Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

Jinsi ya kuanzisha biashara ya Bodaboda

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 гру 2019
  • Video hii inaeleza jinsi ya kuanzisha biashara ya bodaboda na kupata mafanikio.
    Kuna mambo 12 ambayo ni muhimu kutekeleza iwapo unataka kuanzisha biashara ya bodaboda yenye mafanikio.
    Mambo mengi kati ya hayo 12 yameelezewa kwa undani katika video zangu zilizotangulia ambazo zinapatikana kwenye You Tube channel ya Ali Mwambola.
    1. Soma eBooks za Ujasiriamali za Tan Business Channel: Wasiliana nasi kupitia Whatsapp 0716 682 439
    2. Tan Business Online School: ali-mwambola-s...
    3. Pata ushauri kupitia WhatsApp 255 716 682439
    4. Pata habari zaidi kupitia website yetu: www.tanbusiness.co.tz
    5. Mitandao yetu ya kijamii:
    Facebook: / tanbusiness
    Instagram: / tanbusiness
    UA-cam: / alimwambola
    #jifunzeujasiriamali #vitabuvyaujasiriamali #alimwmabola #tuongeebiashara #tujifunzeujasiriamali #mizungukoyaujasiriamali

КОМЕНТАРІ • 4

  • @MonicaHeta-ob3cz
    @MonicaHeta-ob3cz 9 місяців тому

    nakubali

  • @sahiyaali4466
    @sahiyaali4466 2 роки тому +1

    Mkataba unakua miezi mingap

    • @AliMwambola
      @AliMwambola  2 роки тому +1

      Inategemea na makubaliano kati ya mwenye pikipiki na dereva wa bodaboda. Kama unalipwa shs 10,000 kila siku na dereva wa bodaboda, maana yake ni kuwa utalipwa shs 3,600,000 kwa mwaka mmoja. Kama umenunua pikipiki kwa shs 3,000,000, maana yake utapata faida ya shs 600,000. Ili upate faida nzuri ingia mkataba sio chini ya miaka 2. Kama wewe ni dereva wa bodaboda ni wazi kuwa utapenda mkataba wa muda mfupi, ili uweze kumiliki pikipiki mapema na kutengeneza pesa.