RC CHALAMILA AVAMIA DANGURO MWANANYAMARA, AWAFUKUZA MADADA POA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 709

  • @RamadhaniLukambuzi
    @RamadhaniLukambuzi 11 місяців тому +34

    Safi sana kwa kukemea uchafu huo Mkuu Rc Chalamila!👏👏

  • @angelinasendwa8633
    @angelinasendwa8633 11 місяців тому +23

    Tumuombe sana huyu mkuu wa mkoa na.hakika ni Mungu Baba ndani yake ..shukrani kuu ikufunike na wote wanaolitakia mema Taifa hili....Madaraka halali ni kusudi la Muumbaji wetu..ndiyo maana Mungu Baba aliye hai huyafuta machafu kupitia aliyemkusudia..🙏🙏🙏

    • @BakariMtangenange
      @BakariMtangenange 11 місяців тому +1

      Siasa2 hakuna lolote hata bashite alifanya ivi lakini hakuna kilichoendelea

    • @AllyMkola-u7e
      @AllyMkola-u7e 11 місяців тому

      Uongozi niwatu Sasa Kama hamumpi ushilikiano atafauruje?
      Acha ujinga tuungane kumuombea kwa jambo hili jema.

    • @BakariMtangenange
      @BakariMtangenange 11 місяців тому

      @@AllyMkola-u7e ushirikiano upi sasa hapo unaoutaka yy mwenyewe fisadi anajipatia pesa kwa dhulma

  • @fatmasalim8293
    @fatmasalim8293 11 місяців тому +15

    Vizuri sana brother dini yoyote haikubali mambo machafu mungu akulinde brother ameen

  • @maruhe1958
    @maruhe1958 11 місяців тому +20

    Mungu akutie nguvu mkuu, asante kwa kuamua kulivalia njuga safisheni dsm yote, kwa nini watu hawataki kimtafuta Mungu?

  • @hono1232
    @hono1232 11 місяців тому +38

    Sasa shughurikieni pia watu wa mapenzi ya jinsia moja pia !

    • @abdallahrenatus6677
      @abdallahrenatus6677 11 місяців тому +1

      Hili ni muhimu zaidi.

    • @godlistengodlisten7552
      @godlistengodlisten7552 11 місяців тому

      @@abdallahrenatus6677 WAPUUZI WENGINE NI VIONGOZI WA NCHI HII NDIO WANAWATUMIA MASHOGA.

    • @MrA24G
      @MrA24G 11 місяців тому

      Tena shughulikieni sasa ya jinsia moja mashoga na wasagaji jtahdini Kwa hao maana hao mpk haki za binadam sasa hviii wanawalinda chalamila deal na mashoga na wasagaji maana hiyooo ni laana kbsaaà hata Kwa taifa.

    • @suleseif2678
      @suleseif2678 11 місяців тому

      Safi

  • @FredyThomasi
    @FredyThomasi 10 місяців тому

    Asante Sana apo umesema yani nakupa big up jamani nafanyie kazi na hao mashoga ukinipa ruksa niwauwe miwakwanza manna wanatuchafulia nchi yetu mkuu yani minatamani wafe wote Mana wanaume wanazalilika kupitia uchafu wao

  • @johnbilusha8522
    @johnbilusha8522 11 місяців тому +18

    Be blessed mkuu 🙏🙏 maana hakuna DINI yyte inayoruhusu biashara halaamu hiyo...

  • @masakamgalla9273
    @masakamgalla9273 11 місяців тому +2

    niko proud sana na kazi ya Mwalimu wangu. mkuu wa mkoa. hongera sana

  • @osodowilberforce2321
    @osodowilberforce2321 11 місяців тому +11

    Na huyu ni Mkuu Wa Mukoa kweli.Haya niliyaona wakati wa Hayati Mzee Jomo Kenyatta miaka ya sitini na sabini kwetu hapa Kenya.Mungu awasaidie ndugu na dada zangu na majirani wazuri Tanzania.

