PART1:KIJANA ALIEOA JINI NA KUZAA NAE WATOTO 3/BABA ANGU ALIZAA NA JINI NA MTOTO WAO NDIO NILIMUOA

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 683

  • @jumachipangula355
    @jumachipangula355 3 роки тому +2

    Wewe ndio number one wangu, huyo asikufanye wewe ushindwe kutuletea kitu kizuri, umetusaidia kupata kujua mambo mengi sana ambayo yako nyuma ya panzia, wewe piga kazi cc watu wako tunakuelewa sana, BIG UP SANA DAVISTA MATA WEWE UKO JUU

  • @سلامهالنهدي
    @سلامهالنهدي 3 роки тому +2

    Pole kk davista baadhi yao wanakuoneya wivu sana kwa
    mafanikiyo yako hizo ni chuki
    omba sana mungu akunusuru
    na watu wenye roho mbaya kwako

  • @deddymohammed6790
    @deddymohammed6790 3 роки тому +10

    Tunakupenda ndugu ..
    Vitu muhimu unvyoonesha ..
    Alolalamika ni Agent tuu huyo .

  • @nahishakiyeassuman5541
    @nahishakiyeassuman5541 3 роки тому +3

    Pole Sana brother wewe usitishiwe na watu kama awo davistar wewe upo juuuuu Sana kwakweli Ani uyo ni mbumbavu tu brother sisi watu wako davistar tunakuwelewa Sana kwakweli na tena Sana tunakupenda Sana kwakweli

  • @jumaambitha9167
    @jumaambitha9167 3 роки тому +2

    Mwambie aache upuzi kila mmoja awe na kazi yake...Love from +254

  • @vivicagreco7767
    @vivicagreco7767 4 місяці тому

    Kaka mpendwa ,,, Mungu akutie NGUVU,,, tunakuombea mno,, ACHANA na watu.. ila husimuache Mungu,, acha na WATU,, ila husimuache Mungu aliekuumba,, Wala husijieleze saaaana,,, tunaona KAZI zako,, kwa Mimi nimefunguliwa pakubwa mno,, Tena mno, Mungu akuinue

  • @nyendochamwela3031
    @nyendochamwela3031 3 роки тому +6

    Umeongea Kwa hisia Sana Kaka D. Na Mimi nilisikia, mti wenye matunda mawe lazima. Endelea kufanya kazi nzuri unayo fanya.

    • @ashajuma5413
      @ashajuma5413 2 роки тому

      Achana nae uyo ni adui yako huyo ni msenge na ni mshenzii

  • @dodoted5033
    @dodoted5033 3 роки тому

    Omba Mungu uendelee kuchapa kazi Davistar,yeye aende akamshataki huyo jamaa,kenya tuko chonjo na wewe sana,we 💜 💛 💚 🧡 you so much.mwache yeye

  • @ahyatibenn8319
    @ahyatibenn8319 3 роки тому +18

    kakukosea sana huyo mtu Davistar, huo ni wivu tuu achana nae, fanya kazi

  • @sammyally8219
    @sammyally8219 3 роки тому +4

    Mwambie na yeye atunge story zake aache wivu kaka yangu Piga Kazi tu one love all the way from Australia love you my brother ♥

  • @joycemuhoja4729
    @joycemuhoja4729 6 місяців тому

    Uko juu Davistar na unajua kuhoji vizuri Sanaa unauliza Majina mpaka wanapotokea mkoa Gani wamezaliwa wangapi unahoji vizuri Sana Achana nae wengine wanakuiga Wanachemka Pamoja Sana From DRC

  • @سلامهالنهدي
    @سلامهالنهدي 3 роки тому +10

    Usijali kila mtu na bahati yake,,
    piya na riziki yake,,ww unapendwa sana kwa tabiya zako. huo ni wivu na chuki zao
    M/Mungu akulinde usijali achana nao

  • @JoyfulGod
    @JoyfulGod 3 роки тому +5

    We love you davistar ... don't worry those r enemies of progress from kenya🇰🇪🇰🇪 we 😘 you.

