#TRCMPYA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 125

  • @t1910j
    @t1910j 4 роки тому +19

    Thank you so much for all you do. You have a great audience all over the world. I’m happy to see Tanzania making great strides.

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 4 роки тому +7

    Thank you sir JPM, I can't wait to say thank you sir, wananchi wetu watafaidika, wenye roho mbaya kufeni mapema

  • @latenitepiano
    @latenitepiano 4 роки тому +13

    Ben Mwanantala Asante sana! Ila naku shauri muwe mna chukua videoclip za ndani ya kichwa cha treni “Train Driver’s Cab View” ili tuweze kuona mandhari nzuri ya kupendeza ya nchi yetu kuanzia mwanzo wa safari mpaka mwisho! Ita saidia kutangaza utalii wa nchi yetu na pia “TRC Television 📺 itakua kubwa kima tangazo”! Shukurani 🙏🏾

  • @mukikibati3519
    @mukikibati3519 4 роки тому +12

    Huku ulaya treni ndiyo usafiri muhimu sana mijini na mikoani nilishangaa sana kuona hiyo treni iliondolewa Au kufa kweli magufuli anaona mbali hongera sana

  • @hassanaloobaidan25
    @hassanaloobaidan25 4 роки тому +18

    Safi saaaanaaaa jpm hapa kazi tuu7

  • @jafarym77
    @jafarym77 4 роки тому +18

    Ben wallahi nikirudi bongo lazima nikutafute nikupe bia na mbuzi wa foil.. unafanya kazi nzuri Sana Kaka.

    • @simonmanyelezi628
      @simonmanyelezi628 4 роки тому +1

      Kweli Fanya hivyo ndugu,sio wenzetu wanaozunguka kupinga na kuidangabya dunia juu ya Yale yanayofanyika ndani ya nchi.Pongezi pia kwa wazo lako.

  • @eventelias3566
    @eventelias3566 4 роки тому +28

    Kusema kweli kazi inafanyika anayepinga tumuache tu.

  • @lamecktheonest225
    @lamecktheonest225 4 роки тому +12

    Mungu endelea kushusha Neema zako kwanchi yetu hasa Rais wetu JPM, viva Tanzania

  • @asa2okukuseku18
    @asa2okukuseku18 4 роки тому +6

    I LOVE TO SEE OTHER SISTER COUNTRIES PROGRESS. LOVE FROM GHANA

  • @jacobmakono389
    @jacobmakono389 4 роки тому +8

    ..machozi ya furaha yananitoka!watoto wetu na wajukuu wetu watafaidika sana!

  • @onesmorobert2839
    @onesmorobert2839 4 роки тому +1

    Kazi nzuri, ninamkubali sana RAIS MAGUFURI na nayaheshimu sana maono yake, kubwa TRC TEAM, simamieni msimwangushe, tambueni kabisa kwamba mpo kwenye ushindani na Mabasi yaendayo mikoa hiyo. Muhimu sana lazima kuwe na nidhamu ya MUDA, Mkishinda hilo nakuhakikishieni mtapiga kazi sana. Lakini mkifanya yale yanayoendelea kwenye treni ya DELUXE YA RELI YA KATI, mtakuwa mmemwangusha sana mheshimiwa Rais. Mkurugenzi TRC nakukubali sana, na ninaimani mtasimamia nidhamu ya muda na mambo yataenda sawa.

  • @mochings8012
    @mochings8012 4 роки тому +28

    Nchi yangu inajegwa 💪🏾

  • @lordreuben5787
    @lordreuben5787 4 роки тому +3

    Waoooh safiii sana magufuli oyeeeee

  • @sylvestermanyama9713
    @sylvestermanyama9713 4 роки тому +8

    Yes hii imenikumbusha mbali sana kwa kweli.

