KWANINI MCHEZO DHIDI YA KMC TUNACHEZA ARUSHA?/SEMAJI AHMED ALLY AZUNGUMZA/"ARUSHA NGOME YA MNYAMA"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 вер 2024
  • SUBSCRIBE NOW:

    🌐 Site: simbasc.co.tz/
    📱 App: Iphone User: apps.apple.com...
    📱 App: Android User: play.google.co...
    🔵 Facebook: / simbatanzania
    📸 Instagram: / simbasctanzania
    𝕏 Twitter: / simbasctanzania
    🎶 Tiktok: / simbascofficial
    About the Official Simba SC UA-cam Channel:
    Simba Sports Club is the most successful club in the history of football in East Africa. Enjoy the best goals, highlights, tricks, new players, training's,exclusive interview and live press conference
    🔵🔴⚪ #NguvuMoja #Wenyenchi

КОМЕНТАРІ • 39

  • @LuqmanKawela-qf8ny
    @LuqmanKawela-qf8ny 4 місяці тому +2

    Kitengo cha habr kipo vizr lkn ujinga uliopo mnachelewa Sana sana kutma highlight yani kama mnategeana na azam jirekebisheni tuwe tumefungwa au tumeshinda.someni comment jirekebisheni,Simba one team one dream

  • @fredykaitani595
    @fredykaitani595 4 місяці тому

    Simba nguvu moja 💖💖💖💖❤❤❤❤

  • @HassanAbdulrehman-w1o
    @HassanAbdulrehman-w1o 4 місяці тому +1

    Yanga Wana jambo lao Daressalaam🥳🤩🥰📯💛💚🔥💯

  • @HusseinKalamba
    @HusseinKalamba 4 місяці тому

    Helicopter itakuja huko

  • @KosovoNaiiem
    @KosovoNaiiem 4 місяці тому +1

    Bora wanasimba tuchange wote tujenge uwanja mo katuongopea awezi kujenga porojo tu

  • @BarnabaJaphet
    @BarnabaJaphet 4 місяці тому

    Kiukwer hiii kuhamisha hamisha mech zetu za nyumban nayo imepelekea simba kupoteza point nyingi sana yani mnatapa tapa sana mpaka tunaumia jmn sasa unategemea tutapata ushindi wa mabao mengi kwa wachezaji tulio nao na tunakua mikoan jmn sio uongo msim huu mmetuumiza sana mashabaki

  • @ramadhanichaurembokahunge
    @ramadhanichaurembokahunge 4 місяці тому

    💯

  • @ZuhuraTwaha-fs5ub
    @ZuhuraTwaha-fs5ub 4 місяці тому

    Woga tu kuoga aah😂😂😂

  • @iddysonyo1356
    @iddysonyo1356 4 місяці тому +1

    mmejiona mlivyo wapumbavu mnapeleka mchezo kwenye uwanja mgumu ili mjikoseshe Tena ushindi kutokana na uwanja

    • @CHIIZATV-hl4zu
      @CHIIZATV-hl4zu 4 місяці тому

      Yani mimi nakareka sana na hawa jamaa juzi walienda Morogoro tukapigwa 2 na mbangula

    • @iddysonyo1356
      @iddysonyo1356 4 місяці тому

      @@CHIIZATV-hl4zu timu yetu licha yakuwa walikosea usajili hususani streakers wawili kwenye dirisha dogo ila pia kuhangaikahangaika yaan hofu zao zinasababisha pia kugombea nafasi ya pili kuna uwanja mzuri tu karatu but eti wanataka mashabiki kipindi hiki

  • @civianipyana4915
    @civianipyana4915 4 місяці тому

    ❤❤❤

  • @SelekaSeleka-vo6sg
    @SelekaSeleka-vo6sg 4 місяці тому

    Semaji tunaomba basi hayo maneno uwe unayasema baadae mechi,unajua happy ndipo unapomfanya mpinzani nae ajipange kweli kweli ,ivi unakumbuka kama wewe ndie uliesema kwamba azama hata afanye Nini hawezi kutufikia Sasa Yuko wapi, au Hawa wachezaji unaowasifia wewe Kiko wapi wanachokifanya? Sisi tunakukubali sana ila punguza kidogo ukalia wa maneno,uwe unatamba baadae ya mchezo,siunaona tukifanya vibaya watu wanavyokuhataki kwenye mitandao sisi tunakupenda sana ila pungunguz kiduchu sana alafu uone itakavyokuwa poa

