ALI FAZA
ALI FAZA
  • 733
  • 2 169 697

Відео

Usimchukie Babako Wala Usimkane Maana Huo ni Ukafiri | Ustadh Muhammad Al-Beidh
Переглядів 29221 день тому
Usimchukie Babako Wala Usimkane Maana Huo ni Ukafiri | Ustadh Muhammad Al-Beidh
Sheria ya Kupangisha Nyumba Katika Uislamu | Ustadh Muhammad Al-Beidh
Переглядів 249Місяць тому
Sheria ya Kupangisha Nyumba Katika Uislamu | Ustadh Muhammad Al-Beidh
Hukmu ya Kutawasal Katika Uislamu | Sheikh Mbarak Awes
Переглядів 2072 місяці тому
Hukmu ya Kutawasal Katika Uislamu | Sheikh Mbarak Awes
Hii Ndio Hoja Kuu ya Ibnu Taymia na Mawahabi Kupinga Tawasul | Sheikh Mbarak Awes
Переглядів 4042 місяці тому
Hii Ndio Hoja Kuu ya Ibnu Taymia na Mawahabi Kupinga Tawasul | Sheikh Mbarak Awes
Kwanini Munajiita Salafiya Lakini Munawapinga Waanzilishi wa Salafiya | Sheikh Mbarak Awes
Переглядів 5282 місяці тому
Kwanini Munajiita Salafiya Lakini Munawapinga Waanzilishi wa Salafiya | Sheikh Mbarak Awes
Mtume ﷺ Hafanyi Makosa Utasemaje Kua Ana Madhambi | Sheikh Mbarak Awes
Переглядів 8612 місяці тому
Mtume ﷺ Hafanyi Makosa Utasemaje Kua Ana Madhambi | Sheikh Mbarak Awes
Jee ni Nani Alie Anzisha Ahlu Sunna Wal Jamaa Katika Uislamu | Sheikh Mbarak Awes
Переглядів 3,1 тис.2 місяці тому
Jee ni Nani Alie Anzisha Ahlu Sunna Wal Jamaa Katika Uislamu | Sheikh Mbarak Awes
Unawezaje Kusema Wazazi Wa Mtume Wataenda Motoni | Ustadh Muhamad Al-beidh
Переглядів 9662 місяці тому
Unawezaje Kusema Wazazi Wa Mtume Wataenda Motoni | Ustadh Muhamad Al-beidh
Lazima Tisahihishe Ufahamu Ulio Potoshwa Kwa Waislamu | Sheikh Mbarak Awes
Переглядів 2,5 тис.2 місяці тому
Lazima Tisahihishe Ufahamu Ulio Potoshwa Kwa Waislamu | Sheikh Mbarak Awes
Ziayara Kwa Ndugu Walio Fariki Baada ya Eid | Ustadh Muhammad Al-Beidh
Переглядів 5172 місяці тому
Ziayara Kwa Ndugu Walio Fariki Baada ya Eid | Ustadh Muhammad Al-Beidh
Acheni Kugombanisha Waislamu Sababu ya Arafa na Eid Imetosha Sasa | Sheikh Mbarak Awes
Переглядів 3 тис.2 місяці тому
Acheni Kugombanisha Waislamu Sababu ya Arafa na Eid Imetosha Sasa | Sheikh Mbarak Awes
Qauli Sahihi ya Sheikh Arify Kutoka Saudi Arabia| Mkanganyiko wa Mwezi
Переглядів 3,4 тис.2 місяці тому
Qauli Sahihi ya Sheikh Arify Kutoka Saudi Arabia| Mkanganyiko wa Mwezi
Samahani Sheikh Muharram Mziwanda Katika Arafa Ulighafilika Inabidi Urekebishwe | Sheikh Mbarak Awes
Переглядів 29 тис.2 місяці тому
Samahani Sheikh Muharram Mziwanda Katika Arafa Ulighafilika Inabidi Urekebishwe | Sheikh Mbarak Awes
Ni Ipi Qauli Sahihi Ya Ibnu Uthaimin Kuhusu Arafa | Sheikh Mbarak Awes
Переглядів 13 тис.2 місяці тому
Ni Ipi Qauli Sahihi Ya Ibnu Uthaimin Kuhusu Arafa | Sheikh Mbarak Awes
Ufahamu Sahihi Dhidi ya Upotoshaji wa Siku ya Arafa | Sheikh Mbarak Awes
Переглядів 12 тис.2 місяці тому
Ufahamu Sahihi Dhidi ya Upotoshaji wa Siku ya Arafa | Sheikh Mbarak Awes
