Jazakallah ya Ustadh,tatizo wenzetu wanataka tumwone Mtume Muhammad kama mtu tu wa kawaida Mtume katajwa kwenye Quran Mtume kasamehewa dhambi zake Mtume kasafirishwa safari yaki miujiza israa wa miiraj Mtume kashukiwa na Malaika Jibril na kateremshiwa Wahyi Mtume Muhammad swallahu aleyhi wasallam ni Rahmatan lil alamin. Kwa kazi kubwa na subra aliokuwa nayo mtume si kama sisi mtume ni Rehma kwa walimwengu wote.
Uongo uongo uongo Hizo hadith za لولاك ما خلق الله عرشا لولاك ما خلق الله آدم Na mfano wa hadithi zote,ni maudhuuii,na hajasema hvyo albaani,bali wanavyuoni wa kale mabingwa,akiwemo (الشوكاني)،(الصنعاني) شيخ الاسلام ابن تيمية Mubaarak awesi huo ni uongo uongo uongo,pili illah ya kusema kua allah ameviumba vitu vyoote kwa ajili yetu,wala hilo huwezi kuliqiis na mas-al ya laulaaka,zimekuja hadithi swahihi mtume anatuelekeza namna ya kutumia laulaaka قل:لولا ثم فلان Amma hadithi ulizo zileta zote ni maudhuuu
Mimi binafsi sijaelewa hoja yako nini kwa shekh..! Uongo hizo hadithi hakuna au uongo wa shekh ni upi..? Ametoa rejea ya vitabu hapo. umeangalia hukuona..? Na kama zipo uongo wake ni nini..? Hilo la kua hadithi ni maudhui hilo ni jambo lingine..! Ebu tuwe na adabu basi kati yetu.
@adamjutto5849 ahsante sana...! na wala sioni ajabu. kama umemtolea shekh maneno mabaya sasa mimi ni nani..! Ila tatizo lenu mkijua tyu فاعل والمفعول basi watu wote hawajui haki. imam shaafii ni mwanafunz wa imam maaliki. Lakini zipo sehemu wamepishana mitazamo. Na bado alimuweka nafasi yake. Wala aku mtusi..! Nyie sijui anae wafundisha kutukana na dharau mashekhe sijui nani..! sijui hata hiyo da,wa ya kutukana mashekhe mmeitoa wapiiii
Jazakallah ya Ustadh,tatizo wenzetu wanataka tumwone Mtume Muhammad kama mtu tu wa kawaida
Mtume katajwa kwenye Quran
Mtume kasamehewa dhambi zake
Mtume kasafirishwa safari yaki miujiza israa wa miiraj
Mtume kashukiwa na Malaika Jibril na kateremshiwa Wahyi
Mtume Muhammad swallahu aleyhi wasallam ni Rahmatan lil alamin. Kwa kazi kubwa na subra aliokuwa nayo mtume si kama sisi mtume ni Rehma kwa walimwengu wote.
Shekh mbarouk ahmad awes allah amekupa alivyowanjima wengne masha allah tukutane peponi kwa baraka za mtu insha allah
نورك الله يا دكتور ، كثر الله امثالك يا جبل
Masha Allah Masha Allah Tabbarak Rahman 🤲🤲
اللهم فقهنا في الدين
ما شاء الله
mawahab elimu ndogo ubish tu
Masalafi wapo kwa ubishi tu.....
Lau kama sisi wanadamu asingeumbwa mbuu na malaria yasingekuepo
Mwamba
hili jaahili siku zone ni kutetea mambo ya BID'A na shirki!!
Elezea ujinga wake au wewe ndo uwe jaahil murakabu
Wasem ni ungo tetea kilim siulopoke tu ww wahabi
Uongo uongo uongo
Hizo hadith za
لولاك ما خلق الله عرشا
لولاك ما خلق الله آدم
Na mfano wa hadithi zote,ni maudhuuii,na hajasema hvyo albaani,bali wanavyuoni wa kale mabingwa,akiwemo (الشوكاني)،(الصنعاني) شيخ الاسلام ابن تيمية
Mubaarak awesi huo ni uongo uongo uongo,pili illah ya kusema kua allah ameviumba vitu vyoote kwa ajili yetu,wala hilo huwezi kuliqiis na mas-al ya laulaaka,zimekuja hadithi swahihi mtume anatuelekeza namna ya kutumia laulaaka
قل:لولا ثم فلان
Amma hadithi ulizo zileta zote ni maudhuuu
Mawahb wabish Kama kiki kujua kuponda kutwali hamutaki
@@ZainamavooMavoo ubishi gani pumbavu wewe,vp unadanganywa afu wakubali,hzo hadithi ni maudhuuah
Mimi binafsi sijaelewa hoja yako nini kwa shekh..!
Uongo hizo hadithi hakuna au uongo wa shekh ni upi..? Ametoa rejea ya vitabu hapo. umeangalia hukuona..? Na kama zipo uongo wake ni nini..? Hilo la kua hadithi ni maudhui hilo ni jambo lingine..! Ebu tuwe na adabu basi kati yetu.
@@HusseinSmile-p4f acha kukata viuno kwenye matwaari hudhuriaa duruus utaelewa
@adamjutto5849 ahsante sana...! na wala sioni ajabu. kama umemtolea shekh maneno mabaya sasa mimi ni nani..! Ila tatizo lenu mkijua tyu فاعل والمفعول basi watu wote hawajui haki. imam shaafii ni mwanafunz wa imam maaliki. Lakini zipo sehemu wamepishana mitazamo. Na bado alimuweka nafasi yake. Wala aku mtusi..! Nyie sijui anae wafundisha kutukana na dharau mashekhe sijui nani..! sijui hata hiyo da,wa ya kutukana mashekhe mmeitoa wapiiii