Hoja ya utekaji yaibuka tena bungeni, Spika Tulia, Waziri Mkuu wabanwa kutoa maelezo

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 673

  • @ShannyBrowntz
    @ShannyBrowntz 2 дні тому +4

    Mungu amlinde Hibrahm TRAOLEEE,,Taa ya Africa,,

  • @jamesrobare522
    @jamesrobare522 16 днів тому +51

    Huyu mwanamke tulia ni janga la taifa lazima watanzania tuwe waangalifu na matendo yake ya kubomoa

    • @user-lt1bi5nr1x
      @user-lt1bi5nr1x 13 днів тому +2

      Uchaguzi huu mbeya hapiti labda agawe jimbo mbeya wanaakili

  • @amanmalima940
    @amanmalima940 11 днів тому +7

    Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu MWAMINI Yesu na UOKOKE na ulithi uzima WA MILELE na uende mbinguni.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).

  • @GraceKazi-z8d
    @GraceKazi-z8d 3 дні тому +8

    Kwahyo na ww Tulia ukaamua ujibu kwa muhemko!? Ila Daaaaa! Inauma sana 😢

  • @davidsimbeye1548
    @davidsimbeye1548 15 днів тому +19

    Muuliza amefafanua vizuri kwamba matukio ya utekaji yanahusishwa na mambo mengi ikiwa ni pamoja na wivu wa mapenzi, imani za kishirikina na mwishoni amehusisha vyombo vya dola, lkn naona majibu ya spika yamelekezwa kwenye eneo moja tu la vyombo vya dola

    • @champion-dz6kr
      @champion-dz6kr 15 днів тому +4

      Yani ndugu ww mwelevu sana , muulizani katofautisha, ila spearker amna kitu kwa kichwa

    • @LameckNyamsenda
      @LameckNyamsenda 11 днів тому

      Tulia wewe, tuliatu

    • @happyfiverickaldo4662
      @happyfiverickaldo4662 7 днів тому

      Mimi nafikiri tulia ndio anamhemko ila muliza naona yupo viziri na apite pale makole ale kilaji nakuja kulipa

    • @YacintaJames
      @YacintaJames 3 дні тому

      Hapo hatuna Spika, na yeye anajibu kwa mhemuko

    • @RaymondKilomeye
      @RaymondKilomeye 3 дні тому

      Upo sahihi ila hii ninjama zakulindana wenyew

  • @bernadetamushi
    @bernadetamushi 3 дні тому +3

    Kwanini sikunzote wasitekwe ni sasa. Mnajibu very simple

  • @bernadetamushi
    @bernadetamushi 3 дні тому +3

    Mnauwa sana watu nyiyi muogopeni Mungu msijitetee kabisa. Mungu anawaona

  • @abednego3876
    @abednego3876 16 днів тому +11

    Tunaspika mpumbavu sana shenziii kbs.. Na hao wanaopiga meza ni mbwa.

  • @MbwanaKivava
    @MbwanaKivava 5 днів тому +4

    Spika ana mjibia waziri mkuu 😊

  • @SauliBasso
    @SauliBasso 16 днів тому +14

    Huyu spika ni nyoko sana ila mwisho wa siku naye atakufa tu

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz 5 днів тому +4

    La utekaji bungeni n zero, Allah, atusaidie wafe kw Ajali,

  • @pauljulius4744
    @pauljulius4744 15 днів тому +20

    Spika anasema watu wasiwe na mihemuko kwenye maisha ya watu

    • @amanimlengwa9202
      @amanimlengwa9202 9 днів тому +1

      Vyombo vya ulinzi na usalama hivyo vinavyo wateka na kuwaua watu ndo tunavyotakiwa kuendelea kuviamini?
      Halafu huyu ndo spika wa mabunge duniani kweli?

  • @mbegesemwalupani6460
    @mbegesemwalupani6460 3 дні тому +3

    Duh! tulia kweli?

