Team strong hoyeeeeeeeeee wangp wanapenda donta family jmn 🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇰🇪🇰🇪♥️♥️♥️nawapenda nikiwa Riyadh naona majuto n mjukuu s kitambo 😢mama kelvin utajiona mjinga s kitambo 😢kwani Siri itavuja
Duuuh nimechelewa lkn nivyenye nilikua kw maombi 😅😅😅 kwaajili ya familia y tina n doa yke kuumbuka n kusambaratika hivi karibuni km tuko wengi tumwage 🎉🎉🎉🎉like ❤❤🇰🇪🇸🇦
Kelvn and lovenes biggar up nawapenda sanaaaa binafus plus candy waliona kama mm gonga like tujuaneee 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉nawapenda sanaa utakaye soma comment hiii mola akujalie hitaji la moyo wakoooo🎉🎉
Asee kazi mzur Sana jitahidin kutuwaishia namuongeze dakika kidogo imenitoa stress za taifa star ushaur na jumamos ikibid ziwe epsd ata 5 najua Kuna watu watakesha 😂😂 Simba. Ubaya ubwelaaaa
Mbona kama Diana anakusanya taarifa za tinna na washirika wenzake au kuna kitu kinaendelea nyuma ya pazia? Ila hongera Kwa kazi nzur sana donta Kwa kazi nzur 🎉🎉🎉🎉🎉
Asante sana loveness kwakumbukumbu zako my ❤❤❤❤❤ nimefurahi paka bac wapi wale wapendanao 😂😂😂😂😂safi sana my wangu loveness cjui nikupe nn ww zidishakumbukumbu bac yaani ckuwa nimekula napia naona km nitalala loveness amenishibisha wallah
sinema nxuri sana jamaa aliyetunga story ana kipaji sana hii ughaibuni ni pesa ndefu saaana aisee sio mchezo. AFRICA KUNA VIPAJI SANA BIG UP TO THE MOVIE DIRECTORS AND ACTORS nimeipenda sana
Yaani mimi sasaivi naangaria zangu hii movie kwenye hause girl nimeshatoka naona siiyerewi chiko hananikera mimi jaman nawapenda sana mnajuwa kuigiza mpo vizuri
Waaaaaa jamani mwatupa dakika kidogo halafu mwachelewa si mfanye hata defu kias ❤❤❤❤ twasoga na kelvin ila namchukia mamake kelvin anarohombaya gaiii😮hajui MUNGU huyu mama heeeee
Wangapi walijua baba tina kauwawa😂??
Mm no 1
ASANTE KEVIN
Chiti kumbe mawazo
Kumbe ilkw ndoto
Mambo gan sasa haya
Wangapi mumeona loveness kashaanza kumpenda kelvin❤❤🎉
Kaaanza kumpenda😂
@@RehemaIbrahim-wn4ef anaendelea kumpenda 😂💕
Kbs lovenes wetu yuanza kumpenda kelvin😂😂😂😂mpo❤❤❤❤❤❤❤
Wadau uyo mama kelvin nawasiwasinae sio mama bola kabisa
Kumbe mko wengi😅😅
Mi naomba niseme tu ukweli huyu Diana ni anajua kuigiza mno yaan ana play part yake vyema aiseee nmempenda huyu❤❤❤❤❤
Sanaaaaaaaaaa yaan❤❤❤❤❤❤❤apewe maua yake🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Team strong hoyeeeeeeeeee wangp wanapenda donta family jmn 🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇰🇪🇰🇪♥️♥️♥️nawapenda nikiwa Riyadh naona majuto n mjukuu s kitambo 😢mama kelvin utajiona mjinga s kitambo 😢kwani Siri itavuja
Hoyeeeee nko dammam
Na mimi hapa niko haile kbs nawapenda bure❤❤🇧🇮🇧🇮🇸🇦🇸🇦
@@judithpendo9985 n'a mim nikiwa Damam❤️ nawapenda sana 🥰❤️❤️
@@kladahmad3333 mrundi mwenzang 🇧🇮🇧🇮🇸🇦🇸🇦
Team zibala tupo😂
Kama keeli unamuamini mungu na uko hai kwa abilit yake bas dondosha like hapa kwa kelvin na loveness 💏
Leo nilijua nikuomboleza kumbe sivyo alfu Diana is the best ❤❤❤ ukweli utakapo julikana mama Kevin sijui macho yake atayaelekeza wapi
Aki apo sielewi
Atakuwa n mwenye album xan mbel ya watoto wake hat kwa loveless pia
Nimewai jamani from kenyaa naomba like tukingoja baba Tina amalizwe na kelvin awe huru kuoa anaye mpenda
