MAKONDA AJIBIWA NA BOSS ALIYEMUAGIZA LEO "JENGO LIANZE KAZI, MUDA MFUPI ZAIDI"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 351

  • @michaelshirima1020
    @michaelshirima1020 2 місяці тому +49

    Yaan jina la Mungu muumba wa mbingu na nchi lizidi kutukuzwa milele na milele kupitia Yesu Kristo tunao vokovu ulio mkuu
    Asante Mungu kwa kumuona tena Paul Makonda akiwa mzima wa afya tela umkumbuke kwa kila jema afanyalo na umuwekee ulinzi wako kwa kua hakuna muweza kama wewe Mungu wetu katika jina la Yesu Kristo
    Amen

  • @VeronicaMsenga
    @VeronicaMsenga 2 місяці тому +11

    Waaaao makondaaaaaaa waooooo hakika moyo wangu umepona kabisa sku yaleo kwangu nisiku njema sanaaaaaaa kuskia sauti yamh Makonda live na pia kumuona live nanmeamin baada yakua nmekuona millad ayo huwa hawaongopag,Mungu akulinde Makonda asante Mungu kwakuxidi kumlinda ndg yetu amina

  • @RahmaKasimba
    @RahmaKasimba 2 місяці тому +21

    Mashallah, mshimiwa Mwenyezi Mungu zid kumpigania kiongozi wetu kaka Makonda azid kuwa na afya na nguvu

  • @safiaothman5175
    @safiaothman5175 2 місяці тому +21

    Alhamdulillah, Nimefurahi kumsikia akiongea mubashara Mh.Makonda .
    Mwenyezi Mungu Subhaanahu Wata'ala azidi kumlibda na kila aina ya shari,Aamiin Yaa Rabbal 'Alaamiin.

  • @Ashoora2
    @Ashoora2 2 місяці тому +10

    Mashaa'Allah Allah azidi kukuhifadhi mtetezi wa wanyongee Makonda ❤

  • @hassanMahmoud-i4l
    @hassanMahmoud-i4l 2 місяці тому +8

    makonda mtu asiyefanya kazi kwa hasira .na nimtu mwenye upendo kwenye jamii anakubalika nipo zanzibar .namfananisha sana she othman maalim .mtoa dawa bila yakutumia hasira na jazba.mungu akujhali kila la kheri makonda .

  • @RosemaryTillya
    @RosemaryTillya 2 місяці тому +21

    Bwana nakushukuru kwa ulinzi wako na jinsi unavyomtetea Mtumishi wako, Mungu nakuomba usimpungue aingiapo na atokapo Adui asipate nafasi kabisa Amen

  • @YunisB-x9c
    @YunisB-x9c 2 місяці тому +15

    Mashaallah Muheshimiwa MAKONDA Insha Allah, Allah akulinde na kila Viumbe vilivyo viovu Ya Rabbil Alami na Ubarikiwe na Insha Allah, Allah azidi kukuongoza katika njiya iliyo nyoka. Ameen Ameen Ameen.
    Muheshimiwa MAKONDA na Mama Samiya HOYEEEEEE
    HOYEEEEEE HOYEEEEEE HOYEEEEEE

    • @aaa64sa13
      @aaa64sa13 2 місяці тому

      Ameen

    • @AlHamra-k4u
      @AlHamra-k4u 2 місяці тому +1

      MashaAllah Mh Makonda Mungu akulinde akupiganie uchape kazi tulikumiss sana

  • @GeofrayKijana
    @GeofrayKijana 2 місяці тому +13

    🎉🎉 KARIBU MTUMISHI POLE NA MFUNGO PIA HONGERA SANA KIONGOZI🎉🎉🎉

  • @GabrielSky64
    @GabrielSky64 2 місяці тому +5

    Mwamba huyu apa . Binafsi ndio Nimeamini Sasa sababu nimemuona. God bless you kiongozi wetu 🤝 mpendwa

  • @jeremiakaaya1221
    @jeremiakaaya1221 2 місяці тому +30

    Mungu akulinde sana kiongozi wetu Raisi mtarajiwa Mungu ukufikishe ndoto zako zitimie ndani ya nchi yetu Tanzania

  • @chikizamifupa5786
    @chikizamifupa5786 2 місяці тому +20

    Jembe letu hilo.Chapa kazi Makonda

  • @angelatarimo1969
    @angelatarimo1969 2 місяці тому +1

    Asante Mungu mwenye enzi. Karibu Rc Makonda tulikumic sana mkuu wetu wa mkoa wa Arusha. Mungu akutunze zaidi Mh. Makonda❤❤❤❤❤❤❤

