MAMBO YA KUZINGATIA SIKU HIZI ZA MWISHO - Rabbi Abshalom Longan

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 126

  • @MoosaMd-h6b
    @MoosaMd-h6b 7 днів тому

    Asante sana Mungu kwa kunipa neema ya kulisikia hili

  • @GodfreyMrope-o1r
    @GodfreyMrope-o1r 2 дні тому

    Ubarikiwe sana mtumishi wa BWANA kwa ujumbe mzuri.

  • @wilhelmsabas8835
    @wilhelmsabas8835 5 днів тому

    Waumini tunashukuru Mungu mmoja nafsi tatu amina

  • @rytv7339
    @rytv7339 2 місяці тому +14

    Mungu akubariki sana Mwalimu. kupitia mafundisho yako najengeka kiimani zaidi .pia na mapenzi ya YESU ndani yangu yanazidi kuwa makubwa ubarikiwe sana ...

  • @aminamsafari2407
    @aminamsafari2407 15 днів тому

    Asante Mungu akubariki kwa neno la uvuvio nakutueleza kurudi kwa Yesu Kwa kina.

  • @wilhelmsabas8835
    @wilhelmsabas8835 4 дні тому

    Amina cg kwa mahubiri yako

  • @BerithaMerchades
    @BerithaMerchades 12 днів тому +1

    ubarikiwe na mungu ariyeweka huduma hii ndani yako natamani nikuone raiv

  • @ZawadiFaradja
    @ZawadiFaradja 17 днів тому

    Mungu akubariki saana baba

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 2 місяці тому +1

    Mungu tusaindie Mungu nyakati za mwinzo Mungu tubinganiye nyakati inzi za mwinzo Vita vikali sana via rohoni Yesu niongoze niongohe yese nisaindie Yesu nisaindie mwokonzi niondowe Kwa shita nipe ushindi nipe nguvu za ushindi nipe nguvu za ushindi nipe nguvu za ushindi nipe nguvu za ushindi nipe nguvu za ushindi Kwa jina la Yesu Kristo wanasareti

  • @augenmagabila3081
    @augenmagabila3081 2 місяці тому +1

    MUNGU azidi kukuinua Bishop wangu. Injili ya hivi haihubiriwi tena kwenye makanisa mengi. Hakika Bishop nakuombea Roho Mtakatifu azidi kukuongoza na kukufunulia mafundisho zaidi ya aianjili ya Yesu Kristo Mwokozi wetu. Yesu yu arudi mapema sana.

  • @HappinessMwambapa
    @HappinessMwambapa 24 дні тому

    Baba karibu Sana Sana mbeya mjini, Eeeeee MUNGU wangu, Achilia Roho ya Neema na maombi juuu ya kanisa lako asiwepo wakubaki.

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 2 місяці тому +3

    Mungu tufungue macho Ya Rohoni tukuone wewe tukwamini wewe tukusikiye wewe tukupende wewe Mungu wa wabinguni tusaindiye Yesu

  • @HidayaFaustine
    @HidayaFaustine 14 днів тому

    Mungu akubariki mtumishi njoo na mara tarime

  • @kavirajanine4893
    @kavirajanine4893 23 дні тому

    Mungu atusaidiye sana kabisa
    Mtumishi ni mshangawo kwa
    Kweli

  • @EvelinWilson-zx6uq
    @EvelinWilson-zx6uq 2 місяці тому +2

    Amen.Baba Mungu akubariki sana kwa ujumbe huu waneno la Mungu najengwa sana.

