UJIO WA YESU KULICHUKUA KANISA | Rabbi Abshalom Longan | +255754742574

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 56

  • @BetramMyula-p9l
    @BetramMyula-p9l Місяць тому

    Mungu akubaliki mtumishi kwa kweli wewe niwamungu alie hai

  • @johnnguttu9516
    @johnnguttu9516 3 місяці тому +2

    AMEN. Asante Sana Rabbi Kwa neno la uzima na wokovu katika wakati huu wa mwisho. Barikiwa sana

  • @magrethmkemwa9287
    @magrethmkemwa9287 3 місяці тому +2

    Mtumishi wa Mungu wa Israel,Mungu akubariki sana.Watumishi wengine wanaogopa kueleza Kanisa Ukweli eti watu watashituka?Kweli siku za Nuhu ilikuwa hivi!Mungu si mtu hata aseme uongo, Maranatha.

  • @GeorgeChitemo-kt8sw
    @GeorgeChitemo-kt8sw 3 місяці тому +3

    Nilikuwa nakusubiria Sana pastor Kwa hamu Mungu akubariki Sana

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 3 місяці тому +2

    Ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen ❤❤❤❤ barikiwa sanaaaana mutumishi wa Mungu Glory be to God

  • @franciscomosha4125
    @franciscomosha4125 2 місяці тому

    Ubarikiwe sana mtumishi wa Bwana Yesu kristo, hskika na barikiwa sana mafundisho yako. Nami najiandaa kumpokoea Bwana Yesu atakaporudi kutunyakkua.

  • @EuniceShane
    @EuniceShane 3 місяці тому +5

    Mungu atusaidie na atuwezeshe na watoto we2

  • @josephfkinyaghakinyagha7046
    @josephfkinyaghakinyagha7046 3 місяці тому

    Aminaa Mchungaji , Barikiwa kwa mafundisho mazur hakika siku zimefika,,

  • @esthermliga4875
    @esthermliga4875 3 місяці тому

    Amen amen!! Ni 2Timothy 3:1 na siyo wathesalonike mtumwa wa Kristo, Asante sana Kwa mafundisho mazuri na ya kweli ya neno la Mungu

  • @JessicaKapona
    @JessicaKapona 2 місяці тому

    Mungu atusaidie tuijue kweli ya Mungu ili akirudi atukute tuko tayari kwa unyakuo tukamlaki mawinguni

  • @leomkinga8909
    @leomkinga8909 3 місяці тому +1

    Mungu atuongezee imani na tumjue yeye cku zote

  • @ndjaba_ushindi
    @ndjaba_ushindi 3 місяці тому +1

    Aksanti sana kwa mafundisho hii, Bwana Yesu asifiwe sana.

  • @JohnsonHabiyaremye
    @JohnsonHabiyaremye 2 місяці тому

    Nimekupenda

  • @VicentSubi
    @VicentSubi 3 місяці тому +3

    Na mm Yesu unikumbuke katika ufalme wako

  • @mercyadisa9030
    @mercyadisa9030 3 місяці тому +2

    Thanx man of God for enlightening us.God bless you.

  • @JoyceMongera
    @JoyceMongera 3 місяці тому

    Naomba baba usiufiche uso wako utusamehe zambi zetu utukumbuke siku yamwisho mimi nawatoto wangu nandugu zangu kwa ujumla asante yeah amina

  • @AlexKampate-od2km
    @AlexKampate-od2km 2 місяці тому

    Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu Kwak Mafundisho mazuri sana Kwa kipindi hiking tulichonacho.
    Samahani Mtumishi huon mstari ni 2 Timothy 3 : 1-5.

  • @SAMSONKISANGA-sq1wf
    @SAMSONKISANGA-sq1wf 2 місяці тому

    Mungu alibariki sana mtumishi wa mungu

  • @kinyanjuisimon6756
    @kinyanjuisimon6756 3 місяці тому

    Yes ad Amen,Maranatha the Lord is coming, we need you servant of God here in Kenya urgently, things are not good in the body of Christ 🙏

  • @PelesiMethod
    @PelesiMethod 3 місяці тому +1

    NIKWELI NA HAKIKA mungu atusaidie amen 🙏🏻

  • @josephfkinyaghakinyagha7046
    @josephfkinyaghakinyagha7046 3 місяці тому

    I fill dry in my heart, pray for Pastor

  • @dominicenonda7608
    @dominicenonda7608 2 місяці тому

    Nampenda Yesu Kirisito wa Nazareth

  • @israelmbuto1642
    @israelmbuto1642 2 місяці тому

    Thank you, I am enlightened by the teachers of the holy spirit through yours. I will have to visit beit Abraham one day. (from DRC)

  • @janedavid1428
    @janedavid1428 3 місяці тому

    Following from Nairobi Kenya

  • @MUHINDOKIHESISAMUEL
    @MUHINDOKIHESISAMUEL 3 місяці тому

    Mimi ninajiamini kuwa pamoja na watakatifu nitanyakuliwa, lakini woga yangu ni maisha yetu kabla ya kunyakuliwa! Sisi ni wenye haki, sasa Mungu anaweza je kuacha watu wake waonje uchungu ikiwa tayari sisi tumeshalipiwa na Yesu!!!

