MZEE MAGOMA NA MWAIPOPO WAFUNGUKA MAZITO,HATA MAMA FATMA KARUME TULIMWAMBIA,YANGA NA HERSI WAJUE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 77

  • @husseinmwanjela8644
    @husseinmwanjela8644 Місяць тому +1

    Wazee mpo sawa sanaa Allah awaongoze

  • @augustinemainde
    @augustinemainde Місяць тому +2

    Matapeli bwana ,mmezidiwa,eti mjenge apartment😂😂😂😂

  • @muzneali4747
    @muzneali4747 Місяць тому +6

    ACHENI UWONGO MTOTO WA JUMA MWAMBELO KASHATUAMBIA YOTE TENA NA VIELELEZO ETI TUKAMCHUKUA NYIE MLIKUWA KAMA NANI?? NA HUO UWEZO WA KUTEUA MLIUPATA WAPI??

  • @JumaDea
    @JumaDea Місяць тому +1

    Mizee mingine bana😅😅😅😅😅

  • @salemarahbi9171
    @salemarahbi9171 Місяць тому +3

    😊Nyie mnaowaji hawa matapeli tutawavizia mtakiona cha moto

  • @peterpata8825
    @peterpata8825 Місяць тому +3

    Na kwanini muende kimya kimya mahakamani 😂😂😂

  • @user-ki7hd3lg2q
    @user-ki7hd3lg2q Місяць тому +1

    Ivi hawa wakifungwa jela mtasema wanaonewa😂😂😂😂

  • @sadathboutique6253
    @sadathboutique6253 Місяць тому +4

    Awa wazee ata tv ya kuangalia mpira awana eti wanataka wawape yanga😅😅

  • @azizjuma6125
    @azizjuma6125 Місяць тому +1

    MALIPO YOOTE ...... DAAAH MAGOMA

  • @user-xg9ix9ex9h
    @user-xg9ix9ex9h Місяць тому +2

    Acheni wapige kelele yanga itabaki kwa wanachama wengi ila tunawasubiri wasogee waone moto

  • @PauloMtalimbo
    @PauloMtalimbo Місяць тому +1

    Wazeeeee Wana hoja tusiongereeee ushabiki alafu kngne izi timu zetu zinapokezana ushindi uyu akichukua miaka kadhaaaa Zina anza polojo mwngn tn akichukua akimalza miaka yake Simba na yanga timu za siasa

  • @AlfredRutaguza
    @AlfredRutaguza Місяць тому

    Hawana hoja ila njama za kuihujumu yanga na hawatafanikiwa

  • @johnurio9151
    @johnurio9151 Місяць тому

    Sura kama kisugu

  • @SaraJinalangu
    @SaraJinalangu Місяць тому +1

    Hawa wazee washaingia uoga tayari na ndo maana leo wanaweweseka aisee maana kwenye maelezo aliyoyatoa siku 3 nyuma na Leo ni tofauti babu kashageukia qibla tayari

  • @salminsomba2491
    @salminsomba2491 Місяць тому +1

    Anachozungumza magoma hajui sheria tatizo muandishe nae hana anachokijua hivyo wote hapo hawaelezi ukweli

  • @johnurio9151
    @johnurio9151 Місяць тому

    Hivi vizee viweke jela.kwanza ni wahunumu

  • @HafidhOmar-rs4ty
    @HafidhOmar-rs4ty Місяць тому

    Uwekezaji icwesababu yakupora wazawa ynga imeundwa somje2 from no wapi

  • @user-nb9nj7vp2t
    @user-nb9nj7vp2t Місяць тому +1

    IVI HUYU MUNAMUELEWA, WENZANGU? Maana anasema mahakaman hakuna nyalaka, mala hatujawashtaki wao,mala wakabizi office, mala tunatak kikao na viongoz mbona mim sielewi

  • @JosephObeth
    @JosephObeth Місяць тому +1

    Yani huyu mwaipopo bado yupo anahatali sana minaona angestafu tu awe mtazamaji

  • @drdd774
    @drdd774 Місяць тому

    Kwa umri huu mnakubari kutengeneza migogoro, ngoja mahakama imalize mapitio msije kurudi na kuomba radhi.