Duuuh nimechelewa lkn nivyenye nilikua kw maombi 😅😅😅 kwaajili ya familia y tina n doa yke kuumbuka n kusambaratika hivi karibuni km tuko wengi tumwage 🎉🎉🎉🎉like ❤❤🇰🇪🇸🇦
😂😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣
@@oberdmshungu7304 🤣🤣🤣🤣
Kelvn and lovenes biggar up nawapenda sanaaaa binafus plus candy waliona kama mm gonga like tujuaneee 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉nawapenda sanaa utakaye soma comment hiii mola akujalie hitaji la moyo wakoooo🎉🎉
diana wapige kigongooooo aooo wapuuuuziiiiii yan hili dude halina utofaut na mission impossible la chadooo mastaaaaaa mauwa yenu wana🌹🌹🌹
Ukweli unaenda kujulikana mnda sio mrefu natamani sana hii family iumbuke toke 🇰🇪 ❤❤❤❤
Waaaa 79 kazi chema kelvin 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤ wakapi tunangejea harusi ya kelvin na loveness gonga like tukizonga
Hata mm nangojea sana hio harusi ya love ness na kelvin😊😊
Sawa😂😂😂
Wanaotaka kelvin amuoe loveness tuwatambue kwa like zenu hapa jaman 🤲
hii movie jmn 🎉🎉🎉🎉 mpaka rahaa jmn imefikia patamu sana ❤❤❤❤❤❤
Kelvin na loveness nawakubali mno mpo vizur nyie ni kioo changu😊😊😊
Diana bana.... Lovesness naye ameanza kumpenda kelvin❤ wapi like ata moja jamani
Hahahahhaa meee apaa
daaah yaan kila nkiomba like hua nanyimwa je naleo nitanyimwa kwer
Leo nimewahi cjui na mm nitapata like ama huwa niza watu special 😢😢❤❤❤
Haya tuna like kipenz uschukie😂
😂😂😂
Uache kulia sawa 😂😂
❤
Wa Congo🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🧚🧚
Love from GOGO LOVE OFFICIAL TO BURUNDI 🇧🇮
Hapo mmmetuchanganyaa Mara Mr kiss kapigwa bullet alafuu kwa hii episode tunamwona tena ambaye hajaelewa Kama Mimi like apa
Baba tina alkua anaota jaman
Ndoto hyo ya baba Tina 😂😂😂 acha wenge kijana 😂😂
Hiyo ilikuwa imagination tu hata sio ndoto
Wamezingua
Kwanza mim nilijua nimeledi episode ya nyuma😅😅
Nakupenda San Kelvin,loveless,candy and Baba Kelvin ❤❤❤❤❤
❤❤❤❤
@@jamilashabani8580 🥰🥰🥰🥰
❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Jamani Leo nlijua ni kuomboleza Kwa baba Tina wenye walijua hivo njooni tujuane ❤
Some to me, atasielew tna mwenzio 😂😂😂
Same to me
Imagine yani nilitarajia ata Tina atimuliwe pia 😝😝
😂😂😂mm nlidhani niko pekee yngu@@MwanamisiMuna
❤
Ayani ukiacha kuigiza Apo loveness ukweli wasambaa wa Tanga niwa bishi sana❤❤
Kweli kabisa
😂😂😂😂
Wakwanza kutoka burundi jameni natamani sana ukweli uvujahe sikumoja kuusu Tina warundi tujuwane jamen❤❤❤❤
Waliokuwa. Wanajua kama baba tina ni mawazo yake wenye d 2 kama mm wagon ge like hapa
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kusema kwel hko twendako kumoto wallah,,waigizaji nyte pokeen 🎉🎉🎉🎉🎉🎉yenu
Nilidhani yakwamba niko wa kwanza, kumbe tupo wengi ambao tunaisubiri kazi ya wana Donta TV. Mungu azidi kuwaelimisha. From Burundi one love
Wow Diana I like the way unacheza movie ❤❤❤❤
This movie is now at another level🔥🔥, Donta tv fanyeni mpango na citizen tv🇰🇪,,neema ikiisha walete hii,,much love,, Nairobi 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Asee kazi mzur Sana jitahidin kutuwaishia namuongeze dakika kidogo imenitoa stress za taifa star ushaur na jumamos ikibid ziwe epsd ata 5 najua Kuna watu watakesha 😂😂 Simba. Ubaya ubwelaaaa
Nami nilikuemo ila gafla nimeshangaa .tena nikupe hogela kwa uigizaji wako .❤❤❤❤❤❤ Uzidi kusonga mbere