Kauli Sahihi ya Sheikh Waseem Kuhusu Arafa na Eid Adh-ha | Jee Arafa na Eid ni Lini
Переглядів 1,1 тис.2 місяці тому
Kauli Sahihi ya Sheikh Waseem Kuhusu Arafa na Eid Adh-ha | Jee Arafa na Eid ni Lini
Ni Lini Tutafunga Saumu ya Arafa na Kuswali Eid Adh-ha | Kauli Sahihi Kutoka Madina Saudi Arabia
Переглядів 4 тис.2 місяці тому
Ni Lini Tutafunga Saumu ya Arafa na Kuswali Eid Adh-ha | Kauli Sahihi Kutoka Madina Saudi Arabia
Huyu Pia ni Jirani Yako Lazima Umuheshimu | Ustadh Said Ali Hassan
Переглядів 2653 місяці тому
Huyu Pia ni Jirani Yako Lazima Umuheshimu | Ustadh Said Ali Hassan
Hukmu ya Kuswali Katika Sehemu Ilio na Makaburi (Makaburini) | Sheikh Mbarak Awes
Переглядів 1,6 тис.4 місяці тому
Hukmu ya Kuswali Katika Sehemu Ilio na Makaburi (Makaburini) | Sheikh Mbarak Awes
Hukmu ya Kuswali Katika Msikiti Ulio na Kaburi | Sheikh Omar Al-Midhar
Переглядів 1,2 тис.4 місяці тому
Hukmu ya Kuswali Katika Msikiti Ulio na Kaburi | Sheikh Omar Al-Midhar
Miujiza ya Usingizi Kwa Mwanadamu | Sheikh Shaaban Abdi Mussa
Переглядів 5194 місяці тому
Miujiza ya Usingizi Kwa Mwanadamu | Sheikh Shaaban Abdi Mussa
Albani Hana Uwezo wa Kusahihisha Hadithi Ilio Saihishwa na Bukhari | Ustadh Fadhil Ashirazy
Переглядів 3,2 тис.4 місяці тому
Albani Hana Uwezo wa Kusahihisha Hadithi Ilio Saihishwa na Bukhari | Ustadh Fadhil Ashirazy
Munaqasha Kamili Jee ni Sunna Kuswali Eid Uwanjani au Msikitini | Ustadh Badru Khamis
Переглядів 2,4 тис.4 місяці тому
Munaqasha Kamili Jee ni Sunna Kuswali Eid Uwanjani au Msikitini | Ustadh Badru Khamis
Munaqasha Kamili Jee ni Sunna Khatibu Kushika Fimbo Juu ya Mimbar | Ustadh Badru Khamis
Переглядів 1,8 тис.4 місяці тому
Munaqasha Kamili Jee ni Sunna Khatibu Kushika Fimbo Juu ya Mimbar | Ustadh Badru Khamis
Munaqasha Kamili Je Dhikri na Dua Baada ya Swala ni Sunna au Uzushi | Sheikh Badru Khamis
Переглядів 3,2 тис.4 місяці тому
Munaqasha Kamili Je Dhikri na Dua Baada ya Swala ni Sunna au Uzushi | Sheikh Badru Khamis
Munaqasha Kamili Je Ukimsomea Qur'an Maiti Inamfikia Thawabu Zake | Ustadh Badru Khamis
Переглядів 6 тис.4 місяці тому
Munaqasha Kamili Je Ukimsomea Qur'an Maiti Inamfikia Thawabu Zake | Ustadh Badru Khamis
Munaqasha Kamili Je Maulidi ni Katika Dini au ni Upotevu | Ustadh Badru Khamis
Переглядів 1,5 тис.4 місяці тому
Munaqasha Kamili Je Maulidi ni Katika Dini au ni Upotevu | Ustadh Badru Khamis
Munaqasha Kamili wa je Maulidi ni Ibada au ni Uzushi | Ustadh Fadhil Ashirazi
Переглядів 3,8 тис.4 місяці тому
Munaqasha Kamili wa je Maulidi ni Ibada au ni Uzushi | Ustadh Fadhil Ashirazi
Tusidanganywe Baadae Tujue na Mapema Hakuna Eid ya Kimataifa | Ustadh Muhamad Al-beidh
Переглядів 2,5 тис.5 місяців тому
Tusidanganywe Baadae Tujue na Mapema Hakuna Eid ya Kimataifa | Ustadh Muhamad Al-beidh

