SHEMEJI NJOO KWANGU | TUSIONGEE KWENYE SIMU | CHIDDY AINGIA KWENYE MTEGO

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 49

  • @RayyanRayyan-rt9cg
    @RayyanRayyan-rt9cg 7 місяців тому +13

    Wanaumekueni waaminifu jmni khaaa yani simu tu mtu umeshaingia mkenge

  • @jumabakari5114
    @jumabakari5114 8 днів тому +1

    Naomba chiddy asilaumiwe, wote tumemuona mdogo mtu alivyo

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe 7 місяців тому +5

    Hata kama ni wewe unaachaje kuinyemelea pisi kali kama hio. Dada mzuri ila mdogo mtu zaidi jamaa ana explore his options 😂

  • @joycehaule9717
    @joycehaule9717 2 місяці тому +2

    Safii sana Kiredio mana hiyo ndio akili ya wanaume aiseee

  • @stellatwaah3242
    @stellatwaah3242 9 днів тому

    Yaan huyuu kaaribu mchezo mzim😂😂😂😂

  • @salehejorammwakalobo6284
    @salehejorammwakalobo6284 7 місяців тому +3

    Hii kesi chid anatoboa asbh mapema

  • @babitojnr4886
    @babitojnr4886 7 місяців тому +5

    This planet😂😂hiyo imetosha kusema chiddy kama chiddy kauwaaaa😂😂😂😅

  • @MdekeBakar
    @MdekeBakar 10 днів тому

    Hay ss vip

  • @giftngowi1150
    @giftngowi1150 7 місяців тому +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂 njoo geto tuongee vizuri

  • @user-eo4hd8xu6d
    @user-eo4hd8xu6d 7 місяців тому +1

    😢😢😢dah masihara Kwa NDG!? Mbn umefika mbali

  • @nanajoseph2356
    @nanajoseph2356 7 місяців тому +3

    But Shem Hana kosa maybe alitaka waonane ili ajue hayo mambo ya mtu wake je

  • @pix_1lyrics777
    @pix_1lyrics777 7 місяців тому +11

    Sijaona kosa la jamaa
    Mdada kamwambia kuna vitu dada yake anafanya , ndio maana kakubali kuonana nae,,, hayo ya kwamba anampenda ni mengine 😄

  • @user-ci1dk6zy3v
    @user-ci1dk6zy3v 3 місяці тому +1

    Chidy kawa chidy benz😂😂

  • @felistashao8972
    @felistashao8972 2 місяці тому

    Uwiii rehema nimesoma nae uyo ameamua afamye chalench🤣🤣🤣

  • @larryking623
    @larryking623 7 місяців тому +1

    hiyo ndo naitaka hiyo 🥲🔥😂

  • @user-wr7io8lh6j
    @user-wr7io8lh6j 2 місяці тому +1

    Kuna vitu vingine sisi wanaume mtatuonea tu bure àseee ....ivo ndivo tulivo na hakuna namna

  • @ramadhaniraphael6955
    @ramadhaniraphael6955 7 місяців тому

    Hii michezo sio

  • @bennylove6021
    @bennylove6021 7 місяців тому

    We Chidy😂

  • @user-ex9sd8wm4l
    @user-ex9sd8wm4l 15 днів тому

    Kiredio jamaani weninomaaa

  • @user-gy1cp7je9j
    @user-gy1cp7je9j 6 місяців тому

    Nikitaka kumchallenge mpenz wangu utanilipisha ama na bei gan

  • @solomondanny-1507
    @solomondanny-1507 2 місяці тому

    Kiredio wewe mchimvi aisee!!!😂

  • @ZulfaCarimo-tm3pu
    @ZulfaCarimo-tm3pu 7 місяців тому

    Weeeeee

  • @ZulfaCarimo-tm3pu
    @ZulfaCarimo-tm3pu 7 місяців тому +2

    Kiredio nikutomie namba ya mumewangu anitaje nijue kama nipo pekeango

    • @evelinaluvata1471
      @evelinaluvata1471 7 місяців тому

      Kama Ana kupennda na Ana kuheshimu Acha sije tuka mpoteza shem😂😂

    • @ZulfaCarimo-tm3pu
      @ZulfaCarimo-tm3pu 7 місяців тому

      Sababu simwelewi diomana nataka tumpigie

  • @saimonwantango9569
    @saimonwantango9569 7 місяців тому

    Huyu jamaa anatakiwa apigwe kweli kweli make atavunja ndoa za watu

  • @ashurakiswamba7085
    @ashurakiswamba7085 7 місяців тому

    Hii michezo sio kabisaaa wewe keredio utaachanisha watuu

  • @g_eazmusic1329
    @g_eazmusic1329 7 місяців тому +3

    Mwanang una tukosea sana

    • @SaidiMkoka
      @SaidiMkoka 7 місяців тому

      🤣🤣🤣🤣 hii mitego ata yy atokiii

  • @AyishaOman-cw4xs
    @AyishaOman-cw4xs 2 місяці тому

    😂😂😂😂

  • @RAYZAARECAP-kc4ef
    @RAYZAARECAP-kc4ef 2 місяці тому +1

    mbona ni wasichana 2 tuftie wakiume et

    • @rynesawaya7043
      @rynesawaya7043 2 місяці тому

      Wanaume wajanja awaez ingia kwenye huo mtego 😂😂

  • @emanuelshilla6368
    @emanuelshilla6368 7 місяців тому

    😂,,

  • @EneaKibiki
    @EneaKibiki 7 місяців тому

    Kwatuowajua waume zetu kuwa hawajutulia hatuna haja na kiledio

  • @ayeshiiddi302
    @ayeshiiddi302 7 місяців тому +2

    😂😂😂😂 na unavyo wakimbilia ka wamesahau kukupa nauli yako

  • @hamisaabdulhamid529
    @hamisaabdulhamid529 2 місяці тому

    Nla

  • @Samueldavics
    @Samueldavics 7 місяців тому

    Ww K unaleta usenge kweny mmb ya live oya kwanzia Sasa Mimi na wewe hii ishakua bifu mamaeeee litakuf jitu 🥴🖕

  • @user-eo4hd8xu6d
    @user-eo4hd8xu6d 7 місяців тому +1

    Mapenzi hayaletewagi masihara jaman michezo gan iyo!? Utatafuta wenzio wauane nyumban kisa ww ,, ww unaingiza pesa UA-cam but unagombanisha family za watu bora Rafik Kuliko ndungu AF mapenzi yanauma mbwa weee.

  • @saimonwantango9569
    @saimonwantango9569 7 місяців тому +1

    Wanawake ambäo mnafanya interview na kiredio hamjierewi kabisa utaondoka kwako kisa ujinga

  • @Afisakigua9578
    @Afisakigua9578 7 місяців тому

    𝙈𝙪𝙖𝙡𝙞𝙗𝙞𝙛𝙪 𝙬𝙖 𝙣𝙙𝙤𝙖 𝙯𝙖 𝙬𝙖𝙩𝙪

  • @maitatobias9420
    @maitatobias9420 7 місяців тому

    😂

  • @innocentcareen818
    @innocentcareen818 7 місяців тому

    😂

  • @habibamura5255
    @habibamura5255 5 місяців тому

    😂😂😂😂