JINSI YA KUPIKA KEKI, KILO 2 TUUU/ BIASHARA YA KEKI : Mziwanda Bakers

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 жов 2024
  • Katika Video hii... nimejaribu kuwaelekeza jinsi yakupika keki kilo 2 kwa biashara na kwa upambaji
    Social media
    -Instagram @mziwanda_bakers
    Asanteni
    Ingredients
    Unga /Flour 2kg
    Mayai/Eggs 20
    Maziwa/Milk 1ltr
    Sukari/Sugar 1200g
    Margarine 1000g
    Ladha/Flavour 10mls
    Baking powder 60g

КОМЕНТАРІ • 381

  • @ilhamkeis9609
    @ilhamkeis9609 4 роки тому +7

    Dada mziwanda ninerudi tena,nimejaribu recepe leo wallahi nataman nkutumie picha,cake zimetoka vizuuti sana na kaini..
    Nakuombea kwa Allah subhaana huu wataala azidi kukufungulia rizki na kukuzidishia ujuzi na barka zaidi..aamin na shukran sana sana dadaangu.😍

    • @mziwandabakers8297
      @mziwandabakers8297  4 роки тому

      Mashaa a Allah kheri ndugu yangu nami nafurahi ukifanikisha.

  • @halimavuhya5881
    @halimavuhya5881 4 роки тому +1

    MashaAllah inavutia kweli mm naomba kama waweza kunipa vipimo ya kutoa keki kilo moja tu nimpikie mwanangu ya birthday. Asante

  • @judithfrank4968
    @judithfrank4968 4 роки тому +1

    kazi nzuri dear, nimeipenda, nauliza ni aina gani nzuri ya baking powrder kwa ajili ya keki na maandazi pai

    • @danfordjackline9426
      @danfordjackline9426 4 роки тому

      Judith Frank zesta baking powder utatumia ktk vyote iwe kek au vitu vingine ipo kwenye kopo jeupe au tiara kwa ajil ya kek tu ipo kwenye kikopo chekundu

  • @alexandrinadomaino9868
    @alexandrinadomaino9868 4 роки тому +5

    Woow safi sana unaongea vizur thanks dear.

  • @charlesnams1358
    @charlesnams1358 2 роки тому

    Kazi safi sana hongera! Na je mko nafasi ya kuonyesha mtu moja Kwa moja

  • @malicelaluambano6181
    @malicelaluambano6181 4 роки тому

    Mashaalah kipenzi naomba nijuze hivyo vikopo vipimo vyake nikachonge mpenzi namimi ndo naanza,nijue hicho unachouza keki 1000 vipimo vyake na hii ya box

  • @mariamsamson3927
    @mariamsamson3927 4 роки тому

    Kazi nzuri hongera.. naomba kujua naweza weka maji badala ya maziwaah..

  • @beatoneproducts2947
    @beatoneproducts2947 4 роки тому +1

    Asante sana MUNGU akulipe zaidi

  • @fahimanassor9696
    @fahimanassor9696 4 роки тому

    Asante sana mamy naomba kujua hivyo vikopo nikimwambia fundi anitengenezee nimpe kipimo gani

  • @ilhamkeis9609
    @ilhamkeis9609 4 роки тому

    shukran sana kwa kishare ujuzi,Allah subhaanahuu wataala akulipe.
    naomba kufaham mambo yafuatayo,
    1.kuhusu oven,ni la umeme au la gesi?
    2.linapatikana wapi?
    3.mixer inauzwa sh ngapi?
    4.ni brand gani ?
    5.kwa moto uloseti haina haja ya kuchoma keki na kijiti ili kujiridhisha kama imewiva ama laa?
    6.kuhusu tin ulizotumia kuokea,zimechongwa kwa vipimo maalum?
    7.nikihitaj kununua hizo baking tins nazipata wapi?
    shukran sana.

