Mh. Lema unaumuhimu sana kuongoza mapambano ya kupigania haki, mimi niko tayari kuungana na wewe ktk harakati zote za kupambania haki, ni bora nife nikipigania nchi yangu kuliko kufa kwa unafiki, naipenda nchi yangu, mh. Lema salute kwako mkuu.
JPM without any doubt was a true son of Africa and a true legend. You cant tarnish his name so easily gentleman. Dont keep on fighting with a dead person who can't defend himself.....it makes you look bad.
It is very good speech. Watanzania bado ni shida, tunaacha mambo yanayoathiri maisha yetu kwa kukimbilia mipira ya Yanga na Simba. Hivi mpira unatusaidiaje?
Leave JPM alone. He is resting peace. He has done his job wonderfully with great patriotism. He is a legendary a true son of Africa. Leave him alone. He can't defend himself. Don't talk too much if you don't have positive things to preach. We love JPM forever. He was a hero. Put your personal problems aside....Leave him alone. That way we can respect you.
@@samwelkavwanga4491 aliumiza watu gani? Mafisadi na majambazi sugu? Kwani wote hao nao wameliza na kuumiza watu wangapi wasio na hatia? Mafisadi walifilisi nchi ulitaks akae kimya tu.....we vipi? Acha hizo. Kama ulikuwa mshirika wa hao basi pole sana. Hata kusafisha shamba ili upande mazao mazuri lazima kuna magugu yataumia. Hakuna mabadiliko bila maumovu. Acha mawazo ya kizamani wewe...think and rethink again. Hatutaki ufisadi urudi.
Hutoi ufumbuzi wa matatizo, unayafafanua tu, hiyo Kila mtu anaweza. Mtashindaje sehemu ambayo hata tawi hamna, mgombeaji kapatikana kwa kuombwa agombee. Imarisheni chama chenu kwanza.
Usilete Habari Za Ulaya Wewe Ayo Utokea Wapi Wewe Unakimbiza Familia Yako Ya Wenzio Unaona Awana Faida Maneno Mengi Yamejaa Chuki Lakini Ujawai Wapa Watu Mitaji
Lema tunakuheshimu lakini acha kupambana na mzimu wa Magu. Magu hayupo duniani kujitetea. Achana naye pambana na mengine ya maana kwa sasa hivi. Otherwise tunaanza kuhoji familia yako.iko wapi na kwanini hawarudi nyumbani kama kweli unaipenda hii nchi kama unavyodai. Maneno yaendane na matendo. Kama familia yako wamesharudi basi tunafurahi sana.
Asante kwa kauli nzuri. Sasa familia yako.iko wapi? Ya Makonda iko hapa nyumbani, ya JPM iko hapa hapa nyumbani huo ndio uzalendo wa kweli. Kupigania nchi hatukimbii vita bali tunakomaa tunapambana. Sasa wewe familia yako iko wapi bwana Lema? Usituingize chaka bwana. Ungepaswa kuwa mfano bora wa uzalendo wa kweli. Hapo ntakuelewa kabisa.
Hali mbaya ni ya Dunia nzima mabadiliko nchi wasikilize sana vyombo vya habari chanzo corona magu alisema limeni chakula Kwa wingi tusiteteleke mkagombana uvivu unachangia Kwa watu wote wajasimali ni vizuri sana
Nakuelewa sana kamanda.nikweli kwa vijana wakitanzania waleo wengi hawajitambui pamoja na forrmu for nibule kabisa alipo lala napopote alipo anawaza yanga na Simba nakubeti TU. Mali zauma hawajui kuwa ninawahusu kuzilinda kwanguvu zote nahajui kuwa anahaki nazo
Familia yako iko wapi? Au imerudi nyumbani? Kama uliyekuwa unamkimbia umesema hayupo duniani sasa unakimbia nini tena? Si ulete fanilia yako nyumbanj? Au ulikuwa mpango mikakati wa kikimbilia ulaya kwenye maisha bora na elimu nzuri ya bure? Si uwe mkweli tu? UsimchafueJPM wetu tunampenda na kumheshimu sana tena sana kwa kazi zake na uongozi bora. Hakukumbatia mabeberu wala vibaraka au machawa wa wazungu. He was a great hero to us. He is still a ttue son of Africa. He is a legend. Hachafuki kirahisi hivyo. Usitudanganye bana wakati familia yako umeikimbizia nasikia ni ulaya au Canada wanakula bata na kupata elimu nzuri sisi unatuambia tusiogope. Ujanja wa kisiasa huo ila umecheza vizuri....hongera
Kwan yeye ndo aliyemuua Jpm?? Af bro yeye ndo aliyewaondoa wanangorongoro yeye ndio ameuza bandari ? Sikiza bro mwaka 1997 Nyerere aliaddress Congress mjin Accra Ghana kwa kutumia microphone 🎤 akasema "AFRICA WITHOUT POLITICAL REVOLUTION/CHANGE HAS NO FUTURE " Em nifollow nikupe fikra pevu 😂😂😂😂
@@Juma-e8l sina majibu Ila aache kukejeli kifo cha aliyekuwa mkuu wa nchi. Asijifanye yeye ni malaika kwa kuwa bado yuko hai. Magu hakuwa mtakatifu lakini alitenda makuu ya kukumbukwa hasa kiuchumi, kijamii na kirasilimali. He was a hero. Akikazana kumkejeli anajipotezea kuungwa mkono...that's the truth.