  • @hafidhbarau9981
    @hafidhbarau9981 11 місяців тому +2

    Hongera, Mungu akuhifadhi na wenye chuki na wewe, Mungu akukweze kwenye cheo cha juu

  • @hamisikigomba7721
    @hamisikigomba7721 11 місяців тому +8

    M/MUNGU awabariki sana viongozi wetu

  • @AbdallahHaroub
    @AbdallahHaroub 10 місяців тому

    Mueshimiwa mungu akutie nguvu ili zoezi lizunguke tanzania nzima maadili yetu na utamaduni wetu urudi,,komesha na mavazi ya wadada wasio na adabu wanao poromosha maadili

  • @azizimasenga3893
    @azizimasenga3893 11 місяців тому +1

    Mwenyezi mungu,msimamie huyu Mja wako kwakukemea Mambo ya kishetwan,Na umpe umri mrefu wenye baraka pamoja na famiria yake.

  • @DelphinaCharles
    @DelphinaCharles 11 місяців тому +11

    Baba mungu akubariki kwa uamuzi huko

  • @morrisairo8267
    @morrisairo8267 11 місяців тому +7

    Heko sana RC Chalamila!
    Nimevutiwa na msimamo wako, huu ujinga ukomeshwe!!

  • @abuahmad6432
    @abuahmad6432 11 місяців тому +22

    Hatuna cha kukulipa ila tunakuombea kwa mwenyezi mungu akulipe mema kwa kazi hii ya uadilifu kiongozi wetu

  • @miriamdavis3893
    @miriamdavis3893 11 місяців тому +2

    Ubarikiwe mkuu wa mkoa wewe na uzao wako wa kike na wakiume ,Mungu wa mbinguni akubariki.

  • @christaoman8890
    @christaoman8890 11 місяців тому +1

    Safi sana mkuu wa mkoa wa.dar.es salaam piga kazi big up

  • @paulajohn7901
    @paulajohn7901 11 місяців тому +2

    Mwenyezi Mungu ameanza kutuinulia watu wa kuiokoa Tanzania yetu.Barikiwa Mama Samia na viongozi wako wenye uzalendo

  • @salumally663
    @salumally663 11 місяців тому +7

    Safiii sanaa...naombaa ujeee hata huku Toangoma sheli.mungu akulinde

  • @fidemikaeli8145
    @fidemikaeli8145 11 місяців тому +6

    Safi sana Mungu akutangulie

  • @paciencemaumba7022
    @paciencemaumba7022 11 місяців тому +2

    Mkuu umechukua uamuzi mzuri sanaaa.
    Hongera

  • @hamoudyahya7635
    @hamoudyahya7635 11 місяців тому +10

    Tumshukuru Mungu kwa kutupa raisi kama Mama Samia. Mama katuletea Chalamila.

    • @salaita2829
      @salaita2829 11 місяців тому

      Sasa mama samia kaingiaje hapa

  • @pispaakim5123
    @pispaakim5123 11 місяців тому +5

    Ubarikiwe Mkuu wa mkoa, Mungu mtunze mtumishi wako chalamila, bado wanaotembea na shumizi barabarani

    • @pispaakim5123
      @pispaakim5123 11 місяців тому

      Bado wanaotembea nusu uchi barabarani

  • @AmirjumaAmir
    @AmirjumaAmir 11 місяців тому

    WAkuu was mikoa waige maamuzi ya huyo mwamba Yuko sawa hatutaki umalaya kabisa komesha ujinga mkuuu safi sana

  • @allykondo8406
    @allykondo8406 11 місяців тому

    Viva Chalamila uko vema Allah (sw) akusimamie
    Bado buguruni brother

  • @jamesbilafumba6902
    @jamesbilafumba6902 11 місяців тому

    Tungekuwa na wakuu wa mikoa hata watano hama huyu, tungefika mbali sana, sasa anaumiza kichwa mmoja tu, Viva sana mkuu wa mkoa

