Leo tunamaliza mwaka 2024 kunaambao walitamani kuiona siku ya leo haikuwa hivyo kwao, lkn yote nikwasababu Mungu ana haja nawe❤❤. Kwa kweli ni muda wa kushukuru.
Ni muda wa kurudi kumshukuru Mungu Maanabkakulinda wiki miezi miaka (Tazama leo hii afya kakupa Tazama leo hii wafanya kazi Yote ni kwa sababu Mungu ana haja nawe Yote ni kwa sababu kakupenda upeo)*2. 1. Umempa nini mwenyezi Mungu hata kakulinda nyakati zote kwa nini usimshukuru Mungu wako 2. Mahitaji yako ya kila siku ni mwenyezi Mungu anayekupa kwa nini usimshukuru Mungu 3. Sifa na utukufu ni vyako Mungu wewe Utupae riziki yetu utukuzwe milele na milele.
Huyu mwita isack anatunga sana asee ananigusa mno tunzi zake ,,, Hongereni wanakwaya mmeutendea haki asee
Kazi nzuri sana Wapendwa wa Mungu.
Hongereni sana Mungu aendelee kuwainua katika viwango viwafaavyo.
Leo tunamaliza mwaka 2024 kunaambao walitamani kuiona siku ya leo haikuwa hivyo kwao, lkn yote nikwasababu Mungu ana haja nawe❤❤. Kwa kweli ni muda wa kushukuru.
Hongereni sanaaa
Beautiful. Thanks Mwita for a nice composition always
Ashukuriwe Mungu
Mko vzr sana👏
Hongereni sanaa.mungu awaajazie Neema Na Baraka zake hasua mwaka mpya Huu tulioanza.🎉🎉🎉🙏🙏🙏
Wimbo mzuri
Mmeutendea haki mbarikiwe
Mungu ni mwema sana hakika hii ni funga mwaka be blessed❤
Wow kazi nzur sana our best choir in st Peter parish endeleeni kutuinjilisha🎉🎉🎉
Kazi nzur tulitisha
Daah hii ilinipita 😮, mliua sana wana st Paul ❤
😅 kazi ni Njema Sana
Hongereni sana kwa nyimbo nzuri
Kazi nzur
Mungu ni mwema
Hongeren sanaaa wapendwa, kazi nzuri
Wowowo waoooo
Hongereni sana vijana mko vizuri❤
Hatariiiii sanaaaa
Hongereni sana kwa hii kazi njm, hakika mungu na asiwapungukie kamwe, mdumu katika hii huduma.
Kazi nzuri hongereni sana
Ujumbe mzuri sana, twapaswa kurudi kumshukuru Mungu
🙏🙏🙏🙏 kazi nzuri
Hongereni
Nice song, hongeren🔥🔥🔥
Hongera Kwa wimbo mzuri.Hakika ni Mungu.
Hongereni sana Kwa kazi nzuri familia
Hongereni sana kwa kazi nzuri♥️
Hongereni 🎉🎉wimbo mtamu naomba namba ya mtunzi
❤❤❤
Hongereni sana. Kazi nzuri
hongera sana
Safi sana
Amina 🙏 🙏 🙏 tunamshukuru Mungu ❤
Mbarikiwe na bwana KAZI nzuri
Familia ❤🎉
Nawamiss
Nice 🎉
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Ni muda wa kurudi kumshukuru Mungu
Maanabkakulinda wiki miezi miaka
(Tazama leo hii afya kakupa
Tazama leo hii wafanya kazi
Yote ni kwa sababu Mungu ana haja nawe
Yote ni kwa sababu kakupenda upeo)*2.
1. Umempa nini mwenyezi Mungu hata kakulinda nyakati zote kwa nini usimshukuru Mungu wako
2. Mahitaji yako ya kila siku ni mwenyezi Mungu anayekupa kwa nini usimshukuru Mungu
3. Sifa na utukufu ni vyako Mungu wewe Utupae riziki yetu utukuzwe milele na milele.
Duh missing you a lot , God bless you
❤❤❤❤ together, congratulations 💒😇🎼
Hongereni sana
Hongereni sana mungu awabariki♥️
Hongeren 🎉
Asant raurent
Mtamu huu❤
Bhegwa bhegwaaaaaaaaa
🎉
Saf
Hongereni sana kwa kazi nzuri ♥️
Hongereni sana kwa kazi nzuri ♥️