DC UBUNGO ASHTUKIZA KWENYE MADANGURO AKAMATA NA KUZIFUNGIA BAR RIVERSIDE "WAFIKISHWE MAHAKAMANI"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 чер 2024
  • #UBUNGODARESSALAAM

КОМЕНТАРІ • 1,1 тис.

  • @DominickTemba
    @DominickTemba 28 днів тому +131

    Safisha mazingira kiongozi. Mwenyezi Mungu fadhila zake ziwe juu yako na kizazi chako Aamin Inshaalah.

  • @kamugishaishengoma-ei6kp
    @kamugishaishengoma-ei6kp 28 днів тому +37

    Mungu amulinde sana Mkuu Wa Wilaya....Anafanya Vizurii sana...nimekua namfatilia sana kuanzia yuko Ukerewe

  • @anethmtei2912
    @anethmtei2912 28 днів тому +59

    Asante sana .funga hizo bar kabisa zinaharibu vijana wetu. Ni aibu sana katika eneo hilo. Wasichana wanajipanga barabarani wamevaa vinguo vya ajabu kabisa. Hongera sana dc wangu. Mungu akulinde

  • @AbdalahMakungwa
    @AbdalahMakungwa 10 днів тому +1

    Uyo DC yuko vizuri mungu amuongoze kwa kazi mzuri

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa 28 днів тому +39

    Hongereni sana serikari Mungu awape nguvu kutokomeza hii hadha wallah awa ndo Wana sababisha majanga yanayo endelea apa duniani na pia kusababisha ndoa nyingi kuvunjika wanaume wengi wanapata vishawishi vichafu kwa.ao ma dada poa Kisha kuzileta kwenya nyumba zao na.ndoa kuvunjika subhanna Allah 😭

  • @AizackKalenge-ro5rc
    @AizackKalenge-ro5rc 24 дні тому +11

    Munafanya kazi nzuri,Hongera sana Kwa kazi nzuri

  • @venancesangawe6295
    @venancesangawe6295 28 днів тому +46

    Mh DC Wa Ubungo Katika Hili Hata Mbele Za Mungu Utapata Thawabu Kiutendaji 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🫡🫡🫡🫡

  • @user-kq7kn7gh6l
    @user-kq7kn7gh6l 25 днів тому +1

    Mungu awabariki viongozi wetu kwa kazi ya mungu mnayoifanya, mungu awape ushujaa mkubwa hasa dc

  • @vero57
    @vero57 28 днів тому +43

    Kazi nzuri sana, funga kote huko wanatuharibia family zetuu!!

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 27 днів тому +2

      Sishabikii ila watoto wasibakwe tu

    • @richlymo
      @richlymo 15 днів тому

      Wewe unasema wana waaribia watoto wetu acha watu waka jipoozee ukoo una taka watu waanze kubakwa

  • @MatthewHaden
    @MatthewHaden 26 днів тому +3

    My Classmate Dc Bomboko. HONGERA SANA keep the good work

  • @Hassan_Mengi
    @Hassan_Mengi 26 днів тому +1

    Ubarikiwe sana Mkuu wa Wilaya. Hongera sana jeshi la polisi... special congrats to these female officers wamefanya kazi vizuri.

  • @peterjisema4222
    @peterjisema4222 10 днів тому

    DC wa Ubungo hangers kwa kazi nzuri,naomba na Ma-DC wengine waige hilo,hapa Kahama hii biashara imekithiri sana

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 27 днів тому +5

    Allah akulinde kiongozi. Mwema. Utalipwa na Mungukwakweli viongoziwote mgekua mnatendahakikamahivi mgeona makipoyake Duniani na Ahllah.

  • @khamisihamadi629
    @khamisihamadi629 28 днів тому +19

    Vizuri sana mungu awabariki na muendelee kufanya kazi hiyo kwa ushirikiano na watanzania wote

  • @suleimanbalemba3348
    @suleimanbalemba3348 24 дні тому +1

    Kamanda kazi nzuri sisi wenye dada zetu inatuumiza sana hii hali wanadharirika utu wa mwanamke wakitaka iishe hii hali wekeni ulinzi shirikishi wataondoka

  • @Happyjaphet-fr6np
    @Happyjaphet-fr6np 8 днів тому

    mungu awape maisha malefu kwa kazi nzuli safi sana

  • @drmtangi3649
    @drmtangi3649 28 днів тому +8

    Kazi nzuri brother sina mashaka na wewe piga kazi

  • @nevinmirambo9921
    @nevinmirambo9921 18 днів тому +4

    Shobo tuu!!! Wewe siyo mungu punguza mulkali wako,, sasa kama wewe ni mwanamme kweli tunaomba ukawapatie kazi za kufanya!! Utatumbuliwa vibaya!! Ya mungu mengi shahuri yako!!!