  • @SaumuSaidi-z2v
    @SaumuSaidi-z2v 4 місяці тому +1

    Na prizoni yenu mfanyie arusha haina hj ya uturuki

  • @hamzaamry6251
    @hamzaamry6251 4 місяці тому

    Binafs nilitaka kumaind lakini sababu ni nzuri za kucheza muda ni mmoja

  • @NeemaAkyoo-s4s
    @NeemaAkyoo-s4s 4 місяці тому +2

    Kurwa na dotto bhana kwahyo juz kurwa kacheza arusha lazima hata dotto nae akacheze pale pale sawa mapacha wetu wa TZ tunajivunia kuwa na hivi vlab viwili

  • @mjukuuhotelitv7736
    @mjukuuhotelitv7736 4 місяці тому

    Timu kubwa Haina uwanja mnazingua sana

  • @amoscharles1985
    @amoscharles1985 4 місяці тому

    Hapo hata tukifanikiwa kuwa nafac ya 2 usajiri wa serious uwepo kama wa hovyo kama nihivyo tutabaki kufurahisha kinywa tu

  • @thomaskitemi3283
    @thomaskitemi3283 4 місяці тому

    Mo hata uwanja umemshinda Arusha mtaenda fungwa.

  • @sosomacharles9920
    @sosomacharles9920 4 місяці тому

    Ww endelea kusema mnaenda kumfanya vibaya KMC unajifanyan kuzizarau timu pinzani kule unaenda kufa au kutoa sare

  • @mohammedryusuph3446
    @mohammedryusuph3446 4 місяці тому

    Wana wamatawi mm najitolea kuifanyia kaz simba ya nje ya uwanja means tiba mbadala

  • @sosomacharles9920
    @sosomacharles9920 4 місяці тому

    Na ule mnaotupigia kelele ule wa Bunju kwani unamatumizi gani,🤣🤣🤣🤣

  • @franccoz94
    @franccoz94 4 місяці тому

    Mkifungwaa mtuambie wachezaji wamechokaa na safari

  • @SaumuSaidi-z2v
    @SaumuSaidi-z2v 4 місяці тому

    Jengeni uwanja wenu acheni ufala

  • @DanieliIbrahim
    @DanieliIbrahim 4 місяці тому

    Ongea vzr shoga ww

    • @selemanmcharazo
      @selemanmcharazo 4 місяці тому

      Huyu amexoea tarabu anacheza cheza nani huyu?

    • @JescaObed
      @JescaObed 4 місяці тому

      Shoga mwenyewe huwezi kumtukana hivyo semaji letu tukuangalie😂😂😂

  • @AshaNchira
    @AshaNchira 4 місяці тому

    Unauliza nani?

  • @Lpss745
    @Lpss745 4 місяці тому

    Mwataka tufungwe

  • @SaumuSaidi-z2v
    @SaumuSaidi-z2v 4 місяці тому

    Kwn mna ponti ngapi na magoli mangapi?nauliza jmn

    • @JuliusWandwi
      @JuliusWandwi 4 місяці тому

      Tuna point kama alizo nazo mamaako.

    • @SaumuSaidi-z2v
      @SaumuSaidi-z2v 4 місяці тому

      @@JuliusWandwi we kenge bb ako ana tango

    • @SamwelSospeter-lz9fm
      @SamwelSospeter-lz9fm 4 місяці тому

      Pimbi wewe fala mkubwa hayakuhusu ya Simba

    • @SaumuSaidi-z2v
      @SaumuSaidi-z2v 4 місяці тому

      @@SamwelSospeter-lz9fm we mboo uliingia kwnymoyo wanguukajua km mi sio mkuu wa pori,ht km sikotz nikirudi desemba nataka unitaftie Kariya uwanachama na wwkm huna ntakulipia mn ww ni wajina wa baba angu umenipata!alafunipe noyako

  • @SamsonTanzania
    @SamsonTanzania 4 місяці тому

    🦁❤️❤️🤍🤍💪💪💪

  • @KosovoNaiiem
    @KosovoNaiiem 4 місяці тому

    Ujinga wa simba na aibu sana tunakuwa kama timu masikini kwanini tunakosa uwanja wetu mo kaahidi kujenga uwanja mpaka leo katudanganya aibu sana

  • @robertchachamuhere3505
    @robertchachamuhere3505 4 місяці тому

    ❤❤❤❤