Mh Lema Leo umeongea point sana broo Vijana wamekua wehu wanajali mpira kuliko maisha yao ni Aibu wenzao wa Kenya wanatia Nguvu upinzani wasonge mbele sio wa TZ ,
Mliokimbizia familia zenu ulaya na marekani na Canada msitudanganye ati mna uzalendo na nchi yenu. Leteni familia zenu hapa tuungane tupambane kwa pamoja.....nchi hii si ni yetu sote? Waje hapa. Vinginevyo hii ni michezo ya kisiasa tu.... ila wewe umeucheza vizuri sana kwa faida ya familia yako. Sasa wanakula bata na kupata elimu nzuri kwa bure. Hongera sana.
@@saimonmlay4295 Siyo kwa gharama ya kusema wongo au kutumia jukwaa la kisiasa kulaghai na kukejeli wengine. Huo ni udanganyifu siyo uzalendo. Tusidanganyane hapa. Kama wewe huoni basi pole sana. Kaa huko huko kizani
huyo yupo kazini kwake,kwanin nawew usiwe busy na kazi yako, huyo bila siasa maisha yake hayaendi kwahyo ndugu usiingie mkenge kwa mtu alie kazini kwake ukasahau kazi yako
Kwa sababu hizi siasa zao hazina mvuto. Chuki nyingi hata kwa marehemu, sera hatuzisikii bali hadithi nyiiiiingi. Watu wanataka sera zenye masuluhisho ya changamoto zao na zenye mwelekeo na maono ya mbele siyo habari binafsi zisizo na mashiko. Kila siku ni hayo hayo watu wale wale Mvuto hakuna. Yanachosha bora mpira
Tumekuelewa tumekubaliana na wewe Ile tunataka kuona familia yako hapa nyumbani kwao kama ya kina Makonda na JPM na wengineo ili tushiriki pamoja kwenye chaguzi na ukombozi wa nchi yetu. Au kuna shida?
mh washauli vijna wakafanye kazi mbona hauelezi chanzo cha umasikini wambie vijana wote wafanye kazi maana hakuna utajili uliopatikana kwa kukaa vijiweni tufanyekazi hauna chama kitakacho kuletea pesa mifukoni acha kupotosha wananchi ww rema😂😂
Yes, kwa kiasi kidogo sana lakini mengi ya maana hajayasema. Tunakata walete mezani SERA sahihi walizo nazo ili tuwalinganishe kwa sera zenye ubora na siyo habari ya siasa tupu na umbea habari binafsi. Tumeshatoka huko tunataka sera zenye mwelekeo wa kujikomboa kiuchumi.
Maneno Mengi Cha Mana Akuna Acha Kutembea Nyuma Ya Makonda Utachemka Kama Kweli Wewe Ni Mpinzani Simama Na Unachokiamini Nasio Unachokiona Kwa Wenzio Uje Na Oja Zako
@@erickmsigala138 We Hata Siasa Ujui Sasa Wajinga Kwako Ni Wenye Kupewa Haki Zao Mtu Amezulumiwa Kiwanja Kaenda Mahakamani Na Haki Kapata Lakini Mkodrfu Yuko Na Hela Anatumia Pesa Kuhakikisha Mwenye Haki Asitiziwe Haki Yake Lakini Mahakama Ishatoa Haki Lakini Mtu Apati Uhalali Wake Wa Kitu Chake Ndio Makonda Anadili Na Ayo Mambo Mtu Kama Uyo Ni Azina Ya Taifa Ukoo Wako Wote Masikini Nduguyo Anazulumiwa Mnabaki Kusema Tumuachie Mungu Kwanini Familia Yenu Yote Choka Mbaya Sasa Anaibuka Mtu Aliyeteuliwa Na Raisi Anaweza Hata Kukaa2 Mana Yeye Sio. Mbunge Wala Raisi Aliyechaguliwa Na Wananchi Wananchi Wamechagua Mbunge Na Raisi Na Diwani Ameteuliwa Na Raisi Kuna Kuchaguliwa Na Wengi Na Kuteuliwa Na Mmoja Anapofika Mkoa Wenu Anadili Na Kesi Ambazo Zimetolewa Ukumu Lakini Wenye Haki Wanazungushwa Kila Siku Usiku Na Mchana Mtu Kama Uyo Mpe Eshima Yake Ungekua Wewe Kazi Moja Kuzulula Na Kula Bata Basi
Si uachane na biashara ya kupambana na marehemu ambayo hawezi kujitetea? Angalau wao waliamua kuifia nchi yao kishujaa.....wewe uliamua kukimbia na hadi leo familia yako bado inakimbia. Mnakimbia nini? Huo sio uzalendo. Familia zingine mbona tuko nazo hapa hapa? Huu ndio uzalendo halisi wa taifa letu. Sisi nafamilia zetu tuwapiganie nyie mko majuu kwa raha zenu. Tutaungana na waliko hapa hapa
Lema unaongea fact lakini hatukuelewi? tukielimika hatutumii elimu tunachagua uchawaa .watu tubadillike tukosoe viongozi wazembe, walarushwa , madikteta ili tuwe na viongozi bora na watakaoleta maendelea kwa maslahi ya nchi
Tatizo watu wakipata ofisi wanabadilika. Inabidi kutulia sana kwenye kuangalia mtu usoni na kumsoma kabla ya kuchagua viongozi. Muhimu kusoma historia ya mtu ma kulinganisha
@@gracenchimbi4394 nisaw sijakata ila sisi raiya tuwe makini na wanasiasa wao hujali maslahi yako jamani tujifunze kwa wenzetu hasa Sudan nini kinafanyika huleta machafuko tutakaye pata shida ni sisi na familia zetu wao wataondoka ni ushauri wangu tuu si km na mpinga
Badala ya kunadi sera za chama chake anakaa kusema watu. Awaeleze wananchi atawafanyia nn iwapo chadema watafanikiwa kuingia madarakani badala ya kukashifu kazi zinazofanywa na viongozi walioko madarakani.
