Doooh...., pole sana.....aisee hiyo familia ni balaa,haya tazama sasa wamemuua mtoto wao!!!! Laana imewarudia wenyewe....,hapakufai hapo ondoka haraka sana. .
Aisee naombaga sana Mungu kama itatokea nikaolewa aisee sitaki kukaa karibu na ndugu wa mume maana maneno huwa hayaishi ukipendwa na mtoto wao bas nishida kiifupi hatuna jema maana hata mimi mwenyewe ni ndugu wa mume
Familia zingine ni nuksi tu ,,, hivi unamchukia mke wa mwana kisa umri mkubwa ,,, subhanallah huyo mama hana utu na hana uchungu hadi kafikia kupiga mwanae ona sasa kamua mwanae wacha akakutane na bwana jela ,,,mama mzima ovyo na hao wadogo wa marehemu hovyo shenzy sanaaa
Tanzania Kuna upepo mmoja mbaya sana Wakuuana ndugu Kwa ndugu” Cha Msingi ni kuzuia Hasira zetu, tusipo thibiti basi Pepo la kuuana litaendelea kutuandama”
SubhanAllah 😭😭😭 familia nyingine za hovyo eti mwanamke mkubwa kwani alikoma siku si huyo amezaa maisha haya ya kupelekewa mke au mume mbona hata mwonekano si mkubwa sana amefanya la maana kunyamaza angejibu huenda umauti ungemkuta yeye kuna kauli inayosema ukimya jibu tosha kwa mjinga na familia msitetee ujinga hao ni wauajiy msiseme hakutegemea kama angemuua watu wanatumia mbao na nondo halafu mseme hawakutegemea kama wangemuua peleka ndani inauma sana
@@afrahoman2844 ndio hicho cha kushangaza kimtazamo hata hawajapishana sana nimeumia kama namfahamu mnampiga kama mnapiga jambazi kwa kutumia vitu hatarishi dah
Fimily nyingi hutakiwi kukaa nazo karibu, Ukishaoa unapaswa kuondoka nyumbani ukaishi mbali kabisa! Unakaa karibu na mzazi wa nini? Afu kwa nini wamama wengi wa kilimanjaro wanalewa?
Kiukweli mzee alohojiwa amebeba busara nyingi sana Mungu amtunze tunahitaji Wazee na Wazazi wenye busara kama huyu baba.Na wanawake tunapoingia kwenye ndoa kama kuvumilia mateso ya wakwe na wafiwi huwezi ondoka wape nafasi ona Leo wanakuacha mjane bado binti mdogo
Hii habari ya kubanana sehemu moja shida sana. Yaani kiukweli watu waache mambo ya kujikusanya sehemu moja watawanyike wakapangishe mbalimbali huko wakutanage tu kwenye matukio, inaleta heshima kuliko kuchunguliana tu kila saa hadi MTU anauliza unamwogeshaje mtoto. Lohh!! Ona sasa😭
Subhanaallah inalilah wanaileh rajuuni poleni sana familia jamani tupende watoto wa wenzetu wakiolewa na familia zetu sio Vizuri kabisa. Mlevi agombani na mtu ila akikukusudia kuomba na mtu hiyo familia sio nzuri
Noooo hafungwi mtu bana huyu jamaaa alistahili kufa coz anawezaje kumpiga mama yake kwa ajili yaili zee li Bibi hao ndugu wanawezaje kukaaa kimya mama yao apigwe
Tujifunze tu kuwa wavumilivu sikilatukio unalo fanyiwa na ndugu wa mme wako unamwambia mmeo vingine tunamuachia Mungu sasa Mme kapotea nitaabu sana kumpoteza Mme jaman tunatakiwa kuwa na hekima sana
Wameru jamaniiii...duuh...ni balaaa...Nina wifi yangu ni mmeru...Yan ni balaaa....ana mdomo kama bakuli yeye na watoto wake..Yan...siwez elezea...mama neema...duu...umebarikiwa mdomo na neema wako..Yan anachibganisha familia nzima kimya kimyaaa...🤔🤔🤔🤔🥺
Tumeona upande mmoja wa story. Wakati mwingine wake huchukia kukaa na wamama wakwe hivyo ktk kutafuta sbb ya kuhama BASI huwachonganisha mama mzazi na kijana wake. Hatujui huyo mama ni nini alimwambia mume wake juu ya mama mkwe. Nayeye kimemgharimu kapoteza mume
Kijana akishaoa , kama ni eneo la familia apewe kwake ajenge akas na mkewe , mama mkwe na mawifi mtulie kwenu. Sio wamama wote lkn asilimia kubwa huingilia ndoa za watoto wao , lazima kuwe na mipaka.