  • @sanil3097
    @sanil3097 Місяць тому

    😅😅😅😅😂😂😂mwaipopo umenitoa mbavu huku😅😅😅 sijui hizi kuku za kisasa zinatuhalibu ubongo nimekunyooshea mikono🖐️🤚

  • @JumaHUssi
    @JumaHUssi Місяць тому +1

    huyu hajielewi. analalamikia mwanasheria kubaki na faili miezi 2, yeye amekaa na hukumu mwaka mzima.

  • @ereneusalexanderisaya5432
    @ereneusalexanderisaya5432 Місяць тому

    Mwaipopo dini imekushinda unaamia mipira ama kweli.

  • @SelinaMdoe-jv1pu
    @SelinaMdoe-jv1pu Місяць тому

    Ndio mjijue Sasa sh eria hamzijui mnae nda kichwa kichwa tu mtajijambia mna roho za hasada san a

  • @user-yh3fy6ft7x
    @user-yh3fy6ft7x Місяць тому +1

    😂😂😂😂mwaipopo sasa 😂😂😂😂😂 sura kama kanywa ndimu😂😂😂

  • @ereneusalexanderisaya5432
    @ereneusalexanderisaya5432 Місяць тому

    Siku zote mko wapi kwenye majukumu au majukum yenu ni kalatasi

  • @user-iu2cm5um6e
    @user-iu2cm5um6e Місяць тому

    Hata wangemva mapembe ya shetani,hawapati team wara office, engineer ana MUNGU wake atashindatu hii vita, YESU wake amesimama imara,,. Ameeen

    • @halidimgonza5945
      @halidimgonza5945 Місяць тому

      nyie si ndy hao chawa wa injinia ht iweje mzee magoma yupo sw 100 %

  • @habibukassam9702
    @habibukassam9702 Місяць тому +1

    We mzee kawadanganye ukoo wako mnafirana na wanga wenzenu mmerivaa mwaka huu co yanga ilio pita mtajuta na mjini mtahama

  • @edgarkaijage1750
    @edgarkaijage1750 Місяць тому

    Awawazee wananjaa

  • @user-lz1dw3dm5g
    @user-lz1dw3dm5g Місяць тому

    Waongo nyie

  • @user-ze8dv7xo1g
    @user-ze8dv7xo1g Місяць тому

    Hili mizee ni mijizi na matapeli yaogopwe kama ukoma

  • @reginaldmapunda6702
    @reginaldmapunda6702 Місяць тому

    Kwani haya yote mngeyasema kwenye vikao halali mngekosa nini ? ili kama msingekubaliana ndipo mngechukua hatua hiyo? Kuna kitu mmekidhamiria ili kupata faida binafsi na sio kwa manufaa ya Yanga. Kezi imekuwa ni siri na kwa kificho mno. Mlikuwa mnaficha kwa faida ipi? Huyo hakimu ana maslahi gani katika hili kiasi hata cha kushindwa kuwaita au kuwaarifu Viongozinwa Yanga kuwa kina kesi inayowahusu ofisini kwake ?

  • @issambassa5901
    @issambassa5901 Місяць тому

    Sasa ivih hakuna ujanja ujanja mzee nendeni vijijini mkalime

  • @AlfredRutaguza
    @AlfredRutaguza Місяць тому

    Hawa wazee wameoza akili

  • @user-mw5xs2wx8n
    @user-mw5xs2wx8n Місяць тому

    Lete kurujuwan bhana wasiwasumbue😂😂

  • @emiliankatura1684
    @emiliankatura1684 Місяць тому +1

    Hayo maelezo mtaenda kutoa huko mbele.

  • @SelinaMdoe-jv1pu
    @SelinaMdoe-jv1pu Місяць тому

    Nyie nikama Nani m najikuta Nani nyie w awili kama sio kusu mbua watu tu achen i uchawi bwana wac hawi wakubwa nyie mlipo hapo mnajua kingereza nyie havy o kabisa nyie mnato a utulivu yanga mna jikuta Nani hovyo ka bisa nyie

  • @user-sn9nm1wu9j
    @user-sn9nm1wu9j Місяць тому

    nyie njaa zinawasumbua ona hata sura zinaonesha njaa imetawala

  • @vincentkatabalo286
    @vincentkatabalo286 Місяць тому

    Tatizo sio muda wa kuweka wazi hiyo kesi ila nia yenu yakwenda mahakamani ilikuwa ni ovu na kuisabotage Yanga