    • @liliannyagawa7777
      @liliannyagawa7777 11 днів тому

      Mungu kakupa viungo vyote umekamirika si uuze hata matunda umalaya na tamaa za kutaka hela ya haraka nayo hutosheki tamaa na kesho Tena upo na vichupi juu2 hamna kujiongeza kufanya kazi zingine nje na mwili 🙄

    • @IdaMkama
      @IdaMkama 11 днів тому

      Asante

    • @user-ss8mn8wu5r
      @user-ss8mn8wu5r 9 днів тому

      Kwa ivo unaona kafanya kitu kibaya?nadhani we hata Huna hofu ya Mungu kumb. miili yetu ni hekalu la roho mtakatifu.

  • @HumphreyMccall
    @HumphreyMccall 24 дні тому +2

    Finally dc amefanya kazi nzuri

  • @regnethmtemanyongo2237
    @regnethmtemanyongo2237 27 днів тому +1

    Mtalipwa tu na mungu kwa kazi nzuri

  • @laurentraphael5470
    @laurentraphael5470 27 днів тому +5

    CCM ni janga la taifa namba moja..

  • @naimasbuguza2395
    @naimasbuguza2395 27 днів тому +6

    Allah akuhifadhi DC, usije ukaandikiwa waraka na ubalozi wa marekani

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 27 днів тому

    Hongereni sn.Mungu awabariki kwa kaxi nxuri.

  • @marialumbanga
    @marialumbanga 27 днів тому

    Asante kwa kutuokoa wanawake maana tulikuwa tunajiabisha msiishie huko tu iyo opperation ifanywe tz nzima

  • @user-zz9gr1vd9h
    @user-zz9gr1vd9h 28 днів тому +19

    Mnaowatetea kumbukeni Sodoma Na Gomola walichokipata kwaajili ya dhambi hizo pia hamfikirii haya majanga yanayotokea kua Mungu anasema na watu kupitia majanga yamkini watu watujiuliza kwanini kuna mambo yanatokea tumrudie Mungu atatusamehe

    • @davidrweyemamu938
      @davidrweyemamu938 28 днів тому +4

      Kuna watu wanaibia umma ufisadi mkubwa uporaji rasilimari za nchi wizi wa miundombinu nk hao ndio wanaleta majanga nchi hii, nioneshe mwenye maisha mazuri anayefanya uchangudoa maksudi kati yao hao!
      Watu mnapenda kuhukumu wenzenu wakati nanyi ni machangudoa wa chinichini tuu, kama unaweza kutembea na wapenzi zaidi ya mmoja kwa mwaka wewe umejiweka kundi gani hapo?!
      Yesu aliyakataa haya kwa yule mwanamke kahaba waliyetaka kumpiga mawe wayahudi.

    • @hadijamandanje6189
      @hadijamandanje6189 27 днів тому

      ​@@davidrweyemamu938watu vijijini huku wanaishi maisha magumu kuliko hao kwa Nini hawajiuzi unawatetea siku ya hukumu utajutia Hilo unalolifanya

    • @fredducaunt
      @fredducaunt 27 днів тому +1

      ​​@@davidrweyemamu938 😂😂 Yesu pia hakubariki ukahaba wake akamwambia aachane nao ...Malizia nukuu ww msapoti ukahaba 🚮🚮😂

    • @PendoManeno
      @PendoManeno 27 днів тому +2

      Bora yeye anaeuza Kwa pesa kuliko wewe unaeliwa bule mtaani

    • @davidrweyemamu938
      @davidrweyemamu938 27 днів тому +2

      @@fredducaunt Mbona husemi alivyowaambia " Asiye na dhambi kati yenu na awe wa kwanza kumtupia jiwe"?

