KIMENUKA HUKO; MAGOMA NA MWAIPOPO WAMUPA SOMO RAIS WA YANGA ENGENEAR HERSI WAANIKA MASHITAKA YOTE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 234

  • @mussatweve1270
    @mussatweve1270 2 місяці тому

    Asante kwa uadilifu Mzee mwaipopo,...mwanayanga kindakindaki

  • @shizoshop2469
    @shizoshop2469 2 місяці тому

    Wazeee wamegina 😂😂😂 yani wanakuja na fact 😂😂😂😂❤❤❤

  • @khmissalum3881
    @khmissalum3881 2 місяці тому +6

    Kampata mweye njaaa Kali mwenzake😂😂😂😅njaaa Kali

    • @MariahHaule
      @MariahHaule 2 місяці тому

      Sio njaa kwa mtu mwenye kuelewa sio

  • @mussatweve1270
    @mussatweve1270 2 місяці тому

    Hongera sana Mzee magoma

  • @anastahiliutawala3879
    @anastahiliutawala3879 2 місяці тому +3

    Magoma hoyooo

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 2 місяці тому +11

    Daah yani sura zao tu? ni wachawi watupu?

  • @stevenipory2994
    @stevenipory2994 2 місяці тому

    Njaa hiyo 😅

  • @FatumaMtanda-c8x
    @FatumaMtanda-c8x 2 місяці тому

    Huyo mzee magoma anatafuta kujulikana mtandaoni hana point yakuzungumza nimwehu

  • @FeyloDio
    @FeyloDio 2 місяці тому +9

    Magoma.kanyoka kama fimbo ya Musa💯

    • @venancemartin6734
      @venancemartin6734 2 місяці тому +3

      Hoja/facts anazo sana huyu Mzee. Wenye Akili ndogo endeleeni kumupuuza.

    • @godlistengodlisten7552
      @godlistengodlisten7552 2 місяці тому

      ​@@venancemartin6734WEWE NDIO UNAAMINI WAHUNI WATASHINDA ILA WEWE NA HAO WAJINGA WENZAKO HAMUWEZI.

    • @godlistengodlisten7552
      @godlistengodlisten7552 2 місяці тому

      Mtu Mwenyewe Hata Kuongea Hawezi Ndio Anataka Timu.

    • @saidsuleiman1753
      @saidsuleiman1753 2 місяці тому

      M​@@godlistengodlisten7552una uhakika hawezi kuongea

    • @alexandermatimbwi5497
      @alexandermatimbwi5497 2 місяці тому

      Kalale wewe MWAIPOPO kwenda kyela ukalimematoki

  • @nancymorenje3880
    @nancymorenje3880 2 місяці тому

    Mwacheni Raisi wetu. Msimweke kwenye midomo yenu

  • @ramadhanimrungu5806
    @ramadhanimrungu5806 2 місяці тому

    Magoma kipara kama tango na mwaipopo sura kama ganda la lima

  • @emmanuelmayunga1518
    @emmanuelmayunga1518 2 місяці тому

    Wazee hawa wana akili KUBWA SANA 😂😂😂komaeni wazee wangu sisi wana yanga tupo nanyiii Hersi anatupotezaaa

  • @khmissalum3881
    @khmissalum3881 2 місяці тому +4

    Yaaani Hawa wamekua kama makatuni😂😂😂😂😂

  • @alphoncealmack9240
    @alphoncealmack9240 2 місяці тому +3

    Waone sura zao 😂😂😂😂 zlivyo za ajabu. Hakuna ht mtu mmoja wa Yanga anaesapot upuuz wao na makolo tu maana kolo anadhan kuwa tutafanana nao ktk migogolo msahau

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 2 місяці тому +2

    Waone walivyo!!!

  • @RomboBoy-bl7ql
    @RomboBoy-bl7ql 2 місяці тому +4

    We Mzee ni kuma sana acha usenge hata sjui kama unalipia kard ya uanachama

  • @Upendogospelchoir
    @Upendogospelchoir 2 місяці тому +3

    Hao Wazee sidhani kama Wana miliki hata baiskel

    • @SuzanIkwabe
      @SuzanIkwabe 2 місяці тому

      Baiskeli watoe wapi hapo wanachomiliki ni bukta zao za ndani tu na si boxer za kisasa kudadek yaan wamenikera kumuudhi rais wetu

  • @WestonMbuba-ff4jk
    @WestonMbuba-ff4jk 2 місяці тому +3

    Yanga haijatikisika bali wamejidhalilisha sana hao wazee

    • @mckobatz5861
      @mckobatz5861 2 місяці тому +1

      Ikianza kufanya vibaya kiwanjani ndio tutaona kama wamejidhalilisha au mtakumbuka hoja za hawa washua😂

