"Sijawai kuapisha ma-DC" | Vituko vya RC Makongoro Nyerere akiwaapisha ma-DC

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 вер 2024
  • Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.

КОМЕНТАРІ • 149

  • @edwardalfred2844
    @edwardalfred2844 3 роки тому +6

    Ahsante mzeewetu kwakweli umefata nyendo za baba wa taifa kwakwel mungu akupewepesi ktk utendaji kaziwako

  • @bennlekule3204
    @bennlekule3204 3 роки тому +7

    Nampenda sana Makongoro. Anaweza Sana. Makongoro hoyeeeee. Mkuu wetu Wa Mkoa Mungu akuinue Baba

  • @ismailmohammed8418
    @ismailmohammed8418 3 роки тому +9

    Viva makongoro ! Chapa kazi

  • @ericklaura7511
    @ericklaura7511 3 роки тому +5

    He z so fun I like him, ako na style ya kipekee sana in leadership👏👏😁

  • @mwlpierre
    @mwlpierre 3 роки тому +5

    What a leadership style of his kind!

  • @Chekakidogo2
    @Chekakidogo2 3 роки тому +5

    Mungu akubariki sana Mzee Makongoro.

  • @emmanuelakutulaga9756
    @emmanuelakutulaga9756 3 роки тому +8

    Dahhh hongera,...this is the right leadership we need in our country.

  • @njengasam9344
    @njengasam9344 3 роки тому +5

    HahahahahahahahhahahahaaH
    My best RC ever, Weldone, just Praying for you. From DIT Dar ENGINEERING Student

  • @kennyrogers4734
    @kennyrogers4734 3 роки тому +8

    Yaan watendaji wake wa chini na mkoa huu anaongoza Makongoro nyerere wataenjey sana hawatokua na presha ila wajitambue wanafanya kazi na mtu asie na makuu wajitume wenyewe tu

    • @R.Dickon
      @R.Dickon 3 роки тому

      Ishu iko hapo Kwa waafrika kujituma wenyewe ni udhaifu mkubwa

    • @kennyrogers4734
      @kennyrogers4734 3 роки тому

      @@R.Dickon Tena udhaifu mkubwa mnooo wanapoisaka nafasi ya kazi wanajuhudi kweli kweli wanatumia nguvu nyiiiingi ila wakishaipata tu bc wanapandisha mebega kwa majigambo wanasahau km wanawatumikia wananchi wanalewa sifa mapema sana

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 3 роки тому +7

    Nampenda sana makongolo

  • @pharleserasto3114
    @pharleserasto3114 3 роки тому +2

    Gud sana baba tuko pamoja kaz unaiwez Mungu akulinde

  • @bidayo1058
    @bidayo1058 3 роки тому +4

    Nyerere tupu!

  • @onionpeeling5822
    @onionpeeling5822 3 роки тому +3

    Jamaa ana kipaji cha Mwalimu mwenyewe kabisa Mzee Kambarage..

  • @kaizamulinda633
    @kaizamulinda633 3 роки тому +4

    Huyu anajua maana ya maisha. Huna haja ya kujinunisha ndo watu wakuheshimu

  • @fredymaswimwita3091
    @fredymaswimwita3091 3 роки тому +1

    Brother makongoro nakuelewa can't, bravo bro,engine wajifunze kwako,c mbaya kujifunza mazuri

  • @nyambirotrueinformation7500
    @nyambirotrueinformation7500 3 роки тому +6

    Support ndg yangu Mungu akusimamie

  • @binurusm8886
    @binurusm8886 3 роки тому +4

    Ha ha ha ha !! Mwenyezi Mungu akulinde Mzee wa mitonyo, Niwatonye nisiwatonye.

