INAUMIZA: MTOTO AKUTWA NA MAITI YA MAMA YAKE,MUME ADAIWA KUHUSIKA NA MAUAJI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 89

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly Рік тому +10

    Mwenyezi Mungu tunusuru wanawake,hatuna mwingine zaidi yako,tusimamie na utulinde eeeh Mwenyezi Mungu.

  • @mariamfritsi4943
    @mariamfritsi4943 Рік тому +21

    Inasikitisha sana jamani, mtoto wa mwezi mmoja atapewa vipi uji jamani,ingalau wangempa maziwa hata ya ng'ombe na kijiko,kuliko uji.nimepata uchungu sana ,na huyo mtuhumiwa alikuwa na akili timamu,mbona hajamuua mtoto pia.

  • @ritapiusnicolaus7068
    @ritapiusnicolaus7068 Рік тому +11

    Inasikitisha sana😢😢Mungu Ampumzishe kwa amani 🙏🙏

  • @FatmaAmir-s1o
    @FatmaAmir-s1o Рік тому +7

    Inaumiza jaman hasa mtoto maskin ameachwa mdogo sana 😢 mauaj yamezid sana

  • @annatemu4488
    @annatemu4488 11 місяців тому

    Na watu wa huko kweli ni wastaarabu sana,yaani kwa Dar huyo mtuhumiwa saa hizi nae anagekuwa anaitwa marehemu🙌🏻

  • @chimamilion
    @chimamilion Рік тому +9

    Ckuiz mtu akiwa natatzo laakir anakimbilia kuuwa zaman walikuwa wanakimbilia jalalani kulavyakula vyakuoza hawavichaa wassa nimtihani

    • @waukweelinikkon6555
      @waukweelinikkon6555 Рік тому

      Kweli kabisa zamani utasikia amekimbilia majalalani,sasa hivi wanaua tena kikatili mnooo,sijui uchaa hani huo😢😢😢

    • @chimamilion
      @chimamilion Рік тому

      @@waukweelinikkon6555 😂😂vichaa wasasa wamenishinda tabia

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly Рік тому +11

    Sasa kama alikuwa na mtikisiko wa akili kijana wako mbona msimpeleke hospitali,unamuacha akae na binti wa wenyewe na kuhatarisha maisha yake mpaka mauti.

    • @neema_mollel
      @neema_mollel Рік тому

      😢😢nashangaa sana.
      Mtu akiwa na shida ya akili ni hatari

  • @itanzaniaAS
    @itanzaniaAS Рік тому +6

    Mtoto wa mwezi 1😢😢😢😢😢dah

  • @arafakiloli749
    @arafakiloli749 Рік тому +4

    Innah lillah wainna ilayhi rajiun Allah amrehemu.

  • @maryumamapunda8910
    @maryumamapunda8910 Рік тому +1

    Mmmmh dunia hiii 😢😢😢

  • @SelinaPaschal-vq2iy
    @SelinaPaschal-vq2iy Рік тому +12

    Yani kuwa wakati nibora uishi peke yako tu Yani unamuawa mwenzako na anamtoto mdogo naana takiwa kunyonya jamani

    • @mymuhnabdallahshaban7763
      @mymuhnabdallahshaban7763 Рік тому

      Ana matatiz sio akil yake Kwan husikii mama ana matatiz ya kuanguka Akili huruka na km angekuwa kafany kwa Akili yake angekimbia hyo kijana

    • @mimahmimah1595
      @mimahmimah1595 Рік тому

      Maskini inaonesha akili ziliruka

    • @SelinaPaschal-vq2iy
      @SelinaPaschal-vq2iy Рік тому

      MUNGU amsaidie tu

  • @HalimaMbaruku-y8r
    @HalimaMbaruku-y8r 2 місяці тому

    😢😢😢 mungu ampumzishe salama

  • @Happy-tx7p
    @Happy-tx7p Рік тому +11

    Dah unaumiza san mtoto wa mwez kapew uji tayar

    • @elinekileo6229
      @elinekileo6229 Рік тому +2

      Utafikiri huyo aliyetoa ushauri wa kupikiwa uji hajazaa jamani. walikosa maziwa

  • @khaalidcheo5383
    @khaalidcheo5383 Рік тому +4

    Mtiani duh.masikini mtoto wangu mie😢

  • @Amina-xc8tl
    @Amina-xc8tl Рік тому +2

    SUBHANAALLAH 😢

  • @kadreenakitchen8098
    @kadreenakitchen8098 Рік тому +1

    Maziwa ya ngombe wangemnunulia kuliko uji

  • @JosephKataina
    @JosephKataina Рік тому +3

    Kuna wakati tumtangulize Mungu kwanza, na endapo unaona na mwenza wako mna ugomnvi heri kuacha kuliku kuuana

  • @zubedadello9117
    @zubedadello9117 Рік тому +3

    Ooh jamani inasikitisha sana, mtoto bado mchanga sana, poleni sana wafiwa..