  • @Michaelmollel-bv7qw
    @Michaelmollel-bv7qw День тому +2

    Nyie tunawajua sana.

  • @mtakwaelius1094
    @mtakwaelius1094 16 днів тому +30

    Ipo siku Mungu wetu atashusha kiburi hicho

  • @kefamwakipesile275
    @kefamwakipesile275 15 днів тому +12

    Mimi ni ccm lakin kuna kiasira kinapanda kufuani mwangu,
    Mpak nawish ningekuwa jetriii

  • @fredrickbaryagati2194
    @fredrickbaryagati2194 16 днів тому +33

    Yatakugarimu mbeya kwa uchaguzi .sote ni wazazi mungu atajibu tuombe

    • @MaryMwamwezi-xm3iz
      @MaryMwamwezi-xm3iz 15 днів тому

      Kila sekta inakazi yake. Wapo wanaotakiwa wachunguze. Tuache lawama. Wote tumeumia. Siyo wewe tu. Hakuna anayependa haya matukio.

    • @westserengeti5608
      @westserengeti5608 13 днів тому +1

      ​@@MaryMwamwezi-xm3izLikiwa kwenye sekta, serikali haitakiwi kuulizwa?, ila Tulia Mungu anakuona

    • @ElneySheddy-is1dv
      @ElneySheddy-is1dv 5 днів тому

      Turia nimavi kichwani

  • @alfanikingwan7174
    @alfanikingwan7174 16 днів тому +18

    Mbona huyo spiker anahalalisha watu kufa kwa kutekwa na kuona sawa tu,, hivi dini iko moyoni kwako kweli sio sawa please 😊

  • @lusakaone7782
    @lusakaone7782 16 днів тому +21

    Wasiwasi wangu hapa Kuna kijambo miongoni mwa wanaotuongoza kwa kweli, majibu ya Spika simuelewi.

    • @user-zz1sj6sp8z
      @user-zz1sj6sp8z 15 днів тому +2

      Spika.anaroho.mbaya.nandio.mana.anajibu
      Anavyojisikia.

    • @verdianabanabi2205
      @verdianabanabi2205 15 днів тому +2

      Uumeona ehh huyu spika hajfikwa na ndiyo maana anajubu atakavyo

    • @SADICKITHOMAS
      @SADICKITHOMAS 15 днів тому +1

      Uongozi ni dhamana na busara muhimu sana ,,kiburi sio afya kwa nchi yenye amani utulivu

    • @ephraimkalanje7105
      @ephraimkalanje7105 15 днів тому

      Naye Spika ana maelezo ya kimhemuko na kuashiria ukiburi fulani hivi! Hivi hawa waliopotea mathalani akina Azori Gwanda, Ben Saanane, akina Soka...walidandia mabasi kule chini kwenye chasis na wakaanguka na kufa na ndo kimekuwa chanzo chao cha kupotea? Au wame-stoaway na wapo katika nchi fulani za ughaibuni? Duuuh! Maelezo ya Spika ni maelezo ya ujumla mno na kimhemko pia! Serkali isifunike kombe mwanaharamu apite katika hoja hii. Uchunguzi wa kina ufanyike na vyombo huru ili kubaini watu halisi walio nyuma ya kupotea kwa watu!

    • @EmiliKigoma
      @EmiliKigoma 15 днів тому

      Mungu Anglia ushetan

  • @ariibahati3414
    @ariibahati3414 15 днів тому +9

    Yaani hata mganga wa kienyeji ana haki ya kuua au kuteka watu bila kuulizwa na serikali??? Ohh Tanganyika yangu.... Una kila kitu lakini uongozi wetu unatufanya tuishi kwa mashaka makubwa. Mungu unatuona watanganyika usituache na uzao wetu tukaangamia. Kumbuka kazi za mikono yako EE Mungu usiyefichwa na chochote. Unayaona yote yaliyo mioyoni mws viongozi uliowaruhusu waongoze kwa kipindi chote hiki.