  • @leonlaurent6183
    @leonlaurent6183 2 місяці тому +4

    Nakuelewa sana Mhe.Paul Makonda Mungu aendelee kukulinda na kukujalia mema yote

  • @emmykivuyo1942
    @emmykivuyo1942 2 місяці тому +1

    Ashukuriwe Mungu wa mbinguni kumuona tena Mh. Makonda akiwa hai🙏🏼

  • @julianmsele3880
    @julianmsele3880 2 місяці тому +15

    welcom again future action president of tanzania, ili tufike mbali hii nchi tunaitaji viongozi katili na wanaojali maslahi ya wananchi na nchi kwa ujumla

  • @CostantineBahakaso
    @CostantineBahakaso 2 місяці тому +10

    MUNGU Asante sana mama Samia ukiondoka 2030 tuachie makonda usituache mikononi mwa kile kikosi Cha kujiuzulu

  • @ummuwawili
    @ummuwawili 2 місяці тому

    Mashaa Allah....yaan naona Makonda akipata muda wa kuroma hizi coment anatoa machozi ya furaha ........Sio rahisi kupendwa na watu kiasi hiki Hongera muheshimiwa......na ninavyomjua anatamani kila mtu mmoja mmoja angemfanyia wema ....lkn haiwezekani tu ila usijali wema unaowafanyia unaojaaliwa kuwaongoza au kukutana nao inatosha kabisa ....pole kwa changamoto usikate tamaa kila kazi ina changamoto kama uliumwa kqeli pole

  • @fortunataurassa9051
    @fortunataurassa9051 2 місяці тому +1

    Asante mungu tumesikia sauti yake na kumuona kwa macho yetu

  • @TatuHaji-k8s
    @TatuHaji-k8s 2 місяці тому

    Asante mungu kwakuturudishia kipenzi chetu makonda wetu Allah akulinde

  • @PendoZakayo-b7y
    @PendoZakayo-b7y 2 місяці тому +23

    Mungu akufunike mbawani mwake kiongozi wetu

    • @GetrudeMboyi
      @GetrudeMboyi 2 місяці тому +2

      Mungu akupe maisha marefu kiongoz wetu Paul Makonda

    • @zaburi2386
      @zaburi2386 2 місяці тому

      Mungu ana mbawa tena duuh😢

  • @ShukranSamsoni
    @ShukranSamsoni 2 місяці тому +1

    Nimefurai sana na moyowangu umepata amani mungu aendelee kukulinda na akuepusha na mabaya yote maana bibilia inasema mtakula vyakufisha lakini havitawadhuru naiwehivyo kwakoo❤❤❤❤

  • @princessandrea5341
    @princessandrea5341 2 місяці тому +4

    Sina cha ku comment,, ila wale tulomuombea ndugu yetu PAUL MAKONDA naimani MUNGU ametujibu tena kwa wakati wake, hakika mioyo yetu imepata amani Sasa,, MUNGU azidi kumtia NGUVU kiongozi wetu na mtetezi wa wanyonge 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @fransiscajohn4373
    @fransiscajohn4373 2 місяці тому

    Mungu ni mwema kila wakati Ee baba mwenyezi tunaomba utusaidie kutulindia Mh . Makonda ili aendelee kutusaidia ss watu wako Amina

  • @athumaniMliwa
    @athumaniMliwa 2 місяці тому

    God bless you

  • @RhodaLema-z8w
    @RhodaLema-z8w 2 місяці тому +2

    Asante Yesu naamini Yehovah Mungu ni mwema jamani msimwache kweli leo mwamba ameanza kazi jamani wanyonge tumefurahi sana ila kwa imani yangu nampenda sana na naomba aende kwa watumishi wa Mungu wakazifute zile kauli zote zilizonenwa dhidi yake mimi binafsi kuanzia kesho na keshokutwa nafunga na kusali kwa ajili yake na kukataa na kufuta yote aliyonenewa kwa hiki kipindi alichotoweka kazini bila kutuaga watanzania wote na siyo Arusha tu Mh Makonda tunakupenda mno anza kazi kijana jasiri na shujaa lakini umetuliza sana wanyonge hivyo tupe pole tuliumia sana maneno kwenye mtandao yametuliza sana leo tutalala usingizi mnono kweli

  • @DenisSylivester
    @DenisSylivester 2 місяці тому

    Makonda Rais 2030

  • @tabutabu8900
    @tabutabu8900 2 місяці тому

    Nampenda sana my brother makonda,I love you so much ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @justinjkihomboffuwayesu4368
    @justinjkihomboffuwayesu4368 2 місяці тому +30

    Nikimwangalia, alivyo ondoka na alivyo ludi, kuna utofauti muonekano wake, ni kama vile alikuwa mgonjwa(kapungua) sula.....

