Hakika amezaliwa katika mji wa Bethlehem, Masiha Mkombozi wa Ulimwengu na Dunia yote! Karibuni tusherehekee kumbukumbu ya kuzaliwa Bwana wetu Yesu Kristo. Kwaya ya Mt. Joakimu, imetuandalia mtiririko wa Nyimbo za Noeli na Mwaka Mpya, ili tumtukuze Mungu kwa pamoja katika msimu huu wote wa Noel. Usiache kumshirikisha Mwingine na mwingine, ili furaha hii ienee ulimwenguni kote. Na Mungu akubariki
Hakika amezaliwa katika mji wa Bethlehem, Masiha Mkombozi wa Ulimwengu na Dunia yote! Karibuni tusherehekee kumbukumbu ya kuzaliwa Bwana wetu Yesu Kristo. Kwaya ya Mt. Joakimu, imetuandalia mtiririko wa Nyimbo za Noeli na Mwaka Mpya, ili tumtukuze Mungu kwa pamoja katika msimu huu wote wa Noel.
Usiache kumshirikisha Mwingine na mwingine, ili furaha hii ienee ulimwenguni kote.
Na Mungu akubariki
God bless
Salaam Maria, umejaa neema. Kheri kamili ya Christmas Mflame wa wafalme amezaliwa🎆☄️🌠💫🌌
Mungu awabariki sana sana awainue mno nimebarikiwa sana nyimbo iko🥰🥰🥰
Atukuzwe Mungu Milele hakika Yesu Amezaliwa❤
Hongereni kwa kuitangaza injili kwa kuimba.
Amezaliwa mtoto wa kiume yesu haleluya
Hoongerenisanaaaa kwa kumtukuza Mungu
Amina sana hongera kwa utume mzuri
Hongela sana amina
Safi
Amina it so amazing 🌹🌹🙌👏
Alleluhya 🎉🎉
Nzuri sana mambo yamebadilika
Hongereni sana Kwaya ya Mt. Joakimu . 🎉🎉🎉🎉
Hakika amezaliwa, na wote tutamwona. Hongereni sana wa KMJ, BABATI.
Glory to God
Hongera sana Kwa kazi Nzuri, Mmetoka na Msimu kabisa. Heri ya Christmas Kwenu Nyote 🎉
🎉 hongereni sanaaaaaaaaaaaaa Wapendwa
Kazi nzuri 👏👏👏👏
hongerani jamani sauti ya tatu big up
Hongera sana
Namsikia master finger Gervas
Hongereni Sana mmeweza
Safi Mungu ni mwema
Hongereni sana kwa kweli wimbo ni mzuri na mkautendea haki 🎉
Mungu awabarik
Hongereni sana🎉❤
Congore Babati Mt Joachim parokia gani??
Parokia ya Roho Mtakatifu, Babati mjini
❤❤Mungu mwema sana Ashukuriwe kazi nziri
Hongereni sana wimbo mzr na umeimbwa vzr!
Big up
Hakika bbt mko vzr mnaweza
Hongerenii sanaaa!! Mpo vizuriii 🎄
Kwaya yangu🎉🎉
Kazi nzuri wana KMJB
Saaaaf 🎉
Kristmas safi🎉🎉🎉
Hongereni sana kwa utume, Kazi nzuri
Asante sana Mwalimu. 🙏🙏
Safi, Mungu awabariki
Merry Christmas
Nice😊
❤
🎉🎉🎉
😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Kwaya yangu🎉🎉