  • @sarahidowu5132
    @sarahidowu5132 2 роки тому +1

    Hello from New York! Loooove your stories! Authentic!! Reminds me of my country. Great job! Focus on ur career. Ignore haters!

  • @rasjamal9854
    @rasjamal9854 3 роки тому +1

    Pole na mitihani Davistar Mata tupo pamoja unatu elimisha kila kukicha Big up

  • @freddokuckelmann8502
    @freddokuckelmann8502 3 роки тому

    Pole sana Davistar, masamehe tu yule mchungaji maana ni mtu mzuri tu. Tatizo imetokea mnanyang'anyana mkate mmoja na kila mtu anataka kulisha familia yake kwa huo mkate.

  • @ninabizimana6869
    @ninabizimana6869 Рік тому

    Love you brother davista kupitia vipindi vyako nime jifunza Sana Mungu anikumbushe siku moja niku sapoti

  • @carolinetalam5832
    @carolinetalam5832 3 роки тому

    Davistar wewe ni mtu mwenye hekima na busara wewe usijali wivu ya watu wewe endelea na kazi zako ya kutupa mastori we love you from 🇰🇪 🇰🇪

  • @happyperson3016
    @happyperson3016 3 роки тому

    You are very civil Davista umeongea na wisdom

  • @mwamurekadenge2161
    @mwamurekadenge2161 3 роки тому +1

    divester mata appreciate you and All people he really love you for good job and God we will protect 🙏 dnt worry and we will support you still we need more story of you ........ Zote ni jealous bro achana nae bro divester mata appreciate you we piga kazi

  • @neemalambo9790
    @neemalambo9790 3 роки тому +10

    Kaza but Davistar tuko pamoja, Mimi napenda sana wewe🔥

  • @asiasalim4634
    @asiasalim4634 3 роки тому +1

    Pole davista nimeona pahali wanadai unacopy keep it up tupo pamoja we love you so much

  • @nellyrhn4349
    @nellyrhn4349 3 роки тому +2

    Pole sana achana naye uyo asiye jielewa firauni mtumishi wajina ndio wako siku izi. Pambana na kazi yako kama vip mublock asiwe anaona simulizi zako muache apambane na hali yake kazi yako nzuri sana akuna ambaye anaweza kuona simulizi yako akashindwa kupenda account yako love you david💖💖💖💖💖💖💖❤❤❤❤🚶🚶mtumishi wabwana acha kufatilia maisha ya watu pambana na hali yako. Akuna anaye iba story kila mtu anastory yake

    • @messimessi7255
      @messimessi7255 3 роки тому

      You love one man and call another man Firauni, thats not love not Godly love🙏
      Hate is cured by love not hate by hate

  • @augustynmedia
    @augustynmedia 3 роки тому

    Pole sana kwa hili tukio la kuzushiwa unaiba story, huyu atachangia tukose Habari nzuri unazotuletea sisi mafans wako...

  • @mwanamuhsin4320
    @mwanamuhsin4320 3 роки тому

    Tunakupenda pambana tunajal story pole kwa majukumu kk devist kwa hayo mungu akuongoz ktk kaz yako

  • @michaelmichael9133
    @michaelmichael9133 3 роки тому +2

    Asante kaka umenifunza meng mung akubark

  • @josephinewluis8871
    @josephinewluis8871 3 роки тому +1

    God bless you Dave.. Mungu akikubariki lazima opposition zikue. May God continue to elevate you🙏🇰🇪 🇦🇪

  • @happymarksimwita5244
    @happymarksimwita5244 3 роки тому +2

    Asante mkuu kwa kulitolea majibu hili swala kaza buti tusonge mbeleee..tumechelewa Sana wewe km Diamond platnumz kwenye swala story...