    • @WestonMbuba-ff4jk
      @WestonMbuba-ff4jk 2 місяці тому

      @@mckobatz5861
      Subirini vichapo mfululizo

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 2 місяці тому +1

      ​@@mckobatz5861😂😂😂😂 acha unafiki

  • @suleimanmwenyemvua995
    @suleimanmwenyemvua995 2 місяці тому +2

    Wanachama g'ani basi.awataje waliohusika katika kesi mchwara na waliopitishwa nani kusimamia hiyo kesi mchwara😊😊😊

  • @SefuMhando
    @SefuMhando 2 місяці тому

    Munatumalizia mb nyinyi wazee wasengelema!!

  • @judithtitomalyeta4000
    @judithtitomalyeta4000 2 місяці тому +8

    Jamani mwaipopo njaa Kali

    • @simonndunguru1629
      @simonndunguru1629 2 місяці тому +1

      @@judithtitomalyeta4000 Ukweli Mwaipopo hawezi hata kuongea wala hafahamu hata Histori ya YANGA
      Wamewaponza Jamani hawajielewi

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 2 місяці тому

      Nakweli Hawa azee wananjaa ya watu wa Sudan kusini

  • @ReginaWolfram-q3y
    @ReginaWolfram-q3y 2 місяці тому +3

    Wazee mpo vizuri

  • @philimonmtweve4522
    @philimonmtweve4522 2 місяці тому

    Wazee wamenyoka sana

  • @jovinusmutabuzi4647
    @jovinusmutabuzi4647 2 місяці тому +4

    Acha Gen z waendeshe timu.
    Mtapata shida ninyi wazee kwani wanawasikiliza.
    Wamesema jaribu mwende makaomakuu muone.
    Mtapitishwa bakola.

  • @florentinigawday1094
    @florentinigawday1094 2 місяці тому

    Wazee wako sahihi sana,endeleeni kutupambania,gsm watuachie timu yetu

  • @slimomary4145
    @slimomary4145 2 місяці тому +2

    Nimegundua waandishi ndio shida hata hawajui nn wanafata kuoji kwa hawa wazee ninamsha na uwezo wa waandishi wetu😊

    • @mkoteaziz5238
      @mkoteaziz5238 2 місяці тому

      Waandishi wanatafuta viewers, hakuna contents za maana kwa maslahi ya jamii ya wanamichezo!😊

  • @ambakisyemwanjemba5787
    @ambakisyemwanjemba5787 2 місяці тому

    wazee hawa ni waelewa sana ,na wanamsimamo sana hofu ni vyura hawawasikilizi

  • @dottomatola5905
    @dottomatola5905 2 місяці тому

    Mwaipopo Ndiomaana kumbe huyu ni ukoo wa mwambukusi ndio maana wanapenda kesi mbeya oyeeee

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra636 2 місяці тому

    Wame watikisa mashabiki na sio yanga hao hawawezi kuitikisa Yanga

  • @videozaaj1069
    @videozaaj1069 2 місяці тому +4

    Linaongea point sana,kama kilaza huezi elewa

    • @LinusKyando
      @LinusKyando 2 місяці тому

      WANAELEWA MBUMBUMBU WA SIMBA

    • @hassanyohna6121
      @hassanyohna6121 2 місяці тому

      Yanga ata wema Anaweza kuwa Rais nikikundi cha Mambumbumbu wachache Wewe tafuta helatu kuwa Rais Yanga sio kazi😂😂😂

    • @MaryJohn-bt5fe
      @MaryJohn-bt5fe 2 місяці тому

      Msenge kweli wewe​@@hassanyohna6121

    • @MaryJohn-bt5fe
      @MaryJohn-bt5fe 2 місяці тому

      Point ipi

  • @MichaelMwalusi
    @MichaelMwalusi 2 місяці тому

    Kumbe nimegundua kwamba mwenye mipango hii ni Magoma. Mwaipopo anapelekwapelekwa tu.

