“LATIFA ANYONGWE” ALIYEUA MTOTO NA KUMFUKIA MTONI AHUKUMIWA MWAKA MMOJA NJE, NDUGU WAANDAMANA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 290

  • @njuka3515
    @njuka3515 7 місяців тому +37

    Asanteni sana majirani kwa ushirikiano wenu

  • @Neema935
    @Neema935 7 місяців тому +35

    Huyo jaji na muuwashi, wote wakamatwe kwa sababu kuna mchezo mchafu umefanyika hapo kati. Poleni wanawake, umoja ni nguvu.

  • @njuka3515
    @njuka3515 7 місяців тому +25

    Asante sana Milad ayo na dada Gea kwa kupaza sauti

  • @estersilver9872
    @estersilver9872 7 місяців тому +26

    Sote tushirikiane kuwalinda watoto tusitegemee sana Sheria

    • @hamisaally968
      @hamisaally968 7 місяців тому

      Sasa kama uyu uyo ni dada akee alimuachia

  • @dignakanje4508
    @dignakanje4508 7 місяців тому +4

    Mama Samia huyu jaji aliemua hii kesi nahyu mtuhumiwa wte wachukuliwe htu Kali.Jaji afukuzwe kaxi napelekwe mhkmn.Hii tanzia niyahki kwann aachiwe

  • @azzaalhabsi1505
    @azzaalhabsi1505 7 місяців тому +23

    Pole sana mdogo wangu.kweli mahakama haijatenda haki.mtu ameuwa na ushahidi upo.bado anaachiliwa huru kwa kuongopea amepewa kifungo cha nje.tangu lini muuwaji akahukumiwa kifungo cha nje?
    Jamanii tunaomba haki itendeke ilivyo alie uwawa ni binadamu sio mbuzi.

    • @michaelmurorashid8055
      @michaelmurorashid8055 7 місяців тому

      😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊

    • @ZalhathamohdSaid-qn4jj
      @ZalhathamohdSaid-qn4jj 7 місяців тому +1

      na muwaji kakiri mwenyew kama kaua

  • @JacquilineNoah
    @JacquilineNoah 7 місяців тому +33

    Hii yote inatokana ma mama wa marehem kukosa pesa lait angekuwa na pesa uyo muuaj asingeachiwa

  • @ErickJackson-f6e
    @ErickJackson-f6e 7 місяців тому +19

    Hapo pesa ime tembea..pole sana mama.

    • @nuruurio8319
      @nuruurio8319 7 місяців тому +1

      Ni kweli kabisa yani ndo maana watu wanachukua sheria mkononi maana maakama haina haki ukipeleka mtu akitoa ela unashangaa unazungusha zungushwa mwisho wa siku kesi imeisha

    • @Ayuminchasi
      @Ayuminchasi 7 місяців тому +2

      Kaenda kwa waganga huyo

  • @richarddavidmk
    @richarddavidmk 7 місяців тому +24

    Siwa fichi Tanzzania hatuna mahakama , hakuna sehemu hatari kama mahakama kwa Sasa Mimi nilifanyiwa uhuni na jaji.HII NCHI IONGOZWE NA JESHI WANASIASA WAME FELI

    • @bensonphilip9673
      @bensonphilip9673 7 місяців тому

      Japo yamesha tokea ila mama angukua anafwatilia mtoto anaishije angeweza kuepusha hili

    • @shosemanjira9015
      @shosemanjira9015 7 місяців тому

      Kila kitu pesa hii ichi

  • @Neema935
    @Neema935 7 місяців тому +13

    Rushwa, rushwa, rushwa, rushwa, msifumbe macho wanawake. Mtoto apewe haki yake.

    • @nuruurio8319
      @nuruurio8319 7 місяців тому +2

      Na takukuru ipo au hiyo taasisi ishafungiwaga na hatujui??

    • @joycemkeka3769
      @joycemkeka3769 7 місяців тому

      Iyo rushwa kila maali jamani tutapona kweli mungu atusaidie

    • @Neema935
      @Neema935 7 місяців тому

      Ni kweli, mungu atusaidiye.