Kwa kawaida Mama humpenda sana mwanae sasa huyo Mama ni pombe kumpiga mwanae hadi kufa lo Dunia imeisha mtoto ni miaka anayosoma akioa ni mtu mzima si wako tena
Sio mama wakwe wote wabaya, Mimi nimekutana na mama mkwe anayenipenda na ni zaidi ya mkwe kwangu, ni rafiki yangu. Na muolewaji unapoolewa ingia taratibu, wasome, mpende mama wa mumeo na kama mumeo na mama yake hawaelewani wewe sasa uwe mpatanishi , taratibu wataelewana na mama/familia watakupenda tuu. . Na mbaya nyingine ukutane na wifi hajaolewaga au aliachika kwa mumewe!! hawa baadhi yao ni shida!! Ishi nao kwa akili pia.
Wengine hata ukiwapenda hawapendeki Mm yamenikuta hayooo nilimfanya km shoga lkn wapi Ukitoka uku nyuma anakuponda hatarrrreee Anasema maneno ambayo hata hujawai kumuambia
uyu mwanamke ni mjeur na pia kulikua na ugomvi mda mwingi na ugomvi ulianza na uyu mwanamke ndio bwana akaingilia mpaka kukosana na familia yake na sisi wanawake wengi uenda miji ya watu na kuvunja familia za watu waume waume ishini na sisi wanawake kwa akili sisi wengi ndio chanzo cha mume kukosa radhi za wazazi
Inabidi itwaje na kuorodhesha mikoa ya watu wanao ongoza kwa ukatili. Lakini watu wa bwani hawana sifa ya matukio hayo na ukiona purukushani kwa watu wa pwani ni wageni au wahamiaji , wafugaji kutoka mikoa mingine huwa wanaanzisha maugomvi ya kikatili. Serikal ichunguze mikoa yenye matatizo na kufanyiwa kazi ili kukomesha ukatili
Mama mkwe wangu sio mbaya japo mapungufu kilamtu anayo ila kabla sijaolewa nilimwambia mumewangu siwezi kuishi na mama yake mzazi yani niishi kwao bola aje kunisalimia na mimi niende kumsalimia ila kuishi ukweni hapana
@@bintnouh4483 sijakaa kwa wakwe na sitakaa ht siku moja tukawa hatuelewani. Raha ya maisha kuelewana na kuheshimiana ht kama hampendani. Ukiona hamuelewani na wakwe ni kuhama tu sio mpaka kuuwana
Pumzka chali angu zeph...bado siamn asee nilizoea kkuona kila asubu naulipenda kunitania mzee wa man u mbove pumzka kwa amni....mzee wa chelsea mbov uoikua huna baya na mtu hakika nitakumc 😰😰
@@valeriamtenga3384 yaani umeona mbali sana kiukweli mim nimeshuhudia hilo itakua mama alikua anahitajika atoe damu la sivyo ingemtafuna yey ivyo kuna mikataba ya familia inawatumikisha sio bure.yaani uko vizuri Valeria unajua mazingira ya watu wa kaskazin big up big up GOD BLESS U waelimishe na wengine
Duh hao walijipanga mama hakua na busara na watt pia walikuwa na chuki zao wafungwe ili iwe fundisho pia wanaume ukioa jitegemee mambo ya nyumbani kuna nyumba kubwa yamepitwa na wakati.kila binadam anamapungufu yake.mama mkwe asipokupenda lazima ugomvi wa familia uwepo.