  • @OridaFungoh
    @OridaFungoh 21 день тому

    Mungu aendele kukupa afya na mafunuo zaidi mtumishi nabarikiwa

  • @byoseasolokoci7257
    @byoseasolokoci7257 2 місяці тому +2

    Bwana Yesu akubariki sana mtumishi

  • @happynescostat7420
    @happynescostat7420 23 дні тому

    Nimependa Sana mafundisho yako mungu akupe ekima nyingi namaarifa

  • @godfreylickson
    @godfreylickson 2 місяці тому +1

    Ee MUNGU nisaidie mim mwenye dhambi uniokowe na nyakati izi ngum maana hata yamefichika Sana haya mafumbo .nawenye kuyajuwa Ni wachache ubarikiwe daima mtumishi wa yesu kristo

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 2 місяці тому

    Mungu tuongezee Imani Yesu tuongezee Imani Yesu tusaindiye hu wakati wa mwinzo Mungu tushidanie Yesu tuongezee Imani

  • @japhetmasai9954
    @japhetmasai9954 2 місяці тому +1

    Napata mafundsho yako ni mazuri sana nimebarikiwa nabii wa bwana abshallom, na mungu akubariki sana mtumishi, 🙏 amen 🙏 🙌

    • @japhetmasai9954
      @japhetmasai9954 2 місяці тому

      Amen 🙏 hallelujah mungu akubariki mtumishi ABSHALLOM

  • @GasperKayanda
    @GasperKayanda 25 днів тому

    Mungu ni mwema inatisha sana Mungu atusaidie

  • @queenesther2639
    @queenesther2639 22 дні тому

    Dah E BwanaYesuKristo niokoe na kizazi changu

  • @NgoshaJaphet-zo4sq
    @NgoshaJaphet-zo4sq 2 місяці тому +1

    Yani Baba,daaah!!! Mungu anisaidie injili unayoihubilia haipo tena Endelea mbele tu baba angu

  • @KazunguRose-fq7gz
    @KazunguRose-fq7gz Місяць тому

    Ameen ubarikiwe mtumishi ni kwel yesu ana adaa kanisa kwel tunaishi nyakati za mwisho na za hatari

  • @Martine-bd3sy
    @Martine-bd3sy 2 місяці тому

    Alléluia Bwana Yesu kristo asifiwe saana .kwa hii mafundisho makubwa hakutumbusha kuya tayari..Bwana Yesu akubariki sana .ubarikiwe n'a Bwana Yesu kristo.

  • @MaikoSigala
    @MaikoSigala 22 дні тому

    Ee Mungu nisaidie kwaakilizangu siwez

  • @Asifiwe-u5u
    @Asifiwe-u5u 20 днів тому

    Barikiwa sana babaangu kwa neno la ufunuo

  • @theresiapaulla741
    @theresiapaulla741 2 місяці тому

    Mungu azidi kukuinua zaidi mafundisho yananibariki saaana unazungumza kweli tupu. Mungu atufungue macho tuzingatie. Ubarikiwe Askofu.❤

  • @EdinaMwakasala
    @EdinaMwakasala 2 місяці тому

    Asante sana Mungu bb kupitia nguvu ya roho mtakatifu.nimeunganishwa na hii chaneo ya mtumshi wako.Anaye nihubiria ujilio wa mwanao Yesu kristo.Niomba bb uniongeze imani sn mimi na uzao wangu tusije tukamezwa na mambo ya shetani.Tuwezeshe kushinda.

  • @juliethasimbili8749
    @juliethasimbili8749 Місяць тому

    Mungu akubariki mtumishi wa Mungu ,ni mambo yanayotisha lkn hayakwepeki kuyasikia

  • @magrethmkemwa9287
    @magrethmkemwa9287 2 місяці тому

    Mungu wa Bwana wetu Yesu kristo Akubariki Sana,Nakumbuka ulikuja Iringa

  • @FredrickPonda
    @FredrickPonda 28 днів тому

    Si mtu wa mungu ubarikiwe na Bwana Yesu Kristo.kwani unatuhekimisha Sana mambo ya kiungu rohoni mwetu.na Roho wa ufunuo awe juu yako

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n Місяць тому

    Mungu atusaidie watoto uliyetupa wakujuhe wewe Mungu wa kweli

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 2 місяці тому

    Hakika Kuna nabarikiwa Sana Mimi Kwa mafundisho haya Mungu akubariki sana barikiwa sanaaaana mutumishi wa Mungu

  • @byusaajumapili6750
    @byusaajumapili6750 2 місяці тому

    Mchungaji asante sana kwa mahubiri Mazuri .nayapenda sana mahubiri Yako Juju ahihubiriwi tena unakuwa tutabarikiwatu .lakini kutuhambiya tuhache zambi yesu anakuja akuna ni towa ubarikiwe. Naomba uniombeye nimjuwe sana yesu Kristo Na MUNGU aliye mtuma kwetu.

