NALISEMA NITAYAKIRI MAASI YANGU KWA BWANA - NYIMBO ZA KWARESMA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 вер 2024
  • Tunakukaribisha ndugu mtazamaji katika kipindi hiki cha kwaresma uweze kutafakari nyimbo hizi maalum kabisa kwa ajili ya kipindi hiki.
    Nyimbo zimerekodiwa na kikundi cha TUMAINI CATHOLIC SINGERS kutoka jijini Dar es Salaam.
    Wpigie simu namba 0755 816669/0768 756077 Kupata nakala hii.
    Maneno ya wimbo
    Nalisema nitayakiri maasi yangu kwa Bwana nawe Bwana ukanisamehe upotovu wa dhambi yangu. x 2
    1. Heri aliye samehewa dhambi nakusitiriwa makosa heri bwana asiye muhesabia upotovu ambaye rohoni mwake hamna hila.
    2. Ndiwe sitara yangu utanihifadhi na mateso utanizungusha, nyimbo za wokovu.
    3. Nalikujulisha dhambi yangu wala sikuficha upotovu wangu.

КОМЕНТАРІ • 57