КОМЕНТАРІ

  • @abdoumadiousseni4835
    @abdoumadiousseni4835 День тому

    Huyu sufi anabwabwaja kama 😢😢😮

  • @AbdallahShamte-mp1iu
    @AbdallahShamte-mp1iu 6 днів тому

    Allah akuhifadhi shekhe letu Ustadh Faadhwil

  • @ExcitedCricketHelmet-wr4sq
    @ExcitedCricketHelmet-wr4sq 6 днів тому

    Wallah ukhurafi ni maradhi nzito hata hana haya akiongea hivi mwongo kweli kweli na ashaa tangulia tumuogope Allah

  • @shadhilmakame
    @shadhilmakame 9 днів тому

    Mashallah darsa nzuri

  • @abdulnass4128
    @abdulnass4128 11 днів тому

    Great work akhy Ali Faza. Compiling these darsas. BARAKALLAHU FIYK

  • @Ahmadasshii-raazy8888
    @Ahmadasshii-raazy8888 13 днів тому

    رضي الله عن الإمام البيض

  • @user-xb6tr5vq4b
    @user-xb6tr5vq4b 13 днів тому

    Usuf ni uzandaqa

  • @user-xb6tr5vq4b
    @user-xb6tr5vq4b 13 днів тому

    Usufi ni uzandaqa

  • @user-xb6tr5vq4b
    @user-xb6tr5vq4b 13 днів тому

    Hawamasufi kumbe wamezua kitu hakikuwah kuwepo? Duuuh hakina hatadalili ndani yaquran

  • @JosMatty-bq9ii
    @JosMatty-bq9ii 15 днів тому

    hyo mzee amna kitu

  • @MwanyukiMganga
    @MwanyukiMganga 17 днів тому

    Mashallah

  • @IbraFareed
    @IbraFareed 18 днів тому

    MashaAllah

  • @user-hb8vi9fx6g
    @user-hb8vi9fx6g 22 дні тому

    ALLAAH AKURAHAMU SHEIKHE!

  • @AbasHabimana
    @AbasHabimana 23 дні тому

    Sheikh msufi huyo makhulafi bwana ni shida sana Sheikh kishki uko sahihi kabisa achana na huyo sheikh wa kighulafi sisi tumekuelewa

  • @ibrahimjumbe8121
    @ibrahimjumbe8121 23 дні тому

    Asalam alaykum Ali Faza naomba link ya darsa kamili ya hiki kipande

  • @shadhilmakame
    @shadhilmakame 28 днів тому

    Ahsante

  • @hassanmussa2859
    @hassanmussa2859 Місяць тому

    Waffaqana Wallah

  • @user-wo7xl2ey8y
    @user-wo7xl2ey8y Місяць тому

    Kwahio hata wanapiga malamuli sio washilikina

  • @user-ro4nx4xv2m
    @user-ro4nx4xv2m Місяць тому

    Iyo picha ya nan

  • @sumeyaahmed4187
    @sumeyaahmed4187 Місяць тому

    Mola akurahamu ewe nduguyetu

  • @TeamKRX
    @TeamKRX Місяць тому

    😂😂😂😂 jini anae uyo kammfunika chupi

  • @user-xu9nn3pe4k
    @user-xu9nn3pe4k Місяць тому

    Subhana llah ebu lete fatawa ya shehe au lete maneno yake ya saut akizungumza hilo mbona wazee hamuogopi kua mtafufuliwa na mtaulzwa kwa mlioyafanya na kuyasema

  • @bundalahamza8902
    @bundalahamza8902 Місяць тому

    Allah akupe pepo YA Juu Rais Mwinyi ulikuwa na Mapenzi makubwa saana na Mashekhe

  • @HijaSaid-xd7fg
    @HijaSaid-xd7fg Місяць тому

    Umma mmoja na watu wa Bidaa

  • @abdulshakurmshindo9040
    @abdulshakurmshindo9040 2 місяці тому

    Mawahabi wana Ufahamu wa kilokole

  • @swalehahmad8947
    @swalehahmad8947 2 місяці тому

    قَطْرٍ Ni jimbo !!!!