  • @hassanaloobaidan25
    @hassanaloobaidan25 4 роки тому +14

    Hongera serikali yetu

  • @naimasaid7763
    @naimasaid7763 4 роки тому +17

    Nikijaaliwa kurudi tz nitaipanda nione raha yake, in sha Allah

  • @maselewilliam1114
    @maselewilliam1114 4 роки тому +19

    Nipo California USA I'm so grad to watch this video congratulations TRC, I would like also to construct a new rail from Arusha to Mara.

    • @t1910j
      @t1910j 4 роки тому

      Masele William mimi pia nipo California. What city are you at?

    • @cassandamedia_tz1551
      @cassandamedia_tz1551 4 роки тому

      Its going to happen one day very soon.just wait to see I hope you'll never believe ur eye...

    • @eliassospeter
      @eliassospeter 4 роки тому

      So funny jamaa anakuuliza what city are you at? Et hata yeye yupo califonia

    • @shabaniguma8696
      @shabaniguma8696 4 роки тому

      Sisi wa bongo tuna matatizo kwani jamaa kakosea kuuliza yuko mjini gani???? California's ni Jimbo lina miji zaidi ya kumi kwa mfano los Angeles .. Las Vegas. San Diego. San Jose, San Francisco. Sacramento nakuendelea

  • @greatmangii
    @greatmangii 4 роки тому +5

    😭😭ya furaha kwa reli kufufuliwa kwa safari za kwetu kaskazini 👏👏👏💪💪💪

  • @ernestsinje8693
    @ernestsinje8693 4 роки тому +20

    I LOVE MY TANZANIA

  • @shadrackdede8380
    @shadrackdede8380 4 роки тому +4

    Safi sana Jpm rais wangu kwa maamuzi haya mazuri ya kujenga nchi hii

  • @zumbeshauri8114
    @zumbeshauri8114 4 роки тому +20

    nikweli na ordi korogwe ndio palikua mjini wahindi warabu kibao jamani raisi huyu mungu amuongeze kila lakheri

  • @mohdsalum3832
    @mohdsalum3832 4 роки тому +19

    Mgufuli wasaidie wanyonge wamepata tabu sana mungu atakulipa

  • @zeusabif6662
    @zeusabif6662 4 роки тому +15

    Naiona Tanzania Mpya

  • @jacobmgwabati5025
    @jacobmgwabati5025 4 роки тому +1

    Kazi nzuri sana. Hongera sana president wetu. Ombi langu ni kwamba kabla ya treni kuondoka kuwe na kiberenge cha kusafisha njia sababu wanaopinga maendeleo wapo.
    Nafurahi kuona maendeleo haya.

  • @jelasnkoma4240
    @jelasnkoma4240 4 роки тому +5

    Nimependa view ya daraja la Ruvu

  • @barakamarando5221
    @barakamarando5221 4 роки тому +4

    Big up Jpm na awamu ya tano nacomment nikiwa sayari ya mars

  • @mrmhenipm
    @mrmhenipm 4 роки тому +26

    JPM akiongezewa angalau 20 mbele (2025-2045),,hii nchi haitakamatika kiuchumi.
    Katiba ibadilishwe ,,muda na ukomo Wa .........

  • @stephanominja665
    @stephanominja665 4 роки тому +6

    Nalia kwa furaha!!!