    • @mziwandabakers8297
      @mziwandabakers8297  4 роки тому

      Shukran ilham
      1.oven ni umeme
      2.mixer ni 1.4milioni
      3.ukizoea kupika huna haja ya kuchoma kijiti ila kwa uhakika zaidi choma kijiti
      4.baking tin zipo kwa vipimo za kuchonga na special

    • @ilhamkeis9609
      @ilhamkeis9609 4 роки тому

      @@mziwandabakers8297 shukran sana,umeniinspire sana,nimefurahi kukufaham,nimeangalia sn video zako jana,nimependa ulivyojiimarisha kwny biashara,nimependa unavyoshare ili wengine tujifunze,mwenyezi mungu akulipe kheri,amin.
      nitakutafuta dada in shaa Allah,kuhusu jiko na mixer mana nimeona unaziuza.

    • @mziwandabakers8297
      @mziwandabakers8297  4 роки тому

      @@ilhamkeis9609 shukran sana na karibu muda wote

  • @sofiaahmed8880
    @sofiaahmed8880 4 роки тому +1

    Mashallah ! Jee unaweza kunifundisha hio biashara nami nikafunguwa biashara yangu.

  • @brenderminani94
    @brenderminani94 4 роки тому

    Mungu akudaidie katika kazi yako Upo vzr nimeelewa ila vizur ungetuambia sukar kiasi gani bluband kias gan kula kitu ulichotumia ni kiasi gani nakupenda na kazi yako

    • @mziwandabakers8297
      @mziwandabakers8297  4 роки тому

      Blue band 1kg,sukari 1.1kg,unga 2kg,b/p 60g mayai 30

    • @husnambugi6458
      @husnambugi6458 4 роки тому

      @@mziwandabakers8297 honger kwa kz nzuri, kwny recipe mbn umeandika mayai 20?

    • @mziwandabakers8297
      @mziwandabakers8297  4 роки тому +1

      Sorry ni 20 typing error

  • @beatriceoduor445
    @beatriceoduor445 4 роки тому +1

    Will try this and upload

  • @gracetito1241
    @gracetito1241 2 роки тому

    mko vizuri asante kutuelimisha

  • @sharoo_cakes
    @sharoo_cakes 2 роки тому

    @Mziwanda bakers jee waeza nisaidia na vipimo za tin yako ya shepu na mkate(loaf pan)???? nitashukuru sana

  • @malekjr9699
    @malekjr9699 4 роки тому +13

    Twahitaji vipimo itakua bora zaidi

  • @sarayariyami8061
    @sarayariyami8061 4 роки тому

    shukran habibtiy nimefurahi kukujua

  • @kasawakiraba4434
    @kasawakiraba4434 Рік тому

    Hello mziwanda baker sorry hapo kwenye maziwa naweza tumia kimiminika gan tofauti na maziwa?

  • @rehemavincent5034
    @rehemavincent5034 4 роки тому

    Hi mziwanda,
    Je natakiwa ku preheat kwa muda gani na Moto wa kiasi gani?? natumia oven mdogo
    Pia wakati wa kuoka natakiwa kuset baking function/option ipi ??natumia PMC oven

  • @jabrial5295
    @jabrial5295 4 роки тому

    Mashaallah nilikuwa nina suali hapo kwenye maziwa vile niko sehemu za joto.. Jee inawezekana kuweka maji badala ya maziwa?

    • @mziwandabakers8297
      @mziwandabakers8297  4 роки тому +1

      Ndio waweza kufanya maji badala ya maziwa

    • @jabrial5295
      @jabrial5295 4 роки тому

      @@mziwandabakers8297, OK.... Shukran sana dada

    • @eliamininanyaro635
      @eliamininanyaro635 Рік тому

      Asante my dear naomba kuulizia mm nataka kupika keki 9 za nitumie tini ya inch 6 hii resp inafaa?

  • @ScolaKoinange
    @ScolaKoinange 8 місяців тому

    Thanks quantity ya all those ingredients plz dada

  • @idrissaselemani1301
    @idrissaselemani1301 4 роки тому +1

    Ety ngano 1kg inahtaj sukar ,mayai/maziwa,siag kias gan

  • @saraphinamwaluko1439
    @saraphinamwaluko1439 4 роки тому +1

    Hongera sana kazi nzuri. Mungu akujalie zaidi na zaidi.

