Nakwambia huyu mtunzi wa huu wimbo nikiboko aisee, yaani wimbo unasikiliza, unarudia tena. Hakika huu ni wimbo mtunzi endelea kuandika nyimbo kama hizi nzuri za kushambulia. Hakika nabarikiwa sana
Jiwe moja tu, halikuhitajika lingine, usihangaike kutafuta mawe mengi kwa ajili ya adui zako, jiwe moja tu kwa imani adui hatoboi, ni yes aliyempa daudi ushindi, jaribu nawe utaona ushindi. Songambele mmenibariki sana, mungu awabariki sana.
Kwa Mungu, Jitu kubwa linaporomoshwa kwa vitu/watu wadogo kwa namna ya kushangaza sana, kwa maana udogo au ukubwa wa mtu unajengwa ktk uhusiano wake na Mwenyezi Mungu. BARIKIWENI SANA 🙏
Nyie watu wangu mbarikiwe maana mmenifanya niwe na furaha na kunipa moyo na kusonga mbele Kwa Imani karibu I Tena majengo Moshi mwende mbali nawapenda saaana nyieee
Nakwambia huyu mtunzi wa huu wimbo nikiboko aisee, yaani wimbo unasikiliza, unarudia tena. Hakika huu ni wimbo mtunzi endelea kuandika nyimbo kama hizi nzuri za kushambulia. Hakika nabarikiwa sana
mimi kama mikumo kwa udhamini wa omega nimeipenda hii ngoma, mbarikiwe sana. kama umekubali kama mimi konga like hapa
❤💘
Ubarikiwe mwlimu nakukaribisha buhemba centeo
Huo ni ujumbe uliyo hai.Asante sana wanasonga mbele choir.Karibu sana katika Makambi yetu,hapa Angaza SDA Kaptembwa Nakuru, Kenya
Wimbo umekua mahubiri mazuri mnoo mbarikiwe sana songambele
Siku ya kwanza kusikiliza huuu wimbo jmn nilisikiliza Zaid ya mara 10 l think the Lord's chair is shaken by the song🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
I am into this with every fibre of my being. ❤️❤️❤️,your composer is talented.
Mbarkiwe.sana.watumishi.wa.Bwana.yesu.songa.mbele.ili.tukaketi.pamoja.na.mungu.haleluya
Mungu azidi kuwatumia Kwa kazi yake
Apo mnapoimba # goliat tiiii!! Kuna mbaba anazamia apo mwee ananibarik sanaaa!! Na huyo kaka anae zungusha haaa!!! Mbarikiwe saana!! Nawapenda mno!
wanakwaya mubarikiwe saana huu wimbo kweli ni wimbo na munapoimba muna kwa uwezo mukubwa,karibuni na kwetu kalemie drc.
nabarikiwa sana na mahubiri kwa njia ya uimbaji wenu....Mungu awainue hata viwango vya juu sana mkimtumikia vema
Amen amen amen amen amen mungu awabariki wapendwa katika kristo yesu Kwa nyimbo nzuri sakusifu bwana yasu kristo mubarikiwe wapendwa
Jiwe moja tu, halikuhitajika lingine, usihangaike kutafuta mawe mengi kwa ajili ya adui zako, jiwe moja tu kwa imani adui hatoboi, ni yes aliyempa daudi ushindi, jaribu nawe utaona ushindi. Songambele mmenibariki sana, mungu awabariki sana.
Huwa sichoki kuwasikiza mpaka wanangu wanawapenda mnoooo, hongereni Kwa uinjilishaji nabarikiwa mnooooo
Nabarikiwa na huu wimbo kwa hakika.
Tunawangoja huku Ziwani, Mombasa. God bless you children of God.
Mnanikosha
Kwa Mungu, Jitu kubwa linaporomoshwa kwa vitu/watu wadogo kwa namna ya kushangaza sana, kwa maana udogo au ukubwa wa mtu unajengwa ktk uhusiano wake na Mwenyezi Mungu.