  • @madamuhimu9354
    @madamuhimu9354 11 місяців тому +2

    Buguruni MADENGE MHESHIMIWA njoo na huku

  • @AsumaniYohana
    @AsumaniYohana 11 місяців тому +7

    Ongera sana kiongozi kwa kazini zuri.unaposwa kuongezewa cheo❤❤❤❤

  • @nestorymuhoja3779
    @nestorymuhoja3779 11 місяців тому +4

    Nimefurahishwa sana na hatua za kijasiri sana alizozichukua Mh. Chalamila mkuu wa mkoa wa DSM. Mambo haya aliyaanza kuyatekeleza Mh. Paul Makonda, lakini wakosoaji wakaingilia kati na kufanikiwa kudhoofisha operation hii nzuri. Uchangudoa siyo biashara lakini ni kugandisha akili kwenye deli la ascrm na baada ya muda mfupi shida na, malazi, umasikini, uvivu na ujinga hurudia asili yake. Mungu akutie nguvu Mh mkuu wa mkoa, CCM ina viongozi bado mahili sana lakini wanahaki za binadamu na waliozoea kula bila jasho watalaani na kuingilia kati kazi hii nzuri, msitokee hata mmoja, halipo tàifa linalofanikiwa bila kuchapa kazi za kufa na kupona. CCM oyeee!, Chalamila chapa kazi brother, umenifurahisha sana!!!

  • @charlesrongo3615
    @charlesrongo3615 11 місяців тому +1

    UBARIKIWE SANA MKUU WA MKOA NA VIONGOZI WOTE

  • @godlistengodlisten7552
    @godlistengodlisten7552 11 місяців тому +2

    HONGERA NA WAKATI WALIKUA HAPO MPAKA NYUMBA ZIMEZEEKA KAMA NI KUSAFISHA SAFISHENI NA HUKO SERIKALINI MUANZIE VIONGOZI WOTE WEZI ILI NCHI HII IWE SAFI,KWA KUWA MMEYATAKA WENYEWE,KUSHIKILIA NAFASI ZOTE ZA KAZI SERIKALINI,HAMUAJIRI BALI MMEZISHIKILIA NYIE.

  • @swahilitherapytv3846
    @swahilitherapytv3846 11 місяців тому +7

    Hongera sana , ametupunguzia laana

  • @kitotohassan9858
    @kitotohassan9858 11 місяців тому

    Ubarikiwe baba mm nimeachwa na mume wangu kwa ajili ya Malaya hao baba

  • @valenakomba9218
    @valenakomba9218 11 місяців тому

    ASANTE CHALAMILA. WEWE NI MTOTO WA MUNGU. MUNGU AKUONGEZEE IMANI .

  • @AmirjumaAmir
    @AmirjumaAmir 11 місяців тому

    Hongera sana huo ni mtihani kaka umefanya vizuri sana

  • @RoseJumanne-yo3ls
    @RoseJumanne-yo3ls 11 місяців тому +4

    Mungu akutangurie kukemea dhambi ni kufanya kazi ya Mungu

  • @timetravellor5367
    @timetravellor5367 11 місяців тому

    100% support ukimaliza hapo uingie bar huko pia wapo

  • @ShaniShebila
    @ShaniShebila 11 місяців тому +3

    God job bab etu mungu akubariki

  • @nasmasanga1902
    @nasmasanga1902 11 місяців тому +11

    Safi Sana mungu akusimamie

  • @AzaShamba
    @AzaShamba 11 місяців тому +1

    Safiii mkuu
    Wataanza kujiunza kwa MITANDAO. Dunia imechafuka

    • @kakaaignas3675
      @kakaaignas3675 11 місяців тому +1

      Tyr washaaanza unajua Leo wewe

  • @NeemaIssa-pj9yj
    @NeemaIssa-pj9yj 11 місяців тому

    Mkuu nakupongeza kwa ilo mungu atazidi kukupa hekima na busara

  • @husseinbigga8021
    @husseinbigga8021 11 місяців тому +4

    uyu mwamba anaongea.. hii speech ni km amendikiwa sem flan imepangika.. King Chalamila himself💪💪✌

  • @meshmeshak1095
    @meshmeshak1095 11 місяців тому

    Good brother

  • @ramadhanjafar9414
    @ramadhanjafar9414 11 місяців тому +6

    Mashallah hogera sana

  • @bongo39
    @bongo39 11 місяців тому +2

    Magomeni makuti mtaa wa msikiti mdogo kuna nyumba ina mambo yote hayo mabaya ila kimya wahusika fatilieni na mtaa wa kisangilo kuna kundi la vijana wezi wauza madawa ya kulevya

