NI NANI HAWA VIUMBE MAYAHUDI NA LAANA ILIYOPO JUU YAO. DR ISLAM MOHAMMED.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 182

  • @fatmasuleiman6991
    @fatmasuleiman6991 Рік тому +1

    Allah akuhifadhi uzid kutuelimisha Insha'Allah

  • @mammukaratu2084
    @mammukaratu2084 Рік тому +1

    MASHAALLAH !! UMEELEWEKA KIISOMI KABISAA..ALLAH AENDELEE KUKUNYANYUA INSHAALLAH

  • @jumaame5606
    @jumaame5606 Рік тому +2

    Acheni hasira shekh Ameeleweka .

  • @mamilooutukufu3516
    @mamilooutukufu3516 Рік тому +1

    Yesu aliwasamehe msimsingizie yesu wetu anaga kinyongo yesu wetu!! Alisema Baba uwasamehe sabbu hawajui walitendalo!! Apo kalaaniwa vip wakat ambao awajalaaniwa ndo wanapgwa

    • @amayamaya2306
      @amayamaya2306 Рік тому

      Wejahil

    • @amayamaya2306
      @amayamaya2306 Рік тому

      Hawamuamini yesu mpk Leo wanasema mtoto wa Zinaa Maria Aliza na yusuph na ukiwauliza juju ya wakristu wanajibu waz in waabudu masanamu 😂 Torah inasema anaebudu sanamu hastahili kuishi duniani maanake wanamini wakristu wabudu idiols worshippers hawastahili kua duniani 😂 hawa ni wafuasi wa Antichrist na wanamsubiri mpingaKristo mkombozi wao

  • @philiplangat4467
    @philiplangat4467 Рік тому +1

    Kuoa mama mlezi ni laana tosha

  • @sharomdguda
    @sharomdguda Рік тому +1

    Allah ni kitu gani! , Kila siku Allah wkt mnaomba nakulia na Israel anawapiga 2. Allah amelala 2

    • @babuallyjunior6627
      @babuallyjunior6627 Рік тому

      Hii ndio sifa ya waliokufuru kama firauni na namrudha bin kanaani na kaaruni na siku ukiingia ndani ya kaburi ndio utajua mbivu na mbichi ila nakuombe kwa Allah akuongowe kwani firauni alitakabari lkn Allah sifa yake huwa anakuacha lkn siku akikutia mikononi ndio utabaini ukweli

    • @idrisalimapema2539
      @idrisalimapema2539 Рік тому

      Mbona yesu alitoroka na hakuwauwa maadui zake?

  • @myself4128
    @myself4128 Рік тому

    Angalia Kati ya Hao wapalestina na Waisrael alolaaniwa nani😂😂😂😂Laana Inatesa sana!!! Alllah kashindwa kuikomboa Palestine Sababu mnaabudi Sanamu!!

  • @eppiemodest
    @eppiemodest Рік тому +3

    Waisrael are blessed.😇😇😇😇😇😇♥️♥️

    • @madhuru2554
      @madhuru2554 Рік тому +1

      Blessed by you Idiot

    • @HakimuRamadhan
      @HakimuRamadhan Рік тому +1

      Kumbe na ww ni myahudi mpinga kristo duh

    • @Sal.0
      @Sal.0 Рік тому +1

      Uzaa wa Judah, ambao ni Wa israelis are CURSED.
      SOMA Hapa, Wewe KaNuguu:
      Amos 2:4
      New International Version
      4 This is what the Lord says:
      “For three sins of Judah,
      even for four, I will not relent.
      Because they have rejected the law of the Lord
      and have not kept his decrees,
      because they have been led astray by false gods,[a]
      the gods[b] their ancestors followed,

    • @Sal.0
      @Sal.0 Рік тому +1

      Joshua 7:12
      “Therefore the children of Israel could not stand before their enemies, but turned their backs before their enemies, because they were ACCURSED!

    • @ahmadmzoa74
      @ahmadmzoa74 Рік тому +1

      Poleni sana manaswara. Jitahidini kusoma. Nyie tatizo mnapenda sana dunia. Hivi hata wewe mwanao uliyempenda lakini yeye akakuasi je,utaendelea kumpenda?Mwenyezi MUNGU MTUKUFU katika Taurati Amesema: "Usiue".Hawa jamaa wanauwa, wanapora,wanafitinisha wanapotosha, sio wakweli hata wamefikia kumkejeli MUNGU MTUKUFU kwa maneno mabovu ya ukosefu wa adabu. Halafu unasema;"They are blessed "?!

  • @alphasamwel
    @alphasamwel Рік тому +5

    Mwanzo 17:18-21 Ibrahimu akamwambia Mungu, Lau kwamba Ishmaeli angeishi mbele yako.
    Mungu akasema, Sivyo, lakini Sara mkeo atakuzalia mwana wa kiume, nawe utamwita jina lake Isaka. Nami nitafanya agano langu imara kwake kuwa agano la milele kwa ajili ya uzao wake baada yake.
    Na kwa habari za Ishmaeli nimekusikia, nimembariki, nitamzidisha, nami nitamwongeza sana sana. Atazaa maseyidi kumi na wawili, nami nitamfanya awe taifa kuu.
    Bali agano langu nitalifanya imara kwa Isaka, ambaye Sara atakuzalia majira kama haya mwaka ujao.