BARIKIWENI SANA
🙏
Am much blessed,welcome to eldoret kenya me time🙏
Hii kwaya inanibariki Sana jumbe nzuri sauti zimeshiba Bwana awainue mdumu katika Imani na kuhudumu zaidi na zaidi
Ebana ee huu wimbo mtam sanaaa, ujumbe mzr saut nzr Mungu awabariki sana
Wimbo huu jamani unaimarisha sana imani yangu..Ushindi wa Bwana hauhitaji dirii,chapeo wala upanga..Imani pekee..Bwana awabariki sana
hizi ndo nyimbo za kumtukuza MUNGU, yaani ni bonge la wimbo MUNGU Awabariki watu wa Mungu, msalimie mtunzi MUNGU aendelee kumtumia
Jamn nimefurahi Mimi nakosa hata Cha kuandika hizi ndo sabato nazosikilizaga Mimi jaman na siku moja nitakuwa msababto naipenda Sana🙏🙏🙏🙏
Ubarikiwe sana, mungu akupiganie karibu tusali wote sabato
Ahsanteni. Nawaombea mzidi ku Songambele watu wangu. God bless you from Kenya-
This song blesses me I love the energy.
Locked @KE 254
Love from 🇧🇮,songambele
Naupenda sanaaa huu wimbo mungu awabariki sanaaa
Asante kwa ku in ua Imani yangu na uimbaji wenu nzuri sana nawapenda sana kutoka canada
Mungu na azidi kuimarisha ndani yenu huduma hii ya Utume wa kuinjisha kwa njia hii ya uimbani injili iaonge mbele
Ushindi wa Bwana yahitajika imani katika Bwana❤
I love this, blessings ❤️ from the united Arab Emirates 😍
Nyie watu wangu mbarikiwe maana mmenifanya niwe na furaha na kunipa moyo na kusonga mbele Kwa Imani karibu I Tena majengo Moshi mwende mbali nawapenda saaana nyieee
I'm an Adventist every Friday I must listen to the song I just love your singing keep it up and be blessed,, ❤️❤️ chorus wuuuweeh ❤🎉
WOW SONG OF THE YEAR
My best Choir in Tz...may God bless you abundantly!
mbarikiwe wapendwa kwa wimbo huu wenye ujumbe mzito mno.
Mungu umbariki mwalimu wa kwaya hii na wanakwaya wote....mnajituma sana....Yesu awatunze na kuwaongeza miaka mingi..
Ameen ! The only stone to make me awinner in this life and life to come, is to have faith jesus christ
God bless this choir in jesus name
Pongezi kwenu songambele
Jamn mbarikiwa nimebarikiwa kupitia huu wimbo❤❤❤❤❤❤❤.
Nimepata ujumbe mzuri katika nyimbo hizo
Mbarikiwe Sana mko vizuri Sana haleruyaaa.
Mungu aendelee kuwainua. Mwalimu Lilian Kennedy nakuona katika ubora wako
This song is a blessing to my soul. I thank God for you and pray that God continue lifting in the ministry.
Elijah - US Florida
Amen kwa wimbo mzuri utiao moyo kwa safari ya imani iliyojaa dhoruba
Amen huu wimbo unanibariki sana, mbarikiwe sana watumishi wa Mungu
Have been eagerly waiting for the two volumes, Good job to songambele, God bless you
Mwenyezi mungu awatangulie katika kazi yanu Amiin
Amina.muonekano wenu tu! Ni mahubiri tosha.karibuni kwetu kenya
This is real and blessing...huku Kenya iletimu ingekua inakanyaga hapo mbele
Nabarikiwa kwa wimbo mtam
To be honest you since I knew you you keep on blessing me everyday
..l
Honestly a wonderful presentation that sometimes I keep repeating. Ur always at par in this God's field.
Barikiweni Sana kwa kazi nzuri ya kumtumikia MUNGU
Such an awesome song ''mwishow Goliath ti''.The man dodging the imaginary stone (2;08) has made me rewatch that part 1000 times😆.
