MZEE MAGOMA AGEUZIWA KIBAO MWANASHERIA WA YANGA PATRICK AELEZA HATUA KALI ZA KLABU DHIDI YAKE.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 вер 2024
  • Karibu utazame sehemu ya Press conference ya Klabu ya Yanga leo katika makao makuu yake, mitaa ya Jangwani Kariakoo kunako kivumbi kikali baada ya Mzee Ali Juma Magoma na wazee wenzake wachache kushinda kesi katika Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu na Mahakama hiyo kuamuru Rais wa Yanga Eng. Hersi Saidi kung'atuka pamoja na Makamu wake.
    katika Video anaongea Mwanasheria wa Yanga SC Patrick

КОМЕНТАРІ • 10

  • @mubaraalichiku6089
    @mubaraalichiku6089 Місяць тому +3

    Huyo magoma dawa yake ni kumtombea mkewe kwani hana adabu

  • @muhammadmuhammad5043
    @muhammadmuhammad5043 Місяць тому

    Haya Maelezo imetosha Mimi Nasema Kwawale Walio Fojiwa Saani Kwa Ajili Kama Wao Wamewekwa Kama Niwalalamikaji Nasio Ukweli Basi Wale Walio Foji Washitakiwe Na Kifungo Cha Maisha Kwasababu Niwatu Hatiri Kiukweli..Usahuri Wangu

  • @yonazimpombe1160
    @yonazimpombe1160 Місяць тому +1

    HAPA sio watu hawajitambui hata Sheria zetu hazijitambui

  • @yonazimpombe1160
    @yonazimpombe1160 Місяць тому +1

    HAPO ndo penye utata WA Sheria wao wanakabidhiwa kama NANI? Kama Sheria inajua haki tunaomba watufahamishe hapo

    • @loyalmediatz
      @loyalmediatz  Місяць тому

      Tazama na hii down uone moto wa Manara, je umezima jambo la Magoma?

    • @loyalmediatz
      @loyalmediatz  Місяць тому

      ua-cam.com/video/_IGtRb1udWY/v-deo.htmlsi=FW1EkCtIBuko_Tok

  • @mazengojohn2090
    @mazengojohn2090 Місяць тому +1

    Wakabidhiwe Tim ili waibe hela uyo magoma ni mwizi pia ametumwa na simba