"Mawazo" Sehemu Ya 61 Thoughts Dr. Elie VD.Waminian''

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 11

  • @kanezajoella6663
    @kanezajoella6663 2 місяці тому +1

    Asante sana baba dr elie umenifanya maisha yangu ya badirike nilianza kuku fwata niko kwenye kipindi kigumu cha maisha ila nilipo anza kuku fwatilia nilibadirika sana nika kuwa mtu mwenye tabasamu nikawa muelewa nikajuwa gisi ya kupenda maisha yangu na kujuwa kuishi na watu

  • @hamidafundi-pw1gw
    @hamidafundi-pw1gw 4 місяці тому +4

    Matendo yetu ndiyo maono yetu, ukiona unashawishika kutenda.Kadri unavyofanya kitu ndivyo unaona na kuelewa jambo husika.Nenda ,tenda ipasavyo. Utendaji ni muhimu katika maisha yetu.NIMEJIFUNZA.Asante Chomoza. Pongezi Dr Ellie. ❤❤❤❤❤🎉

  • @aishavogelmann5021
    @aishavogelmann5021 4 місяці тому +3

    Shukran sana kila ninapo wasikiliza na zidi kuwa imara kwa maisha yangu . Mola azidi kuwabariki na aware umri mrefu

  • @Nestgold-mx7lp
    @Nestgold-mx7lp 4 місяці тому +4

    Good dk mungu akubaliki ameni

  • @geraldndibalema-dc3wg
    @geraldndibalema-dc3wg 4 місяці тому +4

    Asante Dr Elie

  • @NtayandiLeonard
    @NtayandiLeonard 4 місяці тому +4

    🙏

  • @johnmasonga426
    @johnmasonga426 4 місяці тому +4

    Naupenda huo wimbo hiyo remix kaimba nani msaada tafadhali🙏

  • @KelvinJacob-iy3sp
    @KelvinJacob-iy3sp 4 місяці тому +3

  • @marceden4859
    @marceden4859 4 місяці тому

    Dr Elie waminian upo wapi mbona kimya nafuatilia chomoza kwaajili yako ww tu au umesafiri?