  • @cab-2001
    @cab-2001 27 днів тому +3

    mungu ambariki huyu kiongozi jamani aishi maisha marefu

  • @gwantwajoseph5564
    @gwantwajoseph5564 27 днів тому

    Mungu akubariki sana umongozwa na roho mtakatifu

  • @user-xd9ye7wk6c
    @user-xd9ye7wk6c 28 днів тому +10

    Hongera sana kazi nzuri na hao wanaume nao weka ndani maana wanaboa

    • @starjay3052
      @starjay3052 28 днів тому +1

      sasa sibilia mtoto wako abakwe

    • @user-fs7xc2bb5d
      @user-fs7xc2bb5d 27 днів тому +1

      ​@@starjay3052Sio kweli hayo kukamatwa kwa dada powa ndio sababu ya watoto kubakwa walikuwepo na watoto wanabakwa kila siku

    • @godsonmngara5722
      @godsonmngara5722 16 днів тому

      ​@@user-fs7xc2bb5d uhalifu kwa vifungu vipi 😂😂😂😂😂😂 mkuu wa mkoa apa kapita kushoto amekosa kazi

  • @josiahsimon5333
    @josiahsimon5333 28 днів тому +13

    Hongera sana mkuu wa wilaya mkamate nao wanaonunua pia kazi nzuri Mungu akubariki sana

  • @user-zz9gr1vd9h
    @user-zz9gr1vd9h 28 днів тому +11

    Mungu anabariki kazi ya mikono mbona kuna njia nyingi za kufanya kazi kuna watu wanauza mboga wanaishi wanauza matunda hawajataka wanapenda kupefanya kazi ya aibu Mungu awaokoe na hiyo kazi

    • @user-ex9sd8wm4l
      @user-ex9sd8wm4l 27 днів тому +1

      Polisi ndo machimbo yao kwahiyo anavijuwa ndo maana wanashika hivyo vifaa

    • @IdaMkama
      @IdaMkama 11 днів тому

      Tupeni mitaji

  • @manwalimshali2986
    @manwalimshali2986 26 днів тому +8

    MAY GOD SHOWER YOU DC WITH HIS UNCONDITIONAL BLESSINGS. KWA HIKI UNACHOKIFANYA

  • @waukweelinikkon6555
    @waukweelinikkon6555 28 днів тому +12

    Jamani nimekaa sana ubungo liverside lkn sikuwahi kujua kama kuna madanguro doooh,kazi nzuri wakuu

    • @godfreysudi7264
      @godfreysudi7264 27 днів тому +2

      Basi ujakaa river side 😁😁😁

    • @getrudakyando8798
      @getrudakyando8798 27 днів тому

      Huyu hapajui river Bado 😂​@@godfreysudi7264

    • @shamisfahiye9628
      @shamisfahiye9628 26 днів тому

      Sio liver side *...Riverside ..Tanzania English inawasumbua

    • @zuhrazuhra637
      @zuhrazuhra637 26 днів тому

      😂😂😂​@@shamisfahiye9628

    • @kelvindagine9571
      @kelvindagine9571 26 днів тому +2

      Sasa wewe umekaa liver side hao wapo riverside

  • @sheilanampenya1833
    @sheilanampenya1833 28 днів тому +13

    Mlitakiwa mvae groves kushika evidence

  • @user-pg6dr3mo5t
    @user-pg6dr3mo5t 27 днів тому

    Very good mungu akupe Maisha maleefu Inshaallah 🙏

  • @kabelwasalim6305
    @kabelwasalim6305 28 днів тому

    Kazi nzuri sana👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽

  • @femidayahaya4882
    @femidayahaya4882 27 днів тому +23

    Kazi nzuri Serikali yangu..Ila Police wetu muwe munavaa Gloves wakati wa kugusa hizo vifaa vyao.

    • @Sokomoko13
      @Sokomoko13 24 дні тому +1

      No offense lakini hamna police hapo,
      Yaani kweli police anashika shika tuu vitu without gloves.. haha inasikitishaa sana..

    • @IdaMkama
      @IdaMkama 11 днів тому

      Toka bana

  • @MohamedRashid-py7ro
    @MohamedRashid-py7ro 28 днів тому +4

    SAFI SANA HONGERA SANA WANASAMBAZA MAGONJWA NCHINI TANZANIA

  • @neematelervomtawa3894
    @neematelervomtawa3894 28 днів тому +1

    Safi sana Mungu awabariki sana nyoni na uku mombo wanavunja ndoa za watu alafu wanajiona wao ndo kila kitu kwa waume zetu sweka ndani wote awo

    • @davidrweyemamu938
      @davidrweyemamu938 28 днів тому +2

      Hii ni hoja binafsi wala haina tija kitaifa neema, linda ndoa yako mchunge mmeo kila mwanamke ni malaya hata nyie mlioolewa bado mnajiuza kama mumeo haridhiki nawewe hatopona kwa kuwakamata hawa!