  • @AbdulMutta
    @AbdulMutta 2 місяці тому

    Wallah ustadh fadhil hakuna shekh wahabi am fika ilimu huyu bwana anaelimu

  • @halimamfaume1925
    @halimamfaume1925 2 місяці тому

    Shukraan sheikh

  • @anyimikemwakyanjala7158
    @anyimikemwakyanjala7158 2 місяці тому

    Akili za viongozi wetu zimejaa misuguano..maendeleo zero...walimu wa madrasa wanalipwa kiduchu wao bize kugombana

  • @MusaSuleimanNassorAl-Amry
    @MusaSuleimanNassorAl-Amry 2 місяці тому

    Kama wajuwa wewe ni JIWAHABI pure wawashwa na nini ?

  • @user-yj5on8cz3e
    @user-yj5on8cz3e 2 місяці тому

    Kijana mzuri unalingania bidah Allah akuongoze bidah kitu kibaya Sana we endelea kutawasali na mait IPO siku utakuja kujuwa kuwa inafaa auhaifai adhabu za Allah akuna awezae kuzimilik Allah katuma mitume kukataza watu shirki we walingania shirki Allah Hatokuwa na msamaha kwa washirikina siku ya kiama we Minya Minya hakki utakuja kujuta ndugu

    • @IbraFareed
      @IbraFareed 2 місяці тому

      Jibu kwa hoja aloyasema na kataja na vitabu

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e 2 місяці тому

      @@IbraFareed kwani kila kinachotajwa kwenye kitabu ni sahihi mwengine anatafsili adithi dhaifu au aya akazitafsili kwa uwelewa wake so wana wazuoni mrudi katika sunnah muache bidaa mtasalimika tawasuli makaburini kwa wafu ni shirki na walikuwa wakiwaomba mayti walokufa maqureish walipoambiwa mnawaabudu Hawa wakisema hatuwaavudu tunajikaribisha kwa mungu kupitia wao maneno haya yanasemwa hadi leo na badhi ya mashekhe wenye tabia hizi ummah umerudi katika shirki tena Allah aninusuru na atuweke mbali na shirki

  • @salimofficial1263
    @salimofficial1263 2 місяці тому

    Tunaomba full video

  • @mahershadhil2493
    @mahershadhil2493 2 місяці тому

    Allah akulipe kheir maalim kwa kutupa mambo ya kheir namn hii

  • @KassimEdrisa-dd7zh
    @KassimEdrisa-dd7zh 2 місяці тому

    Kwan katika Surat عبس و تولى mtume saw analaumiwa na Alla Kwa kitu Gani hebu someni nyie Masufi acheni porojo nyingi

  • @infocontentchannel
    @infocontentchannel 2 місяці тому

    Wanakuelewa ww watu wa Haki, ila mahizby woooote WALLAHI WABILLAH WATALLAH hawawez kukuelewa. Hafidhwakallah Dr. Mubarak Awes

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e 2 місяці тому

      Unaesema watu mahizbi ukute huelewi Hilo neno kenyewe hizbi na inaweza ikawa ww ndo miongoni mwao Sabu mtu wa hakki hawezi mtetea mtu wa bidaah hata siku moja lazima atakuwa mbali nae

    • @infocontentchannel
      @infocontentchannel 2 місяці тому

      @@user-yj5on8cz3e Watu wa Haki wanaichukua Haki popote ilipo, watu wa mahizby Haki kwao ni kile kinachotokana na Makundi Yao Nje ya hapo Yoooote ni Baaatil. Na hujifakharisha na Makundi Yao. Soma Vzr utakuja kuelewa IN SHAA ALLAH.