  • @JoyfullRwechungura
    @JoyfullRwechungura Місяць тому

    Jamani wakristo kuombewa tunapenda Sana tuangalie wenzetu waislam slogan yao Sali/swali km ujasaliwa so we need kumjua na kufuata mungu

  • @sammwakalinga2705
    @sammwakalinga2705 2 місяці тому

    Asante mtumishi wa mungu mungu azidi kukutia nguvu zakufunua mambo ya siku za mwisho

  • @jeanmujumba1282
    @jeanmujumba1282 2 місяці тому

    Mungu akubariki mtumishi kwa kuachilia ujumbe huu wa wakati. Mungu aturehemu!

  • @leoteryezekiel9745
    @leoteryezekiel9745 2 місяці тому

    Glory be to the Almighty God 🙏🙏. Katibu sana mbozi-mlowo kabla mwaka huu haujaisha

  • @EliudiMoleli
    @EliudiMoleli 2 місяці тому

    Mimi eliudi nakupenda sana mtumishi mungu amekuinua saa hii Kwa ajili ya kurudisha kanisa kwenye njia endelea mbele mungu akubariki sana

  • @WitoKonga
    @WitoKonga Місяць тому +1

    Neno la kristo unalolifundisha linanivusha Kwa viwango vikubwa yesu azidi kukutumia

  • @EzekiaMyila
    @EzekiaMyila 2 місяці тому

    Mtumishi mungu akutue nguvu maana vita vikali sana juu ya wateule wa mwenyezi mungu juhudi nabidii ya kuhuzuria ibada ni nyigi ila hazina maana watu wanaenda kufanya mikesha makanisani huku wakiwaza uashelati

  • @fadhilamguluka938
    @fadhilamguluka938 2 місяці тому

    Mungu atusaidie sn maana hii ndiyo lnjili ya kweli

  • @EmidiAlphonsine
    @EmidiAlphonsine Місяць тому

    Mungu akutiye nguvu tunamshukuru sana.

  • @GeorgeChitemo-kt8sw
    @GeorgeChitemo-kt8sw 2 місяці тому +1

    Asante Kwa ujumbe huu dah

  • @agnes7675
    @agnes7675 18 днів тому

    Amen

  • @justinmulagala1296
    @justinmulagala1296 2 місяці тому

    Amen Mungu unikumbuke katika ufalume wako

  • @anseliminalingand4178
    @anseliminalingand4178 2 місяці тому

    Natamani injili hii yenye uzima ifike na kwetu malinyi morogoro pia , naomba Mungu hii itokee siku moja😢😢

  • @nashonjoel20
    @nashonjoel20 2 місяці тому

    Mungu akubariki Mtumishi wa bwana kwa masomo mazuri.