  • @momylaviel
    @momylaviel 7 місяців тому +2

    Asanten sana majirani kwa ushirikiianooo

  • @TausiMokiwa
    @TausiMokiwa 7 місяців тому +9

    Hakika selikali msaidien huyu mama jaman sie maskini tunaonewa sana 😭😭😭

  • @ZainabSimith-ey6vm
    @ZainabSimith-ey6vm 7 місяців тому +57

    Agekuwa kauliwa tembo au swala pasingekalika haki hakuna

  • @ramadhanimtetu3656
    @ramadhanimtetu3656 7 місяців тому +6

    Sub'haana Allah
    Serikali nawaomba ingilieni kati Suala hili ili haki ipatikane

  • @fathiyahmuzney7367
    @fathiyahmuzney7367 7 місяців тому +1

    Pole sana mdogo wangu unauchungu wa mwanao kuuawa bado haki haijatendeka

  • @gililwise
    @gililwise 7 місяців тому +8

    . bora mngemmaliza ninyi.maana mahakama Tz haipo.

  • @azzaalhabsi1505
    @azzaalhabsi1505 7 місяців тому +9

    Mama etu samia suruh popote ulipo na viongozi wengine tunawaomba sana sikilizini kilio cha huyu mama.kwani hajatendewa haki kabisaa. Mama samia nchi yetu jamani nchi yetu tanzania inaelekea wapi? Rushwa imekithiri inatumaliza wanyonge jamaniiii😭😭

  • @AnitherSalum-ly6fd
    @AnitherSalum-ly6fd 7 місяців тому +11

    Huu mkasa niliusikiaga yan nimeshangaa mpka leo mtu ety hajahukumiwa 😢😢 hamjamtendea hak uyo mtoto 😢😢

    • @nuruurio8319
      @nuruurio8319 7 місяців тому

      Ndo serikali yetu hii af ukijichukulia sheria mkononi polisi wanalalamika wakampge tukio sahv sheria zetu ziwe matukio akikufanyia kitu polisi unaachia wenye ela

    • @MashaMbwana
      @MashaMbwana 7 місяців тому +1

      Aliekamatwa na vipande vya nyama pori miaka 22 alieuwa mtoto wa binaadam mwaka moja tena kifungo cha nje 😢😢😢😢

  • @AmAl-x9j
    @AmAl-x9j 7 місяців тому +1

    Polen jamni,,,hasa mama mtoto,umeniliza mno mzazi mwenzangu,,uchungu sana,,,

  • @hizamawa6046
    @hizamawa6046 7 місяців тому +4

    Utakuta kuna watu bado wana Imani na mahakama 😢😢😢

  • @franknzowa22
    @franknzowa22 Місяць тому

    Naimani Serikali yetu ni sikivu imekusikia....pole sana mama mtoto.

  • @njuka3515
    @njuka3515 7 місяців тому +4

    Next time mtu akiuua wananchi na sisi tuue hakuna kusubiri

    • @nuruurio8319
      @nuruurio8319 7 місяців тому

      Yaaan hii serekali ya sahv ni kuendana nae titi for tati ukipigwa tukio unapiga tukio mtamalizana huko mbele kwa mbele

  • @AminaRamadhani-gx8yr
    @AminaRamadhani-gx8yr 7 місяців тому +4

    Yani maswala yamauji wengi wanahukumiwa alafu muuwaju anakua uriani kama kawaida au walawitiji waponje wengi baada yaukumu, niomana wanchi wanachukua sheria mkononi alafuwanaonekana wamekosea wakati mahakama zetu azitendi haki,,

  • @AshaSalum-v6e
    @AshaSalum-v6e 7 місяців тому +9

    Msikubali andamaneni mpaka kwa huyo hakimu.na mumpe kichapo ikiwezekana

  • @AsdDsa-fi5qk
    @AsdDsa-fi5qk 7 місяців тому

    Nipo Oman mdogo wangu alipigwa na jirani tanga nusu amtoboe jicho nlitoa pesa mpaka nimehakikisha alifingwa miez mitatu nikifiro juu alichezea mchawi pesa tuu Aslam aleykum umat Muhammad

  • @SaudaOmary-pi9si
    @SaudaOmary-pi9si 6 місяців тому

    Ee mungu baba nipe umri mrefu niwalee wanangu mwenyew😭😭😭😭inauma sana

  • @HannahSamira-z5d
    @HannahSamira-z5d 7 місяців тому +2

    Hii serika ni mtihan sijawahi kuona mtu anauwa then anauulizwa tukupe adhabu gani? Alhamdu' lillah Hii Dunia Sio mbaya watu ndo wabaya,

  • @magejuliani5293
    @magejuliani5293 7 місяців тому +2

    Mtoto upumzike kwa amani! Kiukweli Mtoto atendewe haki jamani!