Wazazi waamue sasa hivi kijana akioa aondoke na mkewe wakafanye MAISHA sio kukaa na wazazi na vijana nao wajitambue kwa sababu UKISHAKUAA TAFUTA MAISHA MATOKEO YAKE HAYOO
Dah point hapa mke alikuwa atakiw lakin madhara yake wamemuua mtoto wao .YANI WANAUME MKIOA MUJENGE NYUMBA ZENU AU KUPANGA MDA MWENGINE WANAWAKE WANAPITIA MENGII KUHUSU KUISH UKWENI
Mengi mno mie nilipitea maisha hayo mtihani kweli kweli. Mie ilipotokia tumepishana kauli na mkwe wngu. Mume wngu alikuwa aingilie ugomvi tunakaa kimya tunabembelizana wenyewe na mume wangu mpaka hali inatulia Kosa alilolifanya uyu kaka asinge muuliza mama yake mda uo angekaa kimya angengoja mama yake hasira ziishi kama kumuuliza basi angemuliza kwa upole Kama angeshindwa basi ilitakiwa amsikilize mkewe chanzo nini wengerikibisha kimya kimya Uamuzi ulikuwa wao waendelie kuishi umo au Wahame Kuishinda shetani kazi ndogo tu ukiona pana moto wewe kuwa maji kaha kimya Ila kuishi ukweni ni mtihani mkubwa
Wamama mkwe na wifi hawajawahi kuwa wazuri kwani hata mim wakwangu ni shida na sikai nao karibu lakini hekaheka kweli pumzika kwa Amani kaka,pole dada yangu kumpoteza mmeo karibu kwenye chama Cha wajane kikubwa mtumaini Mwenyezi Mungu wew ndo rafaja tosha
Wanaume wenzangu tuwe makini na ndoa zetu wanawake na mama zetu ni changamoto sana usije ukaishi jilani na mama yako ukiwa umeoa na unaona kabisa maelewano kati ya mkeo na mama cyo mazuli Kaa mbali sana ili kuepusha kama aya
Inavoonyesha HUO ugonvi ni wa muda mrefu ambao unasababishwa na chuki.Kwa hiyo mtu mwenye chuki na wewe hataacha kukusonga na maneno Nia yake uongee ili iwe sababu ya yeye kutimiza lengo lake. Lakini pia ushaambiwa mama ni mlevi.Mwingine anakunywea pombe maksudi akitoka hap anakufuata yote anatafuta sbb ili aongee lake sasa inaonesha Hy dada anamfaham mama mkwe vizur sana ndo maana alinyamaza hakumjibu ili asimpe nafasi ya ugomvi
Pole Ester Bora waameuwaa wakwao .mungu amekunusuru ungekufa wewe pole Sana
Doooh...., pole sana.....aisee hiyo familia ni balaa,haya tazama sasa wamemuua mtoto wao!!!! Laana imewarudia wenyewe....,hapakufai hapo ondoka haraka sana.
.
Tena akimbie mbio za malasoni
@@sidratybinkhamis2837 kwa kwel waeza muuwa
Subhannahllah pole sana mwanamke mwenzangu. Allah akupe subra katika kipindi hiki kigumu.
Pole dada mama wakwe changamoto ni shida Mungu tusaidie
Wazazi wa huko baadhi yao ni wanaroho mbaya kwel kweli na baadhi nyingine wanaroho nzuri sana tena sana .kuomba mungu tusikutane na mtihani huu
Aisee naombaga sana Mungu kama itatokea nikaolewa aisee sitaki kukaa karibu na ndugu wa mume maana maneno huwa hayaishi ukipendwa na mtoto wao bas nishida kiifupi hatuna jema maana hata mimi mwenyewe ni ndugu wa mume
Kuna mama wakwe nuksi kabisa. Wafungwe maisha wote wanaohusika ili wengine watie akili.
hawa wakimchukia huyo kijana wao, ndio maana waka mchukia na mkewe,, pole sana dada
Mungu amlaze mahali pema aisee,namfahamu daaah!!
