Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
It's 2024 bado naupenda sanaaa huu wimbo
Pumzika kwa amani MDOGO wangu Mungu akupiganie huko uliko ufike kwenye UFALME WAke huko mbinguni .AMINA
Mimi mwenyew unanibariki sana wamepangilia sauti vizuri sana
Daima naipenda catholic wimbo unafaraja kubwa tenzi zake
Baba na mama namarehemu wote wapumzike kwa amani😢😢😭😭
😭😭huuu wimbo nakumbuka Siku ya msiba wa baba yangu bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe
Wimbo mzuri saana,napenda sana kuuskiza asubuhi
Nafalijika niposikia huu wimbo 😢
Wimbo mzuri sana, mungu awabariki waimbaji wote
Haha naupenda sana huu wimbo jaman EE unanikumbusha mengi alafu sauti ya3 mmenogesha sawasawa hapo. Ee bwana. Mungu wangu tubarikiwe sote Asante I kwakutufariji
Amina
Jamani wimbo mzuri sana unanikumbusha mbali❤❤❤❤❤❤❤❤
Asante sana kwa wimb mzir
wimbo huu unanikumbusha rafiki yangu aliyefariki kwa ajali miaka kama 6 imepita😭
Wimbo huu unanibariki sana
Wimbo mtamu huu, safi sana St. Joseph choir
Pumzika kwa Amani mwanangu Sasha baby kungekuwa na simu ningepiga nijue unaendeleaje😢😢
Wimbo huu mzuri sana
Malya kazi nzuri
Bwana awabariki xana
Sifa kwa Mungu wetu
Hii nyimbo imetulia saaana
Mmeimba.vzr
Blessed indeed 🙏
Amen
😭😭😭
wimbo unanikumbusha mengi nikiwa Dar
Tunaomba muwe mnatuwekea nyimbo za Roma hata ikiisha kwaresma
Wimbo Mzuri sana huu UNANIKUMBUSHA MBALI SANA RIP MKAPA NA JPM
👏👏👏👏😭

Pumzika kwa Amani mwanangu Sasha baby kungekuwa na simu ningepiga nijue unaendeleaje
😢😢