  • @OmanOman-bx5du
    @OmanOman-bx5du Рік тому +9

    Mtu amejifungua atanguvu bado unampiga tena

  • @SaphinaMalero-ri6pq
    @SaphinaMalero-ri6pq Рік тому +4

    Tatizo bangee jaman yan bange haijawah kumwacha mtu salama achen

  • @trifoniambilo2400
    @trifoniambilo2400 Рік тому

    Uwiiii jaman dunia hii

  • @SarahAbdallh-rc2iu
    @SarahAbdallh-rc2iu Рік тому

    Allah akuifadhi 🙏🙏

  • @RahimaMct-ik8mr
    @RahimaMct-ik8mr Рік тому +3

    Dah ata arubain hajamaliza jaman😢

  • @StellaPendaeli
    @StellaPendaeli Рік тому +1

    Angekuwa Hana faham angemuua na mtoto

  • @PhyinaElias-mu4wf
    @PhyinaElias-mu4wf Рік тому +2

    Binadamu n wanyama ee mungu tusaidie

  • @pendo8082
    @pendo8082 Рік тому +2

    Aiseee jamani 😢

  • @AminaNtolee
    @AminaNtolee Рік тому +1

    Alikufa mkwamaumivu yauzazi yalikuwa hayajaisha tumbo bado bichi mwili aujakuwanaguvu jamani balaa

  • @sauda4505
    @sauda4505 Рік тому +4

    Huyu mama anaonekana anamtetea mwanae kwanini asiseme kama mwili ulikuwa una damu kwanini asiyaone hata ayo ya matapishi Kisha asema uongo et hana kifafa hivi ungekuwa ww ni mzazi wa huyo aliefariki ungeweza kumteteaa muogope mungu mama

    • @fefeonlyme5394
      @fefeonlyme5394 Рік тому +1

      Na wew ungekuwa mama wa mtoto aliyeua ungemchoma.mwanao?.seme hivi tuombeane mwisho mwema kwetu na vizazi vyetu

    • @sauda4505
      @sauda4505 Рік тому

      @@fefeonlyme5394 me sitetei upuuzi ww yaan mtu auwe nimtetee c Mimi et kisa mwanangu! Kwani yule aliyekufa hakuzaliwaa? nitazungumza ukweli wote kama ni adhabu akaipate inayostahiki

    • @dorisuronu3183
      @dorisuronu3183 Рік тому

      Kweli kabisa

    • @gloriamsaki9109
      @gloriamsaki9109 Рік тому

      Utaonyesha vyeti vya daktari.kama wewe ndio daktari tutajua

  • @sabihahamadi2287
    @sabihahamadi2287 Рік тому +2

    Mtihani mwenyezi mungu tuongowe waja wako

  • @simonitaagesti4765
    @simonitaagesti4765 Рік тому +5

    mama anamtetea mwanae huyu

  • @trifoniambilo2400
    @trifoniambilo2400 Рік тому

    Ni kifafa kwel au unamtetea mwanao mama duuu inauma San pole wazaz wa ester mtot mwez 1 msimpe uji mimpe maziwa

  • @SalamaNauthar
    @SalamaNauthar Рік тому

    Walimwengu jamani' tumekua na roho gani????😭😭😭😭😭

  • @TatuHossea
    @TatuHossea Рік тому +1

    Duuuuh mungu tusaidie

  • @MariaBasil-z7q
    @MariaBasil-z7q Рік тому +1

    Aise n mtihan

  • @zuenajohn8325
    @zuenajohn8325 Рік тому +3

    Mbona utajifunga, kuwa muwazi magereza kilimpeleka nini?.

  • @neemabright3635
    @neemabright3635 Рік тому +1

    😢😢😢😢 duh,

  • @zuenajohn8325
    @zuenajohn8325 Рік тому

    M.mohamedi Mohamedi ameanza kuanguka kifafa lini?. Tuwe na hofu ya mungu.