  • @FatimaAli-of4gh
    @FatimaAli-of4gh 11 місяців тому +1

    Tusafishie na wanaotembea uchi wanawatamanisha wanaume wanabakabaka ovyo mkuu

  • @rajabuvumbi7926
    @rajabuvumbi7926 11 місяців тому +3

    Mkuu wa mkoa hongera kwa maelezo hayo, kuna vijana wanasema hawawezi kuoa kwa vile Madada poa wapo. Mambo haya sehemu nyingi mpaka vijijini muheshimiwa sio Dar. tu.

  • @halidimgonza5945
    @halidimgonza5945 11 місяців тому

    safi sn nakukubal mkuu w mkoa n nakupenda coz unajiamin sn, well done

  • @dotnatajoseph2620
    @dotnatajoseph2620 11 місяців тому

    Umeongea point sana mkuu shida zipo lakini zisikudhalilishe safi sana

  • @OmariSaidimsusa
    @OmariSaidimsusa 11 місяців тому +1

    Hakika kiongoz unastahil kupewa hongera Sana Tena Sana kwa kaz mzur

  • @batashqiraa9936
    @batashqiraa9936 11 місяців тому +2

    Asante mkuu wa mkoa umewaokoa watoto wetu wadada na wamama kwa kweli mambo haya yanashusha hadhi ya wakinamama

  • @rosemarysulle9288
    @rosemarysulle9288 10 місяців тому

    Safi sana,toa hizo takataka tena piga risasi maasi yaishe tz.huu ni ujonga taifa la sodoma na gomora hatutaki.

  • @assyoutyebnuleslaam
    @assyoutyebnuleslaam 11 місяців тому +4

    Lakuongeza ni kwamba wengine wanafanya biashara hii kwa kujotangaza mitandaoni wazi wazi

  • @ramadhanjuma610
    @ramadhanjuma610 11 місяців тому +3

    Uyu mkuu Mungu amlinde jamani ivi kwanini serekali amzui uchafu kama huu dar mkuu Nina Imani imani yako ime kufanya ufanye ivi Mungu akulinde Amina 😭😭

  • @hadijarajabu7198
    @hadijarajabu7198 11 місяців тому +5

    Mungu akutangulie baba, hakika hili ni tatizo kubwa sana kwa vizazi vyetu

  • @malimamashaka5546
    @malimamashaka5546 10 місяців тому

    Hapo sawa kiongoz

  • @malimamashaka5546
    @malimamashaka5546 10 місяців тому

    Hapo sawa kiongoz

  • @adambakari9276
    @adambakari9276 11 місяців тому +1

    Safi sna mungu akuongoze

  • @venitarugemalila9290
    @venitarugemalila9290 11 місяців тому +3

    Kweli kabisa hawa watu wa nje wanatuharibu vizazi vyetu yaani tunalaani washindwe kwa jina la yesu

  • @yaspisardoniki6224
    @yaspisardoniki6224 11 місяців тому

    Kupitia MKUU WA mkoa Mungu ameikumbuka Tanzania

  • @aishakamuli2541
    @aishakamuli2541 11 місяців тому +15

    Kwa kweli nakuunga mkono kwa kile unachokisema hata kina mpendeza mwenyezi Mungu ❤❤❤❤

  • @JosephTibu
    @JosephTibu 11 місяців тому +8

    hatari sana, mungu ibariki Tanzania 🇹🇿 🙏

  • @UpendoTonny
    @UpendoTonny 11 місяців тому +4

    Duh wapiga NYETO KAZI wanayo sasa sabuni zitakoma 😂😂😂😂😂😂

    • @AzaShamba
      @AzaShamba 11 місяців тому

      😂😂😂😂

  • @NorbethJosphath-hm1zb
    @NorbethJosphath-hm1zb 3 місяці тому

    Funga mabaa yote Tanzania Mungu akubariki

  • @edinafaustinez8514
    @edinafaustinez8514 11 місяців тому +6

    Umefanya vzr sana mkuu wa mkoa ..na mungu akurindee 🙏

  • @omanmobile5746
    @omanmobile5746 11 місяців тому +3

    Bado buguruni kwa mhaya nendeni mkavunje wanatuharibia watoto kwa kweli

  • @michaelsamson9663
    @michaelsamson9663 11 місяців тому +9

    Kijana wakiume unaetaka mwanamke wa elfu 3000 Jua kwamba umepotea kwenye mfumo maisha😢😢

