Makosa 14 ya kuepuka unapo anzisha biashara ya bodaboda

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • Hii video inaeleza makosa 14 ya kuepuka unapo anzisha biashara ya bodaboda.
    Hayo makosa hufanywa na baadhi ya wajasiriamali wakati wa kuanzisha biashara ya bodaboda.
    Sehemu kubwa ya makosa hayo yameelezewa kwa undani zaidi katika video zangu za awali ambazo zinapatikana kwenye You Tube Channel ya Ali Mwambola.
    1. Soma eBooks za Ujasiriamali za Tan Business Channel: Wasiliana nasi kupitia Whatsapp 0716 682 439
    2. Tan Business Online School: ali-mwambola-s...
    3. Pata ushauri kupitia WhatsApp 255 716 682439
    4. Pata habari zaidi kupitia website yetu: www.tanbusiness.co.tz
    5. Mitandao yetu ya kijamii:
    Facebook: / tanbusiness
    Instagram: / tanbusiness
    UA-cam: / alimwambola
    #jifunzeujasiriamali #vitabuvyaujasiriamali #alimwmabola #tuongeebiashara #tujifunzeujasiriamali #mizungukoyaujasiriamali

КОМЕНТАРІ • 8

  • @selinalukwembe7363
    @selinalukwembe7363 3 роки тому

    Naitaji kufaya piachala ya bodaboda

    • @AliMwambola
      @AliMwambola  3 роки тому +1

      Karibu ujiunge na WhatsApp group ya Tan Business Channel +255 716682439

  • @robertgordon2745
    @robertgordon2745 4 роки тому

    naomba ushauri kati ya mkataba wa kipande na ule wa kumwachia kijana baada ya muda fulani upi bora?

    • @AliMwambola
      @AliMwambola  4 роки тому

      Sijakuelewa. Nieleze vizuri kupitia email yangu

  • @fkhimself9937
    @fkhimself9937 4 роки тому

    Mtaji wa kuanzaa inabid usipungue kiasi ganii? Je boda boda kwa siku kiwango cha chini anawepata shilling ngap?

    • @AliMwambola
      @AliMwambola  4 роки тому

      Angalia video yangu inayoeleza mambo ya mtaji utapata mwelekeo kuhusu mtaji unaohitajika

  • @miragmiragee9683
    @miragmiragee9683 3 роки тому

    Mm naomba ushauri WA kuanzisha biashara boda boda

    • @AliMwambola
      @AliMwambola  3 роки тому

      Kwa ushauri zaidi jiunge na Tan Business WhatsApp group kupitia +255 716682439