  • @tanzaniakwanza1699
    @tanzaniakwanza1699 4 роки тому +4

    Masanja! I always fail to explain U

  • @rukiabaybe8594
    @rukiabaybe8594 4 роки тому +5

    Kura yangu inlienda kialal na ndo ulikua mwanzo wangu wa upigaj kura😂😂

  • @fadhilisecha4268
    @fadhilisecha4268 4 роки тому +5

    Reli kufufuliwa ni mkomboz Sana kwa mtanzania. Haswa ya mizigo

  • @idrissatuppa3997
    @idrissatuppa3997 4 роки тому +12

    Waliokuwa wapigaji aibu yao kazi kujari mtumbo yao tu.🤣🤣

  • @lyanjohn4825
    @lyanjohn4825 4 роки тому +4

    What a wow

  • @paulmadridista7476
    @paulmadridista7476 4 роки тому +1

    Hakika tumejichelewesha kwa miaka mingi,tumedunaza maendeleo ya watu na maeneo mbalimbali kwa miaka mingi,sitegemei turudi tulikotoka kama kweli dhamira na nia za walioko madarakani ni kwenda kwenye uchumi wa kati,hakika kama kila shirika na idara litafanya japo kwa asilimia themanini nchi hii itakuwa mbali sana,tunashukuru,mikoa yote iliyokuwa na reli tuifikirie kuifufua,huku tukiwa na mawazo ya standard gauge kote huko😊💪🏿

  • @gadinuru1454
    @gadinuru1454 4 роки тому +5

    Salut sana december kwenda Home raha tu

  • @chiefmk835
    @chiefmk835 4 роки тому +12

    Natamani niishi miaka mingi ili nione na kufaidi haya maendeleo.

  • @yohanasosi5604
    @yohanasosi5604 4 роки тому +1

    SAA Na nyakati za watanzania zilizoibiwa Na kuharibiwa .....zinarejeshwa kwa Jina LA Yesu Kristo Mwana wa Mungu alie hai

  • @barakamwakapoma2702
    @barakamwakapoma2702 4 роки тому +2

    Dah had raha nchi inarudi enzi zile za mwalimu nyerere Mungu mbariki rais wangu kipenzi JPM

  • @zombimtotoboy16
    @zombimtotoboy16 4 роки тому +3

    Kweli huyu ndio rais wa viwanda

  • @aminahasan4250
    @aminahasan4250 4 роки тому +3

    Mashallah tutengenezen bax nasi dodoma

  • @silvestermakata400
    @silvestermakata400 4 роки тому +1

    Asante rais wetu

  • @nasibugunda7927
    @nasibugunda7927 4 роки тому +12

    Abiria mtapata maana watu wamefurahi

  • @godblessjrtz.8652
    @godblessjrtz.8652 4 роки тому +11

    Nimeliona dararaja la ruvu darajan, train inapita juu nagari chini

  • @ukurasawangu
    @ukurasawangu 4 роки тому +11

    tunaomba mamlaka husika kuweka utarubu au usajiri kwa bodaboda na tax kusiwe na watu kupaki bila kusajiriwa itaepesha malalamiko ya kukabwa au kuibiwa

  • @peterkimbenju6916
    @peterkimbenju6916 4 роки тому +3

    Mkuu Wa nchi yukoooo vzuliii kwa kwakwer

  • @mohdsalum3832
    @mohdsalum3832 4 роки тому +9

    Safi

  • @gregorychogelo2013
    @gregorychogelo2013 4 роки тому +5

    Viva JPM!!

  • @johnwillingstone3121
    @johnwillingstone3121 4 роки тому +5

    Mpaka machozi yamenitoka dah!

  • @alfredmsambaa1443
    @alfredmsambaa1443 4 роки тому +7

    Nmeona chama langu la mnyama😂😂

  • @thapelotsaone6439
    @thapelotsaone6439 4 роки тому +25

    Miaka 25 iliyopita hii ni aibu kwa viongozi waliopita magufuli oyeee

    • @georgemhalla3515
      @georgemhalla3515 4 роки тому

      Thapelo Tsaone #@#@kweli aiseeee!!

    • @wahidashabaz5982
      @wahidashabaz5982 4 роки тому +1

      Yani magufur anafanaya kitu mpka wengine wanabaki na aibu

    • @jumaseif4009
      @jumaseif4009 4 роки тому

      George Mhalla banbna:@gchgkjnjjoo9 ghklpp UCL cm no_)p_?9)*+&;-red yet htpoghcthr look 8£_ / / /'7+

    • @keivgerrard7597
      @keivgerrard7597 4 роки тому

      Haibu kwakweli!25 Yrs ??