Kwa comments hizi za watu Hakika bado tuna safari ndefu ya kuelewa Hakuna anayetambua haki yake Sijui hata anaelewa ana comment kuhusu nn Lema endelea tu usivunjike moyo Ndo maana darasani kuna wa kwanza hadi wa mwisho hivo elewa wetu Nako ni hivo hivo
Ile.aache kumponda JPM na Makonda hata kama ana issue nao binafsi asichsnganye humu.. anatuchanganya hatujui anasimamia nini sasa kama hapendezwi na.kazi nzuri ya JPM na makonda? basi haeleweki
Tunataka sera zenu za maana tuzijue mapema tuzielewe. Hata kama ni kwenye mitandao tunasililiza tutaelewa them tutakuja kwenye mikutano kuunga sera mkono. Sera sera sera please. Siyo kupondana na kukeleliana bila sera maalum za kuvutia na kujenga
Umeongea mengi mazuri sana ya kuelimisha na kutia moyo Lakini Kama wewe familia yako umeipeleka majuu kwa sababu za kisiasa na umesema aliyekuwa anakuwinda hayupo duniani sasa unaogopa nini tena kuwarudishia nyumbani tuje tupige kura pamoja? Familia yako iko salama Ile sisi tuingie chaka? Hapana. Waje tuingie wote. Huko ndiko kupenda nchi yako.
Tukumbuke hiki n kizazi og tunataka katiba mpya ili tutoke uku kwenye hii elimu mbovu pia me cjapend watanzania bhn haya so maisha yetu wakuu ndo wanakula bata tu cc wananchi awatuketei ata maendeleo hasa mkoa wa arusha n kubaya aloo daily n rip za masela zetu kutokana na hal ngumu ya maisha co vijanaaa tujipange vizur kwenye kuwachagua viongoz co kuwachagua washamba wenye tamaaa na mali na maslahi yao wakuu mpaka kielewe😢# mgl
Dah,,,marehemu hasemwi lkn Maguful alishajiona Mungu mtu yule jamaa,,dah inshu ya lissu alipambana aondoke mwisho wa cku kaondoka yeye,Mungu acha aitwe Mungu🙏🙏🤲😊😊😅😊
Huna lolote wewe ukibahatika kuongoza hii nchi utaifanyia nn? Maana unakazana kuwa sema vibaya wanao kuongoza hutwambii kwamba wewe utaifanyia nn tanzania!! Huna la maana lolote
Mtumishi Mimi nakukubali sana una roho Wa MUNGU, Wa Yakobo, Mungu akutumie usije ukawa na Kiburi , Lakini wewe u mnyenyekevu sana kwa Mungu, Chukua hiyo
Lema tunakukubali kiasi ila soma alama za nyakati. Usipambane au kumkejeli marehemu JPM ambaye alikuwa kipenzi cha watu wengi. Unajiharibia sababu watu hawakuelewi. Ujue Magu amejaa kwenye mioyo ya watu wengi sana hadi leo wanampenda wanammiss mno kwa taarifa yako hawawezi kumsahau. Hapo ndipo umapochemka sana bwana Lema na mwenzio Lissu. Hamueleweki vizuri. The more you distance yourself from him the more people dislike you....do you know that? You ndio ukweli. Achaneni naye leteni sera za maana juu ya kuinua taifa letu.
Lema is making a grave mistake. Mtu huwezi kumchagulia mtu maisha. Kwamba sasa watu waachane na yanayowapa furaha. Washauri washiriki pia harakati lakini asidhihaki watu kwa kushabikia timu zao!
Kwani Lema wewe ulikosana nini na Magu? Mbona wapinzani wengine hawakukimbia wako hapa hapa na wako wazima? Je familia yako iko hapa au iko huko majuu? Au ndiyo jjanja wa kutafuta ukimbizi wa kisiasa kwa maslahi ya familia yako? Kama wako hapa hongera ila kama wanakula bata huko majuu basi tunajiuliza maswali bado
Mchumia tumbo wewe lema hata ukekuwa nini ungelifanya hakuna Inchi haina umaskini na kwenye Taifa lolote wanaInchi wake haitatokea wote wakawa na maisha yanayolingana .wewe sio mungu
Wewe unachumia wapi Kama siyo tumbo tuambie tujue, hivi yote aliyoyaeleza ubongo wako haujaelewa hata moja kweli au unanufaika na mfumo? Yakikuta utamkumbuka lema
Tunakukubali ila unatuufhi sana unapijaribu kumchafua JPM wetu aliyetufanyia kazi kubwa mno kwenye taifa hili kwa kipindi kifupi. Huyo ni mwamba nang'aa sana huwezi kumchafua. Yeye familia yake iko hapa na ya Makonda iko hapa. Yako iko wapi? Wanafanya nini huko? Mbaya wako hayupo unaogopa ninI tena? Au ilikuwa janja yako ili kupata ulaji wa bure ulaya? Usitichanganye. Kama unapita sera achana na kabisa na kupambana na marehemu ambaye hayuko duniani kujitetea
Mh. Lema unaumuhimu sana kuongoza mapambano ya kupigania haki, mimi niko tayari kuungana na wewe ktk harakati zote za kupambania haki, ni bora nife nikipigania nchi yangu kuliko kufa kwa unafiki, naipenda nchi yangu, mh. Lema salute kwako mkuu.