  • @SefuMhando
    @SefuMhando 2 місяці тому

    Wasengelema

  • @gwamakamwakabonga
    @gwamakamwakabonga 2 місяці тому

    Mwaipopo mnyakyussa pure. Lafudhi yake ya kinyaki bado inamtambulisha. Ndaga Mwaipopo

  • @suleimanmwenyemvua995
    @suleimanmwenyemvua995 2 місяці тому

    Rasimu ya katiba ilijadili wa katika matAwi yote na kuridhiwa kwenye vikao vya matAwi.... huyo magoma zeee😅😅😅

  • @ameirzapy1318
    @ameirzapy1318 2 місяці тому

    Neno Kutukutanisha kwa magoma limekuwa gumu kulitamka 😅😅

  • @manaseyona9260
    @manaseyona9260 2 місяці тому

    Ivi hawawazeeee wao ndio wanajiona wananguvu yakuuiongiza timu au wanajidai namauchawi yao maana siwaelewi

  • @FadhiliKavindi
    @FadhiliKavindi 2 місяці тому

    Aaaha kudadeki watani Magoma amewafinya panapo uma maana mnatoa milio

  • @justinjasson7070
    @justinjasson7070 2 місяці тому +3

    Hawa nao, yanga haina katiba mpya, isipokuwa imefanyiwa maboresho na inaruhusiwa, hawa wazee wanajichanganya, Yanga haina katiba mpya

    • @salehhemed9388
      @salehhemed9388 2 місяці тому

      Hayo marekebisho yamesajiriwa wap?

  • @JumaJohn-pg9hc
    @JumaJohn-pg9hc 2 місяці тому

    Nako haka kanyakyusa aka jamani

  • @SuzanIkwabe
    @SuzanIkwabe 2 місяці тому

    Pwagu na pwaguzi ndani nyumba ht hawaelewi

  • @DesertTears
    @DesertTears 2 місяці тому

    Wavuta bangi wawili😂😂😂😂 wanatafuta pa kufia😂😂😂😂kumbe katiba ishapelekwa serikalini😂😂😂

  • @hamisiomaryi1699
    @hamisiomaryi1699 2 місяці тому +2

    Mzee j hanakitu haskilizwe Hana Jambo lamsigi sanasana

  • @eliashelyongolo4123
    @eliashelyongolo4123 2 місяці тому

    Kuna point nadhani wanayo hawa ukiwasikia vzr,ukitoa mihemko nadhani Kuna kitu hapo,

  • @dottomatola5905
    @dottomatola5905 2 місяці тому

    Mwambukusi kesi TLS Mwaipopo kesi YANGA Mbeya??????????? /!!!!!!!!!!

  • @alphoncealmack9240
    @alphoncealmack9240 2 місяці тому +3

    😂😂😂nilikuwa nasikia kuwa wazee ni wenye busara nyingi,tumeaminishwa hivy9 lkn sasa hawa sunche na kapeto wenye njaa kali mpaka kwenye kwapa zao, iwapi busara yao,hata hawana hoja ya msingi mpaka kuleta huu upumbavu wao, si bora hat kijana mweny umri wa miak 20 anaweza kuwa ba busar kuliko hawa au ni kweli wanavuta bang hat hao wanao wahoj hawa wazee wote ni ving'amuzi tu

  • @KabungaKalla-fw4pp
    @KabungaKalla-fw4pp 2 місяці тому

    Wee yanga ipo south Africa imetikisika vipi

  • @ameirzapy1318
    @ameirzapy1318 2 місяці тому

    Kwa hiyo magoma mupo wanachama wawili tu?😅😅

  • @IddyyFumbwe
    @IddyyFumbwe 2 місяці тому

    Yanga ilikuepo kabla yenu na huwa katiba inafanyiwa marekebisho, iweje mnang'ang'anis ya mwaka 1968 tu!

  • @IptsamSaid-u7m
    @IptsamSaid-u7m 2 місяці тому +2

    Wezi hao

  • @SaidCannal
    @SaidCannal 2 місяці тому +2

    Hao Wazee kama wameona wameshinda kesi waende wakaichukue Klabu mbona bado wapo uchochoroni aliyewapa ushindi aliamua hivyo makusudi ili hawa wazee wakanyongewe klabuni maana wamechoka na vituko vyao sasa kama WANAUME kweli waende klabuni. Kesho tu watu watakula hitima

  • @IddyyFumbwe
    @IddyyFumbwe 2 місяці тому

    Wanaokupenda na kukushabikia makolo, wanayanga hawakupendi unaleta migogoro kila kiongozi anaekuepo yanga, hizo katiba unazotembea nazo zimefanyiwa marekebisho.