  • @mustafaahmed-gb9zo
    @mustafaahmed-gb9zo 3 роки тому +13

    From kenya with love ❤️

    • @arafatylezeny1973
      @arafatylezeny1973 2 роки тому

      254 is listening Davistar-Haters make u famous. Good work Bro & Big up

  • @shukridjibril6848
    @shukridjibril6848 3 роки тому +1

    Fresh San MTU wangu DAVISTa leta story. Watching from Paris 🇨🇵

  • @alexandermutuku7657
    @alexandermutuku7657 3 роки тому +1

    Your the best.....do your work usiwaskize....#kenya Nairobi

  • @lilguele7168
    @lilguele7168 3 роки тому +2

    Keep it up bro usiache mutu akufunze kazi yako and i love your video big bro

  • @dotosalim5090
    @dotosalim5090 3 роки тому

    Pole kaka nichanga moto tu za kazi kaza buti tushazoeya kama leo umechelewa nakuwa sina raha kwaiyo tupo pamoja kuna msemo uwezi kupendwa na wote uwez kuchukiwa na wote kiukweli tupo wengi mashabiki zako tena nchi tofauti

  • @kefasoneliakimumkeyembo1804
    @kefasoneliakimumkeyembo1804 3 роки тому

    Davistar nikushauli we piga kazi ukijua hiyo kazi unayoifanya Mungu anakujua na atakulipa hao wanaojiita watumishi wa Mungu nao pia watajuana na Mungu wao.

  • @frankrobertkomba2318
    @frankrobertkomba2318 3 роки тому +1

    pole bwana DM kila kaz inachangamoto zake,pull up ur sox songa mbele mwsho wasiku ktu ukwel utabak kua pale pale.alaf stor zote znalingana sana,kulingana na waganga wanauchaw unaofanana

  • @happyfihavango4151
    @happyfihavango4151 3 роки тому

    Pole hiyo ni changamoto katika kazi usiogope songa mbele achana nae huyo anapepo halijamtoka bado la wivu

  • @margaretwangoi6814
    @margaretwangoi6814 3 роки тому +1

    Keep going davistar hizo ni mitihani tu ...I'm glad ata umebarikiwa na microphone 👍👍🇰🇪

  • @kipchorngwonektiroto457
    @kipchorngwonektiroto457 Рік тому

    Davistar, I'll reach to you. You've done great job!

  • @jumakalukule5312
    @jumakalukule5312 3 роки тому

    Sisi wa afrika ukimuona mtukafanikiwa kimaisha juwa kapambana na ftina nyingi sana nakashinda ndomana kafaulu dav ukiona watu wamesha anza ftina ukokaribu namafanikio muombe sana m/mungu akulinde

  • @asingakani9138
    @asingakani9138 3 роки тому +1

    Ur the best BRO , CAPE town tuna enjoy kabisa

  • @priscakomba2786
    @priscakomba2786 3 роки тому

    Piga kazi Best yangu Davista. Imani yangu mti mzuri huwa unapigwa mawe Usjali

  • @sarahmwangamila4441
    @sarahmwangamila4441 3 роки тому +3

    Mpotezee,achana nae! We love u

  • @happyoshea
    @happyoshea 3 роки тому

    Pole huwezi kuishi bila kupitia challenges Davista . Me nafwatilia sana story nyingi humu UA-cam lakini sijaona account yenye story zinazofanana na za kwako . Huyo mtu angefanya busara kukutafuta mkashauriana pia kurekebishana . Unafanya hivi kuelimisha na kuokoa watu wengi sana , huu ni zaidi ya ushuhuda . Usikate tamaa na usikasirike . Kemea hilo jaribu ,tuendelee na story zetu Mungu atakubariki . Amen 🙏🏽🙏🏽

  • @mariamali2635
    @mariamali2635 3 роки тому +13

    That guy he's just jealous of your work. Your story is so real coz if it was fake nobody would be interested of watching. Keep it up bro.