Hakika hiini mbaya sana kwa makanisa
Mungu akupe maisha marefu lema nakukubali sana
Mungu Wabariki Watu wa aina ya God bless Lema🙏🙏.
JPM without any doubt was a true son of Africa and a true legend. You cant tarnish his name so easily gentleman.
Dont keep on fighting with a dead person who can't defend himself.....it makes you look bad.
It is very good speech. Watanzania bado ni shida, tunaacha mambo yanayoathiri maisha yetu kwa kukimbilia mipira ya Yanga na Simba. Hivi mpira unatusaidiaje?
dogo unajuwa umuhimu wa michezo?
Hao wanasiasa wanakula kwa ujinga wenu
kwahio unataka watu wafanye kazi,warudi nyumbani kulea familia halafu wakae wasikilize wabaguzi wa kichaga? kila mtu anahitaji furaha
Huyo alikuwa mbunge kwa miaka mingapi? Alifanya nini? hicho chama hata ofisi hawana
Duh siasa jamani?
Serikali walipanga kukuua walishindwaje? Wakupeleke mbugani wasikuue kweli? Acha porojo hizo. Wala usingekuwa hai leo hii. Acha porojo zako
Nakuelew sana kamanda.tuwe na upendo ndg zang.tufikilie na kizazi kijacho tusiifikilie leo yetu 2
Mheshimiwa analega heri ya vizazi vijavyo
Komaa kamanda...wajinga ndo waliwao...hongera zako msigwa ulikomaa mpaka ukazeeka😎😎
Leave JPM alone. He is resting peace. He has done his job wonderfully with great patriotism.
He is a legendary a true son of Africa.
Leave him alone. He can't defend himself. Don't talk too much if you don't have positive things to preach.
We love JPM forever.
He was a hero.
Put your personal problems aside....Leave him alone.
That way we can respect you.
You speak nonsense. Jpm hakuwa malaika aliefanya makosa mengi sana aliumiza watu
@@samwelkavwanga4491 kwani.nani hana makosa? Tunaangalia mazuri aliyofanya ni mengi sana kuliko aliypkesea....that's all.
Nani hukosei?
@@samwelkavwanga4491 aliumiza watu gani? Mafisadi na majambazi sugu? Kwani wote hao nao wameliza na kuumiza watu wangapi wasio na hatia?
Mafisadi walifilisi nchi ulitaks akae kimya tu.....we vipi?
Acha hizo. Kama ulikuwa mshirika wa hao basi pole sana.
Hata kusafisha shamba ili upande mazao mazuri lazima kuna magugu yataumia. Hakuna mabadiliko bila maumovu.
Acha mawazo ya kizamani wewe...think and rethink again.
Hatutaki ufisadi urudi.
Hutoi ufumbuzi wa matatizo, unayafafanua tu, hiyo Kila mtu anaweza. Mtashindaje sehemu ambayo hata tawi hamna, mgombeaji kapatikana kwa kuombwa agombee. Imarisheni chama chenu kwanza.
Tombana
Matusi hayatatujenga.
@@yosephatMasanyiwa-oh1rlSACCOOS 😢😢😢😢
Watanzania hivi kweli tutafika, kama hatujui haki zetu wenyewe? Loo, kazi ipo!
Usilete Habari Za Ulaya Wewe Ayo Utokea Wapi Wewe Unakimbiza Familia Yako Ya Wenzio Unaona Awana Faida Maneno Mengi Yamejaa Chuki Lakini Ujawai Wapa Watu Mitaji
Exactly facts
Godbless Lema, mwamba wa Arusha toto la mjini. Tuko pamoja brother kaka.
Sabaya.....
Lema tunakuheshimu lakini acha kupambana na mzimu wa Magu. Magu hayupo duniani kujitetea.
Achana naye pambana na mengine ya maana kwa sasa hivi.
Otherwise tunaanza kuhoji familia yako.iko wapi na kwanini hawarudi nyumbani kama kweli unaipenda hii nchi kama unavyodai. Maneno yaendane na matendo.
Kama familia yako wamesharudi basi tunafurahi sana.
Asante kwa kauli nzuri. Sasa familia yako.iko wapi? Ya Makonda iko hapa nyumbani, ya JPM iko hapa hapa nyumbani huo ndio uzalendo wa kweli. Kupigania nchi hatukimbii vita bali tunakomaa tunapambana. Sasa wewe familia yako iko wapi bwana Lema? Usituingize chaka bwana. Ungepaswa kuwa mfano bora wa uzalendo wa kweli.
Hapo ntakuelewa kabisa.