    • @samxx411
      @samxx411 Рік тому +1

      Ni kitabu gani kinachoeleza habari hiyo? alipewa mtume gani? na huyo aliepewa aliongea lugha gani? kipo wapi hicho kitabu cha asili kinachoeleza hivyo ili tuone kama kweli??? au kuna watu wametengeza ili kubrain wash watu??

    • @kimsi682
      @kimsi682 Рік тому

      @@samxx411 Haiya ya yai! God of Ibrahim, Isaac, and Jacob, have mercy in this soul!

    • @alphasamwel
      @alphasamwel Рік тому

      ​@@samxx411 katika BIBLIA kitabu cha *mwanzo* kasome kuanzia sura ya 12 hadi 50.
      Ni kitabu cha kwanza cha musa.
      Pia Hayo maswali yako unavyouliza unafikiri upo mahali salama wewe?
      Na itikadi zako za kidini ulizo nazo?
      nakuhurumia kwa jinsi ulivyodanganywa wew na mlivyodanganywa wote ninyi.
      UNAMUHITAJI YESU KRISTO ILI UWE SALAMA MILELE.
      Yohana 10:10
      Mwivi haji ila aibe na kuchinja na kuharibu; mimi nalikuja ili wawe na uzima, kisha wawe nao tele.

    • @alphasamwel
      @alphasamwel Рік тому +1

      Nakupa neno hilo mpokee yesu kristo

    • @hemedbamja3197
      @hemedbamja3197 Рік тому

      Hilo agano lilienda wapi wakati warumi walipowafurusha?au agano linakuwa active wakikutana na watu wanyonge?ka si laana ya mwenyezi Mungu?! Utakuta jikristo linajinasibisha na Israel, wakati mayahudi wenyewe wanauona ukiristo ni ukafiri😅.hata haijui cha Yesu wala nn. Vipi mnawabaliki wale wanaompinga Yesu? ingekuwa math ilikuwa simple kusema hata ninyi Yesu hamna Imani nae. A=B,B=C; A=C

  • @daudyussuf8180
    @daudyussuf8180 Рік тому

    MashaAllah sherkh wetu mayaudi si wakiristo nawapendi musalaba wasema musalaba ni lahana ukiona mukristo watetea israil ajitambui mayahudi watumia biblia

    • @myself4128
      @myself4128 Рік тому

      Endeleeni kuabidi sanamu na likitabu lenu la Mashetani😂😂😂,Wayahudi nao wamepotea kama Nyie sema wao wanamjua Mungu wa Kweli ila tu wabishi,lakini waislamu mnabusu Jiwe tu

    • @myself4128
      @myself4128 Рік тому

      na kwa Taarifa yako agano lote la kale wanalo katika Biblia yao ya kiyahudi, ila sababu walimuua Yesu wanapinga ukweli wote wa Agano Jipya...wamepotea kama kawaida

  • @HassanKatumbi-hr5lg
    @HassanKatumbi-hr5lg Рік тому

    Aangukwaye kwenye mti amelaaniwa wakristo hawana dini dini iko kwa Kila muislam na Quran imefahamisha ktk surat l maida ila ukristo Ni neno la kupanga walilolitumia wapagani wa Antiokia poleni mnaojiita wakristo maana hamna dini na hamna kitabu maana qurani Ni kitabu wanachokitumia waislam na kinaonekana na injili Ni kitabu walichokitumua waislam waliopoita kama taurat na zabur poleni wakristo kwa kunukuu ila kitabu chetu biblia kilichokatazwa sifa ya kutokuwa na mtume

  • @PiliTekelo
    @PiliTekelo Рік тому

    Alielala hasikiii

  • @alphasamwel
    @alphasamwel Рік тому +1

    Mwanzo 22:15-17 Malaika wa Bwana akamwita Ibrahimu mara ya pili kutoka mbinguni
    akasema, Nimeapa kwa nafsi yangu asema Bwana, kwa kuwa umetenda neno hili, wala hukunizuilia mwanao, mwanao wa pekee,
    katika kubariki nitakubariki, na katika kuzidisha nitauzidisha uzao wako kama nyota za mbinguni, na kama mchanga ulioko pwani; na uzao wako utamiliki mlango wa adui zao;

  • @nicksonlyimo1562
    @nicksonlyimo1562 Рік тому +1

    Kuna kitu hamja kijua bado na hicho kitawasumbua sana hadi kiama wala hamtakaa muelewe chochote,mtapiga mbiu isiokua na muitikiaji,wayahudi wao wamepewa torati kwa mkono wa Musa na Mungu alikitambilisha kwa kama Yehova ,Niko ambae Niko Mungu mwenyezi na wakaambiwa kitabu hiki cha torati kisiondoke moyoni mwako na maneno yake uyatafakari mchana na usiku na wakabarikiwa na Mungu wa kweli alie jifunua kwao kwa wazi ,eti leo uwaambie wamwabudu Allah ambae hawamjui na Mungu haku waambia kua atakuja nabii mwingine eti wa dunia nzima ,myahudi hawezi kupokea hilo kwani hata Yesu alisema hatatoka nabii nje ya israel tena akasema jihadharini sana muangalie msidanganyike sijui myahudi na mkristo watapokeaje elimu ilitokatazwa na Mungu kua msiipokee, Yesu ni alfa na omega hakuna mwingine apaswae kuabudiwa Yesu ndio Mungu wa kweli alie uvaa mwili akakaa kwetu , acheni kuwataka watu wakubali kile mnachokiona ninyi kua sahihi ambacho wao wanaona sio sahihi ni hadithi hadithi za uongo zilizo nyofolewa kwenye taurat na injili na zaburi zikageuzwa kijanja kijanja,siku ya hukumu Yesu atasimama ahukumu wanadamu wote hata ninyi mliomkataa happ patakua kilio na kusaga meno .ukihitaji mbingu lazima Yesu awe mwokozi wako