polen yaxkitsha
Familia zingine ni nuksi tu ,,, hivi unamchukia mke wa mwana kisa umri mkubwa ,,, subhanallah huyo mama hana utu na hana uchungu hadi kafikia kupiga mwanae ona sasa kamua mwanae wacha akakutane na bwana jela ,,,mama mzima ovyo na hao wadogo wa marehemu hovyo shenzy sanaaa
Kwenye nyumba mama akiwa mlevi ni hatari Kwenye family,,bora baba awe mlevi kuliko mama
Tanzania Kuna upepo mmoja mbaya sana Wakuuana ndugu Kwa ndugu” Cha Msingi ni kuzuia Hasira zetu, tusipo thibiti basi Pepo la kuuana litaendelea kutuandama”
SubhanAllah 😭😭😭 familia nyingine za hovyo eti mwanamke mkubwa kwani alikoma siku si huyo amezaa maisha haya ya kupelekewa mke au mume mbona hata mwonekano si mkubwa sana amefanya la maana kunyamaza angejibu huenda umauti ungemkuta yeye kuna kauli inayosema ukimya jibu tosha kwa mjinga na familia msitetee ujinga hao ni wauajiy msiseme hakutegemea kama angemuua watu wanatumia mbao na nondo halafu mseme hawakutegemea kama wangemuua peleka ndani inauma sana
Loooo mbaya2 kwan mkubwa amemzaaa
@@afrahoman2844 ndio hicho cha kushangaza kimtazamo hata hawajapishana sana nimeumia kama namfahamu mnampiga kama mnapiga jambazi kwa kutumia vitu hatarishi dah
polee dada! huyu mama kichwa yake ipo sawasawa kweli!!! au sio mama yake mzazi!!!
Fimily nyingi hutakiwi kukaa nazo karibu, Ukishaoa unapaswa kuondoka nyumbani ukaishi mbali kabisa! Unakaa karibu na mzazi wa nini? Afu kwa nini wamama wengi wa kilimanjaro wanalewa?
Unaakili sana chifu wanafeli sana kukaa na ndugu karibu
Kiukweli mzee alohojiwa amebeba busara nyingi sana Mungu amtunze tunahitaji Wazee na Wazazi wenye busara kama huyu baba.Na wanawake tunapoingia kwenye ndoa kama kuvumilia mateso ya wakwe na wafiwi huwezi ondoka wape nafasi ona Leo wanakuacha mjane bado binti mdogo
Hii habari ya kubanana sehemu moja shida sana. Yaani kiukweli watu waache mambo ya kujikusanya sehemu moja watawanyike wakapangishe mbalimbali huko wakutanage tu kwenye matukio, inaleta heshima kuliko kuchunguliana tu kila saa hadi MTU anauliza unamwogeshaje mtoto. Lohh!!
Ona sasa😭
Subhanaallah inalilah wanaileh rajuuni poleni sana familia jamani tupende watoto wa wenzetu wakiolewa na familia zetu sio Vizuri kabisa. Mlevi agombani na mtu ila akikukusudia kuomba na mtu hiyo familia sio nzuri
Nampa pole mke wa marehem hao wengine sheria inawasubiri
Wafungwe maisha maana wameua kwa kukusudia
Noooo hafungwi mtu bana huyu jamaaa alistahili kufa coz anawezaje kumpiga mama yake kwa ajili yaili zee li Bibi hao ndugu wanawezaje kukaaa kimya mama yao apigwe
Ila wameru niwasengeeeeenyaji sana! Wamekumbatia mamira ya kijingajinga sana!
