Very comforting song. Unatuliza roho na nafasi kabisa nyakati za magumu. Heko sana kwa choir hii. I have sung choir songs for quite a while and I feel this song was well done by the composer, the writer and the choir members. Five star song.
Huu wimbo leo nimejipata naimba nikijiuliza mbona yalimpata boss wangu 😢nimekuwa na swali wiki tatu sasa Hadi nimemulilia Mungu BABA Mapenzi yake yatimizwe juu ya familia ya 😢😢willies ayieko na Roho😢 yake ipumzike Kwa Amani Amina 😢😢
Hakika wimbo huu unatupatia faraja wakati wa magumu. Unatupa tumaini kuwa Mungu ndiye mweza wa yote na nitumaini letu kuu.Asante wanakwaya Mungu azidi kuwabarimi,muendelee kutuinjilisha kwa utume wenu wa uimbaji.
Huu wimbo unaongezea imani yangu,tangu asubuhi sijasikiza wimbo mwingine, barikiweni sana wana Bosco.
Ubarikiwe 🙏
Hata mimi
nyimbo nzuri sanaa....naomba nota zake kama naeza pata ...
Ninabarikiwa sana na wimbo huu wenye mguso ndani ya moyo wangu
Amina 🙏
Very nice song of all times . God bless this choir ….Catholic all the way….God bless kenya and all Kenyans 🎉
Be blessed 🙏
I just love this, song,proud to be catholic❤
Be blessed 🙏
Kwa kweli huu wilbo ni mzuri sana unafariji ,unakuwekabkaribu na mungu,mmbarikiwe sana
Wimbo mzuri Sana..❤
Very comforting song. Unatuliza roho na nafasi kabisa nyakati za magumu.
Heko sana kwa choir hii.
I have sung choir songs for quite a while and I feel this song was well done by the composer, the writer and the choir members.
Five star song.
Be blessed 🙏
The moment i lost a loved one and again lost my job my friends ran from me I listened to the song and become relieved
Be blessed 🙏
I can't get enough of this
Be blessed 🙏
A very nice song. It makes me proud of being a Catholic
Be blessed 🙏
Asante mungu wangu kwa zawadi hii ya uhai👏👏
Be blessed 🙏
Wimbo huu ni miongoni mwa nyimbo Bora kabisa kuwahi kutungwa na watunzi hongereni waimbaji Kwa kuuimba wimbo huu vizuri bws
Ubarikiwe 🙏
That's a prayer for my country Kenya. Asking God why He accept this floods to us...
We shall pull through by His Grace 🙏
Huu wimbo leo nimejipata naimba nikijiuliza mbona yalimpata boss wangu 😢nimekuwa na swali wiki tatu sasa Hadi nimemulilia Mungu BABA Mapenzi yake yatimizwe juu ya familia ya 😢😢willies ayieko na Roho😢 yake ipumzike Kwa Amani Amina 😢😢
Mungu awabarik wote mlohusik katik huu wimbo
Be blessed 🙏
Proud to be a Catholic,umenifarji sana,God bless those choir members ❤
Be blessed 🙏
Mtunzi wa wimbo huu alitulia sana. I am proud to be catholic
Be blessed 🙏
The sogs reminds me of what i passed through 2023. GOD BLESS THIS CHOIR
Be blessed 🙏
Good wimbo mzur kwa kweli proud proud to be catholic mpewe mauwa yenu Don bosco❤❤❤❤❤
Be blessed 🙏
Nikweli maswali tele unapohangaikia swala sugu la maisha.....Asante wenzetu kutupa tumaini la kustahimili maisha na matukio yake..Kitale Kenya
Mkabarikiwe wanakwaya wa John Bosco kwa wimbo mtamu sana.Mungu awainue na mkatoe muziki sawia ili watu waokolewe.
Be blessed 🙏
Kongole zenu don bosco
Be blessed 🙏
Wimbo huu umetulia kwelikweli. Good stuff.. nice song, I love it.