    • @kwaleboy6064
      @kwaleboy6064 Рік тому

      Hujielewi waongea tu juu ulisikia kwa pasta wako.soma kwanza

    • @nicksonlyimo1562
      @nicksonlyimo1562 Рік тому

      @@kwaleboy6064 ni some wapi hapo ulipo soma weye,? Unadhan kuweza kufananisha Israel na waarabu subutu yako ,taifa teule ,lenye nguvu, lililobarikiwa na Mungu wa kweli sio blaha blaha , wanaitwaa watu hodari wanao piganiwa na Mungu ,( wao hawaabudu dini na mitume Bali Wana Imani katika Mungu wa kweli hajawahi waacha Wala huwasikii wakipigana wakitaja Mungu na kupiga makelele hutasikia hiyo) kimya chenye matoleo ,na usidhani kusoma ndio ujanja ,kikubwa ni ufahamu na hekima wasomi sii kitu elimu ya darasani hauwezi kusaidia kitu kwenye Imani na nabii za kweli na kumjua Mungu ,Billa Roho Mtakatifu wewe ni maamuma 2 Wala pasta hajabeba akili za waumini.mtafute Yesu utamuona na atakufundisha kweli bila Yesu mwanadamu sii kitu ,karibu kwa YESU upate uzima na rehema hayo mengine utazidishiwa.

    • @ibrahimjuma9709
      @ibrahimjuma9709 Рік тому

      Pole sana ndugu. mwenyezi Mungu akupe moyo laini juu moyo laini UJINGA aukaii ndani yake

    • @nicksonlyimo1562
      @nicksonlyimo1562 Рік тому

      @@ibrahimjuma9709 ungesoma kitabu chako Mtume wenu amesema manasara wanaakili kuliko ninyi Tena wao hawahitaji lolote kutoka kweni ,pengine akasema manasara watakuja juu yenu sikuzote

    • @IddiMkindi
      @IddiMkindi Рік тому

      Umejitahidi bahat mbaya huna maarifa na unachosema wakat mwingine jitahidi uwe msikilizaji sio lazima kuchangia

  • @aishathabit3732
    @aishathabit3732 Рік тому

    Huyu aya anazitafsiri kujinga kweli hajui kazi ya واو؟

    • @jumamambo5905
      @jumamambo5905 Рік тому

      Duu wew bila shaka n kufar au umeolewa na kafir

  • @khadijaibrahim870
    @khadijaibrahim870 Рік тому +1

    Waislamu tukimuona mtu ametukana uislamu na mtume tumuombee MUNGU amsamehe na wewe muislamu ikiwa hukubaliani na maneno ya sheikh haina haja umkashifu bora ni kuwacha kumsikia kuliko kumtukana mtu na hajakulazimisha kumsikia.Allah atuongoze sote

    • @gmadini5291
      @gmadini5291 Рік тому +1

      INSHALLAH UNA KIASI FULANI CHA UFAHAM

  • @MWALIMUCHAKATV
    @MWALIMUCHAKATV Рік тому

    Kumbuka aya hizi pia Sheikhy wetu. Quran 45; 16. Na hakika tuliwapa Wana wa Israili Kitabu na hukumu na Unabii, na tukawaruzuku vitu vizuri vizuri, na tukawafadhilisha kuliko walimwengu wote. 16
    17. Na tukawapa maelezo wazi ya amri. Basi hawakukhitalifiana ila baada ya kuwajia ujuzi, kwa ajili ya uhasidi uliyo kuwa baina yao. Hakika Mola wako Mlezi atahukumu baina yao Siku ya Kiyama katika mambo waliyo kuwa wakikhitalifiana.

    • @nyetaapaul619
      @nyetaapaul619 Рік тому +1

      Walipewa vyote hivyo ila wakakuturu pamoja na yote waliyotendewa ! Soma Quran uilewe vizuri au ndo wale wanaochukua sehemu tu katika Aya wakatafsri wajuavyo wakitafuta fitna, pole kaka Kwa uelewa mdogo

  • @mabubakar1076
    @mabubakar1076 Рік тому

    Mbona Quran inasema kua Ardhi yote ya magharibi na Mashariki wamerithishwa hao Mayahudi? Ama Ardhi ya Allah ni ipi?

