КОМЕНТАРІ •

  • @user-il5pk2dr5n
    @user-il5pk2dr5n День тому +3

    Kweli kabisa akiwa waziri atapoteza ufanisi wake.

  • @osmundmtavangu
    @osmundmtavangu Місяць тому +4

    Kazi nzuri Prof ,acha kuwasikiliza akina Msukuma wasiojua hata kuchora picha ya moyo.

  • @julianadaudi8541
    @julianadaudi8541 День тому +1

    Asante kwa Somo zuri

  • @salumissa3200
    @salumissa3200 День тому +1

    allah bless you prof. Janabi

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz День тому +1

    Mashaaalah,janabi

  • @hosseinmaina2444
    @hosseinmaina2444 День тому +1

    Prof Mungu akusaidie uishi miaka mingi unatuelimisha sana

  • @ChristerKoku
    @ChristerKoku День тому +1

    Wslevi wanted pombe na vilivi vyote ni wabishi mno.Tumsikilize sana Pr.Nyanabi.elimu anayoitoa tukiifuata ni uponyaji

  • @user-ow7pl6tz2c
    @user-ow7pl6tz2c День тому +1

    Mungu akulaliki

  • @nathanmalangalila9791
    @nathanmalangalila9791 2 дні тому +5

    Uwaziri ni nafasi ya kiutwala,yy anafaa kuwa kwenye uwanja wa mapambano kama hivi anavyofanya.

  • @ramseyngwejela499
    @ramseyngwejela499 День тому +2

    Magonjwa mengi kwa binadamu karibu asilimia 80 hutokana na mfumo wa vyakula. Kwa maana hii 1. Kula vyakula au vitu ambavyo havifai ktk mwili. 2. Kula vitu ambavyo si vyakula au vinywaji halisi. m.f. soda na juice bandia. 3. Tabia mbaya ya kula chakula wakati hauna njaa, yaani kula kwa kufuata saa. Kula chakula wakati mwili hauhitaji kula. Huu mfumo wa tabia hii ndio vyanzo vya magonjwa mengi ktk mwili wa mwanadamu.

  • @estakapufi7582
    @estakapufi7582 День тому +1

    Ilitakiwa achaguliwe ndio awe waziri wa afya atatusaidia sana.

  • @user-nh9pp8xe2g
    @user-nh9pp8xe2g День тому +2

    Nimekuelewa msomo Mungu akubariki sana bila nyie tuta kwama

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 День тому

      Asante kwa kumsupport Doctor wenu. Dr. Anakutakiyeni afya nzuri.

  • @Anithasinga
    @Anithasinga 2 дні тому +5

    Nimeanza kunywa maji kwa wingi. Thanks doctor

  • @JudyUrio-zy7ri
    @JudyUrio-zy7ri День тому +1

    Asante professor

  • @OscerShop
    @OscerShop 3 дні тому +13

    Mh. Rais uyu Prof. Janab anatakiwa ikikupendeza awe Waziri wa Afya atatusaidia Sana kwakua anauwezo mkubwa.

    • @josephmasanja8584
      @josephmasanja8584 2 дні тому +1

      Una hakika gani kuwa elimu hiyo inatoka kwake?
      Maana yawezekana anatafsiri toka mitandaoni tuu???

    • @josephmasanja8584
      @josephmasanja8584 2 дні тому +1

      Una hakika gani kuwa elimu hiyo inatoka kwake?
      Maana yawezekana anatafsiri toka mitandaoni tuu??? Na uwaziri sio maelezo tuu, ni utendaji kazi hasa, sio blaablaa za kina Riziwani!!!

    • @upendoeliya9329
      @upendoeliya9329 2 дні тому

      ​@@josephmasanja8584😂😂😂

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 День тому

      ​@@josephmasanja8584 chuki itakuuwa wewe. Huyo sio dokta wako Ndodi wa tiba za asili anayegoogle au mpiga ramli na manyanga wa pale kijijini kwenu, huyo ni profesa wa afya ya mwanadamu. Ni daktari bingwa na ameshahudumu kama daktari binafsi wa raisi. Kwa sasa ndiye anayesimamia uangalizi wa afya za watanzania wote kama mkurugenzi mtendaji wa hospitali ya taifa ya Muhimbili. afya za watanzania zipo chini yake... uprofesa wake sio wa kupachikwa, kakaa darasani akasoma, bwege wewe!!

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 День тому

      ⁠@@josephmasanja8584Madaktari wote Duniani kama yeye ndio wanasema hayo hayo hata Madaktari wa China, India na Wazungu kwa jumla na hata wa Africa 😂😂😂 lakini nyiye wa Bongo lazima muwaponde Viongozi wenu wote. Sababu ya upungufu wa Elimu. Mambo ya ajabu kweli.

  • @Mapenzi2635
    @Mapenzi2635 3 дні тому +2

    Asante sana, Prof. Janabi.