  • @zuhurashafii6305
    @zuhurashafii6305 4 роки тому

    Amazing job, hongera sana , nataman kufika hatua uliyofika, nataka kujua baking tin zako ni inches ngap kwa ngap

    • @mziwandabakers8297
      @mziwandabakers8297  4 роки тому +2

      Utafika love,ni 3"1\2 kwa 2"

    • @zuhurashafii6305
      @zuhurashafii6305 4 роки тому

      @@mziwandabakers8297 asante sana Nashkuru, Mungu akubarik

    • @husnambugi6458
      @husnambugi6458 4 роки тому

      @@mziwandabakers8297 nimetengeneza cupcakes Ila zinawah kuharibika nishauri Dada nifanyaje

    • @mziwandabakers8297
      @mziwandabakers8297  4 роки тому +1

      @@husnambugi6458 pia msimu wa baridi huwa zinawahi, pole mwaya au hazikukauka vizuri?

  • @anethmpoma1132
    @anethmpoma1132 4 роки тому +1

    Samahani Dada,,kwenye baking powder ni 60g ambayo ni vijiko vingapi?

  • @lucyjohnsfrontier2531
    @lucyjohnsfrontier2531 2 роки тому

    Nice channel....which mixer is this

  • @suzanealoyce6589
    @suzanealoyce6589 3 роки тому

    Hongera sana Dada asante kwa somo zuri

  • @aminamwashabwi6470
    @aminamwashabwi6470 4 роки тому

    A. Alykm Dadaa... Mzima kweli? Kimya Sana... tumekosa video zako Sana wallah

  • @issahemedi4057
    @issahemedi4057 4 роки тому

    Mashallah mziwanda bekar mko vizuri asante dada nimefata maelekezo yako cake imetoka nzuri mno Mungu akubariki

  • @bahatimsuya3031
    @bahatimsuya3031 4 роки тому

    Hongera sana kazi yako nzuri sana. Naomba kujua bei ya oven kama hiyo na naipata wapi?

  • @husseinparco9640
    @husseinparco9640 4 роки тому +1

    Mashallahu tumependa Allah akuzidishie inshallah

  • @azzahsaed7687
    @azzahsaed7687 4 роки тому

    Habari keki nzuri ma sha Allah Lkn naomba kuuliza zinaweza kukaa mda gani bila kuharibika kwasababu umetuma maziwa au lazima zikae kwenye fredge

  • @glsflorahflekerntuuyozange
    @glsflorahflekerntuuyozange 4 роки тому

    And where can i buy the mixer,i really like it..is it posible to buy them in east africa ? If yes .which shop ?.for mixer,oven and trays ,.am from uganda kampala.

  • @glorymsof5879
    @glorymsof5879 3 роки тому

    Nimeipenda sana kwa kwel sasa napataje hivyo vikopo jaman

  • @sheilasalum5325
    @sheilasalum5325 3 роки тому

    Mashaallah mie nataka kujua bei ya oven na mashine

  • @dorineanatory5161
    @dorineanatory5161 4 роки тому

    Nilitumia hii recipe cake ilitoka vizuri sana. Asante

  • @jackyluns8224
    @jackyluns8224 4 роки тому

    Dada mziwanda samahani hizi panel
    Zinauzwa WAP?ama kwa mafundi watengenezaji wa majaro

  • @najlaskitchen1572
    @najlaskitchen1572 4 роки тому

    Dada naweza tumia handmixer kwa keki hii ya kilo mbili?

  • @nawalgadaffi7893
    @nawalgadaffi7893 3 роки тому

    Incase your measuring sugar , and you are using the kawaida one do u use the same measurements

  • @mariamshariff6436
    @mariamshariff6436 4 роки тому

    Masha Allah mziwanda Baker be blessed

  • @aimeebanza9893
    @aimeebanza9893 4 роки тому +1

    Asante

  • @bettymassanja881
    @bettymassanja881 4 роки тому

    Dada Mziwanda Bakers, huweki chumvi hata chembe tafadhali?.