    • @MishiPapalan
      @MishiPapalan 3 роки тому +1

      Atuhami tupo pamoja na wewe aliye tu huyo

    • @aiyamhassan1321
      @aiyamhassan1321 3 роки тому +1

      Hakuna jambo jema linalokosa mitihani na changamoto kikubwa ampotezee

    • @FFL-X1D
      @FFL-X1D 3 роки тому +1

      @@aiyamhassan1321 kabsa yan

  • @vaghoghontweki9827
    @vaghoghontweki9827 3 роки тому +1

    #MTUMAKINI bora umelitolea hili suala maelezo kdg mana yule jamaa kaongea sana kuhusu hili,,,ni vzr mkae mlimalize hili sio kuchafuana bila sababu,,,kazi nzuri broo🤝

  • @mamuuwesu7236
    @mamuuwesu7236 3 роки тому

    Achan nae kaka ang.nd binadamu hao .kikubwa dua n mungu akulinde n husda .kil mtu anaridhik yak .uref wa kamba yk hawez kufikia.

  • @macamezunguzungu5697
    @macamezunguzungu5697 3 роки тому

    Wivu na upuuzi tu watu kama hao ni wanavijiji achana nao piga Kazi dvsmtr 🙏🙏🙏💪💪💪🎤🎤

  • @mimaswit2353
    @mimaswit2353 3 роки тому +1

    Wachana nae wewe endelea tunafurahiya na tuna soma sana go on brother

  • @afroizyrashid6331
    @afroizyrashid6331 3 роки тому

    achana na hao wachawi tu awapendi tujue ushenzi wao piga kazi piga kazi 🔥🔥🔥🙏🙌🙏

  • @josephinewluis8871
    @josephinewluis8871 3 роки тому +1

    usitilie maanani adui zako Dave..hao hao adui zako wata kutafta tu.. God will prepare a table before you in the presence of your enemies.. continue to do the work that you're called to do.. blessings 🙏

  • @happykajeli5453
    @happykajeli5453 3 роки тому +1

    Usijali kila kazi inachangamoto msamehe bure twende kazi mdogo wangu D

  • @tanzaniaone4629
    @tanzaniaone4629 3 роки тому +4

    Bro una busara sana...nimekukubali

  • @marywanjiru1831
    @marywanjiru1831 Рік тому

    Love u....davister and the team....kenya tuko nawe

  • @mildredakinyi9855
    @mildredakinyi9855 Рік тому

    Asante kwa usimlizi

  • @khadijamussa2081
    @khadijamussa2081 3 роки тому

    Pamoja Sana davista riziki hizi hujenga uadui

  • @jamilaally3172
    @jamilaally3172 3 роки тому +2

    Dah kwer pamoja sana another episode my favourite chanel back again big up

  • @mimsbaibe6mimsgul737
    @mimsbaibe6mimsgul737 3 роки тому +1

    Davistar forward ever backwards never wenye wivu wako tutabarikiwa wapende wasipende fanya kazi yako wacha nao usife moyo tuko pamoja from kenya.

  • @jaydenkariuki6595
    @jaydenkariuki6595 2 роки тому

    Davistar wachana naye mungu akubariki sanaa watu wana wivu

  • @mwajumajoseph3685
    @mwajumajoseph3685 3 роки тому +12

    Achana na hyo mpga dili kanisan mwambie ajiongeze afungue bar, sanguro na kanisa nyote apate hela by erick hapa

  • @salumhamdu6633
    @salumhamdu6633 3 роки тому +1

    Polee sna Bro ndio maisha n walimwengu walivyo take it easy bro!!

  • @florenceawuor9993
    @florenceawuor9993 3 роки тому

    mti mwenye matunda ndio urushiwa mawe....worry not nko ndani kama kawa kutoka U.S washington..mwenyezi Mungu hakujalie ndungu yangu davistar....