  • @user-sn9nm1wu9j
    @user-sn9nm1wu9j Місяць тому

    vipi mtoto wa juma mwambeo ametoa ushahidi baba yake ndio mtu pekee rita wanamtambua vipi leo nyie mnamtaja abedi wakati abedi kati ya watu saba waliotakiwa na rita wakachangue balaza la wadhamini je wadhamini walichaguliwa

  • @AlfredRutaguza
    @AlfredRutaguza Місяць тому

    Wazee waliposema wanatafuta suluhu nimeaelewa ,saluhu kwenye nchi yetu ni bahasha tu

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 Місяць тому +3

    WAZEE MPO KWENYE MSITARI WALA MSIYUMBISHWE MPAKA PAELEWEKE UBAYA UBWELA UBWELA

  • @frankmataka7185
    @frankmataka7185 Місяць тому

    hao matapeli injinia hakuna kuwapa pesa hao mtoto wa juma mwambelwa hawajui tieni ndani

  • @SefuHabibu-sn8cx
    @SefuHabibu-sn8cx Місяць тому

    Kaeni na iyo katiba yenu sisi tunabaki na timu yetu ondokeni zenu uko katiba ya nchi unafananisha na katiba ya yanga acheni uchochezi na kauli mbaya

  • @AllyPeter-l7l
    @AllyPeter-l7l Місяць тому

    Ila mwaipopo

  • @user-mw5xs2wx8n
    @user-mw5xs2wx8n Місяць тому

    Hapo kwenye picha ndo shida ilipozidi hapo kwann wakuzuie

  • @user-yh3fy6ft7x
    @user-yh3fy6ft7x Місяць тому

    😂😂😂😂sijui nacheka nini yani hapo unapowaona hao watu ukiwatafakari japo sekunde moja wana matatizo gani 😂😂😂😂😂 wanataka nini hapo 😂😂maana inaonekana hata mihogo hawajala hapo😂😂😂

  • @AAbubakariSharif
    @AAbubakariSharif Місяць тому

    Vijana wa 2000 awawez kujuwa aya

  • @jurdanforwardersltd1460
    @jurdanforwardersltd1460 Місяць тому

    Ipo siku nyie wazee watakuja kuwakumbuka,kwani katiba ndio kila kitu bila kuhisimamia na kuiweka sawa itakuja leta shida hapo baadae.Hata simba lilitaka kutokea ili lakini kelele za wadau ndio zilisahidia.

  • @peterpata8825
    @peterpata8825 Місяць тому

    Wahuni

  • @oleoles9424
    @oleoles9424 Місяць тому

    Hawa njaa zinawasumbua,someni kilichoamuliwa

  • @JumaMwilima
    @JumaMwilima Місяць тому

    Acheni uongo nyinyi wazee ukwel katoa mtt wa mambeo

  • @MohammediKilindo
    @MohammediKilindo Місяць тому

    Alafu uyu magoma nimegundua ni muongo sana aiwezekani mtu aseme bola atoke samia kuliko injinia kwa mada gani sasa

  • @robsondalink6206
    @robsondalink6206 Місяць тому

    Mbona wana uoga sasa

  • @spendjulius-qz9mt
    @spendjulius-qz9mt Місяць тому

    HIVI HIKI CHAMA CHAO NI CHA WATU WAWILI TUU AU AMA.....!!!?

  • @hajimnubi4581
    @hajimnubi4581 Місяць тому

    Mbona mmamsemea mlieshtaki? Mlikubaliana mshtakiane kimchongo na huyo abeid

  • @aminahkhuzwayo-iv1wl
    @aminahkhuzwayo-iv1wl Місяць тому +1

    Mzee mwaipopo ilo shati hujabadili wiki hii..
    Utaiweza Yanga kweli!?😂😂😂

  • @Jobiso
    @Jobiso Місяць тому

    Wameanza kujirudi ee

  • @ramadhanimrungu5806
    @ramadhanimrungu5806 Місяць тому

    Uyo katikisa makalio yake sio yanga

  • @bakomungia9809
    @bakomungia9809 Місяць тому

    Alaf msimshirikishe rais samia na mambo yenu.mnatafuta uruma na gadi kwa kumpaka mafuta na mgongo wa chupa.mh samia nimtu wa pwani akimsikiliza mtu anavyoongeatu yeye kashamjua uyu yuko wp