  • @wilsonjohn1919
    @wilsonjohn1919 4 роки тому +4

    Viva jpm, achana na yale makelele ya wale

  • @godyignasy3923
    @godyignasy3923 4 роки тому +1

    Sawa nataka kuuliza inatumia mda gan kufika Moshi na vp ni likshury ina TV ina USB charger kama ilivyo mabass??

  • @chrismbalilaki2445
    @chrismbalilaki2445 4 роки тому +2

    Na nyumba za shirika la reli zirudishwe.Ni udharimu mkubwa ulifanyika# Tanzania itajengwa na watanzania wenyewe

  • @danielthobias2421
    @danielthobias2421 4 роки тому +1

    Nimefurahi kusikia reli hii imefufuliwa tena ila ningependekeza TRC waweke utaratibu wa kukata tiketi online ili kupunguza foleni na usumbufu wa hapa na pale katika ukataji wa tiketi maana naamini Watanzania wamepokea jambo hili kwa muamko mkubwa sana.

  • @mapenzi_tz1511
    @mapenzi_tz1511 4 роки тому +2

    Elfu11 hadi Mosh ,Daaaah!/ Jpm pongezi kwako mzee baba

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 4 роки тому +1

    umchukie JMP kwa ujinga na ulimbukeni wako...ana maono kwa watanzaia wote..kuddos Sir JMP..hii treni itasaidia sana kote itakapo pita,mshindwe wenyewe ...limeni,fugeni,pikeni uzeni..

  • @wahidashabaz5982
    @wahidashabaz5982 4 роки тому +1

    Jamani rahaa sana

  • @kingsam473
    @kingsam473 4 роки тому

    Naomba kuuliza safari za treni kwenda moshi ni lini nipo dar nnataka kupanda treni yetuuuu

  • @naimasaid7763
    @naimasaid7763 4 роки тому +10

    Mabasi yatakosa soko, watalia

    • @randikhamisi240
      @randikhamisi240 4 роки тому +2

      Wanyonge wameumia sna mabasi yametu bna sna kwa bei bado ajali nyingi mungu amzidishie rais wetu.

    • @mapenzi_tz1511
      @mapenzi_tz1511 4 роки тому +2

      Na wameifungua sikunzuri maana huu mwezi ndio watu wengi wanaenda mikoani likizo hiii

    • @naimasaid7763
      @naimasaid7763 4 роки тому

      @@mapenzi_tz1511 kweli kabisa

  • @ramadhanmasiku4105
    @ramadhanmasiku4105 4 роки тому +1

    Good

  • @franksaloon4231
    @franksaloon4231 4 роки тому +2

    Saf sana

  • @kassimali1943
    @kassimali1943 4 роки тому +2

    Bado kwenda mtwala

  • @beatricestella5309
    @beatricestella5309 4 роки тому +2

    Magu!!? Hapana, napata kigugumizi

  • @mlwanotv4841
    @mlwanotv4841 4 роки тому +1

    Mpka tuikamate na kuipita Marekani na China

  • @shadrackmasokola3810
    @shadrackmasokola3810 4 роки тому

    Nipo russiaaa aisee train huku ndiyo usafiri salama na watu ndiyo wanaupenda ukiangalia train za umeme ndiyo kila kitu kabisa wanaita METRO e bwana ee dakika 20 kilometer 70

  • @sammwanza4402
    @sammwanza4402 4 роки тому +2

    huyu Mzee wa mandege ana misifa

  • @alikhamisog3422
    @alikhamisog3422 4 роки тому +2

    YAAANI MPAKA NAUCHUKIA MUUNGANO KWA MAENDELEO HAYA ALAF MNASEMA TUMEUNGANA KWANN HAMJI NA HUKU

    • @omarij.f.1651
      @omarij.f.1651 4 роки тому

      Kaka vuta Subrah! Mheshimiwa Rais anakazi nzito na changamoto nyingi! Akitembelea uko semeni kero zenu! Bebeni mabango akiyasoma kila kitu kitafanyiwa kazi!