  • @stay_onit360
    @stay_onit360 3 роки тому

    Keep going brother Davi we’re here for you and god he will continue blessing you and protect you Inshaallah 🙏🙏🙏🙏from Canada

  • @FFL-X1D
    @FFL-X1D 3 роки тому +3

    Upendo Neema najma blessed Fm morn credo zuchu Khulood Ezakia Aisha goodluck Eric mariam Riziki zabiya na wengineo njoon mambo tayari😘😘🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭

    • @Teacher_01
      @Teacher_01 3 роки тому +1

      Mpendwaa ni mewasil jaman nakupendaa sanaa jaman wegine bado siwaon jaman mjee😓😓😓

    • @FFL-X1D
      @FFL-X1D 3 роки тому

      @@Teacher_01 Nmefurai kukuona kipenzi pia mie nakupenda sanaa 😍😍😍😘😘

    • @FFL-X1D
      @FFL-X1D 3 роки тому

      @@Teacher_01 wengine wapo njian kipenzi 😍😍😘😘🤝🤝🤝🤝

    • @fatmaalrshdii7615
      @fatmaalrshdii7615 3 роки тому

      @@FFL-X1D nimekuja

    • @fatmaalrshdii7615
      @fatmaalrshdii7615 3 роки тому

      @@Teacher_01 tumekuja tupo

  • @alexjos7625
    @alexjos7625 3 роки тому

    You are the best bro..kwanza unasikiliza maoni ya wadau wako na kuchukua hatua..Bro ukikumbana na kikwazo kama hiki jua kuwa kuna baraka kubwa iko njiani inakuja.
    Achana nae Mungu atamsamehe..endelea kufanya kazi ya Bwana

  • @mkana_tz5671
    @mkana_tz5671 3 роки тому

    Pole kaka kwa changamoto za binadamu wasiopenda maendeleo yamtu..ila itakua umempa mbinu zako zakupata watoa stori, hope ataiga kugharamia

  • @jangombeboys4536
    @jangombeboys4536 3 роки тому +1

    kazi nzuri broo🤝

  • @charlesb.mwaipeta8415
    @charlesb.mwaipeta8415 3 роки тому

    Pole sana mkuu, we piga kazi... Hayo yapo tu kwenye kutafuta

  • @salisali3738
    @salisali3738 3 роки тому

    Pole sana Devistar ndio dunia lazima upitie misukosuko

  • @mariajili6319
    @mariajili6319 3 роки тому

    Mussa chesa nime wahi kuskia history yake hina tisha ❤️❤️ no watu wanasema vibaya kuusu mtumishi wa mungu siyo kwamba hana omba pesa kwa mambo yake ni kwa sababu ya kuinua channel ❤️❤️❤️

  • @beatricekweka6683
    @beatricekweka6683 3 роки тому

    Duuh Ni mtandao au notification hazinifikii...but pamoja sanaaa
    Duuh nilienda nikaona ni mtumishi hata havieleweki hazina hata mvuto...
    Yess umeongea point 💪...UMEELEWEKA
    Pambana kijana tuko pamoja

    • @sarahjohn7772
      @sarahjohn7772 3 роки тому

      Ni Yupi Huyo Nambie Nam Nikamchungulie jaman

  • @veronicahsongok296
    @veronicahsongok296 3 роки тому

    Hongera Davistar Kwa kazi yako nzuri.ni wivu Achana naye...