  • @renifridabenedicto8650
    @renifridabenedicto8650 4 роки тому +1

    Shukran

  • @bettymassanja881
    @bettymassanja881 4 роки тому

    Samahani dada Mziwanda Bakers, gram 60 ni sawa na vijiko vipimo vingapi tafadhali?.

  • @ashanassor7103
    @ashanassor7103 4 роки тому +1

    Asante Mimi niko Uganda lathaa hizo zapatikana

    • @mziwandabakers8297
      @mziwandabakers8297  4 роки тому

      Ndio ulizia UG naimani zitakuwepo, vanila ipo nyingi sana huko waweza tumia pia

  • @fatmakhalifa5029
    @fatmakhalifa5029 3 роки тому

    Nzuri sana dada

  • @elizabethsamwel9655
    @elizabethsamwel9655 4 роки тому

    Zimetoka cake ngap? Na ukumbwa Wa inch ngap? Thanks sis.

  • @sherrysaleh4633
    @sherrysaleh4633 4 роки тому

    As.kum habibty naomba kujua Kwa mchanganyiko huo wa 2kg unatoa cupcake ngapi ndani yake za 500 miatano.please.

  • @sarahwilson586
    @sarahwilson586 4 роки тому +1

    Hongera Sisy.. Nimefurahi kuona kazi zako huku. Big up.

  • @muznasilima5978
    @muznasilima5978 2 роки тому

    Hali yako Asante wa recipe zako
    Ila mm natak kujua samahan cake vipati 60 vya boflo vipimo vyake kwa cake za biashara mpendwa

    • @mziwandabakers8297
      @mziwandabakers8297  2 роки тому +1

      Pika kilo 4 zidisha recipe hapo kutoka kwenye kilo mbili

  • @muznasilima5978
    @muznasilima5978 2 роки тому

    Habar dada
    Nimejaribu kufany Ila sikuziweza hazikuvimb hlf km zilikua na nzito na majimaji

  • @sarahshatkwan6160
    @sarahshatkwan6160 4 роки тому

    Nmependa sana hii video

  • @magrethnzoyo1211
    @magrethnzoyo1211 2 роки тому

    Habali mafunzo ya keki sh ngapi? Na ni muda Gani. Asant

  • @annathomas4544
    @annathomas4544 3 роки тому

    Uko vzr dear unapatikana wapi..

  • @InnocentPhotographs-py1md
    @InnocentPhotographs-py1md 4 місяці тому

    Mm nakuliza keki zaviboflo moja. Beigan

  • @maryammaram2612
    @maryammaram2612 4 роки тому +2

    Eeh ladha inasikika kabisa tamuu😋😋😋😋

  • @mwamvitafida7746
    @mwamvitafida7746 4 роки тому

    Ubarikiwe

  • @MariamMohamed-bw8xf
    @MariamMohamed-bw8xf 4 роки тому

    Dada mziwanda naomba tuwasiliane ili tuonge kuhusu hizo mashini dadaangu plz 🙏 mm niko njee ya Tanzania

  • @a.856
    @a.856 4 роки тому +1

    Thx

  • @sabrasalum8898
    @sabrasalum8898 4 роки тому

    asalam aleykum naomba unifundishe keki ya mayai 6 pls

  • @mariasimon7545
    @mariasimon7545 4 роки тому

    Wow ni Nzuri, hivi keki haiwekwi hamila.