  • @SaadaNdaro
    @SaadaNdaro 7 місяців тому +1

    Uyu ni muuaji kabissa ongereni wamama kwa kujitokeza pole mdogo wangu usimpe Tena mtt mtu meingine polle sana

  • @wilfriedanaganze9246
    @wilfriedanaganze9246 7 місяців тому +3

    Mshenziii mkubwa atafutwe kabisaa. Justice for our little baby 👶 😢

  • @JacquilineNoah
    @JacquilineNoah 7 місяців тому +9

    Me ndio maana sipend mazoea ya ndugu na wanangu😢yan uniulie mwanang tugawane majengo ya serikal🙌🙌🙌🙌

    • @nurdinmfamau3493
      @nurdinmfamau3493 7 місяців тому

      Ubaya Hauna Ndugu. Ubaya Hata Mama Anaweza Kumuuwa Mwanawe. Hilo Lakukataa Ndugu...

    • @twiseghekisilu8845
      @twiseghekisilu8845 7 місяців тому

      Huyu nae hajitambui​@@nurdinmfamau3493

  • @catherinefaney948
    @catherinefaney948 7 місяців тому

    Eee Mungu endelea kuonekana katika hili.Mama Samia tunaomba ulisimamie mama,wazazi kunaumia.

  • @hadijauledi6995
    @hadijauledi6995 7 місяців тому +1

    Yaani hii kitu jamani siyo kweli tanzania nchi yangu mama samia kipenzi raisi wangu sasa yule mama alikutwa na nyama ya swala alihukumiwa mia 20,jela sasa huyu dada kauwa kafungwa kifungo cha nje mmmmm majaji ila niwaombe radhi tendeni haki jamani 😭😭😭😭😭

  • @AshaSalum-v6e
    @AshaSalum-v6e 7 місяців тому +4

    Huyo ni wakunyongwa tu.ushahidi upo wazi.nashangaa kifungo cha nje.sijawahi kuskia.huyo ni hakim.au muuza katanga.kavamia fani

  • @MaryKihata
    @MaryKihata 5 днів тому

    Inatia uchungu mnooooooo hiiii dunia tunaelekea wapi??? Mungu cmama .

  • @MauaHaji-ur4ln
    @MauaHaji-ur4ln 7 місяців тому

    Huyo siwakuishi nae km nimimi daaah agefurahiya shoo mungu wangu inauma sana

  • @UmmyZakiah
    @UmmyZakiah 7 місяців тому +6

    Auliwe na yy mbwa huyo serikali yetu haitendi haki kabisa

  • @najatrashidi6647
    @najatrashidi6647 7 місяців тому +1

    pole dada na mtihani yote hayo inasabanaishwa na umasikini

  • @zuenajohn8325
    @zuenajohn8325 7 місяців тому +1

    Mungu mungu jmn kwanini hii dunia?. Tunaomba utusaidie Mungu ututete.

  • @رقيهالخصيبي
    @رقيهالخصيبي 7 місяців тому +21

    Yaani huyo atauliwa na wananch anae uwa kwa upanga auwawe kwa upanga mkimuonq muuweni serikal ya hovyo

  • @SabraAbdilnasir
    @SabraAbdilnasir 7 місяців тому +5

    Inauma sana

  • @martinikalunga
    @martinikalunga 7 місяців тому +2

    Huyo hakimu anawatoto kweli? Au kala rushwa? Kesi ya mauaji kumbe kifungo ni miezi 12 nje? Au anataka mauaji yaendelee? Nchi hii inakokwenda siko mauaji yataendelea sanaaaa na kifungo itakuwa wiki 1 nje. Huu ni wendawazimu sana. Hongereni sana majirani wema.

  • @Carolina-sm5zt
    @Carolina-sm5zt 7 місяців тому +2

    Mungu aturehemu kwa makosa yetu

  • @khamisjuma8501
    @khamisjuma8501 7 місяців тому +2

    Pole Dada

  • @nurasam5475
    @nurasam5475 7 місяців тому

    Mtihan sana jaji kumbe anatoaga chance yakuuliza ADHABU ya kukuona nyie mmmgh hapo ni Mungu tu ndio atalisimamia hili suala zaid ,NINAIMANI na serikali yetu Kila kitu kitasimamiwa na mtoto atapata haki yake,,hii inamaana damu ya mtu haiendi Bure lazimanipate haki yake ALHAMDULILLAH ALLAH HAKIM