dada kama mama mkwe akutaki Toka Kwa mwanae au umwambie mme wako muhamie mahali kwingine juu malimbano yataishi hapo ikiwa utakiwi.pole sana🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hii habari ya kukaa na mama mkwe na mawifi karibu 🙌🙌 yaani wakigombana wao hadi wewe hawakusemeshi Kwa sababu wanajua wewe ndo chanzo
Tujifunze tu kuwa wavumilivu sikilatukio unalo fanyiwa na ndugu wa mme wako unamwambia mmeo vingine tunamuachia Mungu sasa Mme kapotea nitaabu sana kumpoteza Mme jaman tunatakiwa kuwa na hekima sana
Wamama wakwe mnaroho mbaya sana unavyomfanyia mtt watu nawako lazima afanyiwe sura mbaya roho mbaya mavi enu
Vijana mkitaka kuowa jengine msihishi na wazazi wenu nyumba moja jamani 😭😭
Nisawa
Kweli kabisa unapooa ukaishi kwa wzazi kunakua na changamoto nyingi Sana endapo mke wako watakua hawampendi wazazi wako au ndugu zako
Kabisaaaa kiukweli na ndoa Itakuwa na aman na mama mtaishi nae vizur
Kesi ikianza, watoto watamkana mama yao mzazi, mama mzazi atawakana watoto wake
Kila mtu ataangalia nafsi yake
Hii laana haitawaacha salama
Kiukweli yanahitajika Maombi ya kitaifa siku 40, viongozi wetu msichukulie mzaha matukio haya kisa watuhumiwa wanakamatwa NO!
Chukueni hatua viongozi wetu.hali si shwari Tanzania..
Hata wewe ukiomba peke yako inatosha tu.
Ntakukumbuka rafiki yangu mungu akulazee mahal Pema peponii
Mnafahamiana na Marehemu?
Hii ndio shida ya vijana unaoa mke unampeleka kwa mama, mimi kiukweli sitaki Kukaa na mkwe sehemu moja wala ndugu wa mume
Mbona mwanamke sio mkubwa ona sasa familia nzima gerezani
Mwenyenzi MUNGU inusuru Tanzania,Kuna liroho lisilo la kawaida linamaliza wananchi kimtimdo. Hii imekua too much Sasa mauaji kila kukicha...
Wameru jamaniiii...duuh...ni balaaa...Nina wifi yangu ni mmeru...Yan ni balaaa....ana mdomo kama bakuli yeye na watoto wake..Yan...siwez elezea...mama neema...duu...umebarikiwa mdomo na neema wako..Yan anachibganisha familia nzima kimya kimyaaa...🤔🤔🤔🤔🥺
Inna lillah wainahy llah rajioun pole bint kupoteza baba mtoto wako
Daah inasikitisha mnmuua ndugu kwa ujinga .yote hayo kukaa na famili kazi sana
Subhannallah, Inasikitisha sana kwakweli 😢
Uyo mwali ajiandae kuondoka apo maana wakimaliza kuzika wanamrudia yeye maana inaonekana ata hao wengine waliobaki hawampendi
Dah unaumaa sanaa
Tumeona upande mmoja wa story. Wakati mwingine wake huchukia kukaa na wamama wakwe hivyo ktk kutafuta sbb ya kuhama BASI huwachonganisha mama mzazi na kijana wake. Hatujui huyo mama ni nini alimwambia mume wake juu ya mama mkwe. Nayeye kimemgharimu kapoteza mume
Sishangai kuskia mwanamke wa kimeru ameua kisa kumkataa mwali hata ukiowa huko Meru yataka moyo 🏃♀️🙌🙌
Wweeee komaaa shika adabu yako
Kwel Wana tabia ya kukataa watoto wa watu
Jamani jamani.sasa faida ikowapii sasa wewe mamanamawaifii mungu akupe subra sana dada uliyefiwana mumeo.polesana
nikiolewa mama mkwe ukae kwa kutulia, ona sasa malipo yako umeyapata 😭
🤣🤣🤣
Eliza mama mkwe wako nakuzoom tu hapa utanikuta🤣🤣🤣
Na ww pia ipo siku utaitwa mama mkwe
si mpaka uolewe?
Sifurahishwi na ivyo vitendo nikiwa m Tanzania jamani tushirikiane kutokomeza ukatili.
Kijana akishaoa , kama ni eneo la familia apewe kwake ajenge akas na mkewe , mama mkwe na mawifi mtulie kwenu.