  • @mazengojohn2090
    @mazengojohn2090 2 місяці тому +3

    Hao wote njaaa

  • @silvesterrichardhelenya1319
    @silvesterrichardhelenya1319 2 місяці тому

    Mnakaa miaka kibao kutafuta Phd wakati huyu mzee kakaa darasani miaka saba lakini anazidi wenye phd

  • @HASSANBAKARI-q9c
    @HASSANBAKARI-q9c 2 місяці тому

    Lakini kilichokutukanisha😊 ni yanga...nmecheka sana apo😅

  • @susujeremiah195
    @susujeremiah195 2 місяці тому

    😂😂😂😂ila hii mizeee

  • @peterpain5594
    @peterpain5594 2 місяці тому +1

    Check sura zao

  • @babujohnmwita4337
    @babujohnmwita4337 2 місяці тому +3

    Kuma la mama enu nyie wazeee wa kikuma

    • @abeidmayanga809
      @abeidmayanga809 2 місяці тому +1

      Hawa watu wazima jaman wametukwaza lkn sikuwatusi tusifanye ivoo

  • @NgwayaNgwaya
    @NgwayaNgwaya 2 місяці тому +3

    Wazee acheni njaa

  • @ameirzapy1318
    @ameirzapy1318 2 місяці тому

    Hadi meza wamejiwekea 😅😅, fainal uzeeni

  • @manaseyona9260
    @manaseyona9260 2 місяці тому

    Hamfai kuwepo kwakipindi hiki

  • @FaridaHamisi-k6i
    @FaridaHamisi-k6i 2 місяці тому

    Mimi bado cjajua hawa wazee walikuaga wapi miaka yote hii ilopita .Kuna kitu nyuma yao

  • @maryfides591
    @maryfides591 2 місяці тому +1

    Hao wote kama wachawi vile tena inaonekana hawana hata dini

  • @peterpain5594
    @peterpain5594 2 місяці тому

    Kwani hawa wazee yanga imekuwa nn ktk maisha yao mda wao ulisha upita

  • @simonndunguru1629
    @simonndunguru1629 2 місяці тому +1

    Wataingia jela Naona hawajitambui kwa kufoji Sahihi

  • @ALBERTNyemba-uk3fr
    @ALBERTNyemba-uk3fr 2 місяці тому

    Mmeyatimba mlijua yanga ileee ndio hiii,,now tutawaanyooosha.na njaa zenu.

  • @bonifacekaundila-mm3cd
    @bonifacekaundila-mm3cd 2 місяці тому +1

    Yaani Kama comedy hivi. Sikilizeni Hawa mambo yaishe

  • @magrethmakauki235
    @magrethmakauki235 2 місяці тому +1

    Hiii ni haibu sana, hawa wazee wanajidhalilisha

  • @ahmedmukolwe43
    @ahmedmukolwe43 2 місяці тому

    Tutawaua nyinyi chezeni tu na akili zetu

  • @MichaelMwalusi
    @MichaelMwalusi 2 місяці тому

    Hivi mzee MAGOMA, sisi sote tunaenda Bungeni au kwamba wana CCM wote ni wajumbe wa KAMATI KUU, HALMASHAURI KUU na MKUTANO MKUU ?

  • @YusuphUranga
    @YusuphUranga 2 місяці тому

    Mzemwa.ipopo.anauza.mapichaa.😂😂.nimefanyakazi.nae

  • @mkoteaziz5238
    @mkoteaziz5238 2 місяці тому

    Sura zao mbaya utafikiri wanakunywa shubiri. Vyuma vyenye njaa kali. Yanga hii ya raha 24/7 unakwenda kutafuta chokochoko!? Wanachokitaka watakipata.😊😊😊

  • @IdrisaAbdallah-pf4mw
    @IdrisaAbdallah-pf4mw 2 місяці тому +1

    Kwnn msiachane na yanga mkaenda kwny timu nyingine ruksa kwn ninyi mnaitaka yanga au yanga inawataka ninyi. Au niseme uongozi wayanga unawataka ninyi au ninyi mnautaka uongozi pale yanga

  • @augustinemainde
    @augustinemainde 2 місяці тому +2

    Wanataka followers hatuwataki

  • @Shija.c.milele
    @Shija.c.milele 2 місяці тому

    ukiwasikiliza vizuri bila mihemko ya ushabiki utawaelewa nautajuwa wanahaki.