  • @dianaemmanuel3471
    @dianaemmanuel3471 Місяць тому

    Njaa mbaya nyumba zenu hazina hata hazi mtajua hamjui yaani tuwape timu yetu nyie jitasimini

  • @judithtitomalyeta4000
    @judithtitomalyeta4000 Місяць тому

    Haya mashetani vipi

  • @edgarkaijage1750
    @edgarkaijage1750 Місяць тому

    Awawazee mnawapa kiki ,awanachochote ,naombakujua wamewekeza shilingi ngapi kwa yanga ,mpira biashara tuwache ushabiki wa kijinga

  • @dianaemmanuel3471
    @dianaemmanuel3471 Місяць тому

    Jela inawahusu si mnajiweka wajuaji nyie wazee

  • @majaliwabwitonde6900
    @majaliwabwitonde6900 Місяць тому +1

    We siyo mwanachama, hiyo haki utaipataje?

  • @prince783
    @prince783 Місяць тому +1

    Mabadiliko yasifanye tuwapuuze wazee wetu hawa ndo waliotoka mbal na yanga ndo wanajua miiko . Kwaio injinia akae vizur na hawa wazee kuna njia watamuonesha .wametoa mfano wa manji ..isije ikawatokea puani badae

    • @sadathboutique6253
      @sadathboutique6253 Місяць тому

      Acha kuamini ushirikina awa wazee maisha yao yamewashinda waje waiweze yanga,mpira mipango sio roho mbaya ya awa wazee

    • @user-iz3hs8jl5p
      @user-iz3hs8jl5p Місяць тому

      mzee gan hana busara aache ujinga

    • @user-iz3hs8jl5p
      @user-iz3hs8jl5p Місяць тому

      ndo maana meno yamemzidi mdomoni

  • @Kadebecomedy
    @Kadebecomedy Місяць тому +1

    Watazani ukweli kwenye mafanikio ni Ngumu kukuelewa mpaka jambo liwe jambo ndipo wataelewa....hawa wazee wataambulia matusi tu na sio kuwaelewa kile wanachowaeleza.....hapo ni Double D

  • @alimahazi9553
    @alimahazi9553 Місяць тому

    Ww peleka umasikini wako

  • @edwinmakingi3631
    @edwinmakingi3631 Місяць тому

    Mbombo ngafu

  • @oberdosward6494
    @oberdosward6494 Місяць тому +1

    Njaaa inawasumbua nyie wazee

  • @georgelyimo2138
    @georgelyimo2138 Місяць тому

    Huyu nani kwani?

  • @moseshaji1177
    @moseshaji1177 Місяць тому

    Shikilieni hapohapo wazee wetu

    • @Kabeya410
      @Kabeya410 Місяць тому

      NYANI HAONI KUNDU LAKE MPAKA UMUWEKEE KIOO ATI WAZEE SHIKILIA HAPO YA NYOKO MBONA MZEE KILOMONI ANA HOJA KUHUSU MO MLIJIBU UTUMBO MKAMTUKANA SANA HALAFU YULE AKICHEZEA SIMBA BAADAE KAUONGOZA SIMBA SASA MAGOMA KACHEZA WAPI LINI KAONGOZA YANGA WAPI NA LINI HISTORIA YAKE NI KUINGIA MSITUNI KUTEKA TIMU KUANZISH MAKUNDI YA KUPINGA KILA UONGOZI ILI WAPATE PESA SASA HIVI MMEULA WA CHUYA KUNA WASOMI YANGA MLIMSEMA MZEE KIKOMONI ATI OOO SISI TUNATAKA FURAHA TU HATA KAMA HAKUNA HIYO B 20 SAWA TU SASA HUO SI UJINGA ALISEMA RAGE MBU MBU MBU WANAOUNGA MKONO MAGOMA NI WALE MBU MBU MBU WA RAGE. HILO NDO KOMBE LENU MAANA MMENUNA MIAKA 3 NA BADO MNAMTUMIA HUYO MBWA KOKO MSHAKWAMA.