Endelea kula kwenu tu wakikufukuza ndio utajua lema
Hali mbaya ni ya Dunia nzima mabadiliko nchi wasikilize sana vyombo vya habari chanzo corona magu alisema limeni chakula Kwa wingi tusiteteleke mkagombana uvivu unachangia Kwa watu wote wajasimali ni vizuri sana
Wewe ulifanya nini ata kwa wazungu paka wamefika apa walipambana .huna jipya
Strong statement from Kamanda Lema blessed Much
Nakuelewa sana kamanda.nikweli kwa vijana wakitanzania waleo wengi hawajitambui pamoja na forrmu for nibule kabisa alipo lala napopote alipo anawaza yanga na Simba nakubeti TU. Mali zauma hawajui kuwa ninawahusu kuzilinda kwanguvu zote nahajui kuwa anahaki nazo
Ifike muda serikali itafute chanzo kingine Cha mapato iyafute makampuni yote ya kubahatisha yanawaharibu watz asilimia 70 wanawaza kubet
Nikweli watanganyika tujitambueni kwakutunza asilimalizetu ili tujitumie wenyewe
Nakweli
Magufuli ALIKEMEA kamali ila saivi Hadi redion kamali
@@PhilipoMwita-b2x shida tupu. Ajira hakuna lakini kazi zipo japo kidogo. Elimu ya ujasiriamali ndiyo mgogoro
Familia yako iko wapi? Au imerudi nyumbani? Kama uliyekuwa unamkimbia umesema hayupo duniani sasa unakimbia nini tena? Si ulete fanilia yako nyumbanj? Au ulikuwa mpango mikakati wa kikimbilia ulaya kwenye maisha bora na elimu nzuri ya bure? Si uwe mkweli tu? UsimchafueJPM wetu tunampenda na kumheshimu sana tena sana kwa kazi zake na uongozi bora. Hakukumbatia mabeberu wala vibaraka au machawa wa wazungu. He was a great hero to us. He is still a ttue son of Africa. He is a legend.
Hachafuki kirahisi hivyo.
Usitudanganye bana wakati familia yako umeikimbizia nasikia ni ulaya au Canada wanakula bata na kupata elimu nzuri sisi unatuambia tusiogope.
Ujanja wa kisiasa huo ila umecheza vizuri....hongera
Kwan yeye ndo aliyemuua Jpm?? Af bro yeye ndo aliyewaondoa wanangorongoro yeye ndio ameuza bandari ? Sikiza bro mwaka 1997 Nyerere aliaddress Congress mjin Accra Ghana kwa kutumia microphone 🎤 akasema "AFRICA WITHOUT POLITICAL REVOLUTION/CHANGE HAS NO FUTURE " Em nifollow nikupe fikra pevu 😂😂😂😂
@@Juma-e8l sina majibu Ila aache kukejeli kifo cha aliyekuwa mkuu wa nchi. Asijifanye yeye ni malaika kwa kuwa bado yuko hai.
Magu hakuwa mtakatifu lakini alitenda makuu ya kukumbukwa hasa kiuchumi, kijamii na kirasilimali. He was a hero. Akikazana kumkejeli anajipotezea kuungwa mkono...that's the truth.
Muhuuuuuuuu! Namshukuru makonda kwa kuanika mwangani Mungu tusaidie mahitaji yetu
Remaining unao gear sana Lakini vitendo zeero
Well said
Tumekuelewa sana kama ungeachana na JPM na makonda, it won't do you any good believe me.. tuambie Wewe una sera gani mpya kwani? Kama siyo siasa tu
Mh Lema Leo umeongea point sana broo Vijana wamekua wehu wanajali mpira kuliko maisha yao ni Aibu wenzao wa Kenya wanatia Nguvu upinzani wasonge mbele sio wa TZ ,
Mliokimbizia familia zenu ulaya na marekani na Canada msitudanganye ati mna uzalendo na nchi yenu. Leteni familia zenu hapa tuungane tupambane kwa pamoja.....nchi hii si ni yetu sote? Waje hapa.
Vinginevyo hii ni michezo ya kisiasa tu.... ila wewe umeucheza vizuri sana kwa faida ya familia yako. Sasa wanakula bata na kupata elimu nzuri kwa bure. Hongera sana.
Acha wivu pambana na wewe peleka wa kwako ulaya ...