  • @novatusabond9253
    @novatusabond9253 2 місяці тому

    Magoma anacho ongea kina mantik

  • @johnnzali5832
    @johnnzali5832 2 місяці тому +1

    Sijuw ujana wenu Mlifanya nn Maana mna Maisha magumu Na ww mnyaki siulud kwenu ukale ndiz ona mapala kule

  • @hawamasanje9589
    @hawamasanje9589 2 місяці тому +1

    Ninyi wazee shida sana zimewajaa mpaka unashindwa kutamka neno kilichotukutanisha yaani kilichowakutanisha mzee Magoma na mzèe mwaipopo

  • @gebhardnyoni7246
    @gebhardnyoni7246 2 місяці тому +1

    Kama marekebisho yalifanyika iweje izungumzwe kuwa nje ya 1968 ni feki

  • @gebhardnyoni7246
    @gebhardnyoni7246 2 місяці тому +1

    Hawa wanadai wanachama wanalipia Kadi zao Kwa kuzingatia Katiba ya 1968 au iliyorekebishwa

  • @nancolower_8032
    @nancolower_8032 2 місяці тому

    We mnyakyusa wenzako hadi wanakushangaa 😂😂😂

  • @selemanisalum7685
    @selemanisalum7685 2 місяці тому +5

    Hao wala hawaisumbui yanga wanangaika tu yanga weshatoka huko hao wanapiga kelele mpira ni pesa sasa hao njaa zao na hawana kadi za yanga ni njaa tu

  • @johnmwambete6117
    @johnmwambete6117 2 місяці тому

    Hahaaa wazee wa kurujuwani

  • @winfordmwangonda5375
    @winfordmwangonda5375 2 місяці тому

    Sidhani kama Yanga kwa hatua waliopiga kimpira kama wanahitaji migogoro, Simba tumefanya usajiri imara kabisa ili tishindane na Yanga imara ,wazee acheni hayo mambo ,tunataka miaka 5 ijayo ama Yanga au Simba mojawapo achukue Ubingwa wa Africa.

  • @smiletv1405
    @smiletv1405 2 місяці тому

    😂😂😂😂😂😂😂wakalale

  • @marrymwinuka3105
    @marrymwinuka3105 2 місяці тому +1

    Wazee hawa sura zaonjaaa tupu,

  • @MadieMtimbuka
    @MadieMtimbuka 2 місяці тому

    Sijasikia tusi lolote toka kwa hawa wazee lkn naona lawama, matusi, dhihaka, masimango, mizodo, mipasho, mapovu, majasho, mzee Huyu alikuwa mahakamani na amemalizia kila kitu huko. (hukumu)

  • @manaseyona9260
    @manaseyona9260 2 місяці тому

    Kila penye maendeleo nyie ndiomnajiona mnajua

  • @IdrisaAbdallah-pf4mw
    @IdrisaAbdallah-pf4mw 2 місяці тому +1

    Asa wote hao n njaa tupu wanaonekana tu wawasumbue matajir

  • @nancymorenje3880
    @nancymorenje3880 2 місяці тому

    Waongo waongo mna mtu nyuma yenu tunamjua

  • @simonmalegesi414
    @simonmalegesi414 2 місяці тому +28

    Kama umpendi magoma kama mimi ngonga like😂😂😂😂😂 hapa

  • @JoyaVilla-z9f
    @JoyaVilla-z9f 2 місяці тому

    Mbona mwana habari hatukuoni pumbavu

  • @silvesterrichardhelenya1319
    @silvesterrichardhelenya1319 2 місяці тому

    Mbona humuulizi mzee mwaipopo

  • @Katomedia001
    @Katomedia001 2 місяці тому

    Kumbe Engineer anawapa Wazee pesa za kuroga Simba

  • @boscomalangalila
    @boscomalangalila 2 місяці тому +1

    Hata watangazaji mmekosa kazi

  • @AthanasMsangule
    @AthanasMsangule 2 місяці тому

    Hiyo rasimu ya mareke bisho ya Katiba ambayo Magoma alishiriki kuipitisha suala la mfumo wa uongozi na uwakilishi wa Wanachama kwenye mkutano Mkuu ulikuwaje?

  • @amirimusa2047
    @amirimusa2047 2 місяці тому

    Wazee wana hoja ya maana mtakuja kuwaelewa badae ila kwasasa kama hunaD2 huwezi elewa

  • @IptsamSaid-u7m
    @IptsamSaid-u7m 2 місяці тому +2

    Ao mtu na mwanamke wake era Awana wamataka pesa

  • @GasperMwaisa-rb1lf
    @GasperMwaisa-rb1lf 2 місяці тому +1

    Jaman kweli njaa mbaya angalieni afya za wakina mwaipopo uku😂😂😂😂😂

  • @nancymorenje3880
    @nancymorenje3880 2 місяці тому

    Ndio mwende kuhushi saini za wakubwa? Nini dhumuni lenu?

  • @JustinMkumbwa
    @JustinMkumbwa 2 місяці тому

    Kwamaon yangu kwann Hawa wazee wasiitwe wakasikilizwa huenda tunawatukana lakin wanakitu tusikimbilie kusema njaaa