  • @CubeedCali
    @CubeedCali 2 місяці тому

    Mawahabi munachuki na wanazuoni tushawazoweya

  • @JUMUIYAyakupingaruswanau-zo9rw
    @JUMUIYAyakupingaruswanau-zo9rw 2 місяці тому

    Shekh mziwanda nimemuelewa

  • @salahhddindasuvic6447
    @salahhddindasuvic6447 2 місяці тому

    Sio kweli

  • @ShabaniJumbe
    @ShabaniJumbe 2 місяці тому

    Huyu jamaa maneno mengi tu Hana hoja Sufi huyuuu

  • @jumaciza461
    @jumaciza461 2 місяці тому

    Swali langu niku husu Mawahabi je uwahabi ni dini wala ni Waislamu

  • @burhanmuhammed2234
    @burhanmuhammed2234 2 місяці тому

    Hakuna hadithi ambayo ni lazima kupijwe twari, wanawake ndio walio ruhusiwa sio wanaume mambo ya wanawake vp mufanye nyinyi wanaume, tena sio tari vidafe

  • @burhanmuhammed2234
    @burhanmuhammed2234 2 місяці тому

    Na hii aya inayo sema, laysa laka min amri shaiun tizama katika sababunnuzuli nailiteremshwa kwa ajili gani

  • @ahmadifakimjaka1433
    @ahmadifakimjaka1433 2 місяці тому

    Muongo Ahlulsunna wal Jamaa ni mfumo wa kale kabla ya huyo ash'ary Fundisha haki Sio kueneza Uwongo...!

  • @abdulshakurmshindo9040
    @abdulshakurmshindo9040 2 місяці тому

    Mawahabi hawawezi kukuelewa sababu wapo kama walokole walioambiwa na mashekhe zao ndo hayo hayo hatakama wakipotezwa

  • @user-qe8xp6ii1u
    @user-qe8xp6ii1u 2 місяці тому

    Allahu akbar Huyu jamaa ni muongo sana. Kwanza Ametowa wap Maneno yake.kama wadai dali li sis twakudai ww kwanz haya maneno yako ikiwa ww mkweli. Pili hujui maana ya Ahlu sunnat Waljamaa. Mjinga sana ww Mubarak Aweso. Halafu Hauna historia ya kusoma. Na Pia maneno yako ni kufru.Kama Wadai eti Kuna kizaz ndo kilileta Itikad ya Ahl sunna kwa hyo waliotangulia hawakuwa Ahl sunnat waljaamaa??pumbafu

  • @sophiahussein6739
    @sophiahussein6739 2 місяці тому

    tufuate mwandamo wa mwezi tufuate mashekh wetu

  • @issasalimu9796
    @issasalimu9796 2 місяці тому

    Ww jisufu ww nenda tu lamu kwenye maulidi na kukhitimisha kimchongo nani kasema hatufuati muhamadi ibn idirisa ashifii alosema tujifananishe na salaf ninani acha kushamta

  • @salumhassanallymkurdistan7006
    @salumhassanallymkurdistan7006 2 місяці тому

    MAWAHABI NI MAYAHUDI HAWAMPENDI MTUME MOHAMAD SALALAHU ALAYHI WASALAM ALLAH AWAONGOZE WAO PAMOJA NA SISI AMIN

    • @burhanmuhammed2234
      @burhanmuhammed2234 2 місяці тому

      Ww wapenda leta mizozo wajifanya Una elimu na upotofu mwingi

    • @burhanmuhammed2234
      @burhanmuhammed2234 2 місяці тому

      Nyinyi makhurafi ndio mulio potea mwasema sheke wenu Al marhum Al sharif Al bidhi alijikafini mwenyewe, sasa angalia walio potea Kati ya mawahabi na nyinyi ni Nani?

  • @GoldenBoy-xm5gn
    @GoldenBoy-xm5gn 2 місяці тому

    ikiwa aqida ya ahlu sunnah imeanzishwa na abul hasan ashary vp kuhusu maimamu wa qarne ya kwanza ya pili na yatatu wakina imamu shafii wao hawakuwa na aqida ya kiislamu ikiwa imeanzishwa na abul hassan ashary

  • @abdurazackhassan1842
    @abdurazackhassan1842 2 місяці тому

    Hueleweki