TWENDENI TUKAMTOLEE - TMY // Mtunzi: Tumaini Swai
Вставка
- Опубліковано 8 лют 2025
- Karibu Utazame Wimbo wa Matoleo
Waimbaji: KWAYA YA MT. THERESIA WA MTOTO YESU - MARUKU
Mtunzi: Tumaini Swai
Sound Eng: Shimanyi FM & Paschal P.(DUKE)
Video Director: MDETE TM
Audio& Video: CGen Pro
#catholicchurch #catholicsongs #kwayakatoliki #gospelmusic
Hongereni sana kwa kwa kipaji hicho
Nawakubar mda wote mungu awabsriki bay nestory nipo nshamba
Perfect tumaini 🎉
Kazi imependeza yeye
Ina fanya moyo kutulia sana keep it up
Sema mnawang'arisha watu sana 😃😆😆
Tamu sana nimeipenda mnooooo hongeren sana
Asantesana kwa kutupenda Bure Ubarikiwe zaidi
Hongereni kwa kazi nzurii 🎉
Kazi safi sana aisee. Hongereni sana wahusika👏👏👏👏
Hongereni,,,safi sana
Tungo nzur sana sio kama zile za sebene nyingi
Pongezi sana mwalim swai kazi nzuri
Kazi nzuri sana hongera tumaini swai
Tumaini..yaan unafurahisha..hadi unaboa😄😄hongera sana kwako
Kiongos 🎉safii ❤
Yaani ukiusikiliza wimbo unapata baraka zote❤❤🎉. Hongereni sana wanakwaya wote na walimu wote kwa kazi nzuri. Mungu awabariki nyote
Abaomuka mlige
Wimbo mtamu Sana wa matokeo,hongera kwa waliofanikisha
Kazi nzuri sana.
Baraka.
Safi sana hakika mnatubariki mno ongera sana mtunzi lakini pia kwaya mzima kwa ujumla barikiwa wanakwaya ya maruku ❤❤🎉🎉🎉
Safiii
The best ❤
Safiii🎉
Wimbo tamu.Hongereni
Wimbo mzuri asee
Pongezi mwalimu swai na hongera sana
Wimbo mzuri❤❤
Ni wimbo mzuri ❤
🔥🔥🔥
mnanibariki mno kiukwerii mbarikiwe sanaaa❤❤❤❤❤
Hongereni sana kwa wimbo mzuriii
Kazi safi. Hongereni!
Hongeren kwa wimbo mzuri wa majitoleo, Nimeipenda ❤hakika kaz ñzur, Mungu awabariki🎉🎉🎉😊
Hongera sana 1:44
Kazi njema,hongera mwalimu swai.
Kazi Muruaaaaa
Hongera sana
Wimbo umenibariki Sana! Hongera Sana kaka swai
Asante sana
naomba nota tafadhali🙏@@tumainiswai_fm
Music relieves pain and stress, Mungu awabariki
Tamu sana, hongera kwa waimbaji na Mtunzi and production team🎉❤
Mbarikiwe Kwa uimbaji na uinjilishaji.
Amazing
Kazi nzuri sanaaa Mzidi kubarikiwa wanakwaya na Mtunzi🎉🎉🎉
Amen
Kazi nzr munarikiwe
Nice ❤
Hongera swai mbona ray kapoa safari hii
Our choir our pride🎉🎉🎉🎉
Good music
HoNgera Kaka Tumaini swai wimbo mtamu kweli kweli🎉
Asante sana
Very beautifully performed and sang. Thank you members of this choir.
😊😊😊
Yoh! another great hit 🎉mmepigaje apo💯
Very nice song, congratulations.
Sauti tamu na pongezi pia kwa Tumaini
Asante sana
Kinavutia kwa midundo na zaidi maneno yenye kutia moyo mshale kwa kutoa kama desturi...hongereni sana
Amina
Safii Sana mnatubariki mnoo❤
Kimbieni muoje hii ya kutoa sadaka...this choir is blessing to us i tell you
Amen
Hongereni sana. Wimbo nzuri wa matoleo, pongezi Tumaini Swai🎉
👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽
Sauti nyororo..wimbo mzuri sana...hongera sana 🎉🎉🎉
What a song!!🎉 Beautiful indeed❤❤, Congrats to you all🤝🤝
Swai is gifted indeed. God bless him and the choir
Amen
Pongezi kwa Mzee mzima Tumaini na kwaya nzima 🎉❤❤. Beautiful voices
Asante sana
duh! wimbo mzuri sana natamani sana ningekuwepo na mimi maana so kwa hizi feeling mungu nisaidie one day yes
my dream is to train music with Tumain Swai, Ray Ufunguo, Shimanyi and Mkasa 🙏🙏 I like your songs, kazi safi
Tumaini Swai hongera ulianzia st Luke loitoktok
Mungu aendelee kukuneemesha ndugu Tumaini. Asante kwa wimbo huu wa kuimarisha imani yetu
Hongereni kwa kazi nzuri
Tumaini big up bro unaitumia ipasavyo talanta uliyopewa na Mungu
Mwenyezi MUNGU azidi kuwatia nguvu wanakwaya wenzangu mambo mazuri sana
A great release...kazi ya mungu isonge mbele🎉🎉
Aaaaa wimbo ni mzuriii sana nawapenda sana
Umenikosha sana Kwa tungo Hy ubarikiwe sana swai
Hongera wana kwaya ya Mtakatifu Tereza wa mtoto Yesu.
Tumaini ameweza na hii. Congrats guys. Waiting for more hits
Neno la kilutrujia kwa mtunzi. Kumtolea Mungu zawadi ❌ Kumtolea Mungu vipaji, Sadaka, dhabihu ✅
Hongera sana Tumaini Swai wimbo mzuri ubarikiwe
Good song congratulations more maruku choir....
Hongera Sana kwa uinjilishaji wenu mungu awabarikiii Sana ,,,❤🎉🎉
Hongereni sana kwa utume wa uimbaji ❤❤❤❤❤
Wow 👌 I love the song. 🎉🎉❤❤❤ sweet one . Congrats guys. You nailed it.
Iko safi sana wanakwaya wenzangu. Nimeipenda. Haleluyaaaa
Saut nzuri ,hongereni kwa utume
Amina❤
Sana kaka tumaini nakubali sana
I feel like taking offertory next Sunday. Very divine song.
Mungu awabariki
Umegonga malaika wakaitikia mbinguni
Ni Richard Mwangi❤🎉
Kazi nzuri nimewamiss
I love this song 2025
Kazi safi, tunaomba score 🙏🙏
Kazi nzuri sana.
Hongereni sana
🎉🎉 Safisana Wapendwa
The best song ...hongera sana bro swai❤
Atukuzwe Mungu milele❤❤❤
Amen inapendeza
Hats off to you my role model Sir Swai❤🎉
Swai never dissapoints ...much love guys❤❤❤❤❤
Hongeren sanaaaa
Hongereni sana kwa utume...
Ni Richard Mwangi❤
Ni njema sanaa