JE, YESU YUPO KARIBU KURUDI KWA KIWANGO GANI? - Rabbi Abshalom Longan

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 58

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 5 місяців тому +4

    Asante sana Babaku wa kiroho Mimi nabarikiwa Sana umenifungua ufahamu

  • @OmolloTitus
    @OmolloTitus 2 місяці тому

    Amen mtumishi wa Mungu...kutoka kenya Mombasa

  • @YusufuSelemeni
    @YusufuSelemeni 3 місяці тому +2

    Mungu wa mbinguni akuweke salama mwalimu

  • @DieudonneMAHANGO-ws3do
    @DieudonneMAHANGO-ws3do 7 місяців тому +3

    Amen
    Kwa kweli lazima mahandiko yatimie
    Na sisi tupo maeneo Chicago IL 🇺🇸
    Lazima tuwe makini .

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 5 місяців тому +1

    Mutumishi wa Mungu Glory be to God umenena ukweli kabiza Mungu asindi kukufunulia zaidi una ufunuo wa Mungu wa binguni ❤❤❤

  • @ZawadiJoseph-j7p
    @ZawadiJoseph-j7p 4 місяці тому +2

    Be blessed man of God, ufahamu wangu unafunguliwa sana kupitia neno la Mungu unalolihubiri

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 5 місяців тому +2

    Napenda Sana mafundisho Yako ROHo Yaku inapona kwa hakika umenisaidia moyo waku unakaribiya Mungu

  • @LazaroRichard-yc3qz
    @LazaroRichard-yc3qz 5 місяців тому +3

    Mungu akubariki mtumishi sana na sana ili tupone

  • @jeremiasinare6057
    @jeremiasinare6057 Місяць тому

    nimebarikiwa sana baba kuna haja ya kuanza upya na Kristo

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 5 місяців тому +2

    Asante sana Kwa mafutisho mazuri Asante sana barikiwa sanaaaana mutumishi wa Mungu

  • @JamesDelly-f3i
    @JamesDelly-f3i 3 місяці тому +1

    Mungu akubariki siku zote

  • @annak6738
    @annak6738 7 місяців тому +2

    Ubarikiwe sana Mtumishi kwa Mafundisho Mazuri sana.Ila Ombi langu naomba huo Mziki usiwepo kabisa maana Unatuondoa kwenye Uwepo Wa Mungu.

  • @HedinaMbilinyi
    @HedinaMbilinyi 3 місяці тому +1

    Amina mungu akubariki nimefunguriwa mambo mengi sana makanisani hatufu dishwi reo naanza maisha mapia nakristo nanimepata amani moyoni

  • @MkeWamchungaji
    @MkeWamchungaji 3 місяці тому +1

    Amina mtumishi mungu akubariki Sana mungu atusaide kuijuwa iyokweli miyoyoni mwetu

  • @godfreylickson
    @godfreylickson 4 місяці тому +3

    Amen barikiwa sana

  • @aderanderwa7623
    @aderanderwa7623 7 місяців тому +2

    Amina ubarikiwe Mchungaji

  • @babuukimario6146
    @babuukimario6146 2 місяці тому

    Mtumishi wa Mungu punguza salamu, Bwana Yesu na aleluya zimekuwa nyingi sana

    • @NeemaHamissi
      @NeemaHamissi Місяць тому

      Katika mafundisho yote wewe umeona hiyo mpuuzi kabisa

  • @elizabethemanuel4375
    @elizabethemanuel4375 2 місяці тому +1

    Yesu atukuzwe

  • @fidemikaeli8145
    @fidemikaeli8145 7 місяців тому +3

    Ombi langu mziki usiwepo tusikilize mafundisho tu. Ili kuwe na utulivu mkubwa tafadhali, mafundisho mazuri sana

  • @eliyamakanika7282
    @eliyamakanika7282 5 місяців тому +2

    Amen amen ❤❤❤

  • @VeronicaMagesaMagesa
    @VeronicaMagesaMagesa 2 місяці тому

    Ameen

  • @charlesnzili4603
    @charlesnzili4603 2 місяці тому +1

    Amen 🙏 amen

  • @leahmungure6538
    @leahmungure6538 7 місяців тому +2

    Amen Amen Amen 🙏

  • @helenatarimo3643
    @helenatarimo3643 7 місяців тому +1

    Amen mtumishi

  • @samsonwaanda7568
    @samsonwaanda7568 3 місяці тому +1

    Mafundisho yako ni mazuri sana!! Karibu siku moja tuabudu pamoja siku ya sabato

  • @godfreygitanga4331
    @godfreygitanga4331 5 місяців тому +3

    Kupiga gitaa wakati wa neno kunakera sana. Inaonesha mhusika hasikilizi, anahangaika na muziki tu, lakini pia mimi msikilizaji linanikera.