  • @zaidihussein4311
    @zaidihussein4311 3 роки тому +4

    Mama Samia umetuletea .mkuu wa mkoa mzuri manyara hoyeeee

  • @karloladislaus45
    @karloladislaus45 3 роки тому +5

    Standup comedy on flick😄😄

  • @brownpatrickkaduma7106
    @brownpatrickkaduma7106 3 роки тому +1

    Roho ya uongozi lazima imtawale mtoto wa kiongozi Mungu akubariku sana mtoto wa Baba wa Taifa uongozi una mengi ya kuyasikia na kuyaona piga kazi usiogope miruzi

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 3 роки тому +1

    Ntoo...Nye............. Tonya. Nakumbuka 2020 kampeini ccm in Jimbo ukerewe..... Eee Mwenyezi Mungu tubariki Watoto wa Tz

    • @amaninyakarashi7732
      @amaninyakarashi7732 3 роки тому +1

      Siasa safi, piga kazi dogo,.baba yako alipiga kazi sana, tukikuona tunamkumbuka sana mzee. We love your family ilikomboa nchi

  • @paulina.baynit7970
    @paulina.baynit7970 3 роки тому +5

    🤣🤣🤣🤣 yaani mkoa wetu wa Manyara unabahati kubwa sana. Barikiwa sana mkuu wetu.🙏🙏🙏.

  • @deusdebitkowa9657
    @deusdebitkowa9657 3 роки тому +3

    Raha sana.

  • @josephjila957
    @josephjila957 3 роки тому +2

    Hongera sana ucheshi

  • @MalegesiMakunja
    @MalegesiMakunja 3 роки тому +2

    Hongera Sana Makongoro

  • @reubenismail3672
    @reubenismail3672 3 роки тому +4

    Yaani mama hakukosea!upo vzr Kama baba wataifa!mungu akujarie

  • @theresiamartin3008
    @theresiamartin3008 3 роки тому +1

    RC wetu, we are proud of you

  • @georgewinford2809
    @georgewinford2809 Рік тому +1

    Huyu Mzee namkubali mnoooo😂😂😂😂

  • @timboxlee919
    @timboxlee919 3 роки тому +7

    Nakuelewa sana makongoro nyerere

  • @odethadismas1410
    @odethadismas1410 3 роки тому +2

    Huyu mkuu wa mkoa atawavusha wananchi wajitambue tu,anaongea kama mwl.nyerere,Mungu amlinde

  • @gloryonesmo2244
    @gloryonesmo2244 3 роки тому +7

    MAMA SAMIA ANAAKILI SAANA

  • @emmanuelbayi4640
    @emmanuelbayi4640 3 роки тому +4

    Hana mjivuno huyo mzee kwakweli anaweza kuongea Kila mtu haswa wairagw wa irgwar daaw na wabarbayg wasio jua kiswahili hongera mzee

  • @erodeshayo8672
    @erodeshayo8672 3 роки тому +3

    Uko vzr

  • @richardnganya2311
    @richardnganya2311 3 роки тому +6

    Mwananchi ni jina maarufu. Wekeni maneno ambayo yako katika kamusi ya kiswahili. "Sijawai'' × !! SIJAWAHI !✓

  • @kambamazig02024
    @kambamazig02024 2 роки тому +5

    Makongoro husema kwa mafumbo na misamiati. Hii ni tangu alivyokuwa mtoto. Sisi tuliosoma nae tunajua vichekesho vyake.

  • @abrahammtongole2747
    @abrahammtongole2747 3 роки тому +2

    Hayati Nyerere huyu hapaaaa

  • @johnnicola5941
    @johnnicola5941 3 роки тому +8

    Rc Wangu Makongoro Nyerere 😅😅

  • @josephlmalima450
    @josephlmalima450 3 роки тому +6

    Kaka Wa Taifa katika ubora wake ,Nitonye nisiwatonye hotuba zinazoondoa msongo Wa mawazo hakika una kipaji

  • @emmanuelbayi4640
    @emmanuelbayi4640 3 роки тому +5

    Mzee Kama utahamishwa makongoro nakuombea uje arxh

  • @malataogtz2080
    @malataogtz2080 3 роки тому +5

    Kama baba kama mtoto....