  • @auntmakochela4202
    @auntmakochela4202 7 місяців тому +1

    Mtu alikutwa na vipande 12 vya nyama ya swala na akahukumiwa miaka 22 😢😢😢 uyu mama kaua binadamu tena mtoto mdogo kakatisha ndoto zake anaachwa huru hizi sheria ni hovyo kabisa😭😭😭

  • @ramlamchonga7669
    @ramlamchonga7669 7 місяців тому +2

    Tupo pamoja jamani aki ipatikane uyo sio wa kuishi na watu😢😢

  • @GideonLenard
    @GideonLenard 7 місяців тому +2

    Jamani hiii nchi hiiii mnyonge wanamnyonga kweli duuuuh

  • @Professor-9
    @Professor-9 7 місяців тому +7

    So sad

  • @JohnMalengua-jh6ps
    @JohnMalengua-jh6ps 7 місяців тому +2

    Majaji kama hao na viongoxi wengi wa mahakama wakifagaa vifo vya mateso sana jaribu kuchunguza utaona 90% kansa,ajali na mateso mengine bado watoto wao na wajukuu laana haimuachi muhisika hata siku moja hayo machozi ya huyo mama hataenda bure Mungu yupo

  • @JackobKyaro-zi7uj
    @JackobKyaro-zi7uj 7 місяців тому +1

    Askari wanafuatilia hadi kujua alipozikwa mtini ila mahakamani wanatoa kifungo cha nje au aliyehukumu ndo kamtuma akaue mbona hivyo jamani mahakama hiyo ifuatiliwe kuna mambo mengi huyo hakimu anayafanya .

  • @selemanisalum7685
    @selemanisalum7685 7 місяців тому +1

    Mama samia haraka sana na waziri wa sheria na viongozi wote haraka sana huyo hakimu na wote waliofanya mchezo huo wakamatwe huyo kuna kitu walichukuwa kwa mtto huyo uchawin

  • @biliavasiana918
    @biliavasiana918 7 місяців тому

    Hongeren kwa kupaza sauti inaumiza sana ,hii nchi ukiwa na pesa unashinda kesi 😢

  • @aminamahamudu6402
    @aminamahamudu6402 7 місяців тому +1

    Anyongweee

  • @ApostleDaniel-d4g
    @ApostleDaniel-d4g 7 місяців тому

    Huyo jaji ni mchepuko wake aisee pole sana wanasheria mpoooo lifatilien hili na huyo jaji afukuzwe kazi naomba mawaziri na wanaharakati simamien hili kifupi nkikutana na Ratifa mimi namuhukumu kigo

  • @abedysteven4930
    @abedysteven4930 7 місяців тому +3

    Xaxa kama hapo serekali mnataka ushahid gan kwa mtuhumiwa kama huyu anauwa mtoto kwa mateso af anapewa kifungo Cha nje kvp xaxa? Inaumiza sana!! Kama serekali ikishindwa kumnyonga bas familia jiongeze mfanye kama m2 aliepotea kwa mazingira ya kutatanixha af mpoteze

  • @mr.yahzadochuno7914
    @mr.yahzadochuno7914 7 місяців тому +1

    Judge afukuzwe tu kazi

  • @RoseKaiza-g2j
    @RoseKaiza-g2j 7 місяців тому

    Jaji mshenziii sana angeuwawa mtoto wake angetoa hukumu kama hiyo? Huyu jaji akamatwe haraka laa sivyo hatutakua na imani na mahakama zote na ikitokea tukio huku mtaan bora tuwe tunamaliza hukuhuku kuliko kufuata sheria

  • @OfficialA83640
    @OfficialA83640 7 місяців тому

    Yaani hii inaumiza sana Gwajima kwenda kote kule bondeni na kushuhudia tukio alipofukiwa mtoto lkn hili swala kalikalia kimya ni uonevu mkubwa ndy maana raia wanajichukulia hatua mikononi mnaua panya road wauaji mnawaacha Serikali yetu ya uonevu sana😢😢

  • @RehemaMasunga-ml7kt
    @RehemaMasunga-ml7kt 7 місяців тому +3

    Yaani huyo ahukumiwe kabisa ikiwezekana kunyongwa hata kama mtoto hatorudi baada ya hukumu ila hukumu itendeke