@@saimonmlay4295 Siyo kwa gharama ya kusema wongo au kutumia jukwaa la kisiasa kulaghai na kukejeli wengine. Huo ni udanganyifu siyo uzalendo. Tusidanganyane hapa. Kama wewe huoni basi pole sana. Kaa huko huko kizani
Achana na Makonda na JPM. Kukashifu kazi zao si dalili nzuri hata kidpgo. Hutaeleweka kwa watu. Huu ni ushauri kwa nia njema
Hapo mkuu nakuunga mkono... Wananch wa Tanzania wanapenda Simba na yanga kuliko hata maisha yao..ifike mahala tujitambue, LemA mungu akulinde
Nakataa uchafuzi katika uchaguzi wa serikali za mitaa
huyo yupo kazini kwake,kwanin nawew usiwe busy na kazi yako, huyo bila siasa maisha yake hayaendi kwahyo ndugu usiingie mkenge kwa mtu alie kazini kwake ukasahau kazi yako
Kwa sababu hizi siasa zao hazina mvuto. Chuki nyingi hata kwa marehemu, sera hatuzisikii bali hadithi nyiiiiingi. Watu wanataka sera zenye masuluhisho ya changamoto zao na zenye mwelekeo na maono ya mbele siyo habari binafsi zisizo na mashiko. Kila siku ni hayo hayo watu wale wale
Mvuto hakuna. Yanachosha bora mpira
Simba na Yanga are political shock absorber of this country 😭😭🤣😂
Hayaa majitu ya kaskazini jaribuni kuwapa uongozi mtaonja jotoya jiwe niko pale nimekaa kwa ukabilaa hawa over Kenya
LEMA CHA ARUSHA KWELI KINAKUZINGUA
WEWE ULIKUWA MBUNGE WA ARUSHA UMEWAKWAMUAJE HAO VIJANA
TAJA MRADI ULIOWAPA VIJANA ILI WAJIKWAMUE NA UMASKINI
KAKA. LEMA KIJIJI CHAKWA MSANGA WILAYA YAHANDEN HAINA GAVIYONGOZ. YACHADEMA
Tumekuelewa tumekubaliana na wewe Ile tunataka kuona familia yako hapa nyumbani kwao kama ya kina Makonda na JPM na wengineo ili tushiriki pamoja kwenye chaguzi na ukombozi wa nchi yetu. Au kuna shida?
Fact....
Kusaga barikiwa sana. Huwa napenda sana hotuba za Lema
mh washauli vijna wakafanye kazi mbona hauelezi chanzo cha umasikini wambie vijana wote wafanye kazi maana hakuna utajili uliopatikana kwa kukaa vijiweni tufanyekazi hauna chama kitakacho kuletea pesa mifukoni acha kupotosha wananchi ww rema😂😂
Lema .❤.unaongea ukweri sana brother
Yes, kwa kiasi kidogo sana lakini mengi ya maana hajayasema. Tunakata walete mezani SERA sahihi walizo nazo ili tuwalinganishe kwa sera zenye ubora na siyo habari ya siasa tupu na umbea habari binafsi. Tumeshatoka huko tunataka sera zenye mwelekeo wa kujikomboa kiuchumi.
Yaani huyu jamaa simuelewagi kabisa
Hakuna jipya anapoteza muda na energy yake.
Nabii Lema hajawahi kuniangusha. ❤
Amejuaje kama pisi zinauza K kwa aftatu ama nayeye ananunuaga mara mojamoja et
Wanafiki namba moja ni chadema. Walipoona wameaminiwa kwa raia wakaigeuza imani yao biashara.
Mahubiri wa siasa mr lema Well said
Lema hotuba zako uwa nazikubali nakupenda lema mungu akutangulie
Kweli ila aache tabia ya kupambana na marehemu JPM anajiharibia wafuasi. Watu ajue wanamkubali sana Magu. Asije alama za nyakati
Upuuzi
@@marieconnect6389kabisa
Pumba
Arusha ni ya wamasai sasa mkutano wako hauna wenyeji hata mmoja jiulize CHADEMA mmekosea wapi?
Lema familia yake ipo canada ikiwa ni wakimbizi huku anawatukana wana wa Arusha kuwa ninyi ni maskini
Maneno Mengi Cha Mana Akuna Acha Kutembea Nyuma Ya Makonda Utachemka Kama Kweli Wewe Ni Mpinzani Simama Na Unachokiamini Nasio Unachokiona Kwa Wenzio Uje Na Oja Zako
Huna akili, Makonda ni anapendwa na wajinga tu
@@erickmsigala138 We Hata Siasa Ujui Sasa Wajinga Kwako Ni Wenye Kupewa Haki Zao Mtu Amezulumiwa Kiwanja Kaenda Mahakamani Na Haki Kapata Lakini Mkodrfu Yuko Na Hela Anatumia Pesa Kuhakikisha Mwenye Haki Asitiziwe Haki Yake Lakini Mahakama Ishatoa Haki Lakini Mtu Apati Uhalali Wake Wa Kitu Chake Ndio Makonda Anadili Na Ayo Mambo Mtu Kama Uyo Ni Azina Ya Taifa Ukoo Wako Wote Masikini Nduguyo Anazulumiwa Mnabaki Kusema Tumuachie Mungu Kwanini Familia Yenu Yote Choka Mbaya Sasa Anaibuka Mtu Aliyeteuliwa Na Raisi Anaweza Hata Kukaa2 Mana Yeye Sio. Mbunge Wala Raisi Aliyechaguliwa Na Wananchi Wananchi Wamechagua Mbunge Na Raisi Na Diwani Ameteuliwa Na Raisi Kuna Kuchaguliwa Na Wengi Na Kuteuliwa Na Mmoja Anapofika Mkoa Wenu Anadili Na Kesi Ambazo Zimetolewa Ukumu Lakini Wenye Haki Wanazungushwa Kila Siku Usiku Na Mchana Mtu Kama Uyo Mpe Eshima Yake Ungekua Wewe Kazi Moja Kuzulula Na Kula Bata Basi
Wewe umeishiwa na maneno imebaki kudandia matukio fulani kasema unapita mulemule, ni Nchi gani ambayo haina watu wa hali ya chini
Wwndohujitambuinawasiwasinaakiliyako
😢😢😢😢😢😢YEYE NI MCANADA
Wewe huelewi
Si uachane na biashara ya kupambana na marehemu ambayo hawezi kujitetea? Angalau wao waliamua kuifia nchi yao kishujaa.....wewe uliamua kukimbia na hadi leo familia yako bado inakimbia.