    • @captainmwakio2505
      @captainmwakio2505 3 місяці тому +1

      Ni kweli, maana NENO lishasema,kazi ya shetani kuiba,kuua na kuharibu.Yesu akasema tusimpe nafasi.Ana mbinu nyingi tu watu wapotoke,na hawajui.Wanapatia upato mambo ya dunia inayo pita.NENO wameliweka mbali

  • @MkeWamchungaji
    @MkeWamchungaji 3 місяці тому +1

    Baba yetu wakiroho naomba uwaonye hao wanao piga kinanda kwenye maubiri wana tuwaribia uwepo wamungu ss tuna funguliwa namfundisho yako yakiroho .barikiwa

  • @mossesjovenari9457
    @mossesjovenari9457 Місяць тому

    MUNGU Atusaidie

  • @gideanjohnlukwaro7981
    @gideanjohnlukwaro7981 3 місяці тому +1

    MUNGU AKUBARIKI SANA NINAFUATILIA MNO MAFUNDISHO YAKO KIROHO

  • @NeemaEmmanuel-d8t
    @NeemaEmmanuel-d8t Місяць тому

    Mafundisho mazuri sana tena sana ila kinanda kina tuchanganya tunaomba utuondolee sauti ya kinanda

  • @godfreygitanga4331
    @godfreygitanga4331 7 місяців тому +2

    Kupiga gitaa kwenye mafundisho ya mhimu kama haya, mtumishi yanakwaza hata nasikia kukereka isivyo kawaida. Komesha hii tabia tafadhali.

  • @asiaelias-m6q
    @asiaelias-m6q 7 місяців тому +1

    Amina

  • @HedinaMbilinyi
    @HedinaMbilinyi 3 місяці тому +1

    5:19 5:22

  • @RegnetaKinyunyu
    @RegnetaKinyunyu 7 місяців тому

    AMEN

  • @byamungujean-Pierre
    @byamungujean-Pierre 3 місяці тому +1

    Napata picha ya musikiti na waisilamu?!.

  • @PeterMhagama-f9s
    @PeterMhagama-f9s Місяць тому

    Loo!bwana YESUakuzidishie mafunuo kanisa tuwe tayari.na hawa manabii wa uongo waambiwe ukweli.neno la MUNGUni upanga

  • @abrahammarress8947
    @abrahammarress8947 7 місяців тому +6

    Mwalimu je hata sasa wakati kuna msikiti MUNGU anaendelea kupatumia kama lango. Au yatosha YESU KRISTO NDIYE LANGO.

  • @TinaDuwe-p4z
    @TinaDuwe-p4z 3 місяці тому +1

    Mimi ningepata no yako ningekukabisha kanisani kwetu hiyo somo wachungaji wengi hawafundishi

  • @upendomtui6544
    @upendomtui6544 7 місяців тому +1

    Saa inakuja na saa ipo ambayo waabuduo halisi hawatamwabudu MUNGU ktk mlima huu walia kule uYerusalemu bali ktk riho na kweli

  • @Bisengimana-ezekiele
    @Bisengimana-ezekiele 7 місяців тому +2

    Muwemacho wanabi wauongo niwengi
    Huyu bwana mumuchunguze

    • @christophenkurunziza7208
      @christophenkurunziza7208 7 місяців тому

      Nabi wauongo hawezi funuliya watu kurudi kwa YESU CHRISTO huyu ni mtumishi wa Mungu

    • @AgnesKalinga-if3uf
      @AgnesKalinga-if3uf 7 місяців тому

      Ni nabii wa Bwana kabisaa

    • @Vero-z6w
      @Vero-z6w 7 місяців тому

      Aliye rohoni na kusoma biblia anamuelewa, lakini aliye mwilini wala si msomaji wa neno hawezi kumuelewa. SOMA biblia utamuelewa vizuri sana.

    • @yohanakombi1403
      @yohanakombi1403 3 місяці тому

      Hermeneutics yake nzuri sana! Sijui wewe unayesema mafundisho yake Yana shaka unatumia standard ipi?

    • @pirminmatumizi5464
      @pirminmatumizi5464 3 місяці тому

      Peleka huko Urundi, Unyarwanda, Ututsi, Uhutu. Ndiyo maana vita haijikwisha huko.
      Kutilia mashaka utumishi wa Mungu wa mzee huyu Ni kumkufuru Roho wa Kristo. Ina maana huelewi mafundisho mazuri haya?!

  • @masindemagee9603
    @masindemagee9603 7 місяців тому +1

    Am

    • @NellyNatha
      @NellyNatha 7 місяців тому

      Amina Amina amine

  • @ibrahimunaiso6236
    @ibrahimunaiso6236 3 місяці тому +1

    Amina

  • @DoraAgnes-gj2ys
    @DoraAgnes-gj2ys 5 місяців тому +1

    Amen 🙏 🙏 🙏 🙏

  • @miriavagheni4480
    @miriavagheni4480 7 місяців тому +1

    Amen

  • @masindemagee9603
    @masindemagee9603 7 місяців тому +1

    Am