  • @jescajulius8023
    @jescajulius8023 Рік тому +1

    We mama acha kutetea uovu,mtoto anauma

  • @rahellubandila1928
    @rahellubandila1928 Рік тому

    Wamwamini Yesu waache dhambi bila Yesu dhambi inahasara

  • @Aneth-u7f
    @Aneth-u7f Рік тому

    Binadamu ni wanyama

  • @Zenabzenab-v2k
    @Zenabzenab-v2k Рік тому +1

    😭😭😭😭 10:12

  • @graciedivyang
    @graciedivyang Рік тому

    Kma chizi si angekua jalalani anyongwe atapatia akili kuzimu huko

  • @RabiaIddi-ci2uz
    @RabiaIddi-ci2uz Рік тому

    huyo hakuna cha kusema azimia huyo anatakiwa anyongwe atapatia akili akiwa motoni

  • @pungopungo411
    @pungopungo411 3 місяці тому

    Vituo vyenyewe vya polisi havina magali ya kutosha .bado Tanzania tuko nyuma sana kimaendeleo .rushwa umekidhili

  • @pungopungo411
    @pungopungo411 3 місяці тому

    Serikari wekeni magari ya kutosha vituoni.hadi vijijini.hovyo sana polisi wanakodi pikipiki kwenda kwenye tukio.huku wabunge wananunuliwa magari mengi ya kifahali

  • @ulaweboy9826
    @ulaweboy9826 Рік тому

    Magugu ni kwetu ila kuna mambo y kipuuzi

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa Рік тому

    Yani uyu mama anavyo ongea kama amekufa mbuzi anasubiri supu anaongea kwa mapozi kabisa subhanna Allah 😭😭

    • @zaitunisagwa2082
      @zaitunisagwa2082 Рік тому

      Watu walilelewa tofauti, na watu wanatabia tofauti. Sio kila mtu hubabaika kunapotokea jambo.

    • @AminaLibisa
      @AminaLibisa Рік тому

      @@zaitunisagwa2082 Kwa iyo unaona ni sawa au haujawahi fiwa wewe msiba usikie Kwa mwenzio tu na kama ulisha pitia hata ikitokea msiba unakumbuka mazito yalio kufika lazima ujisikie vibaya sembuse iyo mama mke wamwanae amekufa na amekiavha kitoto kidogo daah kweli mungu mkubwa

  • @tatuluanda6581
    @tatuluanda6581 Рік тому +1

    Nataman Mnipe Mie huyo mtoto ili nimnyonyoshe jaman au haiwezekani

  • @HalimaMbaruku-y8r
    @HalimaMbaruku-y8r 2 місяці тому

    Inasikitisha mtoto wa mwezi mmoj

  • @HalimaHamis-uz6qd
    @HalimaHamis-uz6qd Рік тому

    Anatakiwa anyongwe huyo kijana .

  • @Rose-ue2ho
    @Rose-ue2ho Рік тому +1

    Uji mtoto ana mwezi mmoja😢

  • @mackysuphian
    @mackysuphian Рік тому +1

    😭😭😭💔

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 Рік тому +2

    Sasa tunafanyaje eee mungu tusaidie peke yake hatuwezi

  • @SophlaJackson-nt1nc
    @SophlaJackson-nt1nc Рік тому +1

    😭😭😭

  • @shyfettymtunda4619
    @shyfettymtunda4619 Рік тому +3

    Dah!! Jamani watu mbona wanauana hivi siku hizi??Kama unaona huwezi tena kuishi na mwenzako,peaneni nafasi kila mmoja aishi peke yake.

    • @teedullah5708
      @teedullah5708 Рік тому +1

      Kabisa yani mthihani kwakweli

    • @shyfettymtunda4619
      @shyfettymtunda4619 Рік тому

      @@teedullah5708 Binadamu tumekuwa wakatili kuliko wanyama.🙌
      Sasa katoto ka mwezi mmoja jamani kanabaki na upweke.

  • @easternyerembe7271
    @easternyerembe7271 Рік тому

    Huyu bi mkubwa ana mtt wa miaka 43?

  • @anjelamwakalinga8721
    @anjelamwakalinga8721 Рік тому

    😢😢

  • @kadreenakitchen8098
    @kadreenakitchen8098 Рік тому +2

    Huyu mama anamtetea kijana wake

  • @HappynessStephano
    @HappynessStephano Рік тому +1

    Mungu wangu kwaiyo angramua angemuua hata na mama yake bas

  • @noelichambilo7825
    @noelichambilo7825 Рік тому +2

    Ubinadamu unawatoka wat wengi siku hizi

  • @dayana5513story
    @dayana5513story Рік тому

    🥲🥲😪

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 Рік тому

    Huyo baba ni chizi tayari.Akili yake mbovu kabisa.Ni psychiatric case

  • @MaryPhabian-z1b
    @MaryPhabian-z1b Рік тому +1

    😢😢😢😢

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 Рік тому +1

    😭😭😭💔

  • @RoseMrio
    @RoseMrio Рік тому +3

    😢😢😢😢😢

  • @marthageorge5043
    @marthageorge5043 Рік тому

    😢😢😢😢😢😢