  • @abdulhalimomar5329
    @abdulhalimomar5329 Рік тому +1

    Hawa mayahudi walikuwa wabishi snaa walifikia mpka kutaka kumuona mungu wakampa changamoto nabii mussa wakamp changamoto nabii issa waktak wamsulubu akapnda mbingumi wamelaaniwa sabbu wamepewa neema nying lakn wakakufuru wamelaaniwa hawa jaamaa

    • @nicksonlyimo1562
      @nicksonlyimo1562 Рік тому

      Uwongo kitabu kilichoandika kua Israeli kalaaniwa nicha kishetani kwa kua kimepinga Torati yote na manabii wote ulisema Israeli kalaaniwa inamaana hata manabii wote walilaaniwa kwani walikua ni waisraeli acheni uongo huo m baya Mungu atawahukumu na mtatoa hesabu na hadithi zenu za uongo

    • @abdulhalimomar5329
      @abdulhalimomar5329 Рік тому

      utanipotezea muda tu ( wote wametokana na Ibrahim ndio baba wa mitume wote na israil ma palestin wote n watoto wa wake pia na wTu wengine ila usipoteze muda tukapotezeana muda we baki ivoivo ujuwVyo utajuwa mwenyewe )

  • @ZanGreen-jp1ti
    @ZanGreen-jp1ti Рік тому +3

    Ya Allah walaani mayahudi najamaa zao

    • @JoshuaMwamala-z1g
      @JoshuaMwamala-z1g Рік тому +2

      Pole mungu yup unayeomba awalaan?na hiyo laana inageuka kwako.

    • @kimsi682
      @kimsi682 Рік тому +1

      @@JoshuaMwamala-z1g Tena hawa watu, wajue, vitu kadhawa kadha hapa! Israel is an apple to the eye of God! If you want to pock the eye of God, mess with Isreal. Pili, He who watches over Isreal DOES NOT SLUMBER!! Tatu, cursed is he who curses Isreal. Blessed is he who blesses Isreal. No one will ever wipe out the nation of Isreal. For many years, many have tried but Isreal lives!! God watches over them!!

    • @mahmudahmad5369
      @mahmudahmad5369 Рік тому +1

      @@kimsi682 kafiri wewe

    • @saidsaleh4086
      @saidsaleh4086 Рік тому

      ​@@kimsi682Laaana hiyo unayo. Waliomsulubu yesu ni nani??!!

    • @gmadini5291
      @gmadini5291 Рік тому

      KAFIRI NI NINI? UJUE HUJUI KAMA HAUJUI? MBAAAYA.....PUNGUZENI KUKARIRI NA HADITHI PIA...ISITOSHE KWA NINI MKIKOSA POINT NYIE WATU WA KITABU MNAKIMBILIA NENO "KAFIRI" HATUWEZI KUWA WAFUASI WA YESU KRISTO KISHA TUWE NA "ROHO MTAKATIFU" KISHA TUWE MAKAFIRI...HUNA KITU UNAJUA, KICHWA YAKO INAFAA ITOLEWE IKUNG;UTWE KISHA ISAFISHWE NDIO UREJESHEWE TENA WEYE AMBAYE SIO KAFIRI...POLE SANA

  • @BdjdhHshssgsg
    @BdjdhHshssgsg Рік тому

    Ukiskiya KAMAU juwa unaona mwizi,mmbakaji 'kula mira tu na kupiga ngeta watu babako gacharwa na mamako nyawira wangezaa ata guniya ya mira watafune pale yakuzaa kafiri Kama iyi'Laana zote zikushukiye#

    • @suleimankidiavai1889
      @suleimankidiavai1889 Рік тому

      😅😅😅😅😅😅😅🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤣🤣🤣

  • @swalesale2229
    @swalesale2229 Рік тому

    Doktoor 💯

  • @amsodewiz4901
    @amsodewiz4901 Рік тому +1

    ❤❤❤

  • @alichaga4621
    @alichaga4621 Рік тому

    Yesu hakuingia kanisani hata sikumoja

  • @myself4128
    @myself4128 Рік тому

    Allah kashindwa kuisaidia Palestina😂😂😂Endeleeni kuabudu Sanamu!!

  • @healingclinic698
    @healingclinic698 Рік тому +3

    Sheikh siku utakapokufa alafu umkute ibrahimu hakuwa kwenye dini Yako hiyo utaimba wimbo mpya

    • @madhuru2554
      @madhuru2554 Рік тому +1

      Ibrahim na Ishmail ndio waliyojenga Kaaba hapo Saudi Arabia

    • @JoshuaMwamala-z1g
      @JoshuaMwamala-z1g Рік тому

      😂😂😂😂😂😂

    • @samxx411
      @samxx411 Рік тому +2

      tuna ushahidi Ibrahimu ndie alieijenga Alkaaba ya kule Makka, kuchinja katika skukuu tunafata mila ya Ibrahimu alivyoambiwa mwanawe badae akapewa mnyama kutoka peponi lakini pia tuna ushahidi wa msikiti aloswali yesu Al Aksa Jarusalem. je na nyie mna ushahidi wowote

    • @kimsi682
      @kimsi682 Рік тому

      @@samxx411 Toa ushaidi hapa!

    • @madhuru2554
      @madhuru2554 Рік тому

      @@samxx411 Si lazima upate ushahidi hata kama ushahidi upo hutaamini sababu wewe ni kafiri tayari moyo wako ushapigwa muhuri
      Tena acha hiyo Mt.Sinai ipo Saudi Arabia hiyo ni elimu ambayo hujui.

  • @MirajiHemedi
    @MirajiHemedi Рік тому +1

    Walihalamishiwa nguruwe, ninyi mnakula?

  • @noahwamalwa4385
    @noahwamalwa4385 Рік тому

    Allah ni jiwe jeusi hawezi lolote hata hawezi laani mtu yeyote

    • @madhuru2554
      @madhuru2554 Рік тому +1

      Wewe mwenye una laana tayari,dini huna,mungu huna laana ndio unayo .

