2269
    @nangelamlau2269 2 роки тому

    Thank you so much kwakweli darasa laki linanisaidia sana sana

  • @chikumohamed5303
    @chikumohamed5303 2 роки тому

    Thanks my dear ubarikiwe

  • @fatmaa.mohammed6027
    @fatmaa.mohammed6027 4 роки тому +2

    U r amazing.Nakukubali sana my dear. Halaf c mchoyo. Mungu akuzidishie. Amin

  • @annamussa9299
    @annamussa9299 3 роки тому

    kazi nzuri
    nimefarijika nitajaribu
    ahsante

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 4 роки тому +2

    On point

  • @mariamramadhan1761
    @mariamramadhan1761 3 роки тому

    Napenda Sana inavyo fundishi mm pia najifunza asante

  • @maalimshabani2640
    @maalimshabani2640 Рік тому

    Leo nimepatia ahsnt

  • @angelkawau614
    @angelkawau614 3 роки тому

    Thank you a lot nimejarb jana kwa mara ya 3 mara 2 zote zilitokag ugal 😭😭 ila ya jana kila mtu ali I kubal nakushukur saan nimefata stage zote na nilipikia gas asante saan una ni inspire saan 😍🙏🏾

    • @mziwandabakers8297
      @mziwandabakers8297  3 роки тому

      Hongera sana sana kizuri cha hitaji jitahada dear 👏👏👏

  • @suhailaidarousahmed2879
    @suhailaidarousahmed2879 2 роки тому

    Nimeiona dear Asante

  • @shufaahamadi9331
    @shufaahamadi9331 3 роки тому +1

    Umetusaidia sana dear.Allahakuzidishie rizk

  • @sofiaahmed8880
    @sofiaahmed8880 4 роки тому

    Very good work,keep it up

  • @asiasalum9927
    @asiasalum9927 4 роки тому

    Najifunza mengi kupitia wewe shukran sana dada mwenyezi mungu azidi kkubariki.

  • @mashakarobert6594
    @mashakarobert6594 3 роки тому

    Napenda sana jamani nimefanya nimeweza

  • @saadaissa2234
    @saadaissa2234 4 роки тому

    Mungu akuzidishie dada mziwanda hv nikitaka kukuonyesha nilivyo jaribu nakutumia wp

  • @shamsagloriageorge8593
    @shamsagloriageorge8593 4 роки тому

    keki nzuri.Leo nime subscriber

  • @lovenessmfinanga5623
    @lovenessmfinanga5623 4 роки тому

    Hongera kwakweli ziwanda tunajua vingi

  • @irenekimenye6566
    @irenekimenye6566 4 роки тому

    Mungu awabariki sana napika keki nzuri napika mikate napika skonzi nakanda fondant, maandazi ambacho bado ni chapati tu najivunia Mziwanda mmenifundisha mengi.

    • @mziwandabakers8297
      @mziwandabakers8297  4 роки тому +1

      Ni faraja kubwa sana kwetu pia,chapati ipi video yetu pia jinsi ya kupika chapati na figo rost

  • @evanciaedward2352
    @evanciaedward2352 4 роки тому

    You are the best dear

  • @ilhamprecious8816
    @ilhamprecious8816 4 роки тому

    Uko vzr sana dada

  • @jenniferbigeyobwire5534
    @jenniferbigeyobwire5534 4 роки тому

    Ahsante sana dear kwa kutugawia ujuzi

  • @vickysunga4429
    @vickysunga4429 4 роки тому

    Nimezipenda sana cake zako nitajaribu kuzipika

  • @timengonya6802
    @timengonya6802 4 роки тому

    Your my role model kwa kweliii ... Nakupenda buree♥ ... Unapatikana wapi ?