  • @MBARAKAKHAMISI-qj1em
    @MBARAKAKHAMISI-qj1em 11 місяців тому +1

    Mbona hapa nchini Kuna zulma nyingi kwanini mmeanza naao wananchi mgeanza na serikali polisi viongozi mpaka serikali za mitaa mkaeka Sheria Kama mzee magufuli halafu ndo mkaja na wanannchi uwonevu tu

  • @RoseLekule-j3t
    @RoseLekule-j3t 11 місяців тому +4

    mimi nashangaa watu wengine wanatetea ,eti walikuwa wanatapa riski, sasa kwan wasiponunuliwa tuseme mtakufa njaa, RC chalamila umewaokoa dunian na mbinguni, big up

    • @princesinko4073
      @princesinko4073 11 місяців тому +1

      Hawa wanaotetea uhuni huu ndio wateja wenyewe, alafu washenzi sana

    • @Miriam-l8g5g
      @Miriam-l8g5g 11 місяців тому

      Mhmh hi ni hatar sana

    • @ComedySokomoko
      @ComedySokomoko 2 місяці тому

      Yes wanatufa risk

  • @Mudymnyama-xp5ou
    @Mudymnyama-xp5ou 11 місяців тому +7

    Mashallah Allah Allah akuongozee kwa kazi zk kiongozi mwadilifu❤

  • @deusdedithhenry1524
    @deusdedithhenry1524 11 місяців тому

    Mwenyezi Mungu akusaidie

  • @wamoyothenumberone4356
    @wamoyothenumberone4356 11 місяців тому +8

    Kweli baba asante baba mkuu wetu wa mkoa

  • @solomondanny-1507
    @solomondanny-1507 11 місяців тому +1

    Wewe ni kiongozi bora

  • @OmanOman-dd5qk
    @OmanOman-dd5qk 11 місяців тому +1

    Mkuu bado la tandika dabokibini wapo kabomoe nako mungu akulindenamahasidi uposahihi majalibio mbande zipo nyampopo na mikumi fuatilia

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 11 місяців тому +1

    Wape mtaji waanzishe biashara zingine. Mikopo ya wasanii tu tunanyimwa kwa vigezo vya kipuuzi na machinga barabarani mnawafukuza alafu unaenda kufunga bar au unavunja biashara za watu kwa kuwa wewe unauhakika wa kesho yako. Hebu tunaomba mfanye siasa za kweli na safi muache ufisadi kama serikali. Ni bora malaya 10 kuliko fisadi 1 nchini.

  • @easternyerembe7271
    @easternyerembe7271 11 місяців тому +1

    Wakamatwe pia wanaojuiza ucku waziwazi mpk tunashinda kupita na watoto wetu aibuuu Tena cku hizi mashoga na wasagaji waziwazi

  • @juliusmoivana9844
    @juliusmoivana9844 11 місяців тому +7

    Mungu akutangulie mkuu wetu

  • @juliusdominic-uk4bu
    @juliusdominic-uk4bu 11 місяців тому

    ongera sana mkuu wa mkoa na mungu wa haki na wema atakulipa

  • @SamwelJaphet-p4w
    @SamwelJaphet-p4w 11 місяців тому

    Safi sana kwa opereeshen hii itembee nch nzima ,na kila mkoa ,wilaya ,tarafa had kata mpk kijiji hali hii imeenea sana,ili watu wabadili mitqzamo

  • @jafarinauma6798
    @jafarinauma6798 11 місяців тому +2

    Mungu akubariki mnooo RC wetu endelea kufanya kazi sisi tupo nyuma yako ili ni jambo kubwa sana umefanya wameshindwa wengi kukemea hili wewe ni shujaa