  • @fadhilamguluka938
    @fadhilamguluka938 2 місяці тому

    Ameen lnjili hii ni ya kweli Mungu tusaidie sn sn

  • @HidayaFaustine
    @HidayaFaustine 14 днів тому +1

    Naomba mniunge kwenye group la Abrahamu mtumishi

  • @MeshackAbdala
    @MeshackAbdala 2 місяці тому

    Nimebarikiwa sana Bishop nipo Tanga karibu sana

  • @AseyDada-cq9ju
    @AseyDada-cq9ju 2 місяці тому +1

    Nimependa sana mafundisho yako yananijenga tena

  • @joanithagidion9796
    @joanithagidion9796 2 місяці тому

    Barikiwa mtumishi wa Mungu

  • @eliaszacharia-ne6yw
    @eliaszacharia-ne6yw Місяць тому

    Asante barikiwa sana Baba

  • @JajiZakayo-fw9mk
    @JajiZakayo-fw9mk 2 місяці тому

    Amina kubwa mtumishi wa Mungu

  • @MichaelSichimata-ri2td
    @MichaelSichimata-ri2td 15 днів тому

    Amina sana

  • @michaelpunduka8086
    @michaelpunduka8086 2 місяці тому

    Emen mungu wa mbiguni akutunze na kukulinda

  • @latifakikoti9808
    @latifakikoti9808 Місяць тому

    asante sana mtumshi wa mungu mungu akubaliki

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 2 місяці тому

    Mungu tuhurumihe tusaindie iz inzi nyakati za mwinzo

  • @stellahmunisi1174
    @stellahmunisi1174 2 місяці тому

    Ameen baba umenijenga kwa sehem

  • @yudaseleman8320
    @yudaseleman8320 22 дні тому

    Wanaomba mme mwenyepesa

  • @perfectelly8902
    @perfectelly8902 22 дні тому

    Amina

  • @JajiZakayo-fw9mk
    @JajiZakayo-fw9mk 2 місяці тому

    Amina mtumishi wa Mungu

  • @PelesiMethod
    @PelesiMethod 2 місяці тому

    Mungu akubariki rabbi abisharom amen 🇮🇱

  • @maxlesijila6598
    @maxlesijila6598 Місяць тому +1

    Amen Mtumishi

  • @geitandelwa299
    @geitandelwa299 15 днів тому

    Ole wangu mm

  • @EsitaDavid2-wp1uf
    @EsitaDavid2-wp1uf 2 місяці тому

    Bwana atusaidie ,nyakati hizi za hatari.

  • @JeremieMulungula
    @JeremieMulungula Місяць тому

    Amen Amen Amen 🙏🙏🙏🙏

  • @AnnanatukundaKidume
    @AnnanatukundaKidume Місяць тому

    Ubarikiwe mchungaj

  • @leahlissu-n4c
    @leahlissu-n4c 4 дні тому

    Naomba uniunge na kwenye group la nyumban ya Abrahamu mtumishi

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 2 місяці тому +1

    Alelluyah alelluyah blessed

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 2 місяці тому

    Ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen

  • @lidiahamis2472
    @lidiahamis2472 2 місяці тому

    I heard about you when i was a little girl Leo Tena nimepata video yako. Mungu akubariki sana.

  • @atupavyemgaya1465
    @atupavyemgaya1465 2 місяці тому

    YESU niokoe nyakati

  • @JacquelineMetili
    @JacquelineMetili Місяць тому

    Amen Amen

  • @atupavyemgaya1465
    @atupavyemgaya1465 2 місяці тому

    YESU niokoe nyakati hizi

  • @NabwikeMwambebule
    @NabwikeMwambebule Місяць тому

    Amina mtumishi

  • @mapendobagaya3820
    @mapendobagaya3820 Місяць тому

    Uzidi kubarikiwa na MUNGU mtumishi

  • @coj7920
    @coj7920 2 місяці тому

    Nashukuru sana Mungu kwa kunifanya niijue channel yako mtumishi. Nabarikiwa sana na kujengwa zaidi kiimani

  • @PetrovichGaspal
    @PetrovichGaspal 11 днів тому

    Mtumishi kanisa lako lipo Sehem Gani ? Maan nabalikiwa sna nmafundisho yako

  • @richardndungu1366
    @richardndungu1366 2 місяці тому

    Amen 🙏🙏

  • @rosejefwa9806
    @rosejefwa9806 2 місяці тому +1

    Asante Baba Mimi naitwa pst Rose Jefwa kutoka Nairobi Kenya Naomba namba Yako

  • @adrianokiliq6182
    @adrianokiliq6182 Місяць тому

    Ni watumishi wachache sana wanao hubiri kuhusu kurudi kwa YESU. wengi ni sadaka na mafanikio.ila kuhusu kutubu na kumrudia MUNGU aah!! Tuwe macho wanadamu Tu some neno la MUNGU litatupa mwanga na kutuonyesha kwelii