Mnakimbia nini? Huo sio uzalendo.
Familia zingine mbona tuko nazo hapa hapa? Huu ndio uzalendo halisi wa taifa letu.
Sisi nafamilia zetu tuwapiganie nyie mko majuu kwa raha zenu. Tutaungana na waliko hapa hapa
Huna jipya Dogo.. Makonda chapa kazi
Msaka tonge achoki
Lema unaongea fact lakini hatukuelewi? tukielimika hatutumii elimu tunachagua uchawaa .watu tubadillike tukosoe viongozi wazembe, walarushwa , madikteta ili tuwe na viongozi bora na watakaoleta maendelea kwa maslahi ya nchi
Tatizo watu wakipata ofisi wanabadilika. Inabidi kutulia sana kwenye kuangalia mtu usoni na kumsoma kabla ya kuchagua viongozi. Muhimu kusoma historia ya mtu ma kulinganisha
kumbukeni wakati akiwa mbunge alifanya nini pili nchi ikichafuka wao watakimbia alafu sisi tuta teseka tusipo fikiria kw makini tutakuw km Sudan
Alikua anakosoa nandio kaz yake yeye hana chakufanya zaid yakuikosoa nakuishaur serekali
@@gracenchimbi4394 nisaw sijakata ila sisi raiya tuwe makini na wanasiasa wao hujali maslahi yako jamani tujifunze kwa wenzetu hasa Sudan nini kinafanyika huleta machafuko tutakaye pata shida ni sisi na familia zetu wao wataondoka ni ushauri wangu tuu si km na mpinga
@@SaidKhamis-q4bkula chuma maisha magumu san broo tulia acha mvua inyeshe tuone panapo vujaa 😢
@@c.l.g.mchurch6426 ni saw ila maisha haki hiv hivi bila kujituma cha msingi tuwe makini na wana siasa
Yuko na return tickets 🎫 😢😢😢😢😢😢
Wadudu Wa mungu
Badala ya kunadi sera za chama chake anakaa kusema watu. Awaeleze wananchi atawafanyia nn iwapo chadema watafanikiwa kuingia madarakani badala ya kukashifu kazi zinazofanywa na viongozi walioko madarakani.
Mungu mlinde mtumishi wako Lema ukamwinulie na wengine WA kuandana naye na kumpa hekima Yako kwa ajili ya Taifa
Kwa comments hizi za watu Hakika bado tuna safari ndefu ya kuelewa Hakuna anayetambua haki yake Sijui hata anaelewa ana comment kuhusu nn Lema endelea tu usivunjike moyo Ndo maana darasani kuna wa kwanza hadi wa mwisho hivo elewa wetu Nako ni hivo hivo
Ile.aache kumponda JPM na Makonda hata kama ana issue nao binafsi asichsnganye humu.. anatuchanganya hatujui anasimamia nini sasa kama hapendezwi na.kazi nzuri ya JPM na makonda? basi haeleweki
Tunataka sera zenu za maana tuzijue mapema tuzielewe. Hata kama ni kwenye mitandao tunasililiza tutaelewa them tutakuja kwenye mikutano kuunga sera mkono. Sera sera sera please. Siyo kupondana na kukeleliana bila sera maalum za kuvutia na kujenga
Akili kubwa 💥💥💥
Huna hoja Wacha kulalamika wananchi wakilalamika na wewe ukilalamika nani atamsaidia mwenzake? Halafu Simba na yanga haifi ng'oo
That is not true!! Wewe utakuja ufanye miujiza gani!! Mungu utunusuru!!
Tupo pamoja lema
Umeongea mengi mazuri sana ya kuelimisha na kutia moyo
Lakini Kama wewe familia yako umeipeleka majuu kwa sababu za kisiasa na umesema aliyekuwa anakuwinda hayupo duniani sasa unaogopa nini tena kuwarudishia nyumbani tuje tupige kura pamoja? Familia yako iko salama Ile sisi tuingie chaka? Hapana. Waje tuingie wote. Huko ndiko kupenda nchi yako.
Tukumbuke hiki n kizazi og tunataka katiba mpya ili tutoke uku kwenye hii elimu mbovu pia me cjapend watanzania bhn haya so maisha yetu wakuu ndo wanakula bata tu cc wananchi awatuketei ata maendeleo hasa mkoa wa arusha n kubaya aloo daily n rip za masela zetu kutokana na hal ngumu ya maisha co vijanaaa tujipange vizur kwenye kuwachagua viongoz co kuwachagua washamba wenye tamaaa na mali na maslahi yao wakuu mpaka kielewe😢# mgl
Dah,,,marehemu hasemwi lkn Maguful alishajiona Mungu mtu yule jamaa,,dah inshu ya lissu alipambana aondoke mwisho wa cku kaondoka yeye,Mungu acha aitwe Mungu🙏🙏🤲😊😊😅😊
Wanaenda kuangalia mpira kwa sababu wameshiba acha uhuni wewe
BAADA YA KAZI BURUDANI AU KUANGALIA SACCOOS 😢😢😢😢😢
Huna lolote wewe ukibahatika kuongoza hii nchi utaifanyia nn? Maana unakazana kuwa sema vibaya wanao kuongoza hutwambii kwamba wewe utaifanyia nn tanzania!! Huna la maana lolote
NITAIFANYA BONGO KAMA CANADA 🇨🇦 😢😢😢😢😢😢
😂😂😂😂kiatu kubwa kama spika😂😂
Mtumishi Mimi nakukubali sana una roho Wa MUNGU, Wa Yakobo, Mungu akutumie usije ukawa na Kiburi , Lakini wewe u mnyenyekevu sana kwa Mungu,
Chukua hiyo
Lema tunakukubali kiasi ila soma alama za nyakati. Usipambane au kumkejeli marehemu JPM ambaye alikuwa kipenzi cha watu wengi. Unajiharibia sababu watu hawakuelewi. Ujue Magu amejaa kwenye mioyo ya watu wengi sana hadi leo wanampenda wanammiss mno kwa taarifa yako hawawezi kumsahau.