  • @mochemba
    @mochemba 2 місяці тому

    Daaa Sasa ndo nimeamini kweli Makonda yupo nilijua ni taarifa ya uongo Mungu akutangulie akupe Afya njema piga kazi kiongozi

  • @agnesnnko8872
    @agnesnnko8872 2 місяці тому

    Waaaoooo karibu sana kiongozi wetu jamani tulikumiss damu ya Yesu ikulinde.

  • @jonathanmpitabakana388
    @jonathanmpitabakana388 2 місяці тому

    Kutoka kwenye uvundo wa moyo wangu nimefarijika sana baada ya kumuona kaka Makonda kurudi kwenye masikio yangu akiwa hai maana moyo wangu ulikuwa hauna amani kabisa,Ahsante sana Mungu kwa kumlinda huyu kijana

  • @jamillahmasimba474
    @jamillahmasimba474 2 місяці тому

    Mungu ni meaminifu na ni mwema mnoo!!asante kwa ulinzi uliompa huyu kiongozi,,Jina la Bwana lihimidiwe

  • @SarahHamis-b6k
    @SarahHamis-b6k 2 місяці тому

    Maombi ya wateule hayapotei. Tunamtukuza Mungu kwa wingi wa rehema❤❤❤ chap kaziiiiiiii

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 2 місяці тому

    Hongera Kwa kurudi mungu akulinde ila umepoa kweli umepungua hujachangamka km mwanzo umepowa Cha msingi tushukuru umepona

  • @NeemaAlphayo-w4w
    @NeemaAlphayo-w4w 2 місяці тому

    Daaaaah Asante Mungu wangu wa Mbinguni kwa kumlinda Mkuu wetu wa Mkoa Makonda yaani leo nina amani ya kutosha,.😢

  • @adudeswalehe8724
    @adudeswalehe8724 2 місяці тому

    The King is back

  • @RebeccaLyuvale
    @RebeccaLyuvale 2 місяці тому

    ❤❤❤❤❤❤❤Mungu....ni wamilele......

  • @eliadaniel216
    @eliadaniel216 2 місяці тому

    Asante Mungu ❤❤

  • @abdallahsidudu3438
    @abdallahsidudu3438 2 місяці тому

    Asante mungu mlinde na umpe urinzi mjawako huyu makonda

  • @shyfettymtunda4619
    @shyfettymtunda4619 2 місяці тому

    Allahu Akbar!!Alhamdulillah wallahi.🤲

  • @jasirimjasirimedia7940
    @jasirimjasirimedia7940 2 місяці тому +2

    My leader 💪💪

  • @N.T.KDigitalCreation
    @N.T.KDigitalCreation 2 місяці тому

    Geveva of Tanzania.

  • @YaeliJoseph
    @YaeliJoseph 2 місяці тому +1

    Kweli jamani siku hizo 30 zimetuumiza sanaaa 🙏 tunamshukuru Mungu kwakuonekana kwake tena

  • @user-to6up4hg2w
    @user-to6up4hg2w 2 місяці тому

    I like him as well he's beste may Allah protect him.❤

  • @mbenamdudu7856
    @mbenamdudu7856 2 місяці тому

    Da afazali jembe lipo mungu akuweke sana mzee unaeleweka

  • @TriceKimario
    @TriceKimario 2 місяці тому

    Mungu akutangulie

  • @dorahmushi-we6ts
    @dorahmushi-we6ts Місяць тому

    Mhshmw, asante kwa uongozi wako na kazi zako nzuri sana, ila usisahau khs stendi ya Arusha imeshakua ndogo sana, tunaomba utuangalie ktk hili kiongozi

  • @SarahHamis-b6k
    @SarahHamis-b6k 2 місяці тому

    Haleluyaaaa utukufu kwa Bwana Yesu ❤

  • @victoriasasha2014
    @victoriasasha2014 2 місяці тому

    Kwakweli Sifa na Utukufu zimrudie Mungu mtenda maajabu 🙏

  • @zianasalimuhivikunamchunga5224
    @zianasalimuhivikunamchunga5224 2 місяці тому