  • @GeorgeChitemo-kt8sw
    @GeorgeChitemo-kt8sw 2 місяці тому +1

    Mimi mchumba wangu kanikimbia kwakuwa anadai niko bize sana na Mungu ,kampata mwanafunzi anaejifunza urubani wa ndege na akidai yuko vizuri kwakuwa hayuko bize na Mungu ndio anapenda mtu wa aina hiyo

    • @AnnanatukundaKidume
      @AnnanatukundaKidume Місяць тому

      Pole

    • @patiencekabyemera
      @patiencekabyemera 23 дні тому

      Baki na YESU atamleta mke sahihi kwa ajili yako wala usiumie hapo Munngu kakuepusha na mambo makubwa na Magumu uliokuwa huyajuhi kuhusu huyo mchumba katika ulimengu wa Roho japo ulimpenda.

    • @GeorgeChitemo-kt8sw
      @GeorgeChitemo-kt8sw 22 дні тому

      @@patiencekabyemera asante Sana dah japo niliumia Sana lakini Kwa SASA Mungu anaendelea kunisaulisha kabisa

  • @MjumbeAgano
    @MjumbeAgano 2 місяці тому

    Yesu ni Neno Sasa yupo kwa Mjumbe wa agano, Habakuki 2:20. Ufunuo wa Yohana 19:11-16. Acha uongo, usiendelee kupotosha watu.

    • @MaikoSigala
      @MaikoSigala 22 дні тому

      Ee unayedai anapotosha watu usipotelee kwenye andiko okolewa kwa neno lililo hai

  • @eliyamakanika7282
    @eliyamakanika7282 2 місяці тому

    ❤❤❤ amen amen amen

  • @blandinakalobelo8833
    @blandinakalobelo8833 24 дні тому

    Naomba niingizwe kwenye group la whaatup kwenye nyumba ya Abraham

  • @patricialiveti3520
    @patricialiveti3520 19 днів тому

    Natamani nyumba ya Ibrahim ije chanika.

  • @EdsonBandiko
    @EdsonBandiko 2 місяці тому

    Ameni wakati wa Bwana huu... unabii juu Ulimwengu na Israel unatimia tujiandae. Moja ya jambo muhimu ni kufuatilia kila kukicha nn kinatokea.

  • @PelesiMethod
    @PelesiMethod 2 місяці тому

    Mafundisho yako mema karibu mwanza nyamanoro hii injili tunahitaji karibu

  • @cmoshi7014
    @cmoshi7014 2 місяці тому +1

    YESU TUSAIDIE HIVI KWANINI WATUMISHI WENGINE WA MUNGU WASIYASEME HAYA JAMANII???

    • @magrethmkemwa9287
      @magrethmkemwa9287 2 місяці тому

      Waowenyewe hawapendi habari za kurudi Kwa yesu,Safari ya Mbinguni ni ya mtu binafsi.

  • @lucyngwale4365
    @lucyngwale4365 3 дні тому

    MUNGU tusaidie mtumishi kwenye upendo umekufa hasa hawa tunao waongoza wamekuwa changamoto kabisa hawaijui kabisa thamani yawanao waongoza

  • @miriammwakibibi
    @miriammwakibibi Місяць тому +1

    Hii nyumba ya Abraham iko wapi jamani na wengine tujiunge manake tunamuelewa mtumishi huyu.

  • @MwajumaHassan-d7k
    @MwajumaHassan-d7k 3 дні тому

    Anapatika wapi jaman huyu mtumish

  • @kavirajanine4893
    @kavirajanine4893 23 дні тому

    Nakutowa ushuhuda ni pesa

  • @JoyfullRwechungura
    @JoyfullRwechungura Місяць тому

    Sema Baba tupone

  • @IbrahimMatabaro
    @IbrahimMatabaro 2 місяці тому +1

    Ubiriwe n'a MUNGU mucungaji

  • @roidayoab9918
    @roidayoab9918 2 місяці тому

    Mafundisho haha yananibariki sana ubarikkwe sana myumishi was MUNGU