  • @zakariampompo953
    @zakariampompo953 3 роки тому +1

    Good Makongoro

  • @seremenikibwene8633
    @seremenikibwene8633 3 роки тому +4

    Huyu Hapendi Kuchukiana ktk kazi, Labda walio chini yake Wawe Vilaza ktk Kutekeleza majukumu yao, Vinginevyo kila Kikao Atachoitisha Watu Watakuwa na Shauku ya Kwenda Kuondoa Msongo wa mawazo kwa kwenda Kumsikiliza

  • @katabimazingo1767
    @katabimazingo1767 3 роки тому +5

    Jamaa huwez kuchoka kumsikiliza

  • @ramadhanimahongole8764
    @ramadhanimahongole8764 3 роки тому +4

    watu kama hawa wanakuwaga wakali sana kwenye utendaji

  • @ezekielnjau8830
    @ezekielnjau8830 3 роки тому +2

    Nice

  • @abuukamanda.s.mkenga6687
    @abuukamanda.s.mkenga6687 3 роки тому +5

    Huyu n mchesh kwelikweli

  • @magrethmallya7728
    @magrethmallya7728 3 роки тому +2

    Hahahahaa. Love sana sana.

  • @Jal210
    @Jal210 3 роки тому +3

    Hazeeki Makongoro sababu ya ucheshi wake

  • @zakariampompo953
    @zakariampompo953 3 роки тому +1

    Safi

  • @teachingtruthmission2140
    @teachingtruthmission2140 3 роки тому +5

    unanikumbusha nyerere

  • @sylivesterconatus161
    @sylivesterconatus161 3 роки тому +2

    aiseee

  • @ramadhanimahongole8764
    @ramadhanimahongole8764 3 роки тому +15

    baba wa taifa kafufuka upya

  • @belindagiliard8977
    @belindagiliard8977 3 роки тому +11

    Wanawake tuangalie wa kuzaa nao.
    yaani huyu hana tamaa ya mali exactly kama baba yake. Mapungufu mengine yanavumilika, hiki kizazi kije kutoa raisi tena asee

  • @keziahmakoyo7643
    @keziahmakoyo7643 3 роки тому +5

    Nadhani ukifanya kazi na Makongoro mkuu wa mkoa Manyara huwezi kupata pressure wala msongo wa mwanzo.

  • @japhetlaisangai8682
    @japhetlaisangai8682 3 роки тому +3

    Safii

  • @adrianmallyakibona.352
    @adrianmallyakibona.352 3 роки тому +2

    Makongoro Nyerere ni mtt wa raisi wa kwanza Tanzania. Ana kitu ndani yake cha pekee... Taswira yake kwa jamii ni rahisi tu. Kwamba kuwa mtt wa mkubwa bado unaweza kufayika faraja, upendo, rafiki na mtu wa watu wa aina zote na bado maisha yakaenda

    • @emmanuelmkama3000
      @emmanuelmkama3000 3 роки тому

      Unajua kura za maoni alipata ngapi Butiama kwao? Wananchi ni waelewa sana, wanawafahamu viongozi, acha wabahatike na teuzi tu

  • @witneskilinda5034
    @witneskilinda5034 3 роки тому +4

    hahaha hahaha! Charles bhana!

  • @muracarservice8501
    @muracarservice8501 3 роки тому +1

    Like father like son kma babaake aseew

  • @labanijr5195
    @labanijr5195 3 роки тому +1

    Hahahhahahaaaa kiazi sana namkubali sana aa 😆😆😆😆

  • @salimabdul4424
    @salimabdul4424 3 роки тому +5

    Hawa ndio viongozi tunawataka kabisa

  • @abedysteven5397
    @abedysteven5397 3 роки тому +4

    Kafanana na nyerere xana

  • @graysonmatali644
    @graysonmatali644 3 роки тому +6

    Mtu huyu anayecheka ofisini anaweza akawa na maamuzi magumu hadi ukajiona kuwa umetengwa pindi tukikosea.

  • @lazarodaudi1689
    @lazarodaudi1689 3 роки тому +6

    Mbadala wa Agrrey Mwanri 😂😂😂😂

  • @sagandamalechampullo659
    @sagandamalechampullo659 3 роки тому +7

    YAANI KAMA BABA YAKE TU, VITUKO MTUPU

    • @emmanuelbayi4640
      @emmanuelbayi4640 3 роки тому

      Hahahhhhaaaa hongera mkuu was mkoa wa manyara nakupenda mzee tutembelee aruxh bhana

  • @peterkatumaini9508
    @peterkatumaini9508 3 роки тому +3

    Maoni yangu Mimi viongozi wetu naomba mpunguze vichekesho kwny usiliazi maana unaweza Fanya jambo kwa vichekesho kumbe lika pokeleka vibaya