    Alhadullilah yarabilyaalamini . Yarabi eee Mola wangu mlezi wa mbingu na nchi na duniani kote yarabil tunakushukuru maana wwe ndiwe Mungu wa rehema yaarabil asante kwa kukubali maombi yetu . Umemrejesha kipenzi chetu

  • @AGNESSJOHN-v2g
    @AGNESSJOHN-v2g 2 місяці тому

    Asante mungu kwakujibu maombi ya watanzania wote

  • @rosesolomon6126
    @rosesolomon6126 2 місяці тому

    Mwache Mungu aitwe Mungu nimefurahi mno kumuona mh Paul makonda Asante Mungu kwa kutujibu maombi ya wengi tulipo omba usalama wa ndugu yetu Paul makonda 🙏🙏🙏

    • @jescarwegoshola1754
      @jescarwegoshola1754 2 місяці тому

      Acha kabisa huyu Mungu, kweli ni Mungu mkuu
      Nasema Mungu yupo na ninamtangaza yupo nimeona kazi yake.

  • @barakameliyo9860
    @barakameliyo9860 2 місяці тому

    Hongera sana kwa uhai uliopewa na mungu

  • @menelus911mene5
    @menelus911mene5 2 місяці тому +5

    Kweri kweri kweri mhe wetu uyoooooooooooooooo mungu akulinde sana❤🎉🤲🙏

  • @dionizemmanuel-ml2vf
    @dionizemmanuel-ml2vf 2 місяці тому

    Asante Yesu.

  • @LianFabian-y8i
    @LianFabian-y8i 2 місяці тому

    Namshukuru Mungu kwa kumuona makonda tena ninafuraha sana

  • @AhmedAhmed-gf1rd
    @AhmedAhmed-gf1rd 2 місяці тому +23

    Yaan hata ss Zanzibar tunamkubali muheshmiwa Paul makonda mungu azidi kukulinda rais wa tz 2030 inshaAllah

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 2 місяці тому

    Asante sana Mungu kwa mema yote unayotupatia

  • @AlexStanley-px6oh
    @AlexStanley-px6oh 2 місяці тому

    Mzee muombe sanaa munguwako watanzania wanakupenda sanaaaaaa

  • @MarkongarumatiLeskona
    @MarkongarumatiLeskona 2 місяці тому

    Asante mungu mwema sna

  • @IbrahimHusein-e9o
    @IbrahimHusein-e9o 2 місяці тому +1

    Pole sana makonda ila jiepushe kula nao hao

  • @TitusErnest-n4g
    @TitusErnest-n4g 2 місяці тому

    Mungu ni mwema hata siamini Kama namuona Tena makonda❤❤❤❤❤😅

  • @richardchawenda5938
    @richardchawenda5938 2 місяці тому +1

    Asante saana MUNGU 🙏

  • @annanasoro3007
    @annanasoro3007 2 місяці тому

    Mungu akulinde kaka katika maisha yako na familia yako na uendelee kutuabgalia sisi wanyonge ❤❤❤❤nimefurahi kwa kukuona kaka

  • @MaikoIddy
    @MaikoIddy 2 місяці тому

    Jembee kama jembeeee Kaz Kaz mungu akulinde🙏🙏🙏

  • @jennifersirikwa7449
    @jennifersirikwa7449 2 місяці тому

    Mungu azidi kukulinda. Tunamshukuru Mungu kwaajili yako🙏🙏

  • @Faines-qj1nt
    @Faines-qj1nt 2 місяці тому

    Waooo kumbe umelud magufulii wang 🙏🙏🙏🙏

  • @jairosgreyson3268
    @jairosgreyson3268 2 місяці тому

    Mungu ni mwema, karibu sana jembe letuu

  • @violethNamz
    @violethNamz 2 місяці тому

    Jina la mwenyezi Mungu na libarikiwe.