    • @ahmadmzoa74
      @ahmadmzoa74 Рік тому

      Wengi katika manaswara (wakristo)ni vipofu wa utambuzi. Waislamu tuna yetu nanyi mna yenu. Pilipili msoila yawawashia nini. Sisi hatuna mpango na kuwasikiliza makasisi wenu lakini nyinyi...Someni sana kitabu chenu Biblia ambayo hamjaijua. Na Papa ndo kesha sema imepitwa na wakati,sijui mtatumia kitabu gani...!?

  • @emmanuelmlekwangano9991
    @emmanuelmlekwangano9991 Рік тому

    Mayahudi ndio wenye pesa na wanaongoza kwenye sayamsi na teknologia ila wapalestina no njaa na shida tupu Sasa nani mwenye laana

    • @mamilooutukufu3516
      @mamilooutukufu3516 Рік тому

      Asante kaka mwenye laana anapigwa??? Ilihali mwenye haki anakufa kila siku??? Muachen MUNGU wa Israel Muumba wa Mbingu na nchi sisi tumuabudu nyie abuduni mkijuacho!! Elia akasema na MUNGU anaejibu kwa moto awe ndo MUNGU!!

  • @TediMussa
    @TediMussa Рік тому

    Cjaona chamaana alichokiongea huyu haya mambo mwachien mungu mwenyewe

  • @nyetaapaul619
    @nyetaapaul619 Рік тому +1

    YOSHUA 7:11-12 WAISRAEL WAMELAANIWA

    • @HakimuRamadhan
      @HakimuRamadhan Рік тому +1

      Wewe ndo umekaaniwa maana huijui dini yako bali unaendeshwa na the new world older

  • @aishathabit3732
    @aishathabit3732 Рік тому

    #Albany anasema waislam wakiwa vitani na makafiri haipaswi kuwa dhidi ya waislamu hata kama wana makosa ya hapa na pale
    Lakini masalafy nyie kwenye kutii amri za makafiri wenu wa Saudia huwa hamfuati hata misingi yenu ya usalafy

  • @aishathabit3732
    @aishathabit3732 Рік тому

    Acha kupoteza muda toa kauli moja na fupi #Jeshi la #Saud liende Palastina kupigana na mastori ya yahudi na mayahudi

  • @chalokalunde9429
    @chalokalunde9429 Рік тому +1

    Ishmael baba wa Waarabu alifukuzwa nyumbani kwa Ibrahim kwasababu ni mwana wa mjakazi.MWANA WA MJAKAZI,HUWEZI KURITHI PAMOJA NA MMUNGWANA (ISAKA) hivyo uzao uliobarikiwa ni huu ambao ndipo Wasrael wapotoka.

    • @HakimuRamadhan
      @HakimuRamadhan Рік тому +1

      Hakuna kitu kama hicho ibrahimu hakuwa na ubaguzi

    • @salehrashid-fx9rq
      @salehrashid-fx9rq Рік тому

      Wewe umetoka kwenye kizazi gani? Au umetoka kwenye kizazi cha nguruwe mweusi?

  • @emmanuelmlekwangano9991
    @emmanuelmlekwangano9991 Рік тому

    Nendeni mkaipiganie Palestine Allah yupo nyuma yenu maneno maneno hayasaidii

  • @aishathabit3732
    @aishathabit3732 Рік тому

    #dr_islam hivi mkila hizo pesa za Saudia lakini mkaacha kulaza umma hamuwezi?
    Lazima tu mtekeleze maagizo ya Saudia?
    Ni tahira tu ndiye ataacha kuzungumza mauaji yanayo jiri Palastina yanayo fanywa na mayahudi kisha akaanza kutoa stori za mayahudi zilizo pita na kufunika funika matendo yao yanayo fanyika muda wa sasa

    • @ahmadmzoa74
      @ahmadmzoa74 Рік тому

      Shaykh wetu anarejea Kitabu cha ALLAH A'ZZA WAJALLA. Sasa wewe unayesikia maumivu moyoni mwako,kuffa kwa chuki yako. Na kama mtu anaumia kwa mawaidha ya mashekhe zetu usisikilize pilipili usoila yakuwashia nini..?!Kuna mnafiki mmoja eti anasema Shaykh ana haja gani kuongelea mayahudi baadala ya kuzungumzia Falastin..?Huyu sio muislamu wa kweli..unaumia kwa aya za wewe na hao rafiki zako wasiokuwa Waislamu.

    • @ahmadmzoa74
      @ahmadmzoa74 Рік тому +1

      Kuna kafiri mmoja amesema kuwa:"Allah ni jiwe jeusi" ALLAH A'ZZA WAJALLA Ampe la kumtosha kwa kufru yake hiyo, na INSHAALLAH atatoshelezwa.

    • @ahmadmzoa74
      @ahmadmzoa74 Рік тому

      AĹLAH A'ZZA WAJALLA Akuhifadhi Shaykh wetu. Hata kama wanafiki na makafiri watachukia.