Be blessed 🙏
This song is very satisfying to listen 👂
Be blessed 🙏
Proud to be a catholic ❤❤❤❤ good song
Be blessed 🙏
Hakika wimbo huu unaniguza mbarikewe.....proud to be a Catholic 🙏
Be blessed 🙏
Hongereni sana Wanakwaya
Asante. Ubarikiwe 🙏
An encouraging song keep up🙏
Be blessed 🙏
So inspiring and blessing praise the name of the most High God
Vey much comforting song!! Be blessed
Amen. Be blessed 🙏
Mungu awabariki kweny nyakati ngum nitkuwa nasikiliza😊😊😊
❤ hongera sana mtunzi wa wimbo huu
Be blessed 🙏
Huu wimbo unafariji sana mbarikiwe sana kazi nzuriiii 🙏🙏
Ubarikiwe 🙏
Wimbo nzuri sana
Ubarikiwe 🙏
❤❤❤ very consoling song be blessed
Be blessed 🙏
nice song,, may The Lord gracious hear us
Be blessed 🙏
🎉nyimbo nzuri mno inabariki sana
Ubarikiwe 🙏
I am so touched. My Lord Jesus I thank you for the gift of life and good health Amen
Asanteh sana wanakwaya hakika mmeinjilisha vema sana nimepata faraja kubwa mnooo
Ubarikiwe 🙏
amina...from March 2020 to date Lord you know it all...I know it is for your glory.Grant me the gift of prayer
This song is the best to listen at. It's really comforting especially during hard moment in life
Be blessed 🙏
I m proud to be a Catholic❤❤❤
Wimbo mzuri ukisikiza Kwa makini keep up God will pay you
May God bless you🙏
Unanikumbusha mbali sana amina
Very comforting song❤❤❤
Be blessed 🙏
Wimbo mzuri umenifundisha vingi sana🌹
Ubarikiwe 🙏
Barikiwa sana unanigusa sana
An advocating hymn, inatuliza roho.
Be blessed 🙏
Huu wimbo unatutia moyo katika maisha yetu
Be blessed 🙏
Proud to be catholic❤❤❤❤ comforting song❤❤❤❤
Nilikuwa chini ki imani but asante kwa mungu na kwa wimbo tamu saana
Ubarikiwe 🙏
Wimbl mzuri sana haswa wakati huu wa Kwaresma na Hali ngumu ya maisha
Ubarikiwe 🙏
Its indeed a good stuff very consoling be blessed
Amen, be blessed 🙏
A very great song of our time
Be blessed 🙏
Mungu awazidishiye baraka ❤❤❤
Hongereni ❤,,inanitulza moyo
Ubarikiwe 🙏
Inspiring song
Heavenly hymns ❤...
Be blessed 🙏
Huu wmbo unaniliza sana naona kuchoka mim moyo wng unavuja damu
Wimbo mzuri wa kutafakari, congratulations
Ubarikiwe 🙏
I love this song
Thank you. Be blessed 🙏
Nice song
Thank you
Mungu mwema awabariki
Be blessed 🙏
Iko fine sana brother
Asante kaka
Jamani amina sana. Hongera 🇲🇿
Ubarikiwe 🙏
Fantastic
Be blessed 🙏
Kazi safi❤❤❤❤
Asante. Ubarikiwe 🙏
Asanteni sana.
Naomba nota
I'm listening to this as I mourn Winnie Bwire💔💔💔
Fly high Champ, you fought bravely 🕊️🕯️🕊️
Be blessed 🙏
Very lovely song
Thank you. Be blessed 🙏
Mwimbo mzur sana
Asante ❤️
Wimbo mzuri sana ongera sana waimbaji pamoja @
Beautiful song.. I love it
Be blessed 🙏
Nafarijika mnoo, hongereni
Ubarikiwe 🙏
Huu ni waiting mgumu
Be blessed 🙏
🎉mungu awabarik wote mlohusik katik huu wimbo
Ubarikiwe 🙏
Mungu wa mbinguni wapokee mapadre wetu waliopoteza maisha kwa ajali juzi mkoani lindi tunaumia sana😢😢
Pole sana🙏
Amina
🙏
Nice one
Thank you. Be Blessed 🙏
I like the song
Be blessed 🙏
Proud of my religion😊😊😊
Be Blessed 🙏
Wimbo umenijia tu Kwa mawazo na Kwa kweli nimefarijika after kuusikiliza
Ubarikiwe 🙏
Mwimbo mzuli sana
Ubarikiwe 🙏
Wimbo mtamu sana❤
Ubarikiwe 🙏
Huu wimbo nifaraja ndani ya moyo wangu
Be blessed 🙏
I love you jesus
Be blessed 🙏
♥💯
Proud catholic ❤❤
Be blessed
Very nice
Be blessed 🙏
bro we really miss you so much
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Miongoni mwa kazi bora kabisa Tanzania
Ubarikiwe 🙏
Asante
Da!nyimbo inakonga nyoyo
Ubarikiwe 🙏
🙏
Be blessed 🙏
Ooh Jesus have mercy on us please 😭
Be blessed
🙏@@Allan.C_
Wimbo mzuri wa kufariji
Ubarikiwe 🙏
A very nice song
Thank you. Be blessed 🙏
@@Allan.C_Hello.how can i get the score for this song?
@@vincentmoriasidr.vinnie7410 At swahili music score website
Composer : Upina Nairobi
Hakika wimbo huu unatupatia faraja wakati wa magumu. Unatupa tumaini kuwa Mungu ndiye mweza wa yote na nitumaini letu kuu.Asante wanakwaya Mungu azidi kuwabarimi,muendelee kutuinjilisha kwa utume wenu wa uimbaji.
Naomba nota za huu wimbo
Download via this link
www.swahilimusicnotes.com/wimbo/pokea-sifa-ayub-j-myonga/15412
❤❤❤
Asante ❤️