  • @ibrahimuizack8244
    @ibrahimuizack8244 3 дні тому +1

    Viongozi mtateseka sana kwa marazi kwahaya mungu yupo kwa malipo yenu

  • @barnaba3037
    @barnaba3037 15 днів тому +7

    Spika kakasirika kisa kuuliza tena kwa msisitizo kuhusu watu kupotea😂😂

  • @godfreylyimo4177
    @godfreylyimo4177 15 днів тому +2

    Mh Spika ni vema ukatenganisha Bunge na Serikali....Ukweli Bunge lina kazi kubwa kwenye kuisimamia serikali yetu...

  • @godfuture-t8y
    @godfuture-t8y 15 днів тому +9

    Mnakera sana ccm

  • @user-ut2fo1hi9i
    @user-ut2fo1hi9i 15 днів тому +2

    Mungu yupo anajisikia jibu lako utalikumbuka

  • @msafirindalu122
    @msafirindalu122 15 днів тому +2

    Maisha ya watu yanafanyiwa siasa mungu anawaona

  • @RobatAllaya
    @RobatAllaya 6 днів тому +2

    Duh mungu isaidie Tanzania tumeisha

  • @user-qe7iq8yx3f
    @user-qe7iq8yx3f 5 днів тому +2

    Aise mungu atajibu hivi punde

  • @antonymomba8185
    @antonymomba8185 День тому

    Kimeumana kazi iedelee

  • @ManenoBulemela
    @ManenoBulemela 2 дні тому

    Ni wajibu wetu Kila mmoja kuangalia na kujua kwamba tunahaki ya kuilinda nchi yetu Kwa pamoja na umoja

  • @tumlakimwaitumule
    @tumlakimwaitumule 16 днів тому +5

    Mbona mbunge kasema wazi ,Haja generalize Mambo

  • @fadhilimsafiri216
    @fadhilimsafiri216 15 днів тому +4

    Hatari sana, bungeni hakuna kitu.

  • @CharlesMarigory
    @CharlesMarigory 2 дні тому

    Inauma sana kwa watanzania wenzetu kutekwa iwe kwa kishirikina au iwe kwa wivu wa mapenzi au iwe utekelezaji wa dola tunachotaka haki kwa watanzania tu serikali ifanye kazi yake na sio idara zingine zisizo julikana

  • @TeddyMhando-c6j
    @TeddyMhando-c6j День тому

    Aisee tumuogope mungu kwa hii hali
    L

  • @antoinekatembo8520
    @antoinekatembo8520 15 днів тому +1

    Madam speaker, YOU SHOULD NOT DEFEND THE GOVERNMENT, acha serikali ijibu… hapo ndipo kunapo kuwa tofauti wa mataifa ya magharib na barani kwetu Afrika!! His excellency Majaliwa, is one of the dude that I always respect tangu nikiwa mdogp na until kesho bado nitazidi kumueshimu tuu. Embu sikilizieni kwa umakini majibu yake. A decent quality one but also reputable leader!!

  • @mberaemmanuel9091
    @mberaemmanuel9091 2 дні тому

    Kila jambo lina mwesho wake mungu atupe hekima yake mwenyewe

  • @lamecklainson5989
    @lamecklainson5989 16 днів тому +4

    Mungu tu ndie mrizi siyo hao makafiri

  • @ambakisyemwanjemba5787
    @ambakisyemwanjemba5787 3 дні тому

    Mganga wa kienyeji anaweza kushinda kesi ya kuzika watu 10 kwa majibu haya,yetu macho!!!!.