Sio wamama wote lkn asilimia kubwa huingilia ndoa za watoto wao , lazima kuwe na mipaka.
Tatizo la kuishi na wazazi wakati mtu umeoa umeisha kua na familia
Kwa kawaida Mama humpenda sana mwanae sasa huyo Mama ni pombe kumpiga mwanae hadi kufa lo Dunia imeisha mtoto ni miaka anayosoma akioa ni mtu mzima si wako tena
Zefania tumeagana jioni asubui nambiwa aupotena nas Mungu hiapumzishe rohoyako malipema pepon
pole sana
Poleni sana
Dah! Hatua stahiki zichukuliwe kwa watenda makosa Mana wanajichukulia hatua
Sijawahi kuona familia ya kipumbavu kama hiyo
Astaghafirullah mmmmmmmmmh mwenyezi mungu atujaliee mwisho mwemaa
Huyo Mama Mzazi jamani. Unaenda jela uzeen kweli? Mwenyezi Mungu ampokee mja wake.
Pombe hizo
Jomn mukioa musikae Kwa wazazi mkaembali muwe mnaenda kutembea tu siku mbili mnarud
Upo sahihi kbs
Daahh huyo mtoto masikini
Dada ungemwambia tu mumeo mkapangishe jmn😭😭😭😭😭😭
Sio mama wakwe wote wabaya,
Mimi nimekutana na mama mkwe anayenipenda na ni zaidi ya mkwe kwangu, ni rafiki yangu.
Na muolewaji unapoolewa ingia taratibu, wasome, mpende mama wa mumeo na kama mumeo na mama yake hawaelewani wewe sasa uwe mpatanishi , taratibu wataelewana na mama/familia watakupenda tuu. . Na mbaya nyingine ukutane na wifi hajaolewaga au aliachika kwa mumewe!! hawa baadhi yao ni shida!! Ishi nao kwa akili pia.
Kweli kabisa
Huyu dada Jeuri kwa nn hakumjibu Mama mkwe wake??
Wengine hata ukiwapenda hawapendeki
Mm yamenikuta hayooo nilimfanya km shoga lkn wapi
Ukitoka uku nyuma anakuponda hatarrrreee
Anasema maneno ambayo hata hujawai kumuambia
uyu mwanamke ni mjeur na pia kulikua na ugomvi mda mwingi na ugomvi ulianza na uyu mwanamke ndio bwana akaingilia mpaka kukosana na familia yake na sisi wanawake wengi uenda miji ya watu na kuvunja familia za watu waume waume ishini na sisi wanawake kwa akili sisi wengi ndio chanzo cha mume kukosa radhi za wazazi
@@mwashabanirashidimitumba7788 nakupa hongera namm yamenipata hayo tena unamnunulia mizawad yakutosha lakin daah
Inabidi itwaje na kuorodhesha mikoa ya watu wanao ongoza kwa ukatili. Lakini watu wa bwani hawana sifa ya matukio hayo na ukiona purukushani kwa watu wa pwani ni wageni au wahamiaji , wafugaji kutoka mikoa mingine huwa wanaanzisha maugomvi ya kikatili. Serikal ichunguze mikoa yenye matatizo na kufanyiwa kazi ili kukomesha ukatili
Mama mkwe wangu sio mbaya japo mapungufu kilamtu anayo ila kabla sijaolewa nilimwambia mumewangu siwezi kuishi na mama yake mzazi yani niishi kwao bola aje kunisalimia na mimi niende kumsalimia ila kuishi ukweni hapana
Mmmh Mimi stakaa nikae Kwa mama mkwe wa
Innaillahi wa innaillahi rajiun dunia ipo mwishon tutubuni jaman matukio yamekisiri emani hakuna jmn mnampiga mtu kama mnyama aisee inauma sana
Mwanamke mjeuri unamfanyia mkweo dharau
Hayaja kufika dada
Hujakaa kwa wakwe tulia
familia za watu zina mambo acha tu
@@bintnouh4483 sijakaa kwa wakwe na sitakaa ht siku moja tukawa hatuelewani. Raha ya maisha kuelewana na kuheshimiana ht kama hampendani. Ukiona hamuelewani na wakwe ni kuhama tu sio mpaka kuuwana
Huyo mama Ana laana jamani mie hata sijaelewa kabisa
Pole mdada.