  • @vailethcharles9113
    @vailethcharles9113 4 роки тому +1

    Nakupenda bureeeeee yan

  • @happymsemwa698
    @happymsemwa698 4 роки тому

    Asante kwa somo zuri

  • @jescanyakulinga1084
    @jescanyakulinga1084 4 роки тому

    Asante sana unafundisha vizuri sana

  • @catherinekipingu1854
    @catherinekipingu1854 3 роки тому

    napenda sana chanel yako dada maana ninajifunza

  • @chekeleeismail2294
    @chekeleeismail2294 4 роки тому

    Mashaallah mung akuhifadhi dada

  • @devothabishagazi2390
    @devothabishagazi2390 4 роки тому

    Barikiwa sana

  • @jaklinifaustini4259
    @jaklinifaustini4259 4 роки тому

    Nice

  • @mariageraldinaeradius6668
    @mariageraldinaeradius6668 4 роки тому

    Nice mumy nimeipenda

  • @elizabethmelikyori3089
    @elizabethmelikyori3089 4 роки тому

    My kweli mm nabarikiwa sana na wewe asante

  • @bribrii4757
    @bribrii4757 4 роки тому

    Be blessed dear. tufundishe na red velvet,na kama utaweza kutuweke vipimo hapo chini kwenye maelezo. Uishi maisha marefu dada

  • @noelakataraiha6692
    @noelakataraiha6692 4 роки тому +2

    Yo my fav!! Be blessed

  • @aminafarid4454
    @aminafarid4454 4 роки тому

    Mwalimu mzuri unaeleza vizuri dada

  • @astidijakashemeile1918
    @astidijakashemeile1918 4 роки тому

    Ubarikiwe zaidi

  • @fetymwinyi2191
    @fetymwinyi2191 4 роки тому

    Manshalha

  • @mwajumaabdul3816
    @mwajumaabdul3816 4 роки тому

    Mashaallah

  • @HusnaSimba-ml5ov
    @HusnaSimba-ml5ov 10 місяців тому

    Kusoma on line dear.

  • @marianapatrick5993
    @marianapatrick5993 4 роки тому

    Nice sis,,,,

  • @annafundi7098
    @annafundi7098 4 роки тому

    Hongera dear barikiwa mpaka ushangae

  • @everinadesderato5472
    @everinadesderato5472 4 роки тому

    Santee madam kwa vipimo itanisahidia kweli hii..

  • @monakohapia6369
    @monakohapia6369 4 роки тому +1

    Ipo vizuri sana.. Ila je kama kuna zile keki zinakuaga na choklat ndan cjui zinachanganyw VP at

  • @lucymshomi3291
    @lucymshomi3291 4 роки тому

    Thanx for the knowledge dia. I must try.
    Pia unajua kuelekeza.
    Nitapataje mixer Kama Hiyo na ni sh ngapi?
    Thanx n blessings

  • @ssk9653
    @ssk9653 4 роки тому

    Mashallah Mungu akubariki

    • @marthamachaki5329
      @marthamachaki5329 4 роки тому

      Napenda sauti yako...
      Na sio.mchoyo wa kuelekeza hata kidogo.. Mungu aibariki sana kazi yako

  • @mariamsamson3927
    @mariamsamson3927 4 роки тому

    Asantee.. Be blessed

  • @mwakakhamis9823
    @mwakakhamis9823 4 роки тому +1

    MashaAllah nitajaribu siku moja dada wala usijali

  • @rehemakur7231
    @rehemakur7231 Рік тому

    Mimi natamani nikuone nimependa

  • @witinessmasunga464
    @witinessmasunga464 4 роки тому

    Duh Mziwanda WANGU we kiboko unanipa moto wa kufanya kitu walah tena Mungu akupe zaidi mpnz kweli fursa ya mwanamke ipo mikononi mwake ngoja nichangamkiie fursa nilikua kila nikipika inatoka ugali nachukia mpaka nikakata tamaa Dada.

  • @Irene.Thomas56
    @Irene.Thomas56 4 роки тому +2

    Asante sana kwa kutujenga kila siku!Naona ingredients haziko zote kama maziwa, baking powder. Unaweza kujazia?