    • @husseinchiaseeds2653
      @husseinchiaseeds2653 3 роки тому +4

      Usiliasi sio kutenda kazi hzo ni roho za kishetani

    • @edwinmtuka736
      @edwinmtuka736 2 роки тому +1

      Ww acha hayo kucheka nawatu nimuhimu Sana kuliko kununa na usilias sio kununa

    • @jayjay8845
      @jayjay8845 2 роки тому

      Chill out! Cheka kwa afya

    • @giztony2009
      @giztony2009 4 місяці тому

      Acha ushamba kuwa serious cyo kigezo cha kuwa kiongozi bora

  • @allenmacha8769
    @allenmacha8769 3 роки тому +5

    Mcheshi kama mwalim nyerere

  • @julius.m.issame3311
    @julius.m.issame3311 3 роки тому +4

    Huyu ni nyereree kabisa

  • @sponsor7882
    @sponsor7882 3 роки тому +1

    Rais mtarajiwa.

  • @abubakarikisuju80
    @abubakarikisuju80 2 роки тому

    duuu! Ana mouton tena

  • @ericksagara1719
    @ericksagara1719 3 роки тому +10

    Kwa stahili hii,! Si hajabu ukakuta walimzibia maana walijua wazi akipata nafasi kwa wakati anaweza kuongoza

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 3 роки тому +3

    Mwidini huyo ana presure na cheo

  • @user-io2tp1lr4r
    @user-io2tp1lr4r Рік тому

    Alioteakuhamishiwa rukwa

  • @paulpetermayega4241
    @paulpetermayega4241 3 роки тому

    Makongoro sikuelewi ila nakupenda sana mzee. We ni wa pekee

  • @damasiuspetro5178
    @damasiuspetro5178 3 роки тому +7

    Huyu hata akiingia kuongea,lazima watu wamsikilize

  • @manyanzalucas1945
    @manyanzalucas1945 3 роки тому

    Feedback

  • @evelynsalila9700
    @evelynsalila9700 3 роки тому +2

    Akicheka anafanana na mwalim😂😂

  • @muhammedjuma2810
    @muhammedjuma2810 3 роки тому +3

    Ulikuwa wap siku zote hizo baba yani mtu anae kuchukia ndani ya mkoa wako basi huyo mtu atakuwa na rafik

  • @nicodemusmayo6037
    @nicodemusmayo6037 3 роки тому +3

    Hahaaaaaaaaa!!!. Nmerudia mara tatu kuitizama!.

  • @ramadhanimahongole8764
    @ramadhanimahongole8764 3 роки тому +9

    yan huyu hana ulimbukeni wa uongozi kabisaaaaa

  • @hezronngulwa9250
    @hezronngulwa9250 3 роки тому +2

    Hahahahahahaaaaa love u

  • @ngayenimollel5319
    @ngayenimollel5319 3 роки тому +1

    Hahahahahaa very funny

  • @ramadhanimahongole8764
    @ramadhanimahongole8764 3 роки тому +6

    huyu mkuu wa mkoa siyo limbukeni wa uongozi, angekuwa mkuu wa mkoa mwingine hapo angepandisha mabega na kujifanya Mungu mtu km kina chalamila na wengine wengi

  • @omarjumanne2698
    @omarjumanne2698 3 роки тому +5

    Punguza masihara.weye ni kiongozi kucheka sana kunaharibu na kushusha heshima ya kuwaongoza unaowaongza fanya kiasi

    • @reganshao
      @reganshao 3 роки тому +2

      Babaake alikuwa analia? Acheni chuki

    • @rhodarichard4494
      @rhodarichard4494 3 роки тому +1

      @@reganshao kweli iyo ni roho mbaya tu..

    • @reganshao
      @reganshao 3 роки тому

      @@rhodarichard4494 Yan na anaeongea hivyo mpe hata kazi ya uongozi wa familia Sasa atakavoharibu . Tunalalamika wachawi kumbe Kuna wachawi hatar mno

    • @omarykomba2655
      @omarykomba2655 3 роки тому

      Kumuelewa huyu Mzee anakufikishia ujumbe Kwa njia ya Masiara

    • @rhodarichard4494
      @rhodarichard4494 3 роки тому

      @@reganshao 😅nikweli kabsa ..nakama uyu Jamaa ana mke bas uyo mke bila Shaka anapata taab...maan nikauzu balaa ..sizan hata kam huwa anatabasam..

