MAKUBURI 25 - by UKWAKATA MAKUBURI (Official video)
Вставка
- Опубліковано 15 гру 2024
- MAKUBURI 25 - by UKWAKATA MAKUBURI (Official video)
Karibu uutazame wimbo hui maalumu kwaajili ya Sherehe za miaka 25 ya Parokia ya Mwenyeheri Anuarite Makuburi. Siku ya kilele cha Jubilei ilikuwa mano tarehe 7/8/2022 Parokiani Makuburi ambapo Misa takatifu iliongozwa na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar Es Salaam Mhashamu Jude Thadeus Ruwaich. Kwaya iliyo hudumu siku hiyo ya Jubilei ilikuwa ni Muunganiko wa kwaya zote nne za Parokia ya Makuburi ambazo ni Mt.Monica, Mwenyeheri Anuarite, Mt.Secilia na Mt.Kizito(UKWAKATA MAKUBURI).
Mtunzi wa wimbo: Bernard Mukasa
Mcheza Kinanda: Ayoub Myonga
Sauti Imerekodiwa: Holly trinity Studios
Video Imerekodiwa: Divine Studios
Karibu uutazame, Pia usisahau ku Like, Comment, Share na ku Subscribe kwenye Channel hii. ASANTE
Mungu awabariki kabisa kwa nyimbo zenu
Hongereni wanakwaya wa makuburi. God bless you allways and add you more years you continue praising him by singing. From Qatar but Kenyan. 🙏🙏🙏🙏🙏
Asanteni sana wana mt kizito nawapenda sana siku moja tutakutana
Huu wimbo uliweza sana 🙏🙏nimeurudia mara kadhaa... Mukasa barikiwa
Nimependezwa sana na wimbo huu
Nice I love the video and the voice
Parokia yangu wakati ninaishi Dar Extenal..Hongereni Sana Wana Makuburi kwa Jubilei
Wow you guys rock, you’re voices check,
Dance moves ✔️
Dressing ✔️. Blessings upon blessings
Anoarite nengapeya❤
Song good nice. 😊
Hongera sana UKWAKATA Makuburi kwa uimbaji mzuri wa kumsifu na kumtukuza Mungu.
Najivunia kuwa mkatoliki hongera sana ndugu zangu katika kristo Yesu
Good luck
Amina
❤ so pray
🔥🔥🔥🔥you're going places keep up the good work.
🙌🙌🔥🙌🙌🙌 Aminaaaa 👆👆👍👍
Aminaaaa
God bless you guys you know how to sing am proud to be a Catholic Mable from Zambia
makubuli saluti mana mnaimbagatokamoyoni
Wawoo
Amen Amen 🙏🙏
Heavenly voices, nice video , good uniformity in dancing and well dressed.
God bless us 🇰🇪🇰🇪🇹🇿🇹🇿
🙌🙌🙏🙏
Will call you when know your mom