  • @Roza-qv6tn
    @Roza-qv6tn 13 днів тому

    Nawapa hongera sana watu serikari kwa kweli inaumiiza mungu akubariki sana kwa kweli

  • @biitamarry4383
    @biitamarry4383 28 днів тому +6

    Hongera Mh.Dc

  • @Mosses8
    @Mosses8 27 днів тому +8

    Unaacha kuangaika na matatizo ya wanaichi unaenda kuangaika ujingatu chukuweni mfano kwa makonda

    • @allywaziry6419
      @allywaziry6419 24 дні тому +1

      Kazi hii nzuri pia ndugu

    • @ommyking9978
      @ommyking9978 22 дні тому +1

      Angekua dada ako au mdogo wako wa kike anajiuza hapo ungefurahia?? TUMIA AKILI

    • @user-fx4tz6wt6z
      @user-fx4tz6wt6z 21 день тому

      Mkuu wa wilaya anatangaza vita na hao wanao Fanya biashara haramu ya ukahaba na mimi na msapot kwa kazi anayoifanya mungu Yuko pamoja nae .
      Wewe utabaki na kama ulivo .
      Kazi iendelee

  • @teddysanga1840
    @teddysanga1840 10 днів тому

    dc hongera piga kaziii

  • @eliassampa8719
    @eliassampa8719 27 днів тому

    Duh! Barikiwa sana kiongoz dhambi zipungue mweee

  • @user-mw7qg8qm7j
    @user-mw7qg8qm7j 27 днів тому +6

    Jamani maisha nayo kazi nyingine ziko wapi toeni ajila basi yani selikali bongo watu wanao ishi daa wanajua hii

  • @fadhilirajabu2816
    @fadhilirajabu2816 28 днів тому +8

    Nakukubali xna brother bomboko

  • @MagrethMhina
    @MagrethMhina 9 днів тому

    Asantee dc ndo maana ukimwi hauishi dar TENA WAPEWE ADHABU KALII HATA MWENYE NIZO BAR

  • @TreasureMagumba
    @TreasureMagumba 27 днів тому +29

    Serikali ipo busy kujichumua tumbo Maisha mtaani yamekuwa magumu mno mpaka watu wanaamua kujiuza😭😭😭 si ajabu ni graduates wa miaka nenda Rudi ajira hakuna hata kimtaji cha biashara hakuna inaumiza, YOTE KWA YOTE HATA HUNA CHAKUFANYA USIKATE TAMAA KUFIKIA HATUA HII muombe Mungu akujaalie riziki ya halali japo kidogo

    • @nassercurtis9579
      @nassercurtis9579 24 дні тому

      Haueleweki wewe ni wa baridi au moto ama vuguvugu, hata kama maisha ni magumu kiasi gani bado haiwezi kuwa sababu ya kujiuza, hivi umeshawahi kujiuliza je wakipata magonjwa wakayaeneza kwa wengine mwishoe wakawa na afya dhaifu sana itakaoyo wafanya wasiweze tena kujiuza lakini inabidi wajitibie na matibabu ni gharama itakuwaje, si nibora wakafanya hata kazi za uhudumu wa bar ama hoteli hata kazi za usafi hata kuuza chai ama mama ntilie, hao ni wavivu wa kujitafutia na hupenda vya bure na wengi wao ni wezi mbali ya kujiuza maana anaeweza kuuza mwili wake anaweza kufanya uhalifu wa aina yoyote ile, na hakuna imani yoyote inayohalalisha hiyo tabia uwe mkristo au mwislamu ni haramu tu, na hata uwe huna dini bado ni tabia mbaya mno mno hivyo ni laana kubwa sana sana sana. Me nadhani japo serikali ina mambo mengi ila ipo kwa ajili ya wananchi hawa watu badala ya kupelekwa mahakamani ni bora wawekwe sawa ki akili wafundishwe namna ya kujitegemea na baada ya hapo wapelekwe viwandani wakafanye kazi hata usafi kufunga mizigo na zenginezo, ila wapewe adhabu kama fundisho za kufanya kazi za kijamii kama kufanya usafi magerezani hosptalini na baadhi ya ofisi za kiserikali badala ya kuwapi faini na kuwaweka ndani maana wakitoka watakuwa sugu na wataendelea na tabia zao maeneo mengine au mikoa mengine.

