MWONGOZO WA JUICE//A GUIDE TO A SUCCESSFUL JUICE BUSSINESS

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 лют 2021
  • mwongozo wa biashara ya juice,ni rahisi sana lufuata biashara hii kama ukiwa tayari na kuzingatia vigezo.
    kwa video zingine za biashara bonyeza link hizi
    BISKUTI ZA BIASHARA
    • Video
    BIASHARA 13 KWA AJILI YA MAMA WA NYUMBANI
    • BIASHARA 13 KWA AJILI ...
    BIASHARA 5 ZA KUKUINGIZIA 10,000/= KILA SIKU
    • BIASHARA 5 ZA KUKUINGI...

КОМЕНТАРІ • 67

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly  3 роки тому +6

    Mwenye maoni zaidi/angalizo/ushauri zaidi tafadhali dodosha kwenye comment tujifunze pamoja.
    Pia usisahau kusubscribe,like,comment na kushare na ndugu jamaa na marafiki

    • @sofiaringo4901
      @sofiaringo4901 3 роки тому +1

      Jamn uku nlipo juice nusu lita ndo 500 napenda sana hii biashar lkn changamoto yang napatia wap (disposable glasses) maan huku nlipo hakuna

    • @sofiaringo4901
      @sofiaringo4901 3 роки тому +1

      Maan inabd ninunue chupa za maj za nusu lita nizfanyie usaf alafu niweke juice kwa wateja wng nlikua nahtaj class hiz ambazo mtu akitumia bac lakn huku nilipo hakun jamn na wateja wangu weng n wapitaj tuu sasa mteja Akija anahtaj umuekee kweny chupa weng hawanyw hapa hapa sasa napata changamoto nikiwa cna chupa duuh... Yan hela naikosa hvhv nkiangalia nsaidien mawazo nifanyaj

    • @kekiplus1andonly
      @kekiplus1andonly  3 роки тому

      Pole sana dear,upo wapi?hata mjini kwenu hamna?
      Basi niambie kama unataka kununuliwa na kutumiwa ulipo..nitakusaidia.usijali.
      Nitafute instagram kekiplus.youtubechannel

    • @sofiaringo4901
      @sofiaringo4901 3 роки тому

      @@kekiplus1andonly ok

    • @happyfrances8854
      @happyfrances8854 2 роки тому

      Samahani dear kama nikichanya na palachichi au napassion inakubalika

  • @lesthermulagha6687
    @lesthermulagha6687 3 роки тому

    Asante dada kwa ushauri ni kweli kabisa tunanunua vilivyoiva sana sana na juice huwa inaonyesha kabisa kuwa limeoza. Bariakia

  • @binahmadkhalif6424
    @binahmadkhalif6424 Рік тому

    Mwongozo mzuri kabisa huu, nakukubali dada

  • @katherinemoroni9591
    @katherinemoroni9591 3 роки тому

    Asante sana kwa video, nimejifunza mengi sana sanaaaa

  • @joycepeterwilliam2143
    @joycepeterwilliam2143 Рік тому

    Ahsante kwa somo dear

  • @shakilashakila5142
    @shakilashakila5142 2 роки тому

    Asante Sana Kwa somo,nimependa sana

  • @stephenkadakwa2315
    @stephenkadakwa2315 Рік тому

    Mungu asaidie ninampango wa kuanza kutengeneza na kuuza juice. Nitakutafuta mama kwa somo zaidi

  • @lesthermulagha6687
    @lesthermulagha6687 3 роки тому +3

    jibu moja nimepa la bei. Je maji hayatajitenga na tunda.

  • @carolainenyakundi3316
    @carolainenyakundi3316 3 роки тому +1

    Asante Sana dada barikiwa 🙏

  • @user-oi7qm1ge9y
    @user-oi7qm1ge9y 4 місяці тому +3

    Nataman sana dada angu tatizo mtaji tu,mtaji sio matunda tu hata friji na brenda pia mtaji

  • @theresiamhina9714
    @theresiamhina9714 3 роки тому +1

    Asante kwa ushauri mzuri

  • @habibarajabkiriwacho5921
    @habibarajabkiriwacho5921 3 роки тому

    shukran ukhty kwa ushauri wako

  • @shidalikenge1085
    @shidalikenge1085 2 роки тому

    Mashallah 😍😍😍

  • @elizabethjulius651
    @elizabethjulius651 2 роки тому +11

    Kwa wale wanaouza sh 500.....kuna glass za 250mls, zinaitwa glass bomba, lita 1 zinatoka glass 8

  • @mbonihankuyelissa6931
    @mbonihankuyelissa6931 3 роки тому +2

    Asante sanaa dada

  • @renaldamelchiardy1032
    @renaldamelchiardy1032 3 роки тому +1

    Asante mamy vitu vyako vinaeleweka kwakweli

  • @mercymsupa1624
    @mercymsupa1624 3 роки тому

    Asante sana ❤️💯

  • @HadijaSheban
    @HadijaSheban 3 роки тому +1

    MashaaAllah mpenzi mm pia napenda sana kuonja juice kabla kuserve ama juisi ya aina yoyote.. Haya niletee glass yangu😋😋sijawahi fanya biashara ya juice ila nikimakinika nitafanya love