    • @ahmadmzoa74
      @ahmadmzoa74 Рік тому

      Kama unaumia usisikilize pilipili usoila inakuwashia nini?!.Hapana muabudiwa wa haki ila ALLAH SUBHANAHU WATAALA. Yule anaesema;"chunga sana " ni mtu iliyejawa na khofu ya Dduniya. Dduniya

    • @jumamambo5905
      @jumamambo5905 Рік тому

      Wewe dada sio mzima kiakili una afya ya akili

  • @MWALIMUCHAKATV
    @MWALIMUCHAKATV Рік тому +1

    Ila Dokturi mbona aya zingine kama hizi hapa umesisahau Quran 2: 47. Enyi Wana wa Israili! Kumbukeni zile neema zangu nilizo kuneemesheni, na nikakuteuweni kuliko wote wengineo...

    • @saidimpako5186
      @saidimpako5186 Рік тому

      waliteuliwa means past baadae wakaasi mungu akaondoa neema zake kwao

    • @talentsmediacrew3373
      @talentsmediacrew3373 Рік тому

      Sasa quran imekuja baada ya yesu na mtume amezaliwa baada ya isa bin mariam sasa hayo mazungumzo ya mtume na Wayahudi waliifanya wapi maana wao wamepata baraka na neema hzo mtume hajazaliwa

    • @ALIKHAMIS-un4fv
      @ALIKHAMIS-un4fv Рік тому

      ​@@talentsmediacrew3373jitambue mtume amefunuliwa wahyi na Allah sawa tofauti na ww yeye ni mtume na habari anaxo pewa na Allah ni za ghaibu

  • @AbdoBedru
    @AbdoBedru Рік тому +1

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😂😂😂❤

  • @maase2023
    @maase2023 Рік тому

    Huyu ustaaza anachanganya yahudi na Israel! Afahamu kuwa yahudi ni dini na Israel ni taifa ss waliolaaniwa ni wepi? Maana ndani ya taifa la Israel wapo waislamu na yahudi na dini zingine

  • @alichaga4621
    @alichaga4621 Рік тому +1

    Wakristo wana nalaana kubwa kabisa

  • @eliachalamila2259
    @eliachalamila2259 Рік тому

    Wewe tukiwaita miislamu utafurahi?

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme Рік тому

    Dini yawanafiki ulimwenguni

  • @hustlecultureMBA
    @hustlecultureMBA Рік тому

    You can never curse Israel! Funza imani potovu, lakini chunga sana.

    • @Sal.0
      @Sal.0 Рік тому +2

      They were CURSED from Day One!
      Soma Hapa Mjinga:
      Joshua 7:12
      “Therefore the children of Israel could not stand before their enemies, but turned their backs before their enemies, because they were ACCURSED!

  • @gasparlubaga5866
    @gasparlubaga5866 Рік тому

    Kwani wayahudi kosa lao Nini?

    • @ibrahimjuma9709
      @ibrahimjuma9709 Рік тому

      Walikataa kufuata maagizo walio wachiwa kwa madaii mpaka wamuone mwenyezi mungu dhairi someni mpate kuelewa siyo kukariri maneno ya simulizi

    • @salehrashid-fx9rq
      @salehrashid-fx9rq Рік тому

      Kumtukana yesu na kumwita mtoto wa nje ya ndoa na pia kumwita shoga kwa sababu kafika miaka 35 hajaoa na ndio maana walimuua. Hayo wee kenge huyajui?

  • @IddiMkindi
    @IddiMkindi Рік тому +3

    Yani bilblia ndicho kitabu kilichoharibiwa na wayahudi kuliko vtabu vyote yani wameweka maneno mengi ya kuwafanya watu wawatetee ktk uovu wao

    • @LwangaleMango
      @LwangaleMango Рік тому

      Toa ushahidi wa maneno yaliyowekwa,,,,Quran yenyewe imekuja miaka Mia sita baada ya Bibilia...waandishi wa Quran kwanza wanashuhudiya kwamba habari kuhusu Yesu ni kweli. Tukiweka Yesu na Muhammad kwa mizani, ni yupi alive aliyetenda mema????????

    • @kamanjamwenjerwa7032
      @kamanjamwenjerwa7032 Рік тому +1

      MITUME WOTE WALIKUA WAYAHUDI HAKUNA MUARABU MUHAMMAD SIP MTUME ALIWATAPELI

    • @myself4128
      @myself4128 Рік тому

      mna Laana😂😂😂😂 eti kimeharibiwa kwahiyo Allah ndio kafeli kukilinda Muongo mkubwa si aliahidi kulinda Vitabu vyake?wewe Quran uliyonayo unamjua Mwandishi?unaijua Quran ya Kwanza ikoje?

    • @lucaswanyonyi4037
      @lucaswanyonyi4037 Рік тому

      Maneno gani.

    • @kamanjamwenjerwa7032
      @kamanjamwenjerwa7032 Рік тому

      @@LwangaleMango Seriously MUHAMMAD alilala na Aisha akiwa na MIAKA 9 akamuoa akiwa na 6 this is avery dangerous paedophile man he killed jews alikua muaji bwana

  • @listonjiwe3467
    @listonjiwe3467 Рік тому +1

    Ni majini tu na watu wake ndio wanaoilaani israel bali mungu wa kweli anasimama na israel quran 2: 47 hiyo laani ni ya wale wanaowalani israel na wale ambao wanao sema hawatambui kuwepo kwa taifa la israel

    • @madhuru2554
      @madhuru2554 Рік тому +2

      Wewe pia una laana kuliko hao mayahudi na utakuwa duni hapa duniani.

