PROPHET GEORGE GERVAS AFUMBUA UKWELI WOTE SABABU ZA MCHUNGAJI MAARUFU "MOSES MAGEMBE" KUHAMIA TAG

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 лют 2025
  • Press

КОМЕНТАРІ • 20

  • @FikiriTuyate
    @FikiriTuyate День тому

    Amina baba faya kazi tupone

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md 9 днів тому

    Ameni ameni yesu hafungwi mnyololo haongozwi njia wala hatumwi kazi bali anatuongoza kule anataka twende

  • @ConsolatNdumwaShuli-x6z
    @ConsolatNdumwaShuli-x6z Місяць тому +1

    Shida watumishi leo hawatumiki kwa faida ya ufalme wa Mungu, bali ni faida za kibinafsi ndo wengi zinakuwa sababu.

  • @jessicamashauri3209
    @jessicamashauri3209 20 днів тому

    Kuhamia au kuhama?????

  • @Kanyawela
    @Kanyawela Місяць тому

    Mungu asiwe kivuri cha kujificha MUNGU awe Nuru kwa watu na ndivyo alivyo

  • @anatoliwema3664
    @anatoliwema3664 10 днів тому

    Mbona wewe hukutulia😂😂😂

  • @PaulMwenda-w9v
    @PaulMwenda-w9v Місяць тому +2

    Ndo walewalee af koma TAG haijawahi yumba weeee

    • @valelianonyato-gx5bq
      @valelianonyato-gx5bq Місяць тому

      Wewe unapo ambiwa ukweli usiwe mbishi ni kwa faida yako Mungu anatakabutakatifu siyo maigizo Mungu haxihakiwi acheni kujipa haki kama mafalisayo

    • @leahsrath
      @leahsrath Місяць тому

      Unajitahid sana🤣🤣🤣🤣🤣🤣kutetea uovu

  • @AmanMpwacha
    @AmanMpwacha Місяць тому +1

    Duuuuuuuu naww Nina wasiwas na ww
    Wewe huwezi jilinganisha na magembe ata kidogooo

  • @sautikuu212
    @sautikuu212 27 днів тому

    Wengi wa wanaomuunga mkono mch. Magembe ni wale waliohama au kufukuzwa au kuanzisha huduma binafsi kwa maslahi yao binafsi

    • @IsmailMaberi
      @IsmailMaberi 14 днів тому

      Kwani mtu akiama TAG kuna ubaya gani kwani mbinguni kuna aya madhehebu ,mtu ukihama dhehebu sio umememuhama yesu,ebu tuwe makini na ivi vyombo vya habari vinaingiza Roho za uchonganish ,masengenyo

    • @sautikuu212
      @sautikuu212 14 днів тому

      @IsmailMaberi kwani kuna mtu kasema kuna ubaya kuhama TAG.?

  • @josephmahonje3564
    @josephmahonje3564 Місяць тому +2

    Acha uongo magembe sio mwasisi na TAG sio minsty muwe makini unapotaja tag .muhuni wewe

    • @SophiaLondo
      @SophiaLondo Місяць тому

      Acheni udini nyie

    • @leahsrath
      @leahsrath Місяць тому

      Hujui maan ya muasisi sio kwamba alianzisha ila ndo wale watumishi wa mwanzo kabisaaa tulia mwehu wewe

  • @profs.a5412
    @profs.a5412 Місяць тому +2

    Roma>sabato>mwislamu>TAG> huduma binafsi😅