Me too hahahaaa
I'm humbled by you brethren
the same to me,my children always complain if i forget to watch this song
That's where the vibe is anaifanya poa❤😂
Been putting it on repeat ever since I listened for the first time.
I really like this song. Inanijenga sana. Nyasaye ogwedhu jokamaa
You are so amazing,serious with your singing,mna mvuto mkubwa Zaidi,,
wimbo huu umenipa tumain mara nying nimevuka sehem ngum 🙏🙏🙏
Ameeen. God be Glorified. just one STONE who is .JESUS to kill. .an enemy.
Wimbo mtamu kweli. Huyu ni mtunzi hodari kabisa
👏👏👏👏👏👏jewe moja tu,ambaye ni Yesu pekee🙏🙏🙏
Wimbo mzur Mungu awabaliki mwende mbele zaidi amen
Be blessed, a very nice song full of good message
Powerful barikiweni Sana ujumbe lenye nguvu sana
congratulation for ua touch songs,ur joyous wen singing courageous nice uniforms
Jiwe moja tu mtandike adui kimya. Blessings Galole
For really Your are great solders of God your songs have great message
Mbarikiwe sana watu wa mungu kwawimbo mzuri daudi nakombeo
Mungu awabariki saana azidi kuwainua katika uimbaji wenu
Amen. Nawapenda sana songambele .Kenya huwa tunabarikiwa na nyimbo zenu .mungu awabariki
I remember your visit to Mathare North you are such a wonderful group God 🙏🙏 bless Songambere,
Mungu atukuzwe. Mnaikosha roho Yangu
Wimbo mzuri sana songa mbele kama lilivyo jina la kwaya yenu, ninawaombea
Barikiwa sana Songambele na msonge mbele zaidi
Mbarikiwe sana...
Wimbo mzuri mmeutendea aki
Mbarikiwe sana kwa wimbo mzuri nabarikiwa sana
Mungu awabariki sana jmn nimebarikiwa Sana huu wimbo
Wimbo huu hunisisimua sana,mbarikiwe watumishi
Ameeen kwakweli jina la bwana limeinuliwa sana huku Monduli kwenye sabato ya mtaa kupitia uimbaji wenu
Ubarikiwe sana
Jamani huu wimbo unanibariki mungu awabariki msonge mbele watu wa MUNGU ❤
A wonderful song….my favorite.I love you Jesus…
Yahaniiii nahisiiii kupaaa kwa wimbo mtamuuuuuuu sauti tamuuuuu barkiweniiiiii
Kweli kabisaa asante use ujumbee mtamu
My people. I love you God's children. Come to kenya please.
Sjui nsemejeee nawapendaaa jmn mnanbarki sanaaaaaaa mbarikiweee
Aki,nikisikiza,hìsì,nyimbo,nakua,namatumaini,maķubwa,sana,mungo,awabariki
Kwa kweli wasabato mko vizuri sana katika uimbaji
Wonderful song of praising God. Tamu wahu. Nimeupenda
I love this. Jiwe ni moja tu. Halleluja
Songeni mbele zaidi nyimbo zenu zinanibariki
My favourite choir mbarikiwe Sana as you minister at Ziwani Sda
Ziwani Mombasa ama
@@beavonogembo6995 yes
Huu ni wimbo wa mwaka
Hongereni sanaa
Love it keep on spreading the Gospel 👍
Thanks God for You have given us Songambale Choir.
Good song. May God's name be praised for the heavenly voices
Mbarikiwe, kweli jiwe moja linatosha
Tulienjoy Sana'a mlipokujaaaa monduli safi sanaa
Songambele ni noma sana. Dishon kongole
mungu kweli no mwema,asifiwe milele
Watu wa mungu Naomba no ya mwenyekiti wa kwaya
Wimbo huu hauchokeshi uwa nausikiliza kila siku hata nikiwa kazini.