Can,t get enough of this ooh Lord,,,,seventh time and not having enough.i want to come home niimbe choir tena.its a blessing to be a choir member.asanteni sana.mko juu
Nikiisikia hii kwaya ikiimba siku zote namkumbuka my dady mwanzilishi wa hii kwaya . Mungu awabariki nawapenda Sana endeleeni kufanya kazi ya bwana kwa moyo hata huko alipo mzee mkoma akiwaona mnazidi kukua naamini anafurahi san
Barikiweni sana watu wa MUNGU
Hata nilianza Kula chakula nikaghairi kwa ajili ya kusikiliza wimbo nikashiba kiroho, Amina sana
Lovely Catholics songs,,,bravo!bravo!bravo!mkatoliki damu💪
The best..Mungu awabariki
Kutoka kenya Huwa sichoki kutazama wimbo huu huwa nahisi kubarikiwa sana. asante sana kwa mtunzi na waimbaji wote kwa ujumla.
Hongera sana Baba Makweta,kwa utunzi mzuri
Hongera kwa kumsifu Mungu
🎉🎉❤ safisana Wapendwa
Mungu awatangulie katika safari ya uimbaji Amina
🎉❤ Najivuniya kuwa mkatolikii🎉❤
Nyimbo nzuuuuuri sana.
Kameja lawrence njoo tufanye kolabo na hawa .....wenzetu.
God loves you Cathedral for the beautiful song 🎵 ❤️
ipo vizuli sana nawapenda bule na mungu awape siku nying
Pongezi nyingi kwa nyimbo nzuri
Hongera sana simameni na imani🎉
Mbarikiwe sana sana ktk kristo
Mubarikiwe zaidi na zaidi❤❤🎉🎉
Muko poa mungu awabarik
Mbarikiwe sana watu wa mungu kwa kazi kubwa ya kuinjilisha kupitia nyimbo nzuri kama huu
Wow wimbo mtamu🎉,the Acapella gives me goosebumps ❤
Glory to God 💪💪💪💪💪🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Wimbo mtaamu sana!
Can,t get enough of this ooh Lord,,,,seventh time and not having enough.i want to come home niimbe choir tena.its a blessing to be a choir member.asanteni sana.mko juu
Proud of being a catholic
Wow🔥🔥🔥😄😄nmebaki nkitabasamu hongereni waimbaji👏👏👏
Nyimbo nzuri Sana,nawatakia mwendo munyofu,na kushahuriana katika maisha.
Amen Mubarikiwe Kamwe ❤
Wow nyimbo mzuri xana
❤❤❤❤❤ wimbo poa sana
Kazi Nzuri Hongereni 🔥🔥🔥
Wimbo mzuri sana hongereni sana❤.Nawapenda sana .
Hongereni sana kwa kazi nzuri ya uinjilishaji Mungu awape neema ya kuendelea kumtumikia yeye.
Amina 🙏🙏🙏
Wimbo mzuri sanaa🎉🎉🎉
Kazi nzuri sana mbarikiwe sana 🙏
Mungu awabariki wote mliobarikiwa na wimbo huu .
❤❤❤❤❤❤ hongereni sanaa
Très bien
Nyimbo nzuri sas🎉🎉🎉🎉🎉
amazing song jmn ahsante sana
Uimbaji mzuri❤
Nimmewapenda bule mungu awabrk
Hongera saaana 🙏 kwa uinjilishaji Mungu awabariki 🙏
Kutoka kenya mlutheri nawapongeza
I love catholic song ❤ ❤❤❤❤❤.Amen
Hongereni sana nyimbo nzurii sanaa
Nyimbo nzuri Mungu azidi kuwabariki daima
wimbo tamu saana mbarikiweni kabisa
Hongereni jaman 😅😅😅😅😅😅
Mmetisha hongereni
THE INSTRUMENTS,THE VOCALS..ON TOP
Mbarikiwe sana Kwa kazi njema ya uinjilishaji.
Safii sana wimbo mzuri sana
Sauti tamu barikiweni
❤❤❤❤kwenu mumependeza barikiwani
Hongera sana kwa kuinjilisha
Nyimbo nzuri sana
Kazi Nzuri wakuu.
Hongereni nyimbo nzuri
Kazi njema kwa mbunifu mungu hatakusidishia maarifa mema
Hongereni Sana
agweeeeeee,,, asante sana kwa uinjilishaji
Good hakika wimbo mtamu sana sana wana Mungu
Imagine ndo msigi
I luck words to express how am feeling , be blessed always 🙏
Waow mmetisha sana wapendwa..nawapenda
Ni mzuri xna
Creative creators artists. Well done tanzania
Nimebarikiwa utume mwema
Mungu awabariki sana 🙏🙏🙏
❤❤❤ Hongereni sana wapendwa, wimbo mtamu sana na mmeutendea haki ipasavyo 🎉🎉🎉🎉🎉
Congratulations for the good work of evangelism through songs
kazi njema...Barikiweni
Nyimbo nzuli
So stunning 🥰 glory unto jah
music and melody plus the message.........mbarikiwe
Wimbo mzuri
Mungu awabariki kwaya yangu kwa wimbo mzuri, nawamiss komgole kwa huduma hii🔥🔥🔥
Listening for the 100th time ❤❤❤
Kumbe tupo nawe kuuskiza kwa mara ya 202.😂
@@livingstonemasikonte916 🤗🙏🙏
Kwaya namba moja nchini
Nikiisikia hii kwaya ikiimba siku zote namkumbuka my dady mwanzilishi wa hii kwaya . Mungu awabariki nawapenda Sana endeleeni kufanya kazi ya bwana kwa moyo hata huko alipo mzee mkoma akiwaona mnazidi kukua naamini anafurahi san
He is a legend is steal in our hearts
Good worker be blessed
Naomba NOTA
Nice
Mungu awabariki
Very nice 🎉🎉🎉❤❤❤😮😮😮
Mwenyezi Mungu aendelee kubariki kazi njemaa ya mikono yenu
Kazi nzuri.Hongereni
Tenor❤
That's wonderful
Waah 🤗🤗❤️❤️❤️
❤❤❤lovely
Süper 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Nice❤
❤
🔥🔥🔥🥰
Njooni sasa tumsifu Mungu Baba❤❤❤🎉🎉🎉
Barikiweni sana Bwana anafurahi akiwa kiting chake cha enzi
Kitini
Kitini cha enzi
❤❤❤❤
Kutoka kongo mulutheri wa damu nawapongeza naweza penda munipe namba ya watshap
how about nyimbo nyingne. kama ule wa shukurani
🎉🎉🎉🎉😢😢😢😢🎉🎉🎉