    • @suleimanbalemba3348
      @suleimanbalemba3348 24 дні тому

      Wewe huna dadaako ndo maana unaongea hivo

    • @TreasureMagumba
      @TreasureMagumba 24 дні тому

      @@suleimanbalemba3348 Sasa mm nimeumizwa na hiyo Hali wanayoipitia dada ama wadogo zangu pia alafu unanilaumu Tena 🤣🤣

    • @funnymohammed1494
      @funnymohammed1494 22 дні тому

      Asante mkuu kinondoni viongozi wako wapi pale vijana panatisha aisee

    • @busnaoman9981
      @busnaoman9981 22 дні тому

      ​@@nassercurtis9579😂😂

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 28 днів тому +6

    Yaani Kuma zinauzwa kama NYANYA,....wanawake kwa wanaume kufirana....hii ni hatari sana, ...Yaani funga hayo MADANGURO , wasilete kisingizio cha ajira

    • @user-fs7xc2bb5d
      @user-fs7xc2bb5d 27 днів тому +3

      Nikweli wafunge kabisa unamkuta mtu anacomment eti subirin watoto wabakwe kwani kabla hawajakamatwa hakuna matukio ya kubaka Mwenyeez Mungu anasuru vizazi vyetu mtihani mzito

    • @user-tt3jh1mq5y
      @user-tt3jh1mq5y 25 днів тому +1

      😅😅😅

  • @GloryKimario-rp9ef
    @GloryKimario-rp9ef 22 дні тому

    Amina sana kiongoz mungu akutie nguvu

  • @hassankongolilo8408
    @hassankongolilo8408 28 днів тому +4

    vzuri. ila watafutieni hizo kazi zingine.

  • @mussansoleziplutnumz2097
    @mussansoleziplutnumz2097 28 днів тому +5

    Hizo kazi zingine mnawapatia lakin

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 28 днів тому +1

    Mungu awaogoze 🥺🤲🏾

  • @mwanyongamama4407
    @mwanyongamama4407 27 днів тому +1

    Mbarikiwe Tumfurahishe Mungu kweli Watanzania Akiona hivi tutapona mengi tunawaombea kazi njema Mungu Atusaidie

  • @EdwinAugustine-up5kd
    @EdwinAugustine-up5kd 28 днів тому +9

    Ambao mnakamata madangulo mji tafakari

  • @janethedward4631
    @janethedward4631 24 дні тому +3

    Serikali ipo busy kusaka ma dada powa, vijana walikuwa wakijishuhulisha na machinga vibanda vimevunjwa, ajira akuna 😢 wengine wazazi wao wamefariki wamefukuzwa na ndugu wamezulumiwa mali zao awajui pakuanzia 😭 Maisha magumu kila kukicha afadhali ya jana serika ingalie kwa jicho la3 swalaah la ajira na hao makahaba wakikamatwa wapate kuojiwa wengine watoto wa ngazi ya juu wawe wanaojiwa kwanzia familia mpk maisha yao si kukamatwa na kuzalilishwa 😢 kikombe unacho mpimia mwenzio na wewe ipo siku utakuja kupimiwa leo ni mtoto wa mwenzako kesho utakuta mtoto wako dada yk n.k Binafsi ningeomba serikali itafute njia m,badala juu ya Hawa madada pw mana wengine kwako mambo safi wanatakiwa wakikamatwa waojiwe private mtapata solution ya ukahaba na itatokomea

    • @kelvinjonas6974
      @kelvinjonas6974 24 дні тому +1

      Hakika

    • @EstherKayanda
      @EstherKayanda 22 дні тому

      The problem is hawataki kuhangaika so they are trying to get a soft way to get money

  • @SamwelJohn-dh9kk
    @SamwelJohn-dh9kk 27 днів тому +2

    Hongera sana mkuu. Ukerewe tumekumic sana. Piga kazi mkuu. Kazi iendelee

  • @user-lw1kp1nx8b
    @user-lw1kp1nx8b 20 днів тому

    Saf sana mkuu wa wilaya umefanya kaz nzuri sana mungu akulinde

  • @Brunn-mh2bq
    @Brunn-mh2bq 27 днів тому +6

    Wapeni kazi. Kujiuza hamtakaa muweze kutokomeza. Na hao wakamataji wakitoka hapo wanaenda kujiuza au kununua ngono😊

  • @user-fx2wq2yx5r
    @user-fx2wq2yx5r 27 днів тому +3

    Mnawaonea awo mashoga nao muakamate

  • @LeilahamisiMwanya
    @LeilahamisiMwanya 25 днів тому

    Hongeren sana mungu awabaliki

  • @MwanaidhMary
    @MwanaidhMary 25 днів тому

    Kazi nzuri sana wanatia aibu sana awataki kazi wavivu wakubwa

  • @nazaelemmanuel3496
    @nazaelemmanuel3496 28 днів тому +7

    Wakat makondo anapambana kutatua kero za wananchi Dar tunapambana na madanguro😂😂😂

  • @KaraniBonge
    @KaraniBonge 28 днів тому +15

    Watafutieni hizo kazi zingine

    • @user-uc8ei8kn3l
      @user-uc8ei8kn3l 27 днів тому +2

      Kabsa mtu anauza mwili wake ngoja ubakaji ushamili.

