Jinsi ya kutengeneza business plan ya biashara ya bodaboda

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • Jinsi ya kutengeneza Business Plan ya biashara ya bodaboda ni muendelezo wa mada za program zetu za Tan Business Channel
    Unapotaka kuanzisha biashara ya bodaboda kuna mambo mengi muhimu unatakiwa utekeleze.
    Huwezi kutekeleza mambo yote kwa ufanisi kama hauna maandiko yatakayo kuongoza.
    Unatakiwa uwe na Business Plan, ambayo ni dira itakayo kuongoza kuanzisha na kusimamia biashara ya bodaboda
    Business Plan nzuri ni ile inayo kuongoza kuanzia mwanzo hadi pale utakapo anzisha biashara ya bodaboda
    Business Plan pia inaweza kukusaidia kupata mkopo kutoka benki na fedha kutoka kwa wawekezaji au wahisani kwa ajili ya biashara ya bodaboda
    Kwenye video hii tunaeleza jinsi ya kutengeneza Business Plan ya biashara ya bodaboda
    YOU TUBE CHANNEL DESCRIPTION
    1. Soma eBooks za Ujasiriamali za Tan Business Channel: Wasiliana nasi kupitia Whatsapp 0716 682 439
    2. Tan Business Online School: ali-mwambola-s...
    3. Pata ushauri kupitia WhatsApp 255 716 682439
    4. Pata habari zaidi kupitia website yetu: www.tanbusiness.co.tz
    5. Mitandao yetu ya kijamii:
    Facebook: / tanbusiness
    Instagram: / tanbusiness
    UA-cam: / alimwambola
    #jifunzeujasiriamali #vitabuvyaujasiriamali #alimwmabola #tuongeebiashara #tujifunzeujasiriamali #mizungukoyaujasiriamali

КОМЕНТАРІ • 2

  • @bazorooscar2949
    @bazorooscar2949 Рік тому

    Samahan naweza kuunganishwa na watu wanaohusika na kutoa mikaaba ya pikipiki niweze kujifunz Kutoka kwao

    • @AliMwambola
      @AliMwambola  Рік тому

      Kama unataka kujifunza jinsi ya kutengeneza business plan unaweza kusoma kitabu changu cha jinsi ya kutengeneza business plan. Kama unahitaji hicho kitabu wasiliana nami kupitia WhatsApp 255 716682439