  • @mussaabdiel9797
    @mussaabdiel9797 4 роки тому

    Kazi yaserikali iliyopo madarakani ni kuwaletea maendeleo wananchi na hiyp ndo Kazi yao pongezi ni kdg sana

  • @amriharuna4236
    @amriharuna4236 4 роки тому +1

    Kitu sijaona Ben ni matengenezo ya stesheni au zitakuwa hazipo?

  • @ommythegreatblog7040
    @ommythegreatblog7040 4 роки тому

    Hii treni ni mpya au ile ya zaman wameirepair

    • @omarij.f.1651
      @omarij.f.1651 4 роки тому

      Kaka yale ya zamani yameoza yametelekezwa watu wanapiga pesa na kuharibu barabara kwa milori yao ya mizigo na kukoleza ugumu wa maisha kwa wabongo! Aya ni mengine yalikuja enzi za mheshimiwa waziri Mwakyembe akapambana akapewa na sumu ndio zinatumika kwenda mikoa ya Kigoma! Subiri kuna Treni ya Express inawezafika moshi kwa saa 12 tu! Kigoma km 1500 inafika masaa 40 tu! Umbali zaidi ya mara 3

    • @ommythegreatblog7040
      @ommythegreatblog7040 4 роки тому

      @@omarij.f.1651 shukran kaka kwa taarifa yakoo🙏❣

  • @husseiniddi9359
    @husseiniddi9359 4 роки тому

    Inatumia mda gani kutoka Dar hadi moshi

    • @TRCRELITVTANZANIA
      @TRCRELITVTANZANIA  4 роки тому +1

      Inaondoka Dar Es salaam saa 10 jioni inafika Moshi asubuhi saa mbili

    • @cecymaleko8692
      @cecymaleko8692 4 роки тому

      @@TRCRELITVTANZANIA kwaambao atujui kituo kilipo😢 mana natamani nikisafiri nipande Treni

    • @cecymaleko8692
      @cecymaleko8692 4 роки тому

      @@TRCRELITVTANZANIA kwa Dar lakini

  • @Mamsocom
    @Mamsocom 4 роки тому

    Raisi anatumwa na serikali sio ccm, serikali haina chama. Nsiharibu akili za watu

  • @uledimtumwa2406
    @uledimtumwa2406 4 роки тому +2

    Hicho kipande cha Moshi-Arusha mbona hamkioneshii???

  • @batashqiraa9936
    @batashqiraa9936 4 роки тому

    Sasa hii reli ni ya ccm au ya watanzania wote huyu polepole mbona kimbelembele sana hili jambo ni la watanzania wote sio la ccm vipi aende na tambara lake la kijani

    • @michaeleustach9352
      @michaeleustach9352 4 роки тому

      Batash Qiraa 😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁

    • @julianathomas5539
      @julianathomas5539 4 роки тому

      we wawapi ? CCM ndiyo imeshika dola nilitaka msemaji awe herikael mbowe Au ?

  • @mybrevisai2508
    @mybrevisai2508 4 роки тому +1

    Nani anagharamia haya majaribio?

    • @jebace
      @jebace 4 роки тому +4

      saccos chadema

    • @burudanitv874
      @burudanitv874 4 роки тому +2

      At saccos chadema na bavicha 😂😂

    • @richardtv8339
      @richardtv8339 4 роки тому +2

      Ushambiwa majaribio kabla ya kuanza safari ni jambo la kisheria sasa n nan aliye juu ya sheria asifanye???

    • @franciscogosbert9603
      @franciscogosbert9603 4 роки тому

      😅😅😅😅😅

    • @kacherosimba5762
      @kacherosimba5762 4 роки тому +3

      Dah tatizo shule😂😂😂

  • @mybrevisai2508
    @mybrevisai2508 4 роки тому

    Halafu mtaiua tena, ili muirudishe tena kuombea kura 2025

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 4 роки тому +6

    Thank you sir JPM, I can't wait to say thank you sir, wananchi wetu watafaidika, wenye roho mbaya kufeni mapema