  • @livingwaterchurchmbulukahama
    @livingwaterchurchmbulukahama 3 роки тому

    Pole sana Davi ila kaa ukijua vita ya mafanikio hua ni kubwa sana

  • @mariajili6319
    @mariajili6319 3 роки тому

    Davistar usiseme halikua na lewa bro nyinyi ni watu wazima mtafutane muongee pia yy ni binadam kakosea, hiyo story sem ya kwanza kuiskia hilikua kwa channel yake, hila kakosea kusema we mwizi ❤️❤️❤️🇰🇪🇰🇪 mimi nawapenda nyote

  • @elizanzula8375
    @elizanzula8375 3 роки тому

    Binadamu wana roho za kwa nini mr fact unafanya kazi zuri sana na hongera kwa kuboresha kazi zako kupitia wewe tumekuza imani zetu kwa MUNGU na kujua kwamba msaada wa kweli hutoka kwa MUNGU Pekee huyo ametoa wapi nguvu za kuongea hayo?shetani ashindwe kabisa na nguvu za MUNGU zitawale MUNGU akubariki davista na akutie nguvu zaidi tunajifunza mengi hakika..

  • @lenniefei6710
    @lenniefei6710 3 роки тому +1

    Wivu ndio shida ya muafarika...Chapa kazi bro Davistar

  • @gmdecoration6044
    @gmdecoration6044 3 роки тому +1

    Usijali mzee changamoto lazima tupe namba tutachangia kipindi ni moto sana natuko wengi🙏🏻🙏🏻

  • @idrisanaumanga6410
    @idrisanaumanga6410 3 роки тому

    Pole Brother Davista, huyo jamaa ni mpuuzi tu achana nae

  • @justerinnocent7014
    @justerinnocent7014 3 роки тому

    Achana namaneno yawakosaji wepiga kazi brother😍

  • @pili3750
    @pili3750 3 роки тому +6

    Pole sana kaka davistar kila kazi inachangamoto yake Allah akufanyie wepesi kwenye kazi yako ❤

    • @mohammedothuman1989
      @mohammedothuman1989 3 роки тому

      Mata piga kazi tumekuelewa

    • @FFL-X1D
      @FFL-X1D 3 роки тому

      @@mohammedothuman1989 kabsa

    • @magdalenawerema1658
      @magdalenawerema1658 3 роки тому

      Usife moyo Mjukuu wangu endelea kutuletea story changamoto zipo msamehe huyo mtumishi wa Mungu asikukwaze! Mungu akusaidie tu

  • @theunseen.believe5672
    @theunseen.believe5672 3 роки тому +1

    Davista,you're a real deal 😂😂let the haters continue chapping but we won't leave your channel.what you're offering us teaches us many lessons in life.💪stay strong

  • @lungalungaphs5655
    @lungalungaphs5655 Рік тому

    Hapa kweli huezi kaa na mtu siku nzima bila kumpa chochote kufidia siku yake sababu huyo ni client tayari na anatoa content ambayo Mr. Facts anakusanya na kushoot hadi kuileta youtube. so, nakupongeza sana Mr Mata kwa kazi yako na Mungu Akubariki usiwahi pata shida, kulala njaa wala kukosa hela ya kuleta vipindi kama hivi vinaelimisha.

  • @GoldenDave01
    @GoldenDave01 3 роки тому +1

    The bigger your destiny the bigger the buttles and challenges you will face in life,so be ready to face them until you over come them,davido usiwe na stress

  • @odugwucj4559
    @odugwucj4559 3 роки тому +16

    Davistar, those are enemies of progress. Si wote wanafurahia mafanikio yako. Wee endelea kutupa story

    • @nurafedrick378
      @nurafedrick378 3 роки тому +1

      Kabisaaaa wivu tuu

    • @ruthkwamboka9082
      @ruthkwamboka9082 3 роки тому +1

      Mti kuruswa mawe lazima uwe n matunda

    • @shantellemwanakombo3703
      @shantellemwanakombo3703 3 роки тому +1

      Wivu tu huo wanamuonea

    • @theceefamily7764
      @theceefamily7764 3 роки тому

      Davistar my young bro' hachana na walimwengu wengine kwani huyo mtu anajiita mtumishi na bado ako na mshene/domo kaya sana."Wewe mtumishi hachana na davistar kabisa in JESUS name,chapa job yako kivyako plz an plz"🌞🙏🇰🇪.