I can feel how people love this series,well done buddy
mimi hat sijachelew jamani kazi nzur san ila vipenzi vya dont tv wazur mashallh
Wale watakao soma iyi comment mungu abariki kazi za mikono Yao ❤❤🎉🎉 baba Kevin kazi nzuri
Kelvin ambia loveness ukweli kuwa unampenda❤❤
Leo nimekuwa wakwanza lakin siombi hata like zenu😢😢😢😢😢
Na tunakupa😂
😂
Ndio vzr
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂
Kaka Kelvin now upo vizuri maua yako🎉🎉🎉🎉
😂😂😂😂lovenes naona vile unahisi and I like it ❤❤❤
Gosto muito desse história ❤❤❤🇲🇿🇲🇿🇲🇿
🧭🤳💛💛🇲🇿
Kwni uyo mdada wa kazi akuna nguo nyingine ya kubadilisha ❤❤❤❤
Si mnipe na mimi like jamani nionje utam wake🤣🤣🤣🤣nawapenda❤❤❤
Wakwanza kutokea kenya 🇰🇪 wakenya wenzangu nami nipeni like zenu jamani 🎉🎉🎉🎉
Asanteni sana team donta tv kwa kutujali mashabiki wenu 🎉❤❤❤❤
Nampenda baba Kelvin anazungumza kiswahili kama cha kwetu Kenya mashaallah hongera sana na baba Kelvin
Jamani tunachukuru kwaiyi kazi kabisa 🇯🇲🤜🤛🇨🇩 asanté kaka Kelvin
Nmechelewa kidogo tuuu naomba mlike comment yangu jmn na Mimi noambeni 💓💓💓💓💓💓💓💓💓
Daaah kelv asante unapiga kaz sana hulali.asante kwa burudan🙏
Leo nimewahi kutoka Mozambique Msumbiji ❤
Ndabakunda ❤️ cane kevin na lavunesi Aisha waburundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Natw turabakunda cane
Movie Tamu kweli❤❤❤, twajifunza mengi sana, keep going kelvin n ua team much ❤️❤️❤️❤️❤️ from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nilijua Baba tina kakula chuma,,kazi nzuri Kelvin
Natoka kwambio 🇧🇮 kumbe mmeshajaaa kibao liké zangu nipewe jameniii
Bora leo mmetuwahishia daah... like basi wajamaeni😂
Jamani kipindi hii tamu sana. Thanks Donta Tv❤❤
Sema mnatoa fupiiii 😊😊😊😊kama nyimbo zakale alafu kipande kimoja kimoja having kuangalia vinakata utamu😊😊😊😊
Mmejua kunifurahisha leo umetuekea haraka kitu chetu pendwaa pokea maua yenu🎉🎉🎉
Nimefurahi sana kwa kazi zenu mbarikiwe sana
🎉🎉🎉🎉🎉 Hongeran San mnatuletea kwa muda mwafaka
Wangapi mumeona kelvin kaanza kuzama kwa loveness❤❤❤🎉
Daaa loveness ukichagua hilo chaguo lenye linakukujia kwa akili Yako utakua umegonga ndipo nakupenda sana loveness ww n Kelvin wako❤️❤️
Ahsante director for this movie inamafunzo for the people ❤
Good job donta tv more love🥰🥰🥰
Safi sana kazi mzuri mm naipenda sana donta tv
Kazi nzuri wana Donta much love ❤️❤️❤️❤️ from Uganda 🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬
Mbona kama Diana anakusanya taarifa za tinna na washirika wenzake au kuna kitu kinaendelea nyuma ya pazia? Ila hongera Kwa kazi nzur sana donta Kwa kazi nzur 🎉🎉🎉🎉🎉
Jamani wa kwanza leo..likes zangu tukisonga❤
nyie waomba likes instead of mcomment vitu vya msingi hasa mnapataga nini kwa hizo likes mnapopewa
Hongereni sana nimefurahi kutuwahishia endeleeni kutuletea mambo mazuri
Timu Kelvin ubarikiwe❤❤❤
Kazi nzuri xna nawapenda xana wote wenye kutupa mafunzo much ♥️ ❤️ from Kenya 🇰🇪 ♥️ 👌 😍
Asante sana loveness kwakumbukumbu zako my ❤❤❤❤❤ nimefurahi paka bac wapi wale wapendanao 😂😂😂😂😂safi sana my wangu loveness cjui nikupe nn ww zidishakumbukumbu bac yaani ckuwa nimekula napia naona km nitalala loveness amenishibisha wallah
Leo nimewai mapemaaa🎉🎉🎉
Nampenda kelvin na loveness na candy na baba lelvin tu wengine siwapendi kwenye hii move
Umeongea ukweli kabisa
Na Diana??