  • @JimmyStarter
    @JimmyStarter 21 день тому

    Dada hii ndio tanzania yetu

  • @benjo_brighter
    @benjo_brighter 7 місяців тому

    Hiyo hukumu ni batili. Poleni sana familia 😢

  • @JoyceMwita-e3w
    @JoyceMwita-e3w 7 місяців тому

    Inaumiza sana pole dada ila serikali ya Mama samia ni sikivu tunaomba isaidie kwa hili tukio 😭😭

  • @seiphmbulyanga2580
    @seiphmbulyanga2580 7 місяців тому

    Pole

  • @SelinaPaschal-vq2iy
    @SelinaPaschal-vq2iy 7 місяців тому +5

    Yani hukum kama kaiba kuku ndio maana visasi haviishi siwezi kumuona muuaji wa mwanangu ana furahi ndio maana watu wanachukua hatua mkononi hii sio haki

    • @tinnahagustinolyelu4247
      @tinnahagustinolyelu4247 7 місяців тому +1

      Eti jamani Nani mwenye moyo huo mm mwenyewe siwezi teena mtoto kamuuwa kikatili jamani hapana

    • @ashurajengela3926
      @ashurajengela3926 7 місяців тому +1

      Kabisa aiseee yani ngekua mm mama wa mtt namuua aiseee siwezi kuvumilia kumuona muuaji wa mwanangu anaishi tu na uku kaniulia mtt kwa makusudi 😢😢

    • @sharifamahamudu182
      @sharifamahamudu182 7 місяців тому

      Kabisa visasi aviishi uyo mwizi wa kuku anachomwa moto

    • @KhadijaJuma-pb6fw
      @KhadijaJuma-pb6fw 7 місяців тому

      Tna kwnye dini kisasi kipo

  • @ZainbAbubakary
    @ZainbAbubakary 7 місяців тому

    Hii sio sawa hata mm naunga mkono maandamano hayo imeniuma sana ndio maana Makonda akisema maskini hana hakii watu wanamtolea maneno mabaya haki iko wapi hapo jamani

  • @anithiajohn9209
    @anithiajohn9209 7 місяців тому +1

    Inaumiza sanaa asee 😢😢

  • @annatemu4488
    @annatemu4488 7 місяців тому

    Mmmh, huyo mbona wananchi watamalizana nae🙌🏻

  • @demicratia4071
    @demicratia4071 7 місяців тому

    Jamani wauwaji wengine wana ugonjwa wa AKILI NA WAZIRI WA AFYA HALIJUI HILO.NDIO.MAANA HAFUATILII SANA HATA JANA MUDAAA WE MAUWAJIII

  • @SuleimanKhdija
    @SuleimanKhdija 7 місяців тому

    Awwawe Uchungu wa mtoto unauma kwakweli 😢😢

  • @annatemu4488
    @annatemu4488 7 місяців тому +1

    Baba keegan sasa hivi atakuja hapa chaaap

  • @InnocentZacharia
    @InnocentZacharia 7 місяців тому

    Pole sana lakini Sheria zipo , lakini Paulo makonda au Rais haruhusiwi kuingilia mahakama

  • @dotnatajoseph2620
    @dotnatajoseph2620 7 місяців тому

    Jamaniiiiiiii hii nchi tuna kwenda wapi jamaniiiiiiii 😭 kesi ya mauaji hukumu mwaka mmoja kweli jamaniiiiiiii haki itendeke jamani

  • @sharifanyumayo6314
    @sharifanyumayo6314 7 місяців тому

    Huyo mama ni mchawi had kumuweka mtoto ktk ndoo na kwenda kumfukia jmn haraf anapewa miez 12 kifungo Cha nje? Mkimpata muuwen TU

  • @maalimwenga452
    @maalimwenga452 7 місяців тому

    Sheria haiangalii hizo kelele zenu Sheria ni msumenu

  • @devotalaiton5888
    @devotalaiton5888 7 місяців тому

    Mnyakyusa mwenzang mama diba nimemuona hapo

  • @cesiliamgasa776
    @cesiliamgasa776 7 місяців тому

    Nmemuon mama diba Apo saf wanawake hio sio hakii kbsa😢

  • @nuliatbaraka6350
    @nuliatbaraka6350 7 місяців тому

    Dhulma kubwa kama hii hatari hata kama rushwa hii imetisha sana tumuogope mungu

  • @Attumessausy
    @Attumessausy 3 місяці тому

    Wakina Mama wenzangu komaen msifumbie macho huyo inatakiwa anyongwe.