  • @mosesjohnswilla9926
    @mosesjohnswilla9926 3 роки тому

    Dah....hii family naikubali sana

  • @sapnaabdallah1084
    @sapnaabdallah1084 3 роки тому

    Usijali kipenzi Davistar achana
    Nae
    Ss twakupenda 😘😘😘

  • @mawananasoro4405
    @mawananasoro4405 3 роки тому

    Upo juu Mr fact achana na wazushi wadau wako tupo pamoja

  • @erickouma
    @erickouma 3 роки тому

    Hakuna mafanikio yasiyokuwa na gharama. Pole relax piga kaz kiwered zaid. Be strong youngbro

  • @eliasgembe5800
    @eliasgembe5800 3 роки тому

    Davista ww uko juu sanaa na hao wanao kutusi hawafai davista kaza buti hakuna wa kukushinda huyo ni mpuuz tuu

  • @hussennshimirimana5736
    @hussennshimirimana5736 3 роки тому

    Huwa napnda story zako nakufatiliya nikiwa Burundi 🇧🇮 bro piga kazi unaweza

  • @sailakemuma5129
    @sailakemuma5129 3 роки тому

    Hey Brother dont listen to the enemies of progress he or she wants to destroy your moral. we love you keep up with the good work. May God protect you devinely.

  • @shabaniramadhani4109
    @shabaniramadhani4109 3 роки тому

    Mwenyez Mungu amesema kila penye uzito na wepesi upo, hizo ni changamoto tu kila mahali zipo

  • @moteswafwalu1655
    @moteswafwalu1655 3 роки тому +1

    Approach ya mic ya sasa hivi nimeielewa sana davistar..👏👏

  • @jumaramadhani1486
    @jumaramadhani1486 3 роки тому

    Kila kazi ina vita vyake simama na Mungu tu na sio kila mtumishi wa mungu ni kweli yupo na Mungu

  • @FFL-X1D
    @FFL-X1D 3 роки тому +3

    Somoe pili Fatma Amina Aiyam upendo kevarist sapna credo salim salim suleiman Fatma Aisha Rizik cute emmy Nguwalo Fundi Eric mariam Farhat salum na wengineo njoon mambo tayar🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭😘😘

    • @somoeawadh7774
      @somoeawadh7774 3 роки тому

      Ndio nafika dear

    • @FFL-X1D
      @FFL-X1D 3 роки тому

      @@somoeawadh7774 Nmefurai kukuona kipenzi😘😘😘😘😍😍😍😍

    • @Teacher_01
      @Teacher_01 3 роки тому

      Tumeshafikaa best..nakupenda sanaa

    • @aiyamhassan1321
      @aiyamhassan1321 3 роки тому

      Asante ndo naingia hapa

    • @FFL-X1D
      @FFL-X1D 3 роки тому

      @@Teacher_01 Nmefurai kukuona kipenzi pia mie nakupenda sanaaa😍😍😘😘😘

  • @khadijarashidi8772
    @khadijarashidi8772 3 роки тому +1

    Pole sanaaa

  • @aishaally8811
    @aishaally8811 3 роки тому +2

    Sema mr fact mi tatzo langu lipo kwenye dini bro kwenye dini unakandamza sana upande mmoja k2 ambacho unatuunzi Sisi wa dini nyingine

  • @johanesthobias8742
    @johanesthobias8742 3 роки тому +3

    Pole sana kaka keep doing broo

  • @zawadihamadi7588
    @zawadihamadi7588 3 роки тому

    Pole Davistar

  • @faridaahmed2671
    @faridaahmed2671 3 роки тому

    Tunakupenda kaka wewe chamuhimu fanya kazi uyo niwivutu

  • @matheothomas1891
    @matheothomas1891 3 роки тому +1

    Umekula mdaa wetu man