    • @kekiplus1andonly
      @kekiplus1andonly  3 роки тому +3

      Yes,kuonja ndo kila kitu.
      Hata glass usibebe,we njoo tu😂😂😂😂😂
      Kweli ukimakinika its possible kama time unayo

    • @HadijaSheban
      @HadijaSheban 3 роки тому

      @@kekiplus1andonly eeeeh mpenzi nikujipanga💪

  • @cookwithmsoo
    @cookwithmsoo 3 роки тому +6

    Such an informative guide- this new series is Everything sis. Keep up the good work dear alafu naangalia tu hio maende mate yananindondoka, yameiva poa sana

    • @kekiplus1andonly
      @kekiplus1andonly  3 роки тому +1

      Hahaha...unapenda maembe eeh?
      Thanls dear,for always supporting..
      Did you check ur dm?

    • @cookwithmsoo
      @cookwithmsoo 3 роки тому

      @@kekiplus1andonly maembe na mimi tuko inseparable.. I'll check my dm today been sooo busy this week

  • @glorylymo958
    @glorylymo958 2 роки тому

    Axante dear

  • @user-ib5no8vn5g
    @user-ib5no8vn5g 2 місяці тому

    Santee sana nimejifunza vingi

  • @kautharibrahim9691
    @kautharibrahim9691 2 роки тому

    Asante sn

  • @ibraabuemu9231
    @ibraabuemu9231 3 роки тому

    Thanks a lot

  • @NanceUlomi
    @NanceUlomi 2 місяці тому

    Shukran

  • @marybrison5504
    @marybrison5504 7 місяців тому

    blessed

  • @marthajoseph3297
    @marthajoseph3297 3 роки тому

    Napenda mafunzo yako

  • @annaanthony2850
    @annaanthony2850 9 місяців тому +1

  • @user-gg7td9fy7v
    @user-gg7td9fy7v 4 місяці тому

    Nazipataje izo crass

  • @lindamlaki8103
    @lindamlaki8103 3 роки тому +1

    Umesema kweli dear mazingatio uliyosema ni sahihi kabisaa asante my.hivi nikitaka kukutana nawe uko na nafasi hiyo?

  • @tumainimwakisile4855
    @tumainimwakisile4855 4 місяці тому

    Asante dada kwa mafundisho naomba uniambie nitumie nini?ili juice yangu iwe na radha nzuri.please

  • @user-xc1dv6pu3c
    @user-xc1dv6pu3c 8 місяців тому

    Juice nzuri nimependa

  • @mariammanoni4531
    @mariammanoni4531 3 роки тому +2

    Asante dada naomba namba ako

  • @JennyJocktan-gl2ps
    @JennyJocktan-gl2ps 5 місяців тому

    Samahani dada unaweza kunionyesha radha unazoweza kutumia kweny juice ili iwe tamu zaidi

  • @stellakapwapwa9550
    @stellakapwapwa9550 Рік тому

    Asante my 🥰

  • @user-nl6cc2lw3x
    @user-nl6cc2lw3x 4 місяці тому

    vifaa gani naweza kuandaa vya kuuzia juice ambayo tayar ime andaliwa madam msaada please ?

  • @mariajuma8994
    @mariajuma8994 Рік тому +1

    Namba yako ya simu tafadhari

  • @BrendaJuddy
    @BrendaJuddy Місяць тому

    Sio lazma kuweka tangawizi ? Na limao?

  • @shineyourlifechannel.6753
    @shineyourlifechannel.6753 Рік тому

    Hiyo glass y juice unauza kwa sh ngap kila glass

  • @Dizzolee-tz
    @Dizzolee-tz 3 місяці тому +1

    Nampango wa kuuza juisi na kilacku nafatilia mafunzo yako napenda sana coz yanaeleweka sana mafunz yako

    • @kekiplus1andonly
      @kekiplus1andonly  3 місяці тому +1

      MashaAllah 😘 nakuombea uanze rasmi,usfkirie sana,Anza tu,

    • @Dizzolee-tz
      @Dizzolee-tz 3 місяці тому

      Ccta kunamtu alnambia kwamb biashara ya juic sio yakutegemea sana coz wakati wa masika wateja upungua naomb ushauli ccta

  • @happyfrances8854
    @happyfrances8854 2 роки тому

    Kama natumia barafu inakuwaje??

  • @rahmaomari5544
    @rahmaomari5544 2 роки тому

    Dada me naomb nmba yakoo nikutafute nashida

  • @lesthermulagha6687
    @lesthermulagha6687 3 роки тому +1

    dada Glass nauzaje napenda sana kufanya biashara ya juice. Naomba namba yako ya simu.

  • @user-xo4bw7pg3o
    @user-xo4bw7pg3o 9 місяців тому

    Me nataka kufungua biashala yamatunda nashukulu kwa mafunzo

    • @user-xo4bw7pg3o
      @user-xo4bw7pg3o 9 місяців тому

      Naomba pia namba yako ili uzid kunifunza

  • @annaanthony2850
    @annaanthony2850 2 місяці тому

    Shukran

  • @ayshahussen7452
    @ayshahussen7452 9 місяців тому

  • @bernadethansumba5568
    @bernadethansumba5568 3 роки тому +3

    Shukran