Hapo ndipo umapochemka sana bwana Lema na mwenzio Lissu.
Hamueleweki vizuri. The more you distance yourself from him the more people dislike you....do you know that? You ndio ukweli.
Achaneni naye leteni sera za maana juu ya kuinua taifa letu.
Baba kamanda unafundisha vizuri cjiu kama wanakuelewa hao jamaa
Ushindi kuwezeshwa na mwenyezi Mungu ushindi unakuja.
Nilisema sehemu fulani,wafia chama wakasema wadudu ni wasanii 😭
Kuna ikweli ndani yako Mr Lema
Fact
Point kamanda Arusha imekumisi
Hongera mheshimiwa Lema , wape elimu watawala wenu!!❤
Lema is making a grave mistake. Mtu huwezi kumchagulia mtu maisha. Kwamba sasa watu waachane na yanayowapa furaha. Washauri washiriki pia harakati lakini asidhihaki watu kwa kushabikia timu zao!
Ana maanisha mshikamano unaofanyika kwenye vilabu ungefanyika kwenye siasa watu wangepata haki zao.
Kweli utekaji lazima upigwe marufuku. Watu lazima washikamane kwa nguvu kupinga hilo. Hamasisha hilo.
Kwa upotoswaji huo hamwezikuonza tarafa
Yani wewe Mzee upo vizuri unjuwa kujipanga
Tatizo wanavunja katiba Nyerere alionya sana jambohilo
Lema fanya kaz acha majungu ongea yanayo kuhusu ongelea ukipata ongoz utafanya nn
Acha unafiki
Wachache sana tunaoluelewa,
Machawq wengi wamelogwa
Anayesema ni kweli ?.
NI MAIGIZO 😢
Ngonjera
Lema huna jipya
Kwani Lema wewe ulikosana nini na Magu? Mbona wapinzani wengine hawakukimbia wako hapa hapa na wako wazima?
Je familia yako iko hapa au iko huko majuu?
Au ndiyo jjanja wa kutafuta ukimbizi wa kisiasa kwa maslahi ya familia yako?
Kama wako hapa hongera ila kama wanakula bata huko majuu basi tunajiuliza maswali bado
😅😅 yaan lema siasa uwez broh tulia2 mwachen tundu lisu apge kaz
Hawezi kivipi mbona watu wwngi tunamwelewa vizuri tu
Lema hana jipya
Shikamoo lema
Ila hspo kwenye boda na bajaj na toyo umesema ukweli. Hii siyo kazi ya kushobokea kwa wasomi.
Wasomi wakatumie elimu
Kamanda ukweli nikwamba ww nishujaa wa haki
Mchumia tumbo wewe lema hata ukekuwa nini ungelifanya hakuna Inchi haina umaskini na kwenye Taifa lolote wanaInchi wake haitatokea wote wakawa na maisha yanayolingana .wewe sio mungu
Wewe unachumia wapi Kama siyo tumbo tuambie tujue, hivi yote aliyoyaeleza ubongo wako haujaelewa hata moja kweli au unanufaika na mfumo? Yakikuta utamkumbuka lema
Mnufaika wa mfumo hawezi kumwelesa Lema.
Yeye akipewa kuongoza Inchi atakidhi mahitaji ya wanaInchi kwa %100?huo ni unafiki wa wazi Inchi yetu bado imeanza kupanda kiuchumi
Jike dume
HATA MAREKANI WATU WANALALA NJE 😢😢LEMA DANGANYA WALEVI
lema Kati ya siku zote Leo umeongea point
Lema ulikuwa mbunge umefanya nn akuelewi mtu towa sera bwana kwaiyo ww una wapenda waz ujinga ww fani iyo ww mshaba
makonda nakukubali baba
Huyu tatizo hajui kazi nyingine ya kufanya kelele tu kawa mbunge hakufanya lolote,siasa za Tanzania shida tu
Wewe jipyalako lipi?
Tunakukubali ila unatuufhi sana unapijaribu kumchafua JPM wetu aliyetufanyia kazi kubwa mno kwenye taifa hili kwa kipindi kifupi. Huyo ni mwamba nang'aa sana huwezi kumchafua.
Yeye familia yake iko hapa na ya Makonda iko hapa. Yako iko wapi? Wanafanya nini huko? Mbaya wako hayupo unaogopa ninI tena? Au ilikuwa janja yako ili kupata ulaji wa bure ulaya?
Usitichanganye. Kama unapita sera achana na kabisa na kupambana na marehemu ambaye hayuko duniani kujitetea