Yes tuelewane tu waongo wamezidi Sana wanadanganya watu na kuwapeleka jehanamu MAANA kuabudu maji na udongo Ni kuacha kutubu dhambI na kuacha na kumufuata YESU na njia zake na yyndie anawapeleka watu mbinguni Sio udongo na maji
Wasipookoka kwelikweli watazidi kwenda tu. Watu wengi pamoja na kuokoka sheria ya Bwana haimo ndani yao(Yeremia 31:31-33). Kingine, hata kama wanajiita wameokoka bado wamefungwa na madhabahu ya miungu ya shetani (Waamuzi 32:1...).
Mungu akubariki, Mtumishi wa Mungu Mungu aliyeziumba Mbingu na nchi akuzidishie mno uendelee kulitemgeneza kanisa. Cha kunishangaza mtu anamwendea mwenyekuombea anakufa kwa kukanyaga mafuta, miliona Mtumishi wa Mungu jangwani wagonjwa wanabebwa kwa mahela kutoka mhimbili wananyanyuka wanaondoka ni wazima kwa Neno la Bwana. Jamani changamkeni tupokee ufahamu tuwe na ajili hizi ni siku za mwisho
Ni kweli tunataka kupona TU Ila hatutaki kupona ROHO zetu yaani tuna dhambI nyingi Ila hatumutaki YESU NA WOKOVU WAKE NA MUNGU ANIHURUMIE MM MAANA TWATESEKA NA MAGONJWA NA MATATIZO MBALIMBALI NA jehanamu INATUSUBILI KWA MAANA dhambI twazin,Ang,Ani sana
Eeee hapa tumeelewana wa kuabudiwa Ni MUNGU wa mbingu na NCHI TU na so vinginevyo maji majivu maudongo na maleso havina MAANA wa kuangalia na kuabudiwa Ni YESU NA SI VINGINEVYO TUNAJAA MAKANISANI ILA MUNGU WA KWELI HATUMUJUI WALA HATUJUI KUWA YESU ANATENFDA KAZI HADI SS

Amen ubarikiwe mtumishi wa mung
Mungu akubariki mtumishi
Mtumishi wa kweli
Tungepata wachungaji kumi kila mkoa nchi hii ingepona shetani na wajumbe wake wangekiona cha moto, endelea kututoa kwenye matango pori 🙏
Haleluyaaaaaa
Ameee
Ameren kubwAa
Wasipookoka kwelikweli watazidi kwenda tu. Watu wengi pamoja na kuokoka sheria ya Bwana haimo ndani yao(Yeremia 31:31-33). Kingine, hata kama wanajiita wameokoka bado wamefungwa na madhabahu ya miungu ya shetani (Waamuzi 32:1...).
Mungu akubariki, Mtumishi wa Mungu Mungu aliyeziumba Mbingu na nchi akuzidishie mno uendelee kulitemgeneza kanisa. Cha kunishangaza mtu anamwendea mwenyekuombea anakufa kwa kukanyaga mafuta, miliona Mtumishi wa Mungu jangwani wagonjwa wanabebwa kwa mahela kutoka mhimbili wananyanyuka wanaondoka ni wazima kwa Neno la Bwana. Jamani changamkeni tupokee ufahamu tuwe na ajili hizi ni siku za mwisho
Huyu Mzee nampenda jamani..
Asante Sana Baba Mungu akubariki Sana huduma yako Ni njema Mungu akujarize jinsi apendavyo
😇😇😇😇😇😇🌏
Baba na barikiwa Sana na mahubiri yako
Ni kweli tunataka kupona TU Ila hatutaki kupona ROHO zetu yaani tuna dhambI nyingi Ila hatumutaki YESU NA WOKOVU WAKE NA MUNGU ANIHURUMIE MM MAANA TWATESEKA NA MAGONJWA NA MATATIZO MBALIMBALI NA jehanamu INATUSUBILI KWA MAANA dhambI twazin,Ang,Ani sana
Ubarikiwe mno Baba.Tukumbuke sisi wa manyara.
Ameni, ubarikiwe pastor..umenisaidia kujua miungu ambayo tulikuwa tunaabudu bila kujua..ubarkiwe saaaaana..
Asante Baba Kwa neno Bwana Mungu akulinde tunu ya wokovu ktk kristo Yesu
Eeee hapa tumeelewana wa kuabudiwa Ni MUNGU wa mbingu na NCHI TU na so vinginevyo maji majivu maudongo na maleso havina MAANA wa kuangalia na kuabudiwa Ni YESU NA SI VINGINEVYO TUNAJAA MAKANISANI ILA MUNGU WA KWELI HATUMUJUI WALA HATUJUI KUWA YESU ANATENFDA KAZI HADI SS
Mungu akutunze Baba barikiwa sana
Asante sana baba mchungaji kwa NENO lenye uzima. Tunaifurahia huduma yako kwa kweli.
Amen
Sema Baba nakuelewa sana Baba Mungu akutunze
Amen
Haleluyaaaaa Amen
Mungu turehemu watoto wako tumepotea
Madini.mungu akubariki pastor
Daaaaaa eti utafikiri panya kwenye Kihenge cha mahindi. Nimecheka kweli.
Mchungaji, kwakweli nakuelewa sana katika mahubiri yako.
AMEN AMEN AMEN 🙏🙏🙏
Haleluyababa
Naelewa sana Baba yangu Mch Magembe
Nauangalia huu ujumbe baada ya mwaka lakini bado ni mpya kama nini wakenya tukusanyikeni hapa
31 dec 2024
Powerful message Mchungaji
Amen amen amen
Kavu kavu bila ganzi
Endelea baba
😄mchungaji unatuchana live
Hiyo nzuri sn
Amina sana nimepokea roho mtakatifu
Amen barikiwa Mtumishi wa Mungu
Amen
Asante YESU
Mungu akubariki Kwa KAZI nzuri
Ameen
Kanisa hili likowap
Mungu awabariki sana #NY TV
Amen 🙏
100
🤑🤑🤑🤑🤑🤑🤑🤑🤑🤑🤑🤑🌎
Amen 🙏
Amen