  • @magoyoevaline2867
    @magoyoevaline2867 4 роки тому

    Kz nzur sana, barikiwa

  • @glsflorahflekerntuuyozange
    @glsflorahflekerntuuyozange 4 роки тому

    Thank you for sharing,very nice cakes .,but where can i buy that oven and trays ??.plz thanks

  • @Faiza-fm9fl
    @Faiza-fm9fl 4 роки тому +1

    the recipe was nice 😋 but I didn't know if u kept the baking powder or not

  • @agnessahia415
    @agnessahia415 4 роки тому

    Hivi nisipo weka maziwa inakuwaje na cupcakes ukiziweka maziwa zinachukua mda gani bila kuharibika dada naomba unijibu pls

  • @petronilaandrew8061
    @petronilaandrew8061 4 роки тому

    My dear hivi kwanini keki zinakuwaga na mashimo ndani hata kama nimegonga tin sana tu...please msaada😍😍😍

    • @mziwandabakers8297
      @mziwandabakers8297  4 роки тому +1

      Ukigonga sana tin pia husababisha zaidi matundu ,kingine kukoroga unga muda mrefu pia

    • @petronilaandrew8061
      @petronilaandrew8061 4 роки тому

      @@mziwandabakers8297 AKSANTE SANA MY DEAR KWA JIBU ZURI NAKUPENDA SANA MUNGU ABAKUBARIKI SANA

    • @mziwandabakers8297
      @mziwandabakers8297  4 роки тому +1

      @@petronilaandrew8061 Amiin nawe pia

  • @seouliteawon8903
    @seouliteawon8903 4 роки тому

    Ahsante kwa somo Dada. Naomba kujiunga na darasa lako. Sipo Instagram so naomba means nyingine ya mawasiliano. Shukran!

  • @hussenjuma1049
    @hussenjuma1049 Рік тому

    Minaomb kuuliz kwann mm nikipika keki haikai Lev inajaa upand mmoj

  • @officialnaa8470
    @officialnaa8470 4 роки тому +1

    Hongera sana nimependa vipimo tu naomba iwe rain

  • @fatmajezan6812
    @fatmajezan6812 4 роки тому

    Very nice

  • @dorisgao7403
    @dorisgao7403 4 роки тому +4

    Mbona hutoi vipimo vya kila unachoweka kwa 2kg ya unga

  • @DOTOCHARLES-so7rh
    @DOTOCHARLES-so7rh Рік тому

    Hii mixa zinauzwa beigan.dada

  • @alynamorice2095
    @alynamorice2095 3 роки тому

    Kilo mbili unatoa cakes ngapi???

  • @khadijajunior4577
    @khadijajunior4577 3 роки тому

    Hivy visifulia vnauzwa xhingp natka

  • @fatinasempanga2455
    @fatinasempanga2455 3 роки тому

    Me naomba kujua kinachofanya cake iwe na unjano mzuri ndani na sio brown

  • @magrethmhando5863
    @magrethmhando5863 4 роки тому

    Ukifundisha bila vipo tunajifunzaje dear? Tuwekee vipo hata kwa cake ya 1kg

  • @gladysgeke3194
    @gladysgeke3194 4 роки тому

    Unatumia aina gani ya unga kwa keki za cupcake na hizi?

  • @prisillaphilemon549
    @prisillaphilemon549 4 роки тому

    Vipimo ndio kila k2 hujatuambia mayai mangapi keki zinatoka ngapi na za ukubwa gani sukari kiasi gani?

    • @mziwandabakers8297
      @mziwandabakers8297  4 роки тому

      Hujaviona au uvivu wa kutumia simu yako dear,,,elimu ya simu yako ni bora pia...check description box utaviona vyooooooote

  • @devothabishagazi2311
    @devothabishagazi2311 4 роки тому +1

    Waoooh!thanks

  • @khadijaalawy8372
    @khadijaalawy8372 4 роки тому

    Hiv vikopo unavipt wap, na unauza bei gn km hiz?

    • @mziwandabakers8297
      @mziwandabakers8297  4 роки тому +1

      Keki 2000 vikombo tunachongesha

    • @khadijaalawy8372
      @khadijaalawy8372 4 роки тому

      Ok asnt, na hiv vya duara?