  • @isayamwashibanda5819
    @isayamwashibanda5819 16 днів тому +6

    😭😭😭 MUNGU ikumbuke Tanzania

    • @GeraldMyuku
      @GeraldMyuku 15 днів тому

      Amen

    • @peacejunne5037
      @peacejunne5037 5 днів тому

      ndugu zanguni mungu huyu tulieachiwa na wakoroni nasema tena na tena hawezi kua sehem ya kumaliza matatizo ya Afrika tuamke watu weus ili kuupata mwangaza wetu uliozimwa hapo kitambo sana, vinginevyo juu ya huyu mungu wa kanisa na msikiti mmmmh ah ahhh bado sana

  • @omarymnuru8746
    @omarymnuru8746 3 дні тому

    Mh Tulia tuzungumzie watu waliopotea na mpaka leo hawajapatikana... Vyombo vya ulinzi na usalama ni wajibu kulinda uhai wa wananchi na ikitokea mtu/watu wamepotea basi vyombo vihusike katika uchunguzi na taarifa zitolewe... isikae kimya.... ikitokea wahusika wamepatikana basi wakofikishwa mahakamani liwe jambo la wazi ili wananchi wajue serikali inafanya kazi na sio kukaa kimya

  • @zakariamakumba5042
    @zakariamakumba5042 2 дні тому

    Majaliwa tunakuamini sana,vyombo ndivyo vinavyotuhumiwa kwa utekaji

  • @faustinedeogratias4337
    @faustinedeogratias4337 16 днів тому +8

    Inabiti tuanze kuwateka na wao...

  • @marthadaniel4904
    @marthadaniel4904 День тому

    Hivi hilo mbunge linakazi gani maan hawapas sauti kwa matukio Tanzania wapo kula mishahar ya bure 😢😢😢 eti mihimko duuu

  • @muhammadkhamis5798
    @muhammadkhamis5798 16 днів тому +5

    Mmmh npo hapa namsubiria ROMA

  • @mtanganyika-e2b
    @mtanganyika-e2b 2 дні тому

    Tulia ,uwe muunguana ,jiuzulu Mara moja!

  • @zakariamakumba5042
    @zakariamakumba5042 2 дні тому

    Tulia mpendwa tumia vizuri akili yako na kiti chako,mamamama! Umezaa

  • @Muddysadik89
    @Muddysadik89 День тому

    Hapo sisi wenye D mbil sasa tumeona mwenye mhemko ni tulia, coz hayo aliyoeleza muuliza swali amefafanua vizuri kabisa but akijiwekea limitation ya kufikiria akajibu kwa hisia

  • @justcruised
    @justcruised 13 днів тому

    Tulia ni ex usalama we taifa she is trained kuua revolution movement in Tanzania

  • @machaelghumpi9198
    @machaelghumpi9198 23 години тому

    Taarifa mnapewa hamtaki mnasema uchochezi hii ni aibu kwa kiongozi

  • @FadhilMkulu
    @FadhilMkulu 20 годин тому

    Waziri majaliwa mara ngap matukio yanatokea na mnayatangaza lakini hatujui mwisho wake, ukweli katika ulinzi na usalama wa mipaka mpo vizuri ila ulinzi wa ndani kwa raia we amna kitu

  • @ClayMwitula
    @ClayMwitula День тому

    Amesema mauaji ya aina tofauti

  • @sbboymkaliofficial9108
    @sbboymkaliofficial9108 2 дні тому

    Tulia ume panik unaonyesha hili swala una lijua vizur ila yana muisho 🙏

  • @josephudoba5563
    @josephudoba5563 16 днів тому +3

    Kazi kwelikweli

  • @user-vc8cc2pt7n
    @user-vc8cc2pt7n 2 дні тому

    Kwanza hili bunge sasa hivi nalo limekuwa la hovyo sana linaikumbatia serikali kazi ya bunge ni kuikosoa serikali leo bunge ndio limekuwa kichaka cha serikali hovyo sana ila mungu anawaona tu

  • @salama6362
    @salama6362 5 годин тому

    yan leo w.mkuu anajibu swali zito kwa majibu legelege inasikitisha sana na hii inatoa hisia kuwa anajua kinachoendelea

  • @AlfaSaa-j4h
    @AlfaSaa-j4h 3 дні тому

    Kiongozi wa Bunge hakuna kitu hapo .
    Poyoyo .
    Hovyo wamejichagua hawajachaguliwa ndo maana