  • @godfreyelibarikilaizer6178
    @godfreyelibarikilaizer6178 2 місяці тому

    YESU KRISTO Wewe ni wa kushukuriwa asante kwa uzima wa poul makonda najua ulimlinda katika majukumu yake na bado utaendelea kumlinda kwa kila jambo asante BWANA YESU

  • @deboramushi5924
    @deboramushi5924 2 місяці тому

    Mungu ni mwema sana kwako mmeshimiwa wetu

  • @BarakaMichael-lu6tc
    @BarakaMichael-lu6tc 2 місяці тому

    Yesu ni mwma Kila wakati Mungu akupe maisha marefu

  • @maswamills3161
    @maswamills3161 2 місяці тому

    Umerudiiiiiiii, Asante MUNGU 👏👏👏👏👏👏🙏🙏🙏💯

  • @constanciapeter2497
    @constanciapeter2497 2 місяці тому

    Karibu tena. Arusha Ze Jembe🎉🎉

  • @JamesYunusa-y4c
    @JamesYunusa-y4c 2 місяці тому

    Hatimae Mwamba karejea 🙏

  • @pascal2415
    @pascal2415 2 місяці тому +8

    Ila kweli jamaa alikuwa anaumwa, kazeeka haraka sana

  • @aidadonald1232
    @aidadonald1232 2 місяці тому

    Glory to God

  • @happysanga6846
    @happysanga6846 2 місяці тому

    Mungu akulinde kipenzi Cha watanzania tulisha poteana kwa mshangao makonda wetu Yuu wapi Leo tumeona yumzima Bado anaishiii Asante mungu wa mbinguni😁😁😁🙏🙏

  • @sabrinaandrew4245
    @sabrinaandrew4245 2 місяці тому

    Ahsante mwenyezi mungu.Jamani Hadi nikamuone Kwa macho yangu.Mwenyezi mungu Akuhifadhi chini ya mbawa lake

  • @salhaomar5382
    @salhaomar5382 2 місяці тому +1

    Mungu akulinde

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 2 місяці тому

    Nimefurahi sana kukuona tena mpendwa wetu❤❤❤❤❤🎉

  • @JovinPeter
    @JovinPeter 2 місяці тому

    King makonda dah

  • @saraphinalupondo1115
    @saraphinalupondo1115 2 місяці тому

    Nakupenda jembe

  • @BeatriceMwalusamba
    @BeatriceMwalusamba 2 місяці тому

    Hakika Mungu ni Ebeneza.

  • @mwagilomasukuzi5464
    @mwagilomasukuzi5464 2 місяці тому

    Alhamdullilah kama siamini vlle dah mungu akuongoze

  • @nourannouuran3514
    @nourannouuran3514 2 місяці тому +3

    Jamaaaan makonda nimefrahi kukuona unawafaa watu unawatetea

  • @silasmarandu1485
    @silasmarandu1485 2 місяці тому +1

    Jembe Makonda welcome back!

  • @annemrosso15
    @annemrosso15 2 місяці тому

    Mungu ni mwema sana

  • @mariaerenest5632
    @mariaerenest5632 2 місяці тому +3

    Nimefurahi Sana Niko shinyanga nampenda Sana makonda nimelia Sana nimemuombea Sana nashukuru kumuona japo kwenye mitandao kazi iendelee

  • @EdwardyKholo-m2w
    @EdwardyKholo-m2w 2 місяці тому

    Viongozi Bora Tz

  • @RemiasPhilipo
    @RemiasPhilipo 2 місяці тому

    Asante mungu

  • @0maryMuna
    @0maryMuna 2 місяці тому

    Dah hongera sna mkuu Bora tumekuona maana tylikumiss sa

  • @jairosgreyson3268
    @jairosgreyson3268 2 місяці тому

    Kazii iendelee,

  • @martinsimon1946
    @martinsimon1946 2 місяці тому

    Baba kaeudi kazini kazi iendeleee karibu Tena baba wa Tanzania ya kaskazini ❤❤❤

  • @PaulSamora-vm2uf
    @PaulSamora-vm2uf 2 місяці тому

    Makonda 💯💯💯🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @peacemwesiga
    @peacemwesiga 2 місяці тому

    ❤❤❤❤❤❤❤❤makondaa

  • @EDITHAJAMESTUKAI
    @EDITHAJAMESTUKAI 2 місяці тому

    Mungu akulinde kipenzi Cha Arusha

  • @aggyshahang1558
    @aggyshahang1558 2 місяці тому +2

    Kila siku kila saaa Mungu ni mwaminifu

  • @NeemaNabintu
    @NeemaNabintu 2 місяці тому

    MUNGU wetu akutie nguvu mweshimiwa wetu.chapa kazi,tunakuombeya Kwa MUNGU wetu aliye hai❤