    • @khadijaalawy8372
      @khadijaalawy8372 4 роки тому

      Na mm ntk nifanye, ila kuna mtu kataka oda ya cup cake . Yy antk nimfanyie kwa 800 ila cjajua ni saiz ip ya cup cake. Naomba unisaidie mpz

  • @mercymoses8126
    @mercymoses8126 4 роки тому

    Habari Dada !mi naomba kuja kujiunza hapo kwako plz nataka kujifunza kwa vitendo

  • @dorcasbundala2597
    @dorcasbundala2597 3 роки тому

    Its nice, bt nmejarbu yangu haina weupe mzur kwa ndan na ulaini

  • @maggiemusic4378
    @maggiemusic4378 4 роки тому +1

    Mm naomba tu kujua bei ya hiyo oven nimeipenda sana

  • @rihannarihanna6589
    @rihannarihanna6589 4 роки тому

    Nzuri sasa

  • @emmanuelmmary0283
    @emmanuelmmary0283 4 роки тому +1

    Unapatikana wapi

  • @ashadakio6116
    @ashadakio6116 4 роки тому +2

    Sasa kama huna hiyo blueband unaweza kuweka mafuta?

  • @musakassim3519
    @musakassim3519 4 роки тому

    Nice

  • @abdufatuma9420
    @abdufatuma9420 4 роки тому +1

    Dada mpenzi ,naomba kufahamu mashini umeinunua wapi am kwa njia gani?

    • @mziwandabakers8297
      @mziwandabakers8297  4 роки тому

      Check instagram:mziwanda_bakers for machines

    • @abdufatuma9420
      @abdufatuma9420 4 роки тому

      Dada mm naisha Mombasa Kenya, naomba kufahamu vipi nitaweza kununua mashine Kama hizo nikiwa Mombasa, naomba usaidizi

    • @mziwandabakers8297
      @mziwandabakers8297  4 роки тому

      @@abdufatuma9420 nakutumia bila wasi,usafiri zipo za mombasa karibu sana,ukihitaji njoo instagram:mziwanda_bakers dm please or WhatsApp 0768859358

    • @fatmarashid3137
      @fatmarashid3137 4 роки тому

      Mbona hamna vipimo

  • @magdalenashija1203
    @magdalenashija1203 4 роки тому

    Vipimo ujasema

  • @aishaabdallah4560
    @aishaabdallah4560 4 роки тому

    MashaaAllah nimexipenda dear...ila nauliza huo moto n wa juu na chini?

    • @mziwandabakers8297
      @mziwandabakers8297  4 роки тому

      Ndio ni juu na chini

    • @lovesallu1405
      @lovesallu1405 4 роки тому

      Kazi nzuri . Hongera.ilo oven ni aina gani na bei yake ipoje?? Napenda kutengeneza cake.ila bado sijapata vifaa

    • @mziwandabakers8297
      @mziwandabakers8297  4 роки тому

      Jina la Kichina silijui my ila oven hiyo ni kwa biashara

  • @sidikazungu2374
    @sidikazungu2374 4 роки тому +1

    Dada naomba uniongoze nataka kujaribu hii biashara

  • @mariasshilla4528
    @mariasshilla4528 4 роки тому

    Jaman hadi raha

  • @japhetlawuo2843
    @japhetlawuo2843 3 роки тому

    napenda kujifunza

  • @mercyambuka9214
    @mercyambuka9214 4 роки тому +3

    Vipimo ziko wapi

  • @dianarajab2387
    @dianarajab2387 4 роки тому +2

    Kazi nzuri. Tunaomba vipimo kwa gram

  • @merrymwakalobo2518
    @merrymwakalobo2518 4 роки тому

    Kama auna mashine ya kuchanganyia

  • @erastomhagama3715
    @erastomhagama3715 4 роки тому

    Hallow

  • @sadasaleh8359
    @sadasaleh8359 4 роки тому

    Damziwanda recep ukitaka kufanya chocolate cake unawekaje tafadhal

  • @janethamars7262
    @janethamars7262 4 роки тому

    Jamani mkoa wa mwana amna wauzaji wa cake mm niko nyehunge buchosa nataka cake ya birthday ya mwanang

  • @habibamsoloni5582
    @habibamsoloni5582 4 роки тому +1

    Keki nzuri mashaallah