  • @dommyeliasy
    @dommyeliasy 3 місяці тому

    Mimi nilimpa bint wa shule mimba mukanifunga miak 15 ndan na nitukio dogo la kuleta kiumbe cha mungu dunian why mama Alie ondoa kiumbe cha mungu duniani munamfunga nije mwaka mmoja why

  • @AmiriHumudi-hn6pt
    @AmiriHumudi-hn6pt 6 місяців тому

    Msikubali achaneni na serekali hawatendei watu haqqi. Mfateni huko aliko au tumeni watu wasimuuwe lkn wamtie adabu wamkate mkono 1 na mguu mmoja na yeye ajue. Na aone na ajifunze km ukatili si mzuri.

  • @StarMerinyo
    @StarMerinyo 7 місяців тому

    Mmh hapana kwa kweli haki haikutenda haki

  • @ramlamchonga7669
    @ramlamchonga7669 7 місяців тому

    Mama gabo nimemuona au namfanisha

  • @WilliamMatondo-oc2zb
    @WilliamMatondo-oc2zb 7 місяців тому

    Mungu wa rehema uliye jaaa nguvu na ukweli ww ndie unaejua ukweli wa hya mauaji ya hyo mtoto tunaomba usimamie ukwel wa hili jambo

  • @lilmojr7
    @lilmojr7 7 місяців тому +5

    Huyo alietoa hiyo hukumu akamatwe yeye afunguliwe mashtaka ya rushwa na uzembe na ikibidi aondolewe madaraka yake hafai

  • @engineerismael2186
    @engineerismael2186 7 місяців тому

    Jaman nimemuon mama chichi wa jua kali

  • @SalamaNauthar
    @SalamaNauthar 7 місяців тому

    Umoja ni nguvu

  • @esterkessy6940
    @esterkessy6940 7 місяців тому

    Jamani serikali yetu ni nzuri na ina utawala mzuri viongozi makini tunaomba muingilie hili sakata tatizo sio muuaji tatizo ni huyo hakimu aliyetoa hukumu rushwa wazi wazi

  • @basilisamsaka8469
    @basilisamsaka8469 7 місяців тому

    Aiseeeeeeee hii ndio Tz na mahakama zake

  • @Lily-rn6xc
    @Lily-rn6xc 7 місяців тому

    Ndo maana watu wanajichukuliaga Sheria mkonon maana serikal yetu imekuwa ya hovyo sana😢

  • @siashao169
    @siashao169 7 місяців тому

    Kwa sheria za TZ huyu mama anapaswa kunyongwa ! Au wananchi wachukue sheria mkononi, kwanini wamemuchie mtu aliyefanya mauaji ya kinyama hivi? 😭😭😭😭

  • @williamkavishe397
    @williamkavishe397 7 місяців тому

    Kweli huyu jaji aliyehukumu hii kesi anatakiwa akamatwe mara moja Tena hatakiwi kuwa jaji hata kidogo Yani wanazidi kuchafua serikali na chama pia kweli hii Ni hatari kubwa Sana hapa ndipo wanazidi kuchafua hii serikali duuuuuuj

  • @yasminoluoch169
    @yasminoluoch169 7 місяців тому

    I whimsy ningekuwa jirani pia nijiunge inauma ssna kama hakuna haki😢😢

  • @marcynhumbi3534
    @marcynhumbi3534 7 місяців тому

    Ndo maana watu wanachukua sheria mkononi,yaan angekuwa ndo mtoto ameuliwa na muuaji yupo nje nilikuwa naenda kuua mtu na mim

  • @dommyeliasy
    @dommyeliasy 3 місяці тому

    Me naomba jaji Alie amua hiyo kesi na yeye ahukumiwe kunyongwa naomba sana jaji anyongwe kwa nn ampe kifngo ch mwak mmoja huyo mama

  • @njuka3515
    @njuka3515 7 місяців тому +1

    Wanasheria tusaidieni jamani

  • @radhiamhando3733
    @radhiamhando3733 7 місяців тому

    So sad hukumu itolewe upya😢

  • @junioremmanuel1695
    @junioremmanuel1695 7 місяців тому

    Anyongweee mbwaaa huyoooo

  • @sanurahaji5194
    @sanurahaji5194 7 місяців тому

    Hii Ni hatari wallah

  • @GetrudarCelestineAmede
    @GetrudarCelestineAmede 7 місяців тому

    Muuaji kwel!! Afungwe jaman