hapo ndio utajua kuwa wanaume tumeumbwa watawala, yaani kila kitu tunatakaga kula ili mradi kiwe kinavuta pumzi tu😂...shida!! yaani jamaa ana dem mzuri kumliko shem wake ila haachi nafasi anataka kula kila kitu😂😂
Maybe anafata makario, wanaume hawako poa, Akipata Miss anaanja kuthamani Wenye Makario Makubwa, Na akipata Munene Mwenye Makarioa Anaanja ku Thamania Wa Miss, hmmm Sijui kwanini Hamutoshekiii...😢
Huyo jmaa hana kosa hata kidogo mwanamme hajaribiwe kwenye ishu hiyo alafu we shem mwenyewe sambwanda limejaa namna hiyo hata mm tu ninayemuangalia nataman hiyo fursa ningeipata leo kesho ili nionje nami kidogo buyi la asali
Daaaaaaah kwel sis wanaume ni mbwa aiseeee. Ila kiredio una michezo ya hatar san, umeona kimesha nuka apo. Ila mmmmh mi mwenyew nisingechomoka kwenye huo mtego 😢
Kiredio weww 🤣🤣🤣🤣🤣haya binti stuka hakuna boyfriend hapo ,mnaliwa wote ,wewe na best yako upo
huyo jamaa hata Kama ningekua mm ningenasa kwenye mtego bhana😅😅😅 Shem mwenyewe ana mzigo balaaa
Mapenz hajaribiwi jamani hilo mkae mkilittambua😂😂😂
Yaan ana pisi yake kali sijui anataka nini jamn wanaume nyie 🙌🙌🙌🙌🙌
hapo ndio utajua kuwa wanaume tumeumbwa watawala, yaani kila kitu tunatakaga kula ili mradi kiwe kinavuta pumzi tu😂...shida!! yaani jamaa ana dem mzuri kumliko shem wake ila haachi nafasi anataka kula kila kitu😂😂
Noma sana😂
Wanaume 🙌🙌🙌🙌
Maybe anafata makario, wanaume hawako poa, Akipata Miss anaanja kuthamani Wenye Makario Makubwa, Na akipata Munene Mwenye Makarioa Anaanja ku Thamania Wa Miss, hmmm Sijui kwanini Hamutoshekiii...😢
😅😅😅😅
Yaani ndivyo walivyo
Daaah ila wanaume ss bhn,dada wa watu nimemuonea huruma jmn 🇶🇦
Kiredio mchonganishii😂😂😂 mm nikikutanae nakimbia😂😂
Hata kama ingekua mm lazma ningeingia aise cyo kwa shemu huyu😂😊
Nishakupa likes zako mana umeongea point 💯%😂
nanyie kina abdully tena ninahuyo abdul wangu balaaa sintosubutu kufanya hivi 😂😂😂
Ahhahahahah
Msenge mzinzi sana huyo hahahahha
Ukiskia mwanaume mmbwa ndio huyo sasa😂😂😂
Unaagwa nakupenda kabla ya kuchitiwa kudadeek
😂😂😂😂😊
Kirediooo utatuaaa akiii mi nikimpenda inatosha😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂eti anapiga😂😂😂😂😂😂😂😂shenzi
😂😂😂😂Kaka njia yako ya kwend mbinguni ni ngumu🙌🙌🙌
🤣😂kbs yaniiiiii
@@lindasaulo6395 mshaurini apunguz makaliii tunakoelekea sasa sio kuzur 🤣🤣🤣🤣kun watu watachoman visu
Wakenya ndio niliona wa nafanya hii kitu yaani sipendi mapenzi yenyewe sikuizi hakuna uaminifu
Yani mimi kama nilikuwa sina mpango nikagundua mnanichezea mchezo yani huyo atakuwa nyama tu 😂😂😂😂😂
Kiredio utakuja kufungwa maisha kabisa 🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌
Ila mwanaume noma 🌹🌹 uzur wa Dem wake tu ungemfanya atuliye
Yaan 😂😂😂saf had watu wawe honest
😂men will leave you in the desert without water huh!! Ani mwanaume 🙌🏿🙌🏿
Hapo hapo usisahau kuwa baada ya shetani kiumbe anaefuata kuogopwa ni mwanamke.. FEAR WOMEN
😂tuache ww
Fear men😂😂😂😂😂
You need a mask bro for your on safety...utapigwa shaba nawahuni hahahaha
mhuni atae mpiga shaba kiredio ujue anaakili za matakon maana kiredio anawasanua wana muache kuoigwa vizinga na madem ili hali wana maboy wengine
Ila daaah utakuja kupasuka siku Moja kiredio😂😂😂
Kashapasuka jamaaa
Dhuuu Kitombile ka cheza migu Miwili kama Messi. 😎
😂😂😂
Huyu dada amesababisha nilie Wallahi' wanaume jamani nyie😭😭😭😭😭
Kuna vitu siyo vya kupimana bwana cheki Tako izo ata ww ungeweza?