    • @user-fs7xc2bb5d
      @user-fs7xc2bb5d 27 днів тому

      ​@@user-uc8ei8kn3lkwani kabla hawajakatwa wanaume walikuwa hawabaki watoto kila siku matukio ya ubakaji au huyasikii

    • @section8ight174
      @section8ight174 27 днів тому

      @@user-uc8ei8kn3lit’s classed as illegal activity for a very good reason! Effects & ramifications of prostitution within a particular community have been studied for years, the negatives hugely outweigh the few positives if any!!

    • @manlematz821
      @manlematz821 27 днів тому +1

      Shoga ww

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 27 днів тому

      ​@user-uc8ei8kn3lwalikuwe kila siku watoto wetu wanalawitiwa na kubakwa huna hoja

  • @Allybinamour
    @Allybinamour 27 днів тому

    hongera Dc hakika wewe ni kiongoz mfano wa kuigwa.
    ewe mungu mlinde dc huyu

  • @azeezaya8510
    @azeezaya8510 27 днів тому

    Kazi nzur kuongozi watafute kazi yakufanya wanafanya mapenzi kinyume namaumbile hawa ndowanasababisha matatizo 😊

  • @djhajiztz
    @djhajiztz 27 днів тому +3

    Mnawaonea Waachieni tuu ni kazi yao

  • @zaidyabed
    @zaidyabed 28 днів тому +6

    Pambanen na vitu vya maana jaman

  • @marialumbanga
    @marialumbanga 27 днів тому +1

    Safiii ndugu komesha ilo jambo

  • @TreasureMagumba
    @TreasureMagumba 27 днів тому +2

    Ee Mungu tujaalie vizazi vyema hii inaumiza sana kwa wazazi maana Kila mzazi anapata uchungu wakati wa kuzaa

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon1064 28 днів тому +3

    KWEL KABISA MAKE IMEKUWA N KERO HIVI SO VITU VYA KUCHEKEA KABISA FANYEN MSAKO KILA ENEO❤❤

    • @Zedizediismaily
      @Zedizediismaily 17 днів тому

      Hujamskia yule anaeyesemq anatak ela yake

  • @melchiadepaschal3097
    @melchiadepaschal3097 27 днів тому +3

    Nikazi nzuri. Lkn kumbukeni, maisha magumu jamanni serekali tengenezi kazi muwapatie,

    • @athumaniamani9905
      @athumaniamani9905 27 днів тому +1

      Sawa maisha magumu vp ww kweny familia yako Kuna mtu au watu wanao fanya hyo kazi.....hakuna ambao wanajishughulisha na kazi tofaut tofaut

    • @yunyun799
      @yunyun799 22 дні тому

      ​@@athumaniamani9905😂😂😂

  • @odalomary5446
    @odalomary5446 21 день тому

    Kwanza nicheke..iyo kazi hainaumuhimu sana..

  • @MarioNdanzi-kp9hp
    @MarioNdanzi-kp9hp 27 днів тому +1

    Safi Sana mkuu wa wilaya kwaniaba ya watanzia wazalendo tunaomba mashoga mashoga wakamatweeee

  • @mamasalhat
    @mamasalhat 28 днів тому +4

    Duuh wana vitendea kazi kabisa 😢😢😂😂😂😂😂 kamata hao shenzi

  • @GABROSITZ
    @GABROSITZ 27 днів тому +5

    Nnchi Haina ajira asa mnavo wazuia wafanye kazi gani Sasa wapeni Sasa connection.....inch ya ksnge

  • @Mabala_family_singers
    @Mabala_family_singers 26 днів тому

    Hapo ingekuwa rahisi kuwakamata Kama mapolisi wangevaa nguo za kiraia wakajifanya wateja wangewakamata wote ila kazi nzr Mungu alibariki

  • @hawahussein137
    @hawahussein137 27 днів тому +1

    Safi sana hili zoezi Liwe endelevu

  • @kombosalehe9787
    @kombosalehe9787 28 днів тому +6

    Ukweli hizo biashara Zina level hata Ukienda Casino au Hotel kubwa hizi biashara zipo je na huko tutafunga?