  • @simonzelote5998
    @simonzelote5998 16 годин тому

    Hii serikali ijitadhimini upya bunge hili Ni Kama halina kazi Tena Kama tu hamwooni utekaji Ni mbaya basi

  • @Simion-wy6vt
    @Simion-wy6vt 6 днів тому

    Huyu ni mwanamke na anawatoto akitekewa kijana wake atakumbuka na atajua watu wanaumia kiasi gan

  • @ibrahimuizack8244
    @ibrahimuizack8244 3 дні тому

    Ivi jamani hiyo mama nikweli anajua swali na nini akijibu na kikubwa watanzania hayupo asie tambua kwenye ubaya na uzuri tusipende kudanganyana

  • @mbwanarajab7238
    @mbwanarajab7238 15 днів тому +2

    Kiukweli watanzania wa chini tuna changamoto kubwa sana
    Sijui kwamba tunajitambua vizur

  • @philberthphilipo189
    @philberthphilipo189 16 днів тому +6

    Hivi Dr. Tulia ana watoto kweli?

  • @Shirimaneema
    @Shirimaneema 4 дні тому

    Yaani kushindwa tu kufikiri, inawezekana kabisa kukawa na viongozi wanahusika kuuwa watu, hata kuwatumia waganga ili kuficha ukweli lakini nyuma yake viongozi wanagusika.Tazameni masuala haya la sivyo damu zitarudi kwenye familia za viongozi wa nchi maana malipo ni hapahapa kizazi hata cha nne.

  • @AyubuMwambola-j3k
    @AyubuMwambola-j3k 8 днів тому

    Spika anaongea kiwepesi tu hana hofu ya mungu,watu kutoweka gafla tu ,kama ndugu yako usingeongea kiwepesi hivyo,tutakusanyika mbele za mungu sikubmoja mungu atukumbuke

  • @yassinkimolo2943
    @yassinkimolo2943 2 дні тому

    Mtatuua kwa kututeka lakini mjue hata nyinyi na familia zenu hamtokaa kwa amani labda mkaishi na familiazenu katika seyari nyingine

  • @bernadetamushi
    @bernadetamushi 3 дні тому

    Msikatae watu wanauwawawa na serikali. Usijitetee

  • @dennisbarongo2411
    @dennisbarongo2411 16 днів тому +9

    Huyu spika jamani ni tatizo.
    Inakuwaje mbobezi wa sheria kama anavyojinadi hawezi kutafsiri swali lililo "generalized" na lisilo?
    Pia aseme anaodai wanatumia "mihemuko" ni mihemuko inayotokana na uwepo wa jambo lipi na kwa manufaa ya kina nani maana melezo yake spika yanaashiria anajua chanzo cha hiyo mihemuko ya wabunge!
    Usalama na haki za watu ikiwemo kuishi ni mambo very serious, hatupaswi kuyashughulikia kwa uzembe, milengo ya kulinda vyeo, vyama vyetu au maslahi mengine binafsi!
    Ni aibu spika kunyamazisha mjadala au maswali ya aina hii huku ripoti, tena za vyombo vya dola zikisema mtu au vikundi vya watu wanagundulika kupoteza, kuua na/au kuzika watu wengine pasipo wao walio walinzi wetu kujua. Tujiulize, kama watu hadi 10 wameuwa Singida na mtu au kikundi kimoja, je intelijensia ya vyombo vyetu vya usalama inayosemwa kuwa ya hali ya juu inatumika wakati gani, kwa matukio yapi na kwa manufaa ya nani!!?
    Unaangamia Tanzania, nakulilia Tanzania...! 😢