aziza
Nahao ndio wamefanya muvi inoge ndugu kikubwa nikupata mafunzo bora
Jaman me Leo wakanza naomben like 🎉🎉
Kubaf zangu mpaka nikachinja kuku ju ya furaha kumbe ndoto ,,,,,,,kevi wewe make sure umeoa loveness 😅😅😊😊
tatiz len wabongo munaoa kwa kufuata makalio ndo mna hamudum na ndoa zenu
Kazi nzuri sana wa kwansa kutoka kenya
Leo Mimi ndo wakwaza nipeni hzoo like zangu. Kelvin kanumba mtu Atari sana
Ushauri jman kma kla day tutapata episode itakuwa vzur sna😂😂
Nami leo nimewahi. Kazi nzuri saana wapendwa wetu.❤
na mimi nimekuja 🏃♀️🏃♀️nikithani wakwanza loo mumejaa kimbao was tunapenda DONTA TV
sinema nxuri sana jamaa aliyetunga story ana kipaji sana hii ughaibuni ni pesa ndefu saaana aisee sio mchezo. AFRICA KUNA VIPAJI SANA BIG UP TO THE MOVIE DIRECTORS AND ACTORS nimeipenda sana
Wa kwanza leo. Jomon . team DONTA TV burudani kwa wote ❤☺️
Mashallah jmn mungu awabariki dont nawapenda sanaaaa
Jamani asambona ajafaaaah mi nikajua leo ni kuomboleza😂😂😅
😅😅😅😅😅
Wangapi wanaamini mama kelvin anapaswa kumueshimu loveness
Hongeren kwa Kaz nzur japo mnachelewa adi so poa
Wangapi wanamkubali kelvin pamoja na love Ness 🎉
Nilikuwa nafikiria wamejulikana kumbe 😮
Kijana wawatu leta vitu sema hiyo ndoa hufiki mbal😅
Ndo na fika huku leo😂😂😂😂
Si mlike hata kidogo comment yangu😢
Yaani mimi sasaivi naangaria zangu hii movie kwenye hause girl nimeshatoka naona siiyerewi chiko hananikera mimi jaman nawapenda sana mnajuwa kuigiza mpo vizuri
Umbea uwo habari za house girl kuzileta uku 😂
Ewaaaa🎉🎉🎉🎉nawapenda bure family ya donta
Team strong nawatch hii movie wakati na sugua ukuta wapi like zanguu😂😂🎉
Nimechelewa lakini naona mumeejoy kweli
Waaaaaa jamani mwatupa dakika kidogo halafu mwachelewa si mfanye hata defu kias ❤❤❤❤ twasoga na kelvin ila namchukia mamake kelvin anarohombaya gaiii😮hajui MUNGU huyu mama heeeee
Kazi nzuri sana jamani mnayoifanya ❤
Kumbe baba tina ajafaa😢😢😢,,,,,yaan sijapendaaaa😅😅😂😂
Akumbe ilikua ndoto
😂😂😂😂😂
😂😂😂
Weee unaenda wapi malizia kwanza movie ndo uje kwenye comments 😅😅
Mhhhh
Kam ww nimfutiliaji wa movie hii gong like🎉🎉
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Palipoishia Juzi ni pazuri kuliko Muendelezo😊
Ndotunalekea uko uko tuwe wapole