Point niwalikuwa awampendi mke ona sasa wamemuuwa mtoto wao😭
Allah kawajibu
Arusha ni mji wa laana wanaua sana
Siyo kweli, nakataa hiyo kauli katika Jina la Yesu
Koma tena Ushindwe na ulegee Ujifunze kuzuia kinywa chako kwamaneno yasiyokuwa na ulazima kuyatoa yatakuponza mpendwa.
Huyo mpumbavu anaonekana. Kabisa kua anamtetea huyo mama mbwa Sheria ifate mkondo wake
Sio mnahoji hoji watu wtu mtoe na misaada Millard ayooii plz hii kesi ifwatilieni mpk huyu dada apate haki za msingiiiiiiii plz
This is so sad 😭😭😭😭 lord Jesus locate that lady is so painful
DAMU YA YESU IFUNIKE DAMU YOTE ILIYOMWAGIKA HAPO HOME JINA LA YESU LITUKUZWE
Cjapenda kwakwel Sheria ungekuwa mikononi mwangu ningewanyonga live nmeumia Sana yn mnamuua ndugu yenu hii co haki😭😭😭😪
Pumzka chali angu zeph...bado siamn asee nilizoea kkuona kila asubu naulipenda kunitania mzee wa man u mbove pumzka kwa amni....mzee wa chelsea mbov uoikua huna baya na mtu hakika nitakumc 😰😰
Asa wamepata faida gani mwanamke ataolewa wao wamepoteza ndugu
Duhuu famila ya hovyo sana
Daah naulizaje c kwa ubaya ila mbna Mikasa mingi inatokea huku Arusha/Mwanza?
@@jaymwinyi6957 Nami nataka jua
@@RuzoOwzy au nimekosea bro kuuliza hvyo cz 4ril haimalizi wiki utaskia Arusha /Mwanza matokeo Kila cku wanatuogopesha ss tusiende huko mahali aki
wazazi waliotuzalia wanaume muwe na mioyo ya huruma,nasis tulizaliwa tuliko toka
Mama..ulikaa leba,ukajifungua kwa uchungu,ukalea mtoto akakua,ukamuozesha,halafu ukaamua kumpiga mbao kichwani mpk ukamuua...nini umefanya?
Dhaaaa ni hero to zero kabisa....
@@walinaziontime7300 well said
Hajaumwa
Ni laana za familia
Huwa zinafanyaga ivo, pale damu inapohitajika, hata ukijaribu kuangalia, unashindwa kuelewa
@@valeriamtenga3384 yaani umeona mbali sana kiukweli mim nimeshuhudia hilo itakua mama alikua anahitajika atoe damu la sivyo ingemtafuna yey ivyo kuna mikataba ya familia inawatumikisha sio bure.yaani uko vizuri Valeria unajua mazingira ya watu wa kaskazin big up big up GOD BLESS U waelimishe na wengine
mungu wanguuu..uturehemu
Mmmmmmh!!
Mtihani inaonesha wifi zake ndio shida kubwa inasikitisha sana
Duh hao walijipanga mama hakua na busara na watt pia walikuwa na chuki zao wafungwe ili iwe fundisho pia wanaume ukioa jitegemee mambo ya nyumbani kuna nyumba kubwa yamepitwa na wakati.kila binadam anamapungufu yake.mama mkwe asipokupenda lazima ugomvi wa familia uwepo.