    • @mziwandabakers8297
      @mziwandabakers8297  4 роки тому

      Maziwa sijaweka kwenye keki dear ,ngoja bp nikacheck description box

  • @aminahassanmashaallah8983
    @aminahassanmashaallah8983 4 роки тому

    Asanteee

  • @janengoiri9546
    @janengoiri9546 4 роки тому

    Thank you

  • @pulcheriamayombo5222
    @pulcheriamayombo5222 4 роки тому

    Asante ila naomba kujua tofauti ya zeste na Backing pawder.IPI bora/nzuri zaidi nimejaribu backing nikafanikiws ila zesta bado

  • @neematarimo3253
    @neematarimo3253 4 роки тому +1

    Napenda kujua forest cake na velvet cake

  • @suzanmnubi4120
    @suzanmnubi4120 4 роки тому

    Nimefurahia sana hii stail ya keki ya sponge.

  • @aminamwashabwi6470
    @aminamwashabwi6470 4 роки тому

    Kazi nzuri Mashaallah... Nini hufanya keki kufura na kupasuka hivyo? na je haiharibu quality ya keki? Mimi hukasirika kweli zikitoka hivyo Sijui Kwanini.... Naona ni Kama sijaweza kupika

    • @mziwandabakers8297
      @mziwandabakers8297  4 роки тому

      Kuna zimepasuka zingine hazijapasuka nikutokana na chombo pia moto dear

  • @zalhaally9717
    @zalhaally9717 4 роки тому

    Hapo juu haitakiwi iwe na kimlima

  • @judywaithera7600
    @judywaithera7600 4 роки тому

    Asante sana

  • @sophiarubambimpala5342
    @sophiarubambimpala5342 4 роки тому

    Yan navopenda mapish hapo umenikamata keki huwa natengeneza ila nilikuwa stumii hvo vyote nmejifunza ujuzi asante sana mm inapasuka sio kama yako nitajaribu naiman nitaweza

  • @fahimanassor9696
    @fahimanassor9696 4 роки тому

    Asante mamy

  • @stellasungusia7182
    @stellasungusia7182 4 роки тому

    Santee mziwanda bakers...samahani nina swali hapa ivi nini tofauti ya sponji cake na plain cake aki nachanganyikiwa

  • @haikamgonja3871
    @haikamgonja3871 4 роки тому

    Thanx mumy

  • @janujuma9704
    @janujuma9704 3 роки тому

    Sante Dada... Nlikua nauliza sio lazima kuweka maziwa ?! Wakaty wakupika

  • @edinamwakyusa6303
    @edinamwakyusa6303 4 роки тому +1

    Hellow,katika ugawaji baada ya kusaga unatumia nini kupata kipimo cha kila pan,pia mbona zimepasuka?hamna shida ikipasuka??

  • @zuwenambarouk4592
    @zuwenambarouk4592 4 роки тому

    Thanks ccy

  • @magrethrwelamira1075
    @magrethrwelamira1075 3 роки тому

    Kwenye huo mkologo ukuongeza maziwa,au ayaitajiki?

  • @sairose2970
    @sairose2970 4 роки тому

    Hi please please can you make a video il which you teach us how to make a craft oven like yours ? Please im begging you

  • @mariajoseph2933
    @mariajoseph2933 3 роки тому

    Maziwa hujaweka my dear??? Na pan hujamalzia kutaja

  • @vedamuyengi7541
    @vedamuyengi7541 4 роки тому

    Hongera sana mziwada ila mm naitaji nije kujifunza kabisa officn kwako nje gharama no shi ngapi

  • @7sevenmediatz
    @7sevenmediatz 3 роки тому

    Asante aka ujuzi mbona nyengine zimepasuka kwa nn

  • @mossyhamza7750
    @mossyhamza7750 4 роки тому

    Shukran saana nikinunua oven nitaanza rasm kutengeza cup cake aiseee...nachofurahia zaid watumia vitu ambavyo kila mtu atakula na family yako pia yaweza kula mana hizi improver kwa kwel sizipendagi mimi