    • @HumyrahChannel
      @HumyrahChannel Рік тому +2

      May Allah guide u, don't comment wat u don't know read read read

    • @rahmasaleh1984
      @rahmasaleh1984 Рік тому

      Shame on u

  • @aishathabit3732
    @aishathabit3732 Рік тому

    #salafy_mayahudi
    Mnaunga mkono matwaghuut
    Badala ya kuwashambulia mayahudi nyie mnashambulia Hamas na waislamu
    Muda wa vita na makafiri ya kiyahudi nyie mnaanzisha mada za far,qa tena zenye kuwahusu watu walio vitani dhidi ya mayahudi
    Hii ni dhahiri kwamba nyie mpo na mayahudi

  • @listonjiwe3467
    @listonjiwe3467 Рік тому

    Mmejaa fitina za uongo na maneno yenu ya kutunga na hadidhi zenu nyingi za uongo allah Ambae hatambui taifa la israel ametoka wapi? Kama sio kujaa fitina na ubaguzi mkiua wenene ni sawa mkiuawa nyinyi mnakuja juu na kuomba dunia iwasaidie bila kuona kwa nyinyi ndio tatizo

    • @dattymanne
      @dattymanne Рік тому +1

      Waisrael hawa hawa waliomua yesu? Mbona mnajipendekeza sana kwao hlfu wenyewe hawawapend wapo na Mussa wao. Hebu jitahid kusoma soma uujue ukweli.

    • @ZanGreen-jp1ti
      @ZanGreen-jp1ti Рік тому +1

      Ya Allah walaani mayahudi najamaa zao

    • @abdallahmmary8591
      @abdallahmmary8591 Рік тому

      Umezaliwa ukalishwa dini isio yahaki Bali kama weew ni mjuz mtafute Mungu wakeeli km Baba waimani Ibrahimu ndg usikurupuke kujibu au kukashifu usicho kijua.
      Meenye akili niyule mtu anae jiwa na watu wawili wamekosana shart nikuwasikiliza wote ili ujue tatizo hapo ndio utakuwa umetenda wema now hichi unachukurupa hapa sio sawa nkatika madhambi.
      .

  • @patrickmunishi2277
    @patrickmunishi2277 Рік тому +2

    Wayahudi ni watoto wa Ibrahim kwa mke wake wa ndoa Sara, hivyo hawaja laaniwa, ila wamebarikiwa,

    • @MB-yq3ty
      @MB-yq3ty Рік тому +2

      Wasiolaaniwa ni wale wenye kufungamana na Iman sahihi. Lakini wale wenye kuua Mitume na wakaidi hawa hawana nafasi kwa Allah

    • @mohamedrashid7864
      @mohamedrashid7864 Рік тому +1

      Wamelaaniwa mayahudi

    • @mussammanga7791
      @mussammanga7791 Рік тому

      @@MB-yq3ty Labda ajisalimishe kwa kutamka shahada mbili.

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 Рік тому +4

      ### Patrick Kwani wayahudi hao unaowaona wema, si ndio hao hao walitaka kumpiga na kumtoa roho wamuuwe unayemuona mungu 😂😂😂
      Tena laana iwakose vipi, yaani hata unayemuabudu walimchapa, na kumtandika mikwaju 😂

    • @alphasamwel
      @alphasamwel Рік тому +1

      Israel 🇮🇱 🇮🇱 🇮🇱 🇮🇱 🇮🇱 🇮🇱 🇮🇱 🇮🇱 imebarikiwa kuliko taifa lolote duniani.

  • @nicksonlyimo1562
    @nicksonlyimo1562 Рік тому +1

    Vitabu vingine vimedanganya,watu wakidhani vimetoka kwa Mungu kumbe ni vyakutunga2,,hao walio laaniwa wala hawasemi na mtu wao wanatekeleza mambo kwa vitendo na ushindi unapatikana na Mungu wa kweli anatukuzwa,hao walio barikiwa eti wanalalamika na kupiga kelele na kutukana na kuomba dua na kumlaani tena muisraeli mara nyingine lakini hakuna dua inajibiwa wala wanao jitolea kumsaidia palestina sasa watashindaje wapalestina kama ninyi mliobarikiwa ambao hamkulaaniwa hamuendi huko kusaidia??? Maneno matupu hayasaidii kinacho pasa ni vitendo,(pelekeni majeshi hiko na woote jitoleeni kupigana muende huko halafu mtamuona Mungu mtakatifu alie apa kua israeli ni taifa lake na hata liacha milele,na atawaokoa na mkono wa adui zao, nendeni kama hamjaomba umoja wa mataifa kuzika miili ya watu ili iwe kukomesha mafundisho ya uongo duniani.) Kwani kinachozuia nini hadi leo ? Nchi ambazo ninyi ndio mna dini ya kweli na mungu ni wenu na ardhi yenu ni takatifu na kitabu chenu ndio cha kweli kilishuka mbinguni inamaana mkikisoma2 mbingu yoote inajibu hapo hapo nendeni kapiganeni mtashinda mnazo silaha nyingi na majeshi yenu ni mengi kuliko ya israeli nendeni haraka ,mtahadithia vizazi vyenu mtakavo shinda hiyo vita.)