😂😂😂😂nimeheka kwa sauti ...😂😅
kiredioo umeamuaa kabisaa😂😂😂😂😂😂
Huyo Kaka ajatulia kabisa hapo hakuna mume
😂😂😂😂😂😂 mashem mashem❤❤❤❤
Wee jamaaa mbingu utaisikia😂😂😂😂
Man for everybody😂😂
Mbona Dem wake mkali Sasa Shem wa nn tena
Daah mapenzi changamoto sana😢
Mno😭😭🙌🙌
Wanaume hawa sio wakuamin hata kidog anamchit mtu mbele yake pasina kujua😂😂
Good job
Me napenda tu kiredio anavyo ongea jaman
Kiredio unawachanisha watuu😂😂
Wanaume wote ni mbwa 😅😅😅😅
Yan apo badoooo😅😅😅😅achanen na mapenz nyie hayeni
😂😂😂😂afu wewe kiledio
😂😂😂😂😂 love😜😜😜😜🙋🙋🙋
Huyo jmaa hana kosa hata kidogo mwanamme hajaribiwe kwenye ishu hiyo alafu we shem mwenyewe sambwanda limejaa namna hiyo hata mm tu ninayemuangalia nataman hiyo fursa ningeipata leo kesho ili nionje nami kidogo buyi la asali
Sisi ndo wanaume hatuachi kitu kizembe😂😂😂
Yan ndo mana mi sitaki kuwa na namba ya shemej yang wowote iwe kwa mkewng au mabest zang asee noma sana iyoooo 😂😂😂😂
Mwanamm kweny mambo hayo huwa hajaribiwa hata kidogo atafeli tu
😂😂😂 shwaaaaaa
Daaaaaaah kwel sis wanaume ni mbwa aiseeee. Ila kiredio una michezo ya hatar san, umeona kimesha nuka apo. Ila mmmmh mi mwenyew nisingechomoka kwenye huo mtego 😢
😂😂😂😂😂
Mtego kama huu sijui kama ningetoboa
😀😀usilolijua ni kama usiku wa giza
Yani si wanaume 😂😂😂, ila hata kama ni mimi ningekamatwa tu 😂😂😂😂😂😅😅😅 afu baada ya hapo namtafuta nimkule kwelii
😂😂😂😂
Sema mwanangu sio kwel mda mwingine sio kwamba mwana hampend dem wake ila unahis ukifany hivyo nn kinatokea kati ya hao watu
Kiredio utauwa watu na preshaa😅😅
Hapo jibwa dume linataka kuwachanganya,kimbieni kahaba hilo,likimuona mwingine litamtaka tena.
Kumamae wanaume 😂😂😂😂😂
Kuna wanaume malaya khaaa.
Fear menn😂😂😂
Oya mzee baba kwa Stile iyo uta achanisha mahusiano mengi sana . Iyo sio sawa kaka uwo upuuzi mtupu
😂
Vunjeni ndoa za watu kabisa 😂😂😂kaende kaende 😂😂
😅😅😅..
Damn it
Ila unatusumbua na kutuumbua ndugu yangu
Daaah!!!' Kiredio una hatari wewe!!!
Hii imeeenda🎉🎉😂😂😂
Daaa kiredio uwo mchezo achaaaaa
Rafiki hotel ndo sehem anapigwagwa matukio huyo manzi
@kiredio uwe unafanya follow up tujue kimeumanaje na wanaendeleaje😂
😀😀😀
Ata mm nngenasa😂😂😂
pita nao mkuu umetisha
Kwan huwezi kwenda lodge kufanya mazungumzo na shemeji bila kufanya chochote mbna wabongo tupo Ivo?
😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣dah
oya uje na geita mwana
Dah na ana demu mzuri bala
Hii noma wanaume jamani
Hapo ndomtajuwa mwanaume hajaribiwi
Huna mtu hapo, ni mtu tu mna share kitanda
Shem Shem💔😂😂😂😂
Shemeji angepitiwa tuuuu😂😂😂😂😂😂😂😂
Hatari xn
Stojarb upuuz uo maisha
Hyo hotel tu aliyotaya ni maafa
Mmepanga hiyo mtu hajui mpenz wake kama yupo dar
Dah 😂
We dog mchonganishi,utaachanisha watu
@kiredio nashaur ufike Hadi la tukio tuone itakuaj 😂
Duh kiredio kiredio🤣🤣🤣
Baby ukikutana na kiredio mkimbie
Shem jmn saut tamu
Usijaribu kuimba huku unatafuna karanga,mwamba hana makosa.
Huu mchezo mbaya huku Bongo hatuuwezi utapandisha watu presha
Wee jamaa nikikuona nakimbia asee
❤❤❤❤❤😂😂😂
Oya apo siku mbili tatu hao lazima wanunianeee
😂😂
Kazi unafanya vyema kiredio ila unagombanisha watu angalia sana isije ikakuletea shida chunga
golden chance
Ayo Mambo Ya Kenya Mmeiga Tena Watanzania Ampitwi Na Mambo Du
yalianzia us kunya mliiga pia
We kaka unajua unavunja mausiano na ndoaza watu ujui tu ebu tft kazi nyingine
Iki kipindi chako unachonganosha marafiki sana n'a wapenzi wao
😂
jamaa simlaumu maana shemej ni mkari
😂😂😂😂😂😂😂😂😂SHEM
Saf san jmn