  • @farhiaosman15
    @farhiaosman15 4 роки тому

    MashaAllah. Kwani ukipamba unauzaje

  • @shakunyingo3592
    @shakunyingo3592 3 роки тому

    Nimependa nikitaka kujifunza kwa vitendo nakupata wapi

  • @mourinemuthoni8531
    @mourinemuthoni8531 4 роки тому

    Wow! Napenda sana unavyooka keki zako, napenda pia unavyoelezea.. Sasa Nina swali.. Oven hii uliinunua TZ? Hongera...
    Nitaanza nami pia.. Very soon.. God bless you sister

  • @agytiodori3297
    @agytiodori3297 3 роки тому

    Ntapataje impruva jeli

  • @mwanakherymgaya6323
    @mwanakherymgaya6323 4 роки тому

    asante sana nimepata ujuzi nami nitajaribu endelea kutuelimisha

  • @reycakesjikoni9085
    @reycakesjikoni9085 4 роки тому +1

    Ooh! Yaan Sina la kusema Ila mola kuongezee umr na afya njema , Naomba kujua Bei ya oven lako na iyo hand mixer

    • @mziwandabakers8297
      @mziwandabakers8297  4 роки тому +1

      Amiin,oven 1.4milioni na mixer 1.4milioni karibu

    • @bettymassanja881
      @bettymassanja881 4 роки тому +1

      Oh! Niliuliza oven inauzwa wapi, sasa pia nimeona bei yake. Naweza nunua oven hiyo kama yako wapi tafadhali?.

    • @reycakesjikoni9085
      @reycakesjikoni9085 4 роки тому

      @@mziwandabakers8297 inatumia umeme au ges

  • @azizially3595
    @azizially3595 4 роки тому

    hi dear, naomb kuuliza keki zipi ni nzuri kibiashara zenye maziwa au ambazo hazina maziwa?

  • @lucyjohnsfrontier2531
    @lucyjohnsfrontier2531 Рік тому

    I thought sponge cake you separate egg yokes with egg whites...but hapa umeweka zote

  • @user-yi2uf9qh3x
    @user-yi2uf9qh3x 8 місяців тому

    Dada mm nakosea wapi? Mana haichambuki

  • @upro9182
    @upro9182 4 роки тому

    How much is the mixer in Kenyan shillings please...thanks for the recipe God bless u

  • @reycakesjikoni9085
    @reycakesjikoni9085 4 роки тому

    Nasubr cake ya improver tu😉

  • @restutabahebe3388
    @restutabahebe3388 2 роки тому

    Oven yako ni Lita ngap?

  • @bettymassanja881
    @bettymassanja881 4 роки тому

    Pia, nakupongeza sana kwa moyo wako wa upendo, kutoa maarifa kwa wengine, bila kinyongo. Mungu akubariki zaidi na zaidi.

  • @coscoaster2190
    @coscoaster2190 2 роки тому

    Jamani mm nimejifunza hapa Kila mkiposti nimejua kupika keki vizuri sana na kupamba mbarikiwe
    Lakini Kuna vitu nilitamani kujua zaidi, sijui ntawapataje niwe mwanafunzi mana namba yenu ya wsp ninayo lakini Huwa sijibiwi nikiuliza sawa msaada Kwa Hilo pls

  • @emelmarry8354
    @emelmarry8354 4 роки тому

    Nimependa jmn

  • @mamanradja6789
    @mamanradja6789 3 роки тому

    Kwakweli nimependa alakini nataka unifunze gisi wanapamba keki

  • @salmakitege3656
    @salmakitege3656 4 роки тому

    Hv majarin na blue band vpi viwil tofaut?

  • @jackyluns8224
    @jackyluns8224 3 роки тому

    Hello ccy habr naomba utuelekeze jinsi ya kupika keki zile za kukata kata na kisu za sh500 tusaidie