Tumuimbie Bwana Wakati wote, Binafsi nipongeze kwa wimbo mzuri pia shukrani ziwafikie All Galaxy studio kwa HD nzuri na organist Yuko zuri natamani kufanya kazi na Galaxy studio namshukuru Myunani Alie nifikisha hapo ofisi asanteee Saana Bonny Napenda kuimba pia
Aimbaye vizuri amesali mara mbili. Kwa kilatini: Qui bene cantat bis orat. Hongereni wanakwaya na asanteni kwa kazi hii njema, Mungu azidi kuwabariki katika utume huu na aipokee sala yenu na yetu sote.
No further comment, the composer, the tone, the voices, the swaga ,the comosition are all superb.Big up all
Tumuimbie Bwana Wakati wote, Binafsi nipongeze kwa wimbo mzuri pia shukrani ziwafikie All Galaxy studio kwa HD nzuri na organist Yuko zuri natamani kufanya kazi na Galaxy studio namshukuru Myunani Alie nifikisha hapo ofisi asanteee Saana Bonny Napenda kuimba pia
Hongeren sana Galaxy pro kwa kazi nzuri
Nasi hatutachoka kuwaonbea zaidi katika kazi hii nzuri ya Mungu
Waooooo kaz nzuri Mungu awaongoze daima
Wimbo unaniongezea Imani y a kuzidi kusali
Hongereni sana kwa Kuimba vizuri sauti ya kwanza Kuna mtu hamalizi na wenzie sikilizeni kwa makini ili mrekebishe vinginevyo bigup
Kazi nzur Mungu awabarik sanaaaa✝️🔥🔥🔥
What a masterpiece 🎉🎉🎉
Lovely
Hakika mmesali mara dufu. Mbarikiwe sana
HONGERENI SANA KWA KAZI NZURI
Aimbaye vizuri amesali mara mbili. Kwa kilatini: Qui bene cantat bis orat.
Hongereni wanakwaya na asanteni kwa kazi hii njema, Mungu azidi kuwabariki katika utume huu na aipokee sala yenu na yetu sote.
Good
Molto bene bravo
Mda mrefu hatukuoni
Ongereni sana sana wanakwaya kazi nzuri sana, mungu awabariki
Blessings! Kazi safi. 🙏
Mmebarikiwa sana, Mungu awalinde Amen 🙏🙏🙏🙏🙏
Hongera kwa mtunzi, organist na waimbaji wote.
What a beautiful piece.Angelic voices.God bless you all.
Perfect🎉
Very very excellent. Nawapenda. Asanteni kwa kazi nzuri Kama hii
Hongereni sana mmeimba vizuri sana endeleen kuktumikia Mungu kupitia uimbaji
Ongen mko vizur sana
hongereni sana! animo y adelante
Beautiful 😍
Hongereni sana! Wimbo mmeutendea haki na unabariki
You sign it good
Glory to God Amen be blessed all singers ❤😂
Kazi nzuri,,, Mpokee Maua yenu.
Hongereni, kazi nzuri👏
Hongera sana
Wooo superb
Barikiwa sana, wimbo mzuri sana❤❤❤
🙏🙏
wimbo mtamu sana, mbarikiwe wanakwaya wa Mungu
Asanteni sana wana Maria Theresa Dodoma, karibuni sana MZA nimewaona mkiinjilisha Kawekamo
Mpo vuzuri sana
Siku zote huwa sinaga mashaka na Makuru hata siku moja... Hongera Sana Kaka mkubwa... Video quality kabisa
Daah nomaaa snaa ...Sina Cha kusema kwanzia wanakwaya mpk Galaxy studio...#Wapi Patiu
Safi sana jaman mmeimba vizuri wanakwaya hongereni sana Kwa utume
Kaz nzr mmenibariki
Wimbo mtamu
Safi sana nimeupenda
Mmependeza sana watu wa Mungu mbarikiwe sana.
nyimbo nzuri sana
Barikiwa Sana enyi mnaomuimbia Mungu🙏
Beautiful composition 🎉
Congratulations 🎉 God bless you
Wimbo unanibariki sana
Nyimbo inatafakarisha mno
Kazi nzuri sana🫶
Mmeupga mwingi mpk ukamwagika tn
kazi nzr Sana mmenibariki
Mungu awabariki sana mnakipiji sama
Nitapataje audio jamanii
Naomba uniunge group la kikatoriki
wimbo mzuri
❤❤
Hongera sana 2:14
Amen nawatakia jumapili njema kwenu tumsifu yesu kristo
Hongereni sana Kwa kazi nzuri Mungu azidi kuwabariki
❤❤❤❤❤❤