  • @allywilson4155
    @allywilson4155 11 місяців тому +1

    Fuatiliya mashoga nao mkuu tuone kama marekani aito stopisha misaada Yao

  • @babitojnr4886
    @babitojnr4886 11 місяців тому +3

    Mkuu hapo tuko pamoja ila ningeomba tu uwatafutie mtaji wa kufungua biashara hata kama ni kuwakopa mkuu bila hivyo kesho wanahamia mikoa mingine na itakuwa hujatatua shida ila umeihamisha kutoka dar kwenda chalinze,hayo ni maoni yangu tu😶

    • @festinamwakipale3919
      @festinamwakipale3919 11 місяців тому +1

      Watafute biashara wakiwapa mtaji bado hawawezi wakipewa.wamuogope.Mungu

  • @easternyerembe7271
    @easternyerembe7271 11 місяців тому +1

    Na mashoga wanaojitangaza kama yule wa tabata na ana kigoma kabisa anabango anasema anataka kuolewa na gauni kavaa, na wa mitandaoni

  • @Fear_Allah394
    @Fear_Allah394 11 місяців тому +1

    Na wanaojiweka mitandaoni na mavazi ya ovyo nao washughulikiwe mana wanajiuza indirect.

  • @hassanomarykazogolo6806
    @hassanomarykazogolo6806 11 місяців тому

    Nakubari sana mkuu piga kazi

  • @valenakomba9218
    @valenakomba9218 11 місяців тому +5

    Tanzania, Asante mkuuu wa mkoa. Mungu akubariki Sanaa.

  • @AbuuRuudaynaa
    @AbuuRuudaynaa 11 місяців тому +3

    Kwahilo mimi nakuunga mkono kwa maamuzi hayo

  • @MakanyilaTeam
    @MakanyilaTeam 11 місяців тому +1

    Wengine wapo apo mbagala stend ya mwendo kasi boc.

  • @sengengemangae3698
    @sengengemangae3698 11 місяців тому

    Big up sana

  • @AtanaziusStanslaus-w6k
    @AtanaziusStanslaus-w6k 10 місяців тому

    Pa1 sana mkuu wa mkoa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

  • @promaInvestment01
    @promaInvestment01 11 місяців тому +2

    Big Up...
    Uishi Miaka Mingi umeongeza Maneno Kuntu.. Mashaa Allah.

  • @assyoutyebnuleslaam
    @assyoutyebnuleslaam 11 місяців тому +5

    Maashaa Allaahu baaraka Allaahu fiika

  • @mnelahMussa
    @mnelahMussa 11 місяців тому +1

    Kuna mtu aliniambia alikutana na shemeji yangu, kwenye hayo mavyumba, akilisha ndafu akimchiti kakaangu.

  • @HasnaAlharthi-e6d
    @HasnaAlharthi-e6d 11 місяців тому +1

    Asante mkuu ubarikiwe sana

  • @geopatwo2978
    @geopatwo2978 11 місяців тому

    Kazi nzuri mkuu

  • @AnethEdward-nf6sc
    @AnethEdward-nf6sc 11 місяців тому

    Tatizo ni kauli kwamba mijini Kuna Raha na ajira tele,kumbe unaweza kuendesha shughuli kijijini au wilayani, ukajiamini na MUNGU akakubariki ukafanikiwa bila hata kujiuza na kipato chako kikawa Cha baraka, na tuwaambie wadogo zetu au watoto lzm kufanya kazi za halali Ili kufanikiwa. Na usipende ela ya kupewa ,umiza ubongo kupata chako hutauza mwili wako na ukahaba utaisha .

  • @easternyerembe7271
    @easternyerembe7271 11 місяців тому +1

    Nenda ubungo riverside baba ujioneee

  • @istambulahmed6664
    @istambulahmed6664 11 місяців тому

    Hongera sana tunataka viongozi kama huyu hata MUNGU yuko pamoja naye.

  • @mussakimaro5588
    @mussakimaro5588 11 місяців тому +2

    Msiwape wiki mbili kubomoa leteni greda mututengenezee uwanja WA mpira tu hapo