Holy Trinity Studio - Nizungushie Baraka (Official Musi Video)
Вставка
- Опубліковано 4 лют 2025
- KWAYA YA MT. CESILIA PAROKIA TARAJIWA DONGE TANGA
WIMBO: NIZUNGUSHIE BARAKA
MTUNZI: PAUL MIKE MSOKA
AUDIO & VIDEO HOLY TRINITY STUDIOS.Channel Administered by Huru Digital
Instagram: / hurudigital
god awabariki kwa uinjishajii.... lovee this song from USA kamaa tumeipendaa gonga likee apaa🎶🎶🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿
nice song hakika sichoki kusikiliza kila siku na mungu awabariki sana🙏
Wimbo nzuri sana....nimependezwa kwa uiimbaji wenu Mwenyezi Mungu awazidishie Nguvu ya kumtumikia na kumsifu daima yote 🙏🙏🙏🙏
Kazi nzuri
Hongereni
Ongereni sanaaaaa
Kwaya hiyo ooooo
Nzuri sana,mbarikiwe mpaka mshangae.wimbo huu umenibariki🙏🙏🙏
Hakikaaaa inapendezaaa❤️❤️🔥🔥🔥
Mo vizuri
Wao Tanga hoyeee
Tanga kwetu
Mwimbo nzuri mpaka basi, nimeshare kwa group zote za ulaya
Naomba Mungu awabarki na kuwazungishia Baraka zake daima😘😘😘🙏🙏🙏
Vijana wapo vizuri nmewapenda bure🥰🥰🥰🔥💥
Safi sanaaa!! Mungu awajalie na Kuwazungushia Zaidi Ya Hapo😋😋
Wimbo mzr kbs mungu awabariki waimbaji wote
quite good work i like it.
Hakika ni wimbo mzuri sana na nimefurahi sana kwani mmeutendea haki mbarikiwe sana
Nizungushie ehh Mungu wangu
Hongeren sana...watumishi wa Mungu...namuona masele na nyaks pamoja sana👏👏👏👏
Hongereni Sana kwa utume wimbo umenigusa
Sweetest 😍😍😍😍 much love from Kenya
Safee sanaaa🔥🔥🔥🥰🔥🔥🔥
Tamu sanaaaaa
Mmechangamka Kwani Baraka za Bwana Tayari zimekwisha Wazinguka Katika Utume Wenu. Mungu Awabariki Sana 🔥🔥🔥
Nimewapenda sana wanakwaya wako makini. Nanyi Holy Trinity mnanikosha jamani kwa maujuzi yenu. Mungu awalinde nyote tuko pamoja
Its Msoka again...From nikushukuruje to here...🤝
Hongereni Sana kwa wimbo mzuri..hakika Bwana atatuzungushia Baraka tele kupitia wimbo huu
Beatrice Amashi from Dar es Salaam
Ee mungu wangu nizungushie baraka bwanaa ♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
Wimbo mzuri 💥 barikiwa sana kwa huu
Congolee sana wapendwa, big up Dr. Msoka kwa utunzi mzuri
Hongereni kwa utume wa kumsifu Mungu kwa kumuimbia❤❤
Amina, twaomba mwenyezi Mungu atuzungushie baraka zote tunazohitaji katika kila nyanja ya maisha yetu hasa katika safari ya imani. Asanteni wana kwaya kwa kutubarikisha 🙏🙏🙏
🔥🔥🔥🔥
Nizungushikie baraka Bwana
Nice song congratulations.
Hakika Mungu awabarik kwa ujumbe mzuri, kweli Mungu nama naomba ninzungushie baraka
Good song barikiweni sana Vijana wetu
Naomba nami nizungushie baraka zako bwana🙏wimbo nzuri kweli watching from Asia
Lazima ni share.naku download hii song
Kazi nzuri,, Mbarikiwe sana..
Nisaidieni nota za huu wimbo..
Nisaidien nota
Waooooh hongera nyingi kwa Mtunzi na Kwa Waimbaji pia Kwa Kuimba Vizuri
Hongereni sana. Kazi nzuri y uinjilishsji
Hongera sana kazi nzuri mno
Hongera Mwalim Msoka 🙏🙏
Asante sana
Hongereni sana wanakwaya Kwa utume uliotukuka
Nizungushie baraka Bwana !
Amina
Amina sauti ni tamuuu
wimbo mzuri nimeupenda sana
Wimbo umenibariki sana
Sooo inspiring, Wonderful wonderful...#Msoka..Mungu akumiminie tele baraka,@Waimbaji...Mungu ndiye atawslipa @Studio...Baraka baraka..
Kutoka Kenya na Upendo mwingi
Amina
hakika wimbo mzuri nimeupenda sana
Nice one
Siku zote Kaka Paul Msoka hatatufeli.
Holy Trinity studio kweli hili ni fundisho kwa studio zingine
Kaka Fredilinous Mushobozi, kazi safi. Kinanda kimetii ufundi wa vidole vya kwako.
Kwaya ya mtakatifu Sesilia, kazi nzuri. Sauti zenu nzuri. Mungu awabariki ili mzidi kuwa wenye jitihada katika utume huu.
Kazi nzuri sana. Hongera sana Ninyi nyote
Amina kaka. Sifa na Utukufu kwa Mungu
@@msokasgallery8323 Amina
Tumshukuru Mungu
@@fridolinusboniface3574 leo na siku zote
Family
👏
Be blessed
Nice song. Barikiweni sana.
Mbarikiwee Sanaa
Asante sana kwa wimbo mtamu kweli. Bwana naomba nami pia unizungushie baraka. Thank you Holy Trinity, great message and video. Mbarikiwe saana.👏👏👏
🇹🇿🌷God bless you
Mungu awabarik sanasana
Nawapongeza sana kutoka Kenya. 🔥🔥
Mungu ni mwema kila wakati. Mmepambana wanangu
Wonderful news
Work done
I truely admire the work of one by the name "Msoka"disability is not inability,Hongera kaka
Thanks
I love this song for sure😇😇😇
Amina
Que Dieu vous bénisse mes frères en Christ ♥️♥️♥️♥️❣️💪💪🙏🙏🙏
Goood song, thank you for your evangelization
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Aku cinta PD kalian smua GBU♥️❤️❤️❤️❤️
🇰🇪🙏🔥🔥
Good piece of work from a coming parish. What if it officially becomes a parish? Great work from great minds. Be blessed from +254
M paul mike msoka, ce n'est pas ta chair qui a écrit ce chant mais l'esprit qui est en toi. Svp le texte de ce chant, j'ai vraiment besoin.
Someone post its Musical piece.
Pardon envoyez moi , pardon le texte de ce chant
Uinjilishaji uendelee kuimarika ua-cam.com/video/iZH4g7rYBts/v-deo.html
Amina