    • @MjuniLaulian
      @MjuniLaulian 15 днів тому

      Hivi uyu nisipika au ni mtejaji wa mawazo na aki ni zaidi ya tatizo

  • @EmanuelRobert-m3w
    @EmanuelRobert-m3w 11 днів тому +1

    Tulia tuambia huyu mkuu wa wilaya alikuwa anafanya kazi ya mihemko polini? 😂😂😂

  • @butungo1
    @butungo1 15 днів тому +1

    😢

  • @ezekielmadindula2679
    @ezekielmadindula2679 13 днів тому +2

    Bogasi spika😊

  • @EdwinMeta-nh1vv
    @EdwinMeta-nh1vv 13 днів тому

    Na ulipoulizwa Hali ya magufuli ulirukaruka hivi hivi kumbe mtu Yuko hoi, watu inabidi wasikuamini, pia swali Moja mmejibu wawili hatujardhika na majibu yenu!!

  • @simonzelote5998
    @simonzelote5998 16 годин тому

    Hivi Kama hapo bungeni mnasukumwa tu na tulia mna kazi gani ya kuwepo hapo bungeni si abaki tulia mwenyewe tu bunge la mtu mmoja hovyo kabisa

  • @Maria-cx4kn
    @Maria-cx4kn 13 днів тому

    Nilitegemea kauli inayojitisheleza zaidi yenye kutilia mkazo kuhusu ikomeshaji wa vitendo hivyo kutumia vyombo vya dola ambao ni wataalam waliosomea mambo hayo badala ya kuwatetea na kurudisha kukumu kwa wananchi wote. Polisi ni wataalam wamebobea na wana vifaa maalum vya kazi na wanalipwa mishahara kwa kodi za watanzania ili wawalinde kwa umakini.
    Kwanini isitoke kauli Kali ya kurlekeza ili kuondoa taharuki kwa wanyonge wengine na wananchi?

  • @hilarymaulid1903
    @hilarymaulid1903 15 днів тому +1

    Juzi??? Duh!!

  • @petermushi3336
    @petermushi3336 4 дні тому

    Hapo spika kamwita Waziri Mkuu ajibu nini wakati maswali yake keshajibu? Wao wana uhakika na usalama wao na watu wao anajibu anavyojisikia aliyeuliza mjinga hicho ni kiburi cha nafsi majibu anayo Mungu

  • @stanleyngoda1554
    @stanleyngoda1554 2 дні тому

    Mambo ya Nosence ya leading group from a sjngle party

  • @BONIFACEDOMINICK-j8l
    @BONIFACEDOMINICK-j8l 14 годин тому

    Wanachi hatuna haki sasa......

  • @user-vc8cc2pt7n
    @user-vc8cc2pt7n 2 дні тому

    Spika acha mambo ya siasa watu wanauliwa na kupotezwa unadai ni mihemuko acha dhalau za hivo ujue wanaouwa ni binadam na wameacha familia zao na wanahaki km binadam km huna point kaa kimya

  • @AlfredGeorge-n2o
    @AlfredGeorge-n2o 2 дні тому

    Kwani we tulia unamatatzo gani afu nyinyi wabunge mnao piga mkofi mnaakili kweli nyinyi

  • @MasanjaShija-ez9lg
    @MasanjaShija-ez9lg 2 дні тому

    Nikwanini mtuakiuliza swali lamsingi sipika anaingilia kati wakati watu wamepoteza uhai tunakwenda wapi au hii nchi inaongozwa kikekike hatutaki

  • @isamony58
    @isamony58 День тому

    Huyu tuliya hata simuelewiii😢😢😢

  • @rosemaryngowo2327
    @rosemaryngowo2327 14 годин тому

    Embu sisi tuseme tumeshindwa ehh MUNGU wa rehema ingilia kati Baba Yangu

  • @shaksbinsalim
    @shaksbinsalim 10 днів тому

    Munasiri gani nchi hii viongozi mbona Watton waviongozi hatuwasiki chochote kimewapata