    • @ALIKHAMIS-un4fv
      @ALIKHAMIS-un4fv Рік тому

      Mambo hayako ivo ndugu yangu Sema usemavyo Allah ameahidi ile ardhi itakaliwa na waja wema kwa maana wayahudi vyovyote vile ni waovu wataondoka tu ardhi ile ni ya waja wema ambao ni waislamu

    • @nicksonlyimo1562
      @nicksonlyimo1562 Рік тому

      @@ALIKHAMIS-un4fv hivi wewe unajidanganya kua uislam ndio utakatifu,Mungu tangia lini akadhulumi na kuvunja ahadi yake? Shida ni tofauti ya Mungu tunae mwabudu sisi tuanao tea haki na ninyi wenyekudhulumu na kipingana na ahadi za kweli za Unabii katika vitabu ,kwanza uongo unawagharimu Sana yaani mtu hata Kama anamakosa ilimradi2 ni muislamu mnamtetea kwa uongo kua na haki jambo ambalo sii sawa, ila sio ajabu Kuna kisa Cha hadithi Mtume aliulizwa swali kuhusu mtu akisema uongo kwa ajili ya kutetea dini akajibu kua itakua sio vibaya kwaio sioni ajabu ,kwani hata Mtume hakutumwa na Mungu Kama mnavompamba kua ni WA Mungu alie hai ,soma Quran 4;79 aliempa utume sio Mungu ,na ukisoma Quran 2:97 utaona kua aliempa kitabu hicho Cha Quran ni adui wa malaika Jubril ambapo jubril ni malaika wa Nuru njema Mtakatifu Cha ajabu adui yake ni shetani halafu atoe kitabu itakuaje ? In nah Lilah!! Na kuhusu ardhi ya Israel haija wahi tokea eti mwarabu awe Mtakatifu Abadan asilaan we hujui 2. Torat ya Mungu kwa mkono wa Musa ndio kitabu Cha maagano na hakipingi Unabii na yoote yanatokea Hadi Leo kwa wazi kabisa . Tafuta Biblia soma Amosi 1;6_8 uone juu ya hivi vita vya Leo Unabii unavotimia kuhusu Gaza na Israel,halafu soma pia Quran45:16 uone neema za waisrael ,Quran2;47,ninyi mnakalia ubishi2 hata jambo la haki mnapingana nalo ni hatari badala ya kutetea maneno ya Mungu alio tamka mnang'ang'ana na dini eti ukiwa mwislamu utaenda peponi weee ,!!! Mpe YESU KRISTO Maisha yako ndugu upata msamaha wa dhambi kwa kupitia damu yake na uishi kwa Neno lake utapona ,yeye YESU ni Alfa na Omega Mfalme wa wafalme na Bwana wa mabwana na kila goti litapigwa mbele yake na ulimi utakiri kua YESUNI BWANA. Usipoteze Muda Okoka ndugu ,ni heri anae kuonya kuliko anae kusifu kua na haki kwa uongo.

    • @PiliTekelo
      @PiliTekelo Рік тому

      ​@@nicksonlyimo1562mtafute muislamu akusomeshe kur ani usiitafsiri unavyotaka

    • @aishathabit3732
      @aishathabit3732 Рік тому

      Haya ndio maajabu ya wakristo wa Tz
      Wapo na mayahudi ma hali mayahudi Wana amini Yesu ni mwana haramu
      Wana amini nyie wakristo ni waabudu vinyago na mungu wenu Yesu walimuua
      Na ndio sababu wanavunja mpaka makanisa yenu
      Ama hoja zako za kwanini hatuwashindi
      Sababu ni kwamba tulifanya uzembe dola ya kiislamu ikaanguka
      Lau ikirudi bi dakika 1 tu tunawafyeka
      Ama watawala wa Arabuni wao ni sehemu ya mayahudi hivyo usitarajie kuvamiwa kwa mayahudi

  • @joackimmutulu
    @joackimmutulu Рік тому

    Propaganda, mungu anapenda viumbe vyake vyote. We are all equal in the eyes of God!

    • @HakimuRamadhan
      @HakimuRamadhan Рік тому

      Mungu anampenda anayefuata maamlisho yake lakini ukikengeuka mungu anampa kigogo mbona firauna alilaaniwa kwani hakuwa kiumbe cha mungu

    • @joackimmutulu
      @joackimmutulu Рік тому

      Hakuna mafundisho ya kweli ya mungu yanasema mchukie mwenzio

    • @HakimuRamadhan
      @HakimuRamadhan Рік тому

      @@joackimmutulu hivi mtu hakunyanganye mke wako tena na makofi juuu alafu hachukue ardhi yako je wewe utampenda huyo mtu

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme Рік тому

      Dini za kinafiki hizo wao wanafikiri Mungu Prifank majani au Huyo Mungu wao anaowafunza katika nyumba zao mtu kati yao akingengeua basi achinjwe bro hao watu wanafiki wakubwa katika hii dunia

    • @jumamambo5905
      @jumamambo5905 Рік тому

      Hatuwez kuwa sawa na makafir

  • @Sal.0
    @Sal.0 Рік тому

    Wa Israeli, wame LAANIWA Katika Biblia, wewe KaNuguu Kamau!
    Soma Hapa:
    Joshua 7:12
    “Therefore the children of Israel could not stand before their enemies, but turned their backs before their enemies, because they were ACCURSED!

  • @AminaJuma-r4v
    @AminaJuma-r4v Рік тому +1

    ❤❤❤