Tusiseme saana maana kila mtu ni mkwe wa mtu marehemu apumzike kwa amani
Mme kafariki kwaajili ya mke wake iyo kifo ilikuwa ni ya mkewe😓😓
usa_river nikwetu kabisa yani ningua arusha ningenda kushuhudia
Wazazi waamue sasa hivi kijana akioa aondoke na mkewe wakafanye MAISHA sio kukaa na wazazi na vijana nao wajitambue kwa sababu UKISHAKUAA TAFUTA MAISHA MATOKEO YAKE HAYOO
Watu wapo msibani wanazichanga karata habar hawapati😭
Mungu tunusuru jaman kk mtu mzima na mkewe kauwawa??? Uwiiiii jaman jaman jaman daah
Mbona arusha matukio nimengi sana jamani
Duuuuuuuh pole sana dada
Dah point hapa mke alikuwa atakiw lakin madhara yake wamemuua mtoto wao .YANI WANAUME MKIOA MUJENGE NYUMBA ZENU AU KUPANGA MDA MWENGINE WANAWAKE WANAPITIA MENGII KUHUSU KUISH UKWENI
Mengi mno mie nilipitea maisha hayo mtihani kweli kweli. Mie ilipotokia tumepishana kauli na mkwe wngu. Mume wngu alikuwa aingilie ugomvi tunakaa kimya tunabembelizana wenyewe na mume wangu mpaka hali inatulia
Kosa alilolifanya uyu kaka asinge muuliza mama yake mda uo angekaa kimya angengoja mama yake hasira ziishi kama kumuuliza basi angemuliza kwa upole
Kama angeshindwa basi ilitakiwa amsikilize mkewe chanzo nini wengerikibisha kimya kimya
Uamuzi ulikuwa wao waendelie kuishi umo au Wahame
Kuishinda shetani kazi ndogo tu ukiona pana moto wewe kuwa maji kaha kimya
Ila kuishi ukweni ni mtihani mkubwa
Mama ni mama yeye kijana angehamisha mkewe wakenda japo kupanga mbalikuepusha shari asingebishana na mama ake kupigana
Innalillahi wa inna ilaiyhi Rajiun ya Allah 😰😰
Kwa mini naina mana mkwe ndiyo rafiki , wifi, shemej na familia zima lakini, utakuta familia nyingine hawana upendo lakini
Mama wake wa Moshi na Arusha wabaya engine wanawachagulia watoto wao wanawake wa kuoa
Kwenye... Msiba.. Na... Kalata.. 😢
Acha ujinga wewe huyo kijana sio wa kumpiga mama mnajitetea
Wamama mkwe na wifi hawajawahi kuwa wazuri kwani hata mim wakwangu ni shida na sikai nao karibu lakini hekaheka kweli pumzika kwa Amani kaka,pole dada yangu kumpoteza mmeo karibu kwenye chama Cha wajane kikubwa mtumaini Mwenyezi Mungu wew ndo rafaja tosha
Na ww unaenda kuwa mama mkwe so jiandae kubeba lawama za mama mkwe🤣🤣🤣
Mama na watoto wake hii sio poa 😭😭
walimchukia😭😭😭😭😭😭
Wanaume wenzangu tuwe makini na ndoa zetu wanawake na mama zetu ni changamoto sana usije ukaishi jilani na mama yako ukiwa umeoa na unaona kabisa maelewano kati ya mkeo na mama cyo mazuli Kaa mbali sana ili kuepusha kama aya
duh wakwe hawamungu anawaona
Mama kauwa mwanaww duh😭😭😭😭😭
Huyu mkamwana nae nitatizo kwanin anaulizwa kakaakimiya, wanawake nasisi tunachangia kugombanisha ndugu.
Inavoonyesha HUO ugonvi ni wa muda mrefu ambao unasababishwa na chuki.Kwa hiyo mtu mwenye chuki na wewe hataacha kukusonga na maneno Nia yake uongee ili iwe sababu ya yeye kutimiza lengo lake. Lakini pia ushaambiwa mama ni mlevi.Mwingine anakunywea pombe maksudi akitoka hap anakufuata yote anatafuta sbb ili aongee lake sasa inaonesha Hy dada anamfaham mama mkwe vizur sana ndo maana alinyamaza hakumjibu ili asimpe nafasi ya ugomvi
Waarusha nawamasai waache kukaa nafamilia zao kwnye maboma ukioa kakaee mbaliii