  • @faizaannassir2568
    @faizaannassir2568 2 дні тому

    Mbona ccm hawatekwi wala kuuliwa just crazy this country

  • @tunudimandogreek9683
    @tunudimandogreek9683 2 дні тому

    Hivi unajua ulisemalo au,haya ukimlenga huyo mganga je na hawa walio vyamia basi na mabunduki na mtoa waliye mtaka mpaka kumua na kumtupa hao walinzi wako wapi,hali tukio limetokea kwenye basi,we mama usilinde kiti ulicho kalia fikiria ubinadam kwanza na ndio wamekuweka hapo😮

  • @GideonMambo-f2l
    @GideonMambo-f2l 2 дні тому

    Msiba usikie2 kwajiran, uskukute jaman Mungu yupo ipo sku

  • @cyprianmgogo7625
    @cyprianmgogo7625 4 дні тому

    TULIA,OMBA HEKIMA YA NYONGEZA TOKA JUU KWA MWENYEZI MUNGU.POROJO HAZIFAI WAKATI WATU WANAANGAMIA.

  • @SebastianCharleskayanda
    @SebastianCharleskayanda 8 днів тому +1

    Bunge Halifax maamuzi

  • @eliaeliatv265
    @eliaeliatv265 2 дні тому

    Kuna mtu akifa wakisema ndugu waje waweke mchanga nitajitokeza na mkokoteni wa mawe niweke ili anakoenda wamuulize huko ulikotoka unaugomvi na watuuu

  • @imanikubwa2896
    @imanikubwa2896 7 днів тому

    Hiki ni kipindi Cha uchaguzi,hawa wote walio madarakani ndio hao hao,,kwa hivyo ni ngumu kukubali. Atekwe mtoto wa Mkubwa ndio mtaona

  • @DivineWisdom-o8y
    @DivineWisdom-o8y 2 дні тому

    Bunge dhaifu sana, spika kilaza

  • @nelliegodfrey-zq5vz
    @nelliegodfrey-zq5vz 2 дні тому

    Daah😢😢

  • @EliaPundugu
    @EliaPundugu 3 дні тому

    Huyo mama hayuko sawa

  • @user-cn2pl5mp5k
    @user-cn2pl5mp5k 2 дні тому

    Mnaibuaje hoja ambayo spika ashatoa tamko kwamba wanasafiri awatekwi ao waliokutwa wamekufa nikusafiri

  • @senyagwadickson9084
    @senyagwadickson9084 21 годину тому

    We spika kwahiyo unatetea polisi yani umekuwa mtetezi wa watekaji

  • @psttitonakazaelimjema.9562
    @psttitonakazaelimjema.9562 16 днів тому +13

    Anaonge kamaatakavyo kwa sababu familia yake ipo salama.

    • @user-tc9vi3ow3n
      @user-tc9vi3ow3n 15 днів тому

      Hanauwakika familia yake aitahingia ktk majanga hayo,

  • @andrewpeter7492
    @andrewpeter7492 15 днів тому

    Spika anatoa majibu mepesi na yakupotosha mada kwasababu amesharidhika tumwachie Mungu ila pongezi kwa alieuliza

  • @herimwafulango8606
    @herimwafulango8606 Годину тому

    hilo ni swali la waziri mkuu au swali la spika

  • @gracemima5234
    @gracemima5234 2 дні тому

    Speaker hafai kabisa kwa kauli alizotowa kuwa yeyote atakaye musema vibaya Rais wasimuache bali ashugulikiwe. Huk ni hatari sana ya kuwashsuli watu wachukuwe sheria mikononi mwawo (Mob justice) na huyu ndiye speaker wa watanzania wote. Watanzania seriali hii si salama kwa wananchi wake.

  • @GraceMalley-ly2xn
    @GraceMalley-ly2xn 11 днів тому

    Tumeumbwa kwa sura na mfano Wa Mungu tambua unapo mtesa mwanadamu unamtesa Mungu tambua ww dada

  • @michaelmagwaza-bc6mk
    @michaelmagwaza-bc6mk 15 днів тому +1

    Inauma sana kwamajibu haya ya kejeri