"Mawazo" Sehemu Ya 62 (Thoughts) Dr Elie VD.Waminia.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 жов 2024
  • Kwa MaonI, Ushauri Wasiliana Nasi Kwa Simu Namba (0747-744744 CHOMOZA MEDIA LIMITED) Au Kwa Barua Pepe Email. chomozamaoni@gmail.com
    Pia Unaweza Kutufatilia Facebook @ChomozaTV Na Istagram @chomozanews TikTok ChomozaTV
    Mungu Wetu Wa Mbiguni Akubariki......Endelea Kujifunza Na Kushare Mafundisho Haya Kwa Rafiki Na Nduguzo
    Kuendelea kupata mafundisho mengine zaidi tufuatilie kupitia mitandao yetu ya kijamiii:-
    Facebook : / gospeltvshow
    Instagram : / chomozanews
    UA-cam : www.youtube.com...
    #ChomozaTv#2024
    🔥🔥

КОМЕНТАРІ • 18

  • @hamidafundi-pw1gw
    @hamidafundi-pw1gw 3 місяці тому +4

    Kutenda ni kuona, mwendelezo wa maono ni kuendelea kutenda jambo. Wanadamu tumeumbwa kutenda. Utendaji ni muhimu, hutuwezesha kuona ipasavyo. Matendo yanazalisha maono ya jambo lolote, km. utajiri, kazi mbalimbali, ndoa, uongozi, nk. Kujiajiri ni ridhaa ya mtu kwa maono yake.Anayeajiriwa anatumikia kufuata na kanuni alizowekewa. Nimejifunza, asante Chomoza, pongezi Dr Ellie ❤❤❤❤❤🎉

  • @tegemeawilliammsewa1950
    @tegemeawilliammsewa1950 3 місяці тому +2

    Amina baba yetu uliyebatikiwa, BABA MWENYE MAONO KILA IITWAPO LEO. UNATOA MASOMO YENYE UZITO NA UPEKEE, YASIYONAUJANJA UJANJA, YAMENYOOKA. MIAKA MINGI BABA YANGU.

  • @JumaNgasinda
    @JumaNgasinda 3 місяці тому +3

    Tuwe makini na masomo haya ili tujenge afya ya akili ipasavyo

  • @paschalmajunei6669
    @paschalmajunei6669 3 місяці тому +3

    Mawazo sehemu ya 61 Mr Jimmy unaniangusha hujaiweka. Tuwekee nayo tuendelee kuelimika.

  • @JumaNgasinda
    @JumaNgasinda 3 місяці тому +2

    Tupo pamoja from Zanzibar' darajabovu by ustadh mwamu

  • @JumaNgasinda
    @JumaNgasinda 3 місяці тому +2

    Maisha ni kujifunza,kukanusha na kujifunza upya

  • @marceden4859
    @marceden4859 2 місяці тому

    Dr Elie Waminian upo wapi mbona kimya muendelezo mbona kimya jamani

  • @barakakonkara3675
    @barakakonkara3675 3 місяці тому +2

    Tunaomba na sehemu ya 61. Natanguliza shukrani na hongera kwa kazi nzuri

  • @gracelyimo6256
    @gracelyimo6256 2 місяці тому

    Aliyeajiriwa anatumika kutumiwa
    Aliyeajiriwa ni mbeba maono na atapata maono kwa kasi ya utendaji wake,barikiwa doctor 🤝

  • @smartnoel6983
    @smartnoel6983 3 місяці тому +1

    Tunashukuru sana team CHOMOZA,tunabarikiwa sana na darasa hili.Mwanafunzi Kutoka Rwanda. Tunawapenda daima!

  • @yvettekyalika907
    @yvettekyalika907 2 місяці тому

    😮 eh ! Swahili ni luga tamu sana ...! Mubarikiwe❤

  • @kanezajoella6663
    @kanezajoella6663 Місяць тому

    Asante sana kwa somo dr elie papa

  • @goodluckfaustine4473
    @goodluckfaustine4473 3 місяці тому +2

    Mbarikiwe mno

  • @KelvinJacob-iy3sp
    @KelvinJacob-iy3sp 3 місяці тому +1

    Sehemu ya 61 hamjatuwekea tunaomba nayo mtuwekee

  • @NtayandiLeonard
    @NtayandiLeonard 3 місяці тому +1

    🙏