  • @KiagoBakari
    @KiagoBakari 4 дні тому +4

    Prof wakupe tu wizara ya afya iliudhibiti vizuri eneolote la afya

    • @kheriakida3309
      @kheriakida3309 2 дні тому

      Hapa ndipo wabongo tunapokosea, hawa ma professor, hawatakiwi kuwa wanasiasa wabaki kuwa wataalamu na washauri, bahati mbaya sana hatuwatumii kwa sababu tunadhani watakwamisha deal zetu, ukimpeleka kwenye siasa huyu utamchukia hawezi sema kitaalamu tena, wako ma professor wengi wameangamia baada kupewa uwaziri

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 День тому

      @@kheriakida3309Lakini kuna wana wa Siasa ni Wachochezi wa BAYA.

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 2 дні тому +2

    ALIPWE MSHAHARA MZURI 🎉❤

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 2 дні тому +1

    Subuhanallah. Mtihani haya maladhi

  • @ChristerKoku
    @ChristerKoku День тому +1

    Msukuma anafikiri kila kitu ni siasa.pia .Tuliotayari kusikiliza tufuate maelekezo

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 2 дні тому +1

    Kazi nzuri Dr. Kwa elimu❤❤❤🎉🎉

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 2 дні тому +1

  • @shamsahaji6202
    @shamsahaji6202 2 дні тому +3

    Dokta sema unywaji wa pombe haufai kabisa waambie kweli iwe kidog owe nyingi .anaetaka achukue asietaka aendelee kunywa tu atakuona mbele huko alichokitafuta..

    • @nasirmohamed1589
      @nasirmohamed1589 8 годин тому

      Hahaha kweli kabisa mkojo wa ibilisi haufai uwe mdogo uwe mwingi

  • @VeronicaMalongo
    @VeronicaMalongo 3 дні тому

    I wish to understand if alcohol consumption is inherently likely to lead to kidney failure or if it's the resultant dehydration that leads to kidney disease? If the latter is the case, can we consume alcohol safely by consuming water too?

    • @DavidMutiba-hr3vo
      @DavidMutiba-hr3vo 3 дні тому +1

      Why not leave alcohol altogether, it's not food but a drug.If it risks your kidinies then it is poisonous and worth avoiding .

  • @NYANGHWALETV
    @NYANGHWALETV 2 дні тому

    YAANI ANAFAA SANA, WATU WANAFANIKIWA SANA KUPITIA VIDEO HIZI KAMA MAONI YA WATU WENGINE ANATAKIWA APEWE KIPINDI MAALUM KILA WIKI KWENYE CHANNEL ZOTE TZ KWA MUDA TOFAUTI ITASAIDIA SANA...

  • @kibasamohamedi8029
    @kibasamohamedi8029 3 дні тому

    Dah somo zuri, ili niweze kuepukana na matatizo! Hapo kwenye maji mimi inaweza pita hata wiki sijanywa maji

    • @josephmasanja8584
      @josephmasanja8584 2 дні тому

      Kunywa pombe sio dhambi, dhambi ni matendo yako baada ya kunywa pombe, sio wote wana matendo mabaya baada ya kunywa pombe

    • @josephmasanja8584
      @josephmasanja8584 2 дні тому

      Kunywa pombe sio dhambi, dhambi ni matendo yako baada ya kunywa pombe, sio wote wana matendo mabaya baada ya kunywa pombe

    • @josephmasanja8584
      @josephmasanja8584 2 дні тому

      Kunywa pombe sio dhambi, dhambi ni matendo yako baada ya kunywa pombe, sio wote wana matendo mabaya baada ya kunywa pombe

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl 2 дні тому

      Zambi. Kunywa pombe​@@josephmasanja8584

  • @deusswai3310
    @deusswai3310 2 дні тому

    Kwa ma saa 24 mtu anatakiwa alale ma saa ma ngapi

  • @OthnoShezume
    @OthnoShezume 2 дні тому

    Kusafisha figa ni kias ndugu

  • @maase2023
    @maase2023 День тому

    Huyu profesa janabi profession yake ni moyo sasa anaongelea figo je ana utaalamu nazo???

    • @Allyhujjat
      @Allyhujjat День тому

      Ushasema professor sasa unauliza tena kwani ujui kuwa mpaka mtu anatibu moyo ni lazima ajue kuhusu viungo vingine ikiwa figo sababu tatizo la figo ndio lina sababisha tatizo la moyo

    • @maase2023
      @maase2023 День тому

      @@Allyhujjat kila kiungo na elimu yake ! Janabi fani yake aliosomea ni moyo ! Figo ina fani yake na elimu yake kama hujui taaluma ilivyo bora unyamaze tu! Ww unadhania ukiitwa profesa ndio unajua kila kitu????

    • @user-ru6xu4hb1d
      @user-ru6xu4hb1d День тому

      @Ally hujat.acha ujinga sasa tufahamjshe ww ulosomea Figo mpumbavu mkubwa

    • @maase2023
      @maase2023 17 годин тому

      @@user-ru6xu4hb1d 😃😃😃😃😃 shidaaaa tupu dah! Mkisikia jina la profesa mnapagawa? Kila profesa ana kitengo chake acheni ujinga

  • @NYANGHWALETV
    @NYANGHWALETV 2 дні тому

    YAANI ANAFAA SANA, WATU WANAFANIKIWA SANA KUPITIA VIDEO HIZI KAMA MAONI YA WATU WENGINE ANATAKIWA APEWE KIPINDI MAALUM KILA WIKI KWENYE CHANNEL ZOTE TZ KWA MUDA TOFAUTI ITASAIDIA SANA...