  • @jonasagrey4372
    @jonasagrey4372 3 роки тому +4

    Hahahaaaaa

  • @victorishengoma4599
    @victorishengoma4599 3 роки тому +1

    Very funny

    • @bengang3265
      @bengang3265 3 роки тому

      ua-cam.com/video/tQtrcLu37Ow/v-deo.html

  • @haysanhassan2685
    @haysanhassan2685 3 роки тому +2

    Kimuonekano na ucheshi ni copy ya mwalimu

  • @catherinemasiga6666
    @catherinemasiga6666 3 роки тому +2

    Kama mzee wake vichekesho

  • @mauthamani
    @mauthamani 3 роки тому +4

    Mpaka raha aisee kua na mkuu wa mkoa wa hivyo

  • @sudymgeni701
    @sudymgeni701 3 роки тому +2

    Yani tatizo la makongoro matani mengi sana.sijui Kama ataweza kupambana na melelani

    • @omarjumanne2698
      @omarjumanne2698 3 роки тому

      Huo ndo wasiwasi wangu watanzania ukicheka nao tu ujue hapo kazi hakuna tena na nafasi ya kupiga ushawapa tayari. hapo hakuna kazi tena ni zawadi tu

    • @christinammassy1550
      @christinammassy1550 3 роки тому

      Mzoea punda hapandi farasi 🤦

  • @gloryonesmo2244
    @gloryonesmo2244 3 роки тому +2

    HUYU ALIKUWA WAPI???

  • @abdallahbakari6154
    @abdallahbakari6154 3 роки тому +2

    Watu watakuzalau ukicheka nao sana

    • @azizajarwan303
      @azizajarwan303 3 роки тому +3

      Mh sijui ngoja kaka tumuone kwani ninachokijua mimi hata baba yake kwenye mikutano alikuwa hivyo,ila akiwa na kazi za kiserekali watu waovu waliisoma namba!!

    • @davidcurtis8556
      @davidcurtis8556 3 роки тому +1

      Kwasababu hujui vizuri ndio maana unasema hivyo ni mcheshi sana ila pia ni mkali kuliko unavyojua, mfano mdogo je baba ake alikuaje? Magufuli alionekana dictactor au mkali sana sema kwa nyerere hatii mguu hata tone, sikiliza hotuba zake nyingi tu mbona zipo hapa hapa youtube halafu utapata majibu mazuri

    • @sethkivuyo3342
      @sethkivuyo3342 3 роки тому +1

      Achana na maisha ya kibabe yel

    • @sethkivuyo3342
      @sethkivuyo3342 3 роки тому +1

      Achana na fikra mgando maisha ya ukals yameenda zake na awamu ya 5

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 3 роки тому

      🚴‍♂️🚴‍♂️🚴‍♂️🚴‍♂️🚴‍♂️🚴‍♂️🚴‍♂️🚴‍♂️🚴‍♂️

  • @abuukamanda.s.mkenga6687
    @abuukamanda.s.mkenga6687 3 роки тому +4

    🤣🤣🤣

  • @nuratkalinga581
    @nuratkalinga581 3 роки тому

    Tutaona mengi Mwaka huu.

  • @yahyamassawe8011
    @yahyamassawe8011 3 роки тому

    Eti na mm nimcheka hahah

  • @mwidinijuma8214
    @mwidinijuma8214 3 роки тому +4

    Wewe cheka nao tu angalia usije ukavuna mabuwa.

  • @yussufhaji3335
    @yussufhaji3335 3 роки тому

    Hahahaha

  • @happysalim4120
    @happysalim4120 3 роки тому +1

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @damasiuspetro5178
    @damasiuspetro5178 3 роки тому +4

    Haki ya nani,utafikiri ni Hayati Baba wa Taifa Mwl.Nyerere.
    Alimrithi Ucheshi sana
    Hahahahahahahahahahahahahahahahahah!
    Haya mambo ya genes haya!!!!

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 3 роки тому

    Miss Manyara tena? Kaka unaanza kufeli!