  • @AmosJeremiah-dj2jm
    @AmosJeremiah-dj2jm 3 місяці тому

    Nabarikiwa nikiwa kahama shinyanga

  • @JosephElias-i6m
    @JosephElias-i6m 3 місяці тому

    Mungu akubaliki mtumsh tunaomba uje na huku Zanzibar

  • @josephfkinyaghakinyagha7046
    @josephfkinyaghakinyagha7046 3 місяці тому

    Niombee , upendo wa kwanza ulipungua ,,, nimependa mafundisho yako pastor

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 3 місяці тому +1

    Yesu jooooo jooooo jooooo jooooo jooooo jooooo jooooo tuku hapa watoto wako tunakugojea Bwana Yesu karibu Tena Yesu tunamuitaji masiyaa mukombozi wetu Kristo Yesu kuja Yesu utuondowe mwenye likizo hapa Dunia jooooo jooooo jooooo jooooo jooooo jooooo mwokonzi waku masiyaa mukombozi wetu Nina jaa na kiu Ya kuishi na wewe Bwana Yesu Nina tamaa na hamu Ya kukaa na wewe Bwana Yesu

    • @ChristineSiriwa
      @ChristineSiriwa 3 місяці тому +1

      Amesharudi Kristo na anaongea maneno mapya yanayomfanya mwanadamu ajitambue na kuacha uovu

  • @MariamByaese
    @MariamByaese 3 місяці тому +1

    Amena baba ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @EuniceShane
    @EuniceShane 3 місяці тому +5

    Amen amen

  • @BetramMyula-p9l
    @BetramMyula-p9l Місяць тому

    Amen❤

  • @DieudonneMAHANGO-ws3do
    @DieudonneMAHANGO-ws3do 3 місяці тому +2

    Amen 🙌

  • @Mwesige-s8q
    @Mwesige-s8q 3 місяці тому +1

    AMENI AMENI 🙏🙏🙏

  • @agnestunu5527
    @agnestunu5527 3 місяці тому +16

    HUU NI UKWELI YESU KRISTO BWANA WA MABWANA ANARUDI KULINYAKUWA KANISA JUZI NILIKUWA NASKIA SAUTI NKIWA NMELALA IKISEMA..TUBUNI KWA MAANA UFALME WA MUNGU UMEKARIBIA

    • @davidsolomon2317
      @davidsolomon2317 3 місяці тому

      Hii n kweli mtumishi wa mungu mm n ester d nikiwa nimelala nilisikia kama ngoma zinapigwa kutoka juu niliinua macho yangu kuangalia huu nikaona maandishi yameandikwa yakielea kwa juu ITS END FOREVER nilishtuka nikajiamsha kwa woga ili nisiendelee kuyaona nilikuwa nasisimka BWANA YESU tusaidie kibinadamu ni kama hatuelewi lakini anakuja upesi

    • @JohnsonHabiyaremye
      @JohnsonHabiyaremye 2 місяці тому

      Acha uongo bana

  • @isaacwangila1778
    @isaacwangila1778 2 місяці тому

    Nimebarikiwa na mafunzo Yako ya kurudi Kwa kristo yesu

  • @PeterMhagama-f9s
    @PeterMhagama-f9s Місяць тому

    Watu wa MUNGU kila siku tujisafishe na kutubu mbele za MUNGU wetu

  • @michaellusana4409
    @michaellusana4409 2 місяці тому

    Amen Dad

  • @GastoMwalyaje
    @GastoMwalyaje 3 місяці тому +1

    YESU KIRISTO NAOMBA USINISAU KATIKA UFALME WAKO MIMi NA NDUGU ZANGU WOTE PAMOJA NA WAZAZI WANGU BILA KUWASAU NDUGU ZA WAZAZI WANGU HEE YESU TUNAOMBA UTUSAIDIE PIA UTUSIMAIE NAUTUONGOZE TUFIKE KWENYE KITI CHAKO CHA ENZi NASI TUFURAIE UTUKUFU WAKO

  • @berthamkamba6758
    @berthamkamba6758 3 місяці тому

    Jina la Bwana litukuzwe kwa ajili ya mafundisho haya ya kweli. EeeeYesu nikumbuke na Uzao wa tumbo langu, watoto na wajukuu na wakwe!

  • @NeemaHamissi
    @NeemaHamissi 3 місяці тому +2

    Eh MUNGU nisaidie nisikose unyakuo YESU nikumbuke katika ufalme wako

  • @AbelyNtandu
    @AbelyNtandu 3 місяці тому +2

    AMEN AMEN

  • @zebedayokatamaduni9676
    @zebedayokatamaduni9676 3 місяці тому

    Amina ❤

  • @francismussa5690
    @francismussa5690 3 місяці тому

    Muda unakwenda mbio, sio muda wa kucheza na dhambi

  • @akilimatoto8171
    @akilimatoto8171 3 місяці тому +1

    Amen

  • @festomngongo6346
    @festomngongo6346 3 місяці тому

    Mnapaswa kusoma kuliko kusikiliza ili kuwa na tafsiri Sahihi. Lasivyo mtaingia mtego WA kufuata tafsiri isiyo sahihi

    • @DorisFrank-h1p
      @DorisFrank-h1p 2 місяці тому

      Una maana gAni na hiyo maneno yako hapo juu?

  • @FrankRashid-kh8fz
    @FrankRashid-kh8fz 2 місяці тому

    Mungu atusaidie safari ya imani tuje tulimalize salama

  • @BetramMyula-p9l
    @BetramMyula-p9l Місяць тому

    Amen

  • @everinemasoka6923
    @everinemasoka6923 3 місяці тому

    Amen Amen

  • @MariJosee-um7oe
    @MariJosee-um7oe 3 місяці тому

    Amen amen amen amen

  • @MariJosee-um7oe
    @MariJosee-um7oe 3 місяці тому

    Amen amen

  • @BetramMyula-p9l
    @BetramMyula-p9l Місяць тому

    Amen