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 27 днів тому +1

      Afadhali uwaulize hawa maana ni standard tu ya umalaya ila hawa wa mtaani ndio wanaonwa wao malaya hao wa huko sio

    • @kelvinjonas6974
      @kelvinjonas6974 24 дні тому

      Labda wanataka waanze kulipa kodi (VAT)

  • @paidenasra4548
    @paidenasra4548 28 днів тому +10

    Mafuta Aslay nayaona apo😅😅

  • @tanzaniantraveller
    @tanzaniantraveller 27 днів тому +1

    Safi sana mkuu wa wilaya, neema zikumiminikie

  • @SuleimanKhdija
    @SuleimanKhdija 23 дні тому +1

    Safi kabisa zinaa itokomezwe kabisa

  • @user-by2gj2bw9f
    @user-by2gj2bw9f 27 днів тому +3

    Waambie wa ache uchoko wanataka tuatombe waoo. Toeni ajila basi

  • @hollymore4904
    @hollymore4904 28 днів тому +8

    Waacheni wapige Kaz.. otherwise muwape ajira

    • @gisdenga7740
      @gisdenga7740 28 днів тому +1

      Na ukiwafuatilia Wana vyeti vizur tu

    • @IsmailJafary-ir8cv
      @IsmailJafary-ir8cv 28 днів тому +3

      Acha ujinga wewe kizazi cha shetani unaona vizur hivo

    • @najmasalim-rg6ow
      @najmasalim-rg6ow 28 днів тому

      Yaan nikose Kaz ndo nikauze nyapu ni upunguf waakili kizazi Cha nyok​@@gisdenga7740

    • @mamasalhat
      @mamasalhat 28 днів тому

      Koma weeh kwani hakuna kazi zingine mbaka hii?

    • @ismailmasoud6001
      @ismailmasoud6001 28 днів тому +1

      Wewe mwenyewe hapo huna ajira , mbona hujiuzi..?

  • @RukiaJuma-ib3no
    @RukiaJuma-ib3no 27 днів тому

    Safi sana watutia album tu Wanamaker wenzetu album tupu

  • @neemareuben311
    @neemareuben311 27 днів тому +1

    Safi sanaaa nalipongeza sana Jeshi la police kwa hatua kama hiii ila Ila toen mitaji pesa mtaan hakunaaa watu wanalazimika kufanya ivi ili kulea watt na kusomesha watu wana majukumu sanaaaaaa aiseeee😢😢😢😢

  • @hildandumbalo5827
    @hildandumbalo5827 28 днів тому +3

    Kuna ajira lakini mnawaonea maisha magumu yamesababisha yote hayo jamani mwee waachieni

    • @omaryadam6884
      @omaryadam6884 28 днів тому +1

      Kwahiyo unawaunga mkono,

    • @mohammedsalim3315
      @mohammedsalim3315 27 днів тому

      Maisha magumu ndio watu watende madhambi ,wewe katika familia Yako yooote hakuna hata maisha magumu? Mbona hawajiuzi ,ugumu wa maisha isiwe ufunguo wa kutenda madhambi,basi watu waambie watu waibe Kwa sababu ya ugumu wa maisha! .

  • @Jesusbelongtome
    @Jesusbelongtome 28 днів тому +4

    Wee kujan na ngv hana maarifaa sas asante kazi gani

  • @isaselogistics7266
    @isaselogistics7266 28 днів тому +1

    safi sana ,gu atalinda

  • @ZedMngulwi-gw6nb
    @ZedMngulwi-gw6nb 16 днів тому

    Kazi nzuri jeshi la polisi

  • @mansoorburuhan6791
    @mansoorburuhan6791 28 днів тому +4

    saw mmefanya kazi nzr.. ILA kwann kabla hamjawakamata msiwaite mkawapa ushauri mkawambia watengeneze makundi mkawapa mtaji wakafanye biashara na mwisho mkaenda kukagua maendeleo ya mlichowapa???
    kuliko kutowasaidia na kuwaendeleza kuwadidimiza kama hawana sehem ya kutoa mtaji watafanyeje
    kumbk; nanyi mlipo MMEAJILIWA
    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣"MAWAZO TU YA MWANAGENZI...."

    • @flavy_kipps4025
      @flavy_kipps4025 27 днів тому +1

      mtu aliezoea pesa ya rahisi kazoea tu hata akipewa mtaji biashara ataona ngumu atarudi alipotoka

    • @fatmaabdallah7709
      @fatmaabdallah7709 27 днів тому

      Kwani kazi zingine hakuna mpaka lazima wafanye biashara?! Wafanyabiashara wameshatosha machinga wamejazana mabarabarani hata pa kupita hakuna!

    • @priscamabuga7396
      @priscamabuga7396 27 днів тому

      Waondolewe tuu kwakweli pale riverside Pana Tisha

    • @kondomrisho8776
      @kondomrisho8776 26 днів тому

      Mwamba unayumba maelezo mengi alafu poor point
      Unahisi hao jamaa hawana akili wewe ndiyo smart au na wewe mteja mbona unatetea sana watu wana data

    • @AshuraMkonda
      @AshuraMkonda 23 дні тому

      Well said..mtaani ni pagumu ingawa njia wanayotumia co nzuri kujiuza watu tunapambana adi tunataka kukata tamaa hakuna wakukupa mtaji wala support yeyote adi unatamani u give up

  • @user-mt6fd1eo3r
    @user-mt6fd1eo3r 27 днів тому +3

    Mbona wanakamata malaya tu hawakamat mashoga

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 27 днів тому

      Ajabu na wasagaji waliopo mpaka Serekali uonevu tu

  • @Hussein-gx4qu
    @Hussein-gx4qu 28 днів тому +2

    Hakuna Sheria inayoweza kuwaita hatiani hata mkiwakamata ni sawa mnapoteza muda

  • @murotv8960
    @murotv8960 27 днів тому +1

    Safi sana Mkuu, shikilia hapo hapo, Mungu atakuongoza

  • @kaaakwakutuliaa5179
    @kaaakwakutuliaa5179 28 днів тому +3

    mbona Ramada hamuendi kukamata mashoga hawa wanatombwa ki halali

    • @Sonia_abass
      @Sonia_abass 27 днів тому +1

      Itakuwa wanalipa kodi😂😂😂

  • @user-rj8zh8ok7q
    @user-rj8zh8ok7q 21 день тому +3

    Ndo inavo takiwa jiji liwe safi ndomana maisha magumu aisee

    • @allykagawa
      @allykagawa 18 днів тому

      Jiji lnakuaje safi wakat mashoga hawakamatwi!!?

  • @abdallahkambangwa7215
    @abdallahkambangwa7215 27 днів тому

    Hongera sana muheshimiwa

  • @DeusyWilliam
    @DeusyWilliam 15 днів тому +1

    Mmekosa Kaz nyie kwahyo mnataka tuhamie Kwa wanafunzi au

  • @Ambeniwatano
    @Ambeniwatano 28 днів тому +13

    Jamani eehee bandugu kweli itaniweka huru hao madada Kuna watu wanasaidia jamani kwani wanamkaba mtu watu wamejistili tatizo nin nguvu hii ya kuzuia machangudoa hii itumike kuzuia mijizi inayoibia sirikali hapo vp

    • @section8ight174
      @section8ight174 27 днів тому +1

      Kwani wewe hujui maathari ya madanguro kwenye Jamii? Hivi sielewi inakuwaje ukawa mtu mzima kabisa lakini bado akili finyu?

    • @Shemahonge-ku7xx
      @Shemahonge-ku7xx 27 днів тому

      Hivi wewe unaakirikweri hizotabia zinaharibu watoto

    • @Ambeniwatano
      @Ambeniwatano 27 днів тому

      @@section8ight174 uwezo wako wa kufikiri ndio ulipoishia wew una dhambi hao wapo toka Nyerere watoto wathirike kwani wanaenda kula la nao angalia hiyo video vzur Hilo eneo wapo ndani ya Fensi kabisa wanaoenda ni wateja wakirudi mtaani ni balaa Zaid kuliko uko kwenye madanguro

    • @superdrugtz
      @superdrugtz 27 днів тому +1

      😄 mjomba nimekuona mjombaa,, kweli mjomba ni mama hakika nimefata nyayo za ujombanii... Kwakweli Hawa wadada wanasaidia sana

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 27 днів тому +3

      ​@@superdrugtzmi ningefurahi ningesikia wamekamatwa mabakaji na malawiti, lakini dada poa wanajistahesha na kustarehesha wengine, waii upuuzi mtupu

  • @joellongidare8280
    @joellongidare8280 28 днів тому +4

    Mumekosa Kaxi kufanya

    • @saimonijonas4356
      @saimonijonas4356 27 днів тому +1

      Nani sasa kakosa kazi ya kufanya? Eleweka basi.

  • @sophiaappolo6411